MAOMBI YA ASUBUHI NA BWANA


MUNGU NAKUSHUKURU.ZABURI.118:21
nakushukuru mungu wangu asubuhi naianza baba naomba ukaanze nami ukamalinze nami salama siku yangu kanipe wepesi penye nzito palipo pa ngumu kapamalinze mwenyewe


naomba nakuamini hayo
katika jina la yesu.AMEEEE

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

MAOMBI YA USIKU WA MANANE 2025

KITABU IJUE NDOTO YAKO