SOMO. KAZI ROHO MTAKATIFU. ISAYA.11:2-6
RROHO MTAKATIFU NI NIN?
ni msaidizi wako katika njia ya mbiguni ili
uweze kutembea na mungu lazima uogonzwe na mungu kupitia roho mtakatifu yeye hatakupotosha.
KUNA SEHEMU KUU SABA ZA ROHO MTAKATIFU ZOTE HIZI ZINAKAZI YAKE NDANI
1" ROHO YA BWANA. WARUMI.8-11
huyu roho anakupa kuwa na mamlaka makumbwa katika kazi ya bwana
huyu ukupa upako wa kuponya kitu
2"ROHO WA HEKIMA. MHUBIRI.7-12
huyu roho hukufanya utende mambo yanayoonekana ya maana.
anakupa uelewa na ufahamu wa kutenda
kazi yako vizuri kwa umakin
hukupa uelewa wa kuongea mungu anakufundisha kuomba mbele za baba kwa utiifu na heshima.
maombi yako yatajibiwa haraka
3"ROHO WA UFAHAMU
YOHANA.16:7-8
huyu anakupa kujua mambo yajayo na yaliyopita yaliyopo.
huyu roho hukufanya uone vosivyoonekana kwa macho
hukufanya umjue mtu kiudani
atakujulisha siri zote za mti au maisha yako.
4"ROHO WA USHAURI
1wakoritho.3-9
huyu roho anakuonya na kukukemea
katika njia mbaya.
anakushauri yaliyo manzuro na kukuuongoza njia nzuri.
anaumia unapokuwa humwelewi
ndio maana waweza kukosa amani gafla
anapatanisha na kurekebisha yaliyo magumu kwako.
pia huazibu usipomsikiliza asemacho.
5"ROHO WA UWEZA.
ZABURI.50-15
anakupa nguvu na akili ya kutatua yaliyo magumu.
anakupa kupenya palipo pa ngumu.
anakupa kuweza ulipozani hutoweza.
ukiwa na huyu akuna litakalo shindikana kwako wala ambalo halitaenda
huyu roho ashindwi kitu.
6"ROHO WA MAARIFA.
zaburi.112:1-2
huyu roho anakupa kumbuni na kuomba
kupambanua roho ya kweli
anakupa akili ya kufanya kazi
anakupangia mipango ya kkufanya
anakupanua ufahamu wako
anakupa binu ya mafanikio ufanye kazi
ngani ili ufanikiwe.
anakupa kujua karama yako.
anafichua vipawa vyako.
7" ROHO WA KUMCHA BWANA
luka.2-5
anakupa moyo wa kumpenda mungu.
anakupa moyo wa ibada mungu.
anakupa moyo upende kanisani.
anakupa uaminifu katika sadaka.mafungu.malibuko
anakufanya usome biblia
anakufanya usali maombi
anakupa kuelewa neno la mungu
anakufanya uwe moja ya watoto
wa mungu.
HIZI NI MATAWI SABA YA ROHO MTAKATIFU KILA MMOJA TUMEONA KAZI YAKE.
JIAGALIE YUPI HUNA HAPA NA UMTAFUTE AKUSAINDIE KATIKA SAFARI HII YA MBIGUNI.
MIMI NAITWA MCHUNGAJ RICHARD FROM NZEGA.
KUTOKA HUDUMA ZA KIROHO
MAOMBEZI NA MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU
NENO HILI LINAFUNGUA NA KUWEKA HURU WATU WENGI PENDA
NENO USIPENDE MIUJIZA TU
WASILIANA NAMI
SIMU.+255759861768
EMAIL.mchungajirichard@gmail.com

Maoni
Chapisha Maoni