KARIBUNI KATIKA BLOG YA KWANZA DUNIANI INAYOTOA MASOMO NA MAFUNDISHO KWA UOGOZI WA ROHO MTAKATIFU
Inayosimamiwa na Askofu want makanisa ya Holy Spirit Ministry Tanzania yenye Makao makui Morogoro veta Dakawa
KARIBUNI WOTE
Pata kiungo
Facebook
X
Pinterest
Barua pepe
Programu Nyingine
KARIBUNI NDUGU ZANGU KATIKA MAFUNDISHO HAYA YATAKAYOKUJENGA NA KUKUINUA KIROHO YANAYOENDESHWA KATIKA UFAHAMU NA ELIMU YA KIROHO MTAKATIFU.
JENGA UFAHAMU Kujitambua ni hatua ya muhimu katika maisha ya mtu yoyote duniani na ni hatua ambayo hakuna mwanadamu anaeweza kufika hatima ya maisha yake kwa ubora na matarajio bila kuipita. Kujitambua ni matokeo ya kupata ufahamu sahihi juu eneo Fulani, ingawa pia inawezekana mtu akajitambua kwa kupata ufahamu usio sahihi utakaomfanya aishi maisha yanayolingana na ufahamu alioupata. Ufahamu unapatikana kwa kutafuta, kuchunguza na kudadisi taarifa mbalimbali lugha rahisi ufahamu ni gharama. Matokeo ya ufahamu ulionao yatafanana na ubora wa maisha unayoishi. Kila taarifa unayoipata ina kusudi au lengo lake, uwe unajua au hujui na ni muhimu kuzingatia kuwa kiwango cha matokeo ya kujitambua kitafanana na ubora wa taarifa ulizozipata. Udhihirisho wa maisha ya kujitambau ni hatua ya juu kabisa ya kuthibitisha kwamba kweli umejitambua. * Maana ya Kujitambua “ Kujitambua ni hali ya kuwa na ufahamu au uelewa ...
MAOMBI YA USIKU WA MANANE LEO.2025 SAA;6;00Usiku mpaka Saa;10:00Alfajiri Ukiamka Huu Muda ingia Vitani Ombea kila Jambo unaloona haliendi Waunge na rafiki zako Kwenye Group wanaopenda masomo na Maombi unawapa utaratibu kabla hujawaunga Karibu Sana Tambua Usiku huwa ndiyo muda mzuri Wa Mungu Kuwashughulikia Adui Zako na Matatizo yako kuyashughulikia. HAKIKISHA UMEOMBA TOBA KABLA HATUJAANZA KUPINGA NA KUSHAMBULIA MSTARI WA KUSIMAMIA Kutoka;11;4 4 Kwa hiyo Mose akasema, “Hili ndilo Bwana asemalo: ‘Panapo usiku wa manane Mimi nitapita katika nchi yote ya Misri. Rudia kusoma chukua point hii Mungu Apite kwako TUTAOMBEA MAMBO MATATU 1;Roho Ya Uzuizi Kwenye Wokovu Wako. Ulishawahi Kujiuliza Kwanini mliokoka wengi wezako walishaacha Wokovu wakawa watumwa wa dhambi wewe unaendelea vizuri nakujitakasa mara kwa mara. Ipo hivi Unapookoka Shetani huandaa roho chafu mbalimbali za kuhakikisha Huendelei Mbele Na hutumwa vitu mbalimbali vya kukatisha tamaa na kupelekea uache woko...
JINA LA KITABU👉 IJUE NDOTO YAKO YALIYOMO ______________ UTANGULIZI SURA YA KWANZA: 1:MAANA YA NDOTO NA AINA ZAKE SURA YA PILI; 2:UMHIMU WA KUOTA NDOTO SURA YA TATU 3:MADHARA YA KUTOKUOTA NDOTO. SURA YA NNE; 4:JINSI YA KUTAFISIRI NDOTO ULIYOOTA. SURA YA TANO: 5:NDOTO MBALIMBALI NA MAANA ZAKE SEHEMU. "A" ☆SEHEMU. A" NDOTO ZA KUMUOTEA MTU MWINGINE SEHEMU "B" ☆SEHEMU. B" NDOTO ZA KUJIOTEA MWENYEWE. SEHEMU "C" ☆ SEHEMU C"N ZA KUTISHA ...
Maoni
Chapisha Maoni