USHUHUDA WA MWANAMKE ALIYETOKWA BLIND KWA WIKI TATU MFULULIZO.
NILIFIKA WORD YA WANAWAKE HAPA NZEGA HOSPITALI.
baada ya kufika hapo nikiwa nimeenda kuombea wagonjwa na kuwasalimia nilikutana na mwanamke aliyekuwa anamwanga damu kama maji nilijitambulisha kwake kuwa naitwa mchungaji richard nahusika na maombezi kwa watu wote nilimuuliza bint yangu unamda gani hii hali ikukute alisema wiki mbili alikuwa nyumbani tu na anawiki kaletwa hosptalin lakini hali ilikuwa mbaya sana nikamwambia unajua mungu apendi uteseke nikamwambia nataka nikaifunge hali hii je wa mwamini mungu alinijibu ndio
nikamwambia baba ulisema utanituma kwa watu wako ninaifunga damu isitoke tena nawe damu na pepo uliekuwa
unamtesa bint yangu mwachie mara
moja na ikawe ivyo dani ya siku 3
katika jina la yesu.
kweli siku ya tatu damu ilikuwa haimtoki kesho yake alitoka hospitalini.
USHUHUDA HUU YAMKINI UNAPITIA KIFUNGO HIKI CHA KUBLIND DAMU NYINGI
SASA WAKATI WAKO WA KUMPA YESU TATIZO LAKO
NAITWA MCHUNGAJI RICHARD FROM NZEGA TABORA TANZANIA
WASILIANA NAMI
SIMU.+255759861768

Maoni
Chapisha Maoni