SOMO. MSAMAHA YER.31-34 KOLOSAI.3:13 MATH.6:14-15 ZABURI.86-5

 SOMO:NGUVU  YA KUSAMEHE

   MSAMAHA NI NINI?
NI kufuta na kusahau makosa uliowahi  kukosea au kukosewa.


KUNA  SEHEMU KUU MBILI ZA MSAMAHA
.
1-MSAMAHA WA BINADAMU KWA BINADAMU

2*MSAMAHA  WA MUNGU NA BINADAMU


MSAMAHA WA BINADAMU NA BINADAMU.
mathayo.6:14-15

ni hatua ya kuwafutia watuakosa yao waliowahi kukukosea na kusahau kabisa.


KWANINI USAMEHE UNAMBIWA HATA KAMA MTU AMEKUUMIZAJE.

1"ukisamehe unafunguliwa vifungo vyako vya kukosa amani.
2"unapata amani katika moyo.
3"mungu anakuona mtoto msikivu unafata anavyokuamuru.
4"unapewa roho yakusamehe wengne.

5"upendo unatawala.



NINI KITATOKEA USIPO SAMEHE NI LAZIMA ITOKEE
1:hautasamehewa makosa yako yote.

2"hautayashinda matatizo itakuewa kila siku nafuu ya kesho.

3*watumishi watakuombea sana mungu hatajibu hitaji lako.

4"moyo unakosa amani

5*ጠapito yakuzidi kila tatozo  mungu analirusu.

HULAZIMISHWI KUSAMEHE MAYHAYO 6;14-15


MSAMAHA WA MUNGU NA BINADAMU
ZABURI.86-6

 ni hatua ya mungu kumfutia mtu makosa yake na kuusahau uovu wake.

TARATIBU ZA MUNGU KUKUSAMEHE

1"lazima uwe umesamehe.

2"lazima umwendee kwa utarratibu

3"lazima unyenyekee na kujishusha katika maombi ya msamaha kwake.

4"lazima upige magoti ishara ya utiifu kwake.

5" hata kutamka kwako kuwe kimpagilio.

6*lazima usimame na mstari ws zaburi 86.

7"akili na ufahamu uwe pale.

8"tamka ulipokosea unapokbuka  na  isipo kumbuka.

9"muombe roho akukumbushe

10"na  uache kabisa kosa ilo uliloomba
msamaha usije ukamdhihaki atakuchapa vibaya na adhabu juu.


ULAZIMA WA MSAMAHA  WA MUNGU

atafungua vifungo haraka sana

atakujibu umuombapo

atakupa amani

roho wa upendo atakaa

utakuwa moyo wa kusamehe


FAIDA YA MUNGU KUKUSAMEHE

1*anakuongoza katika mapito yako.

2"anakutenga mbali na mabaya


3"unafanikiwa kimwili na kiroho

4"unampenda kuliko yote.

5*anatawala vyako vyote anavilinda.


HASARA YA KUTOKUSAMEHEWA NA MUNGU.

1"mabaya yote yanakuwa yako.

2*anakuacha utembee kwa akali yako uende utakavyo wewe.

3"unachukia watumishi wake na kuwadharau

4"unakuwa mtumwa wa dhambi

5"anageuza pembeni uso wake
umwobapo.


MUNGU YUPO TAYARI KUKUSAMEHE ENDAPO TU UTAMRUNDIA 2nyakati.17:14-16
zaburi.86:5


SASA UAMUZI NI WAKO KWA FAIDA YAKO MWENYEWE WALA ULAZIMISHWI KUWA HURU KABISA.


NINAITWA Pastor Richard 
Kanisa la H.S.C.T
Moto wa Yesu

SIMU.+255759861768

UBARIKIWE KWA KUJIFUNZA NAAMANI UNAENDA KUBADILIKA SASA



















Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.