SOMO: MTOTO WA MUNGU MTAMBUE MUNGU WAKO

SOMO; MTOTO WA MUNGU MTAMBUE MUNGU

Naitwa Bishop Richard Karibu ninaishi Morogoro Veta Dakawa Someone Hili linalenga mtu mmoja TU Anatakiwa amtambue Mungu wake na kuelewa anavyoishi maisha Yake yatapona Kupitia someone Hili tu

Kwa msaada wa Maombi piga Jioni Saa 12 00 Namba +255759861768

1:KWANINI UMEAMINI KUNA MUNGU
Yaani lazima ujiulize Huyu Mungu uliyehubiriwa Ni roho au miungu Kama umehubiriwa miungu je ukisoma kitabu Chako Cha Huyo Mungu unaemsoma kinamtambulishaje na anawezaje kukusaidia.

Basi UNAPOMWELEWA MUNGU NA KUMTAMBUA inakufanya iwe rahisi ukimuita atende

1 yohana : Mlango 3

1 Tazameni, ni pendo la namna gani alilotupa Baba, kwamba tuitwe wana wa Mungu; na ndivyo tulivyo. Kwa sababu hii ulimwengu haututambui, kwa kuwa haukumtambua yeye.


HUU mstari mwandishi Ametueleza ukitambua kitu Hakuna Tena elimu itakayokufanya usikitambue kitu Kama ulivyokielewa Lazima Tujue Sisi watoto Mungu aliye ulimwengu na Ishara zake maovu Yake hatuyatambui na menyewe hayatutambui kwa Sababu Tumemwamini Mungu Wetu Hataki Dhambi

2: DHAMBI MUNGU WAKO ANAKUELEZAJE

UKIKUTA dhamira yako inakunywa pombe unazini unaenda kwa Waganga no unatenda Matendo machafu ujue wewe Bado Upo ngizani humjui Mungu wako na humtambui Jambo ambalo Shetani atalitumia kwa kukosa Ufahamu wa Kumwelewa Mungu wako

Kwa Mungu wa Kweli hataki ulevi hataki Uzinifu hataki uabudu sanamu au miungu hataki uabudu Majini nk wewe Kama Mungu wako akakuelekeza haya UFANYE na unayafanya ujue umepotea kwenye mstari.

1 yohana : Mlango 3

6 Kila akaaye ndani yake hatendi dhambi; kila atendaye dhambi hakumwona yeye, wala hakumtambua.

3; NENO LA MUNGU KWA UNAPOFUNDISHWA LINAKUIMARISHA AU NDIO UNAZIDI KUPOTEA

Lazima Neno la Mungu wa Kweli likuponye kiroho na Kimwili ukiwa unapokea Neno la Mungu halafu hubadiliki au halikukuzi kiroho Kiimani Bado huponi Wala Kupokea uponyaji ujue Hilo Neno halina nguvu na haliwezi kukusaidia kiroho maana Neno la Mungu hupaswa liinue liponye ligange Lilejeshe vyote hivi Hakuna ujue Unatakiwa utafute chakula utakapokula ushibe kiroho I'll uweze Kupambana na kupona

Waebrania : Mlango 4

12 Maana Neno la Mungu li hai, tena lina nguvu, tena lina ukali kuliko upanga uwao wote ukatao kuwili, tena lachoma hata kuzigawanya nafsi na roho, na viungo na mafuta yaliyomo ndani yake; tena li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.