USHUHUDA WA MCHUNGAJI RICHARD KUKAA MIENZI 9 BILA KULA WALA KUNYWA

NAITWA MCHUNGAJI RICHARD LEO NATAKA NIKUSHUDIE KIPENGELE KIMOJA ALICHONIPITISHA MUNGU AKIWA ANANIITA KATIKA HUDUMA YAKE.

nilipitia wakati wakushangaza wengi
niliungua sana nikawa nikiletewa chakula 
nikitaka tu kukila chakula kinabadilika wanakuwa funza wachooni na kimwanga nikiletewa chai inakuwa damu nilikaa kwa mateso mienzi 9 sili wala kunywa kutokana na kutokula nilikonda sana nikawa mtu wakuongeshwa na bibi yangu watu wakija wanasema huyu atakufa haponi wajomba zangu wajomba zangu wakawa wanamwambia bibi yangu unahangaika nini huyu anakufa tu majirani  masister marafiki zangu walifika wakati huo nilikuwa rc niliumia sana mpaka baba yangu alinikatia tamaa kabisa mzazi wangu alituzimia simu
bibi alinitia moyo mjukuu wangu nitakuwa nawe mpaka hatua za mwisho bibi nilimwambia usilie nitavuka tu huu wakati wangu wakujaribiwa.


MUNGU AKAINUA WATU WAJE KUSAIDIANA NA BIBI.
mungu akanyanyua mabint  wawili niliokuwa nmezoeana dada mdogo wetu kuishi na watu vizuri ni nzuri hawa mabinti na wengine walinitia moyo sana watu walionisaindia nakujakunifariji 
nawashukru sana. walianza kuja mpaka
wachungaji hali yangu ili kuwa mbaya sana.


VITISHO VYA SHETANI
usiku akawa ananitokea  shetani na kunionesha kaburi ananiambia hapa lazima ufe kwa njaa tu ni mimi
nakufanyia ivyo. shetani nilimjibu sifi na nikipona nitakutandika mpaka utajikolea aliendelea kunitishatisha lakini nilimshinda sauti ya mungu ilipoanza kusema nami.


MUNGU ANAANZA KUSEMA NAMI KUUSU MAJARIBU YANGU.
siku moja nasoma biblia sauti ya mungu ikaniambia simama na mstari wa zaburi.118:17
sitakufa mbali nitayasimulia matendo makuu ya mungu.
nikaambiwa ukiona shetani mwambie sitakufa mpaka niyasimulire matrndo makuu ya mungu...

NILIVUKA JARIBU LA KWANZA LA KUKAA MIENZI 9 BILA KULA WALA KUNYWA 

USHUHUDAAA HUU UMEJIFUNZA KITU


NAITWA MCH.RICHARD
SIMU.+255759861768


SWALI
unajifunza nini katika ushuhuda huu wa miezi tisa nikiwa kitandani,?  TAJA 



KAMA UMEJIFUNZA TOA MAONI YAKO HAPO PALIPO ANDIKWA MAONI 




Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.