Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi, 2020

SOMO: DALILI ZA MTU ANAETESWA NA UCHAWI WA MAJINI

SOMO; DALILI ZA MTU ANAETESWA NA UCHAWI WA KUTUMIA MAJINI Tufunue Biblia Zetu Tusome;Luka:9;1-2 Hesabu;23;23 Isaya;47;10-13             ✍️✍️✍️✍️ UTANGULIZI✍️✍️ Karibu ninayekuletea SoMo Hili Ninaitwa Pastor Richard nielimu inayoenda Kukusaidia Kutoka kwenye Vifungo vya kichawi maana wachawi wametapakaa kuleta Uharibifu wa maisha Yetu nasi Tunafungwa Ufahamu na kututesa endapo Tunaposua sua kusimama na Maombi Tunajikuta Tunapitia matatizo mbalimbali yanayosabambishwa na Ufalme wa WAGANGA na wachawi Karibu Ujiagalie unazo dalili hizi Kama ndio jua wamekunasa wachawi Tumia namba Zangu Pastor Richard unipingie Jioni+255759861768 au fika kanisani Morogoro veta Dakawa Mara nyingi wachawi Hufanya Uharibifu na Kukufunga usiku 1;Mfano unaweza kuwa unaota mara kwa mara unalishwa vitu usingizini au unapewa madawa na wakati mwingine unakuta asubuhi umechanjwa c...

SOMO; KIKOSI CHA MAJINI NA KAZI ZAKE

✍️✍️✍️SOMO;KIKOSI CHA MAJINI na YANAVYOMTESA MTU Elimu hii inawasilishwa na Pastor Richard ili KUKUFANYA UOKOKE na Usimame MAJINI hayapo yapo na niroho zinazowatesa watu na familia zao. Tufunue vitabu!;Luka;9;1-5✍️1wakoritho:10;17-25✍️Yakobo:2;19✍️1timotheo:4;1✍️Zaburi;106;37 Kuna aina nyingi za majini baadhi yake ni kama hizi chini nitayataja MAJINI na kazi zake Ili uelewe na uendelee kusimama na Yesu 1) Murafari – hili ni jini linalozuia mafanikio ya kupata fedha, mafanikio ya elimu nk. 2) Latifu – hili jini linaloleta ufukara, mateso, hata ukipata pesa matumizi yake yanakuwa ni hovyo 3) Jahari – Jini anayetumiwa kuiba mali na kuzuia biashara kustawi 4) Hasinani – jini hili ni la fujo, ulevi wa pombe, bangi na dawa za kulevya 5) Jube – jini hili linasababisha utasa 6) Subiani – jini la ajali, linasababisha wanawake kutokupata siku zao, na kunyonya damu za akina mama siku zao za hedhi ambapo wanapata maumivu makali sana. 7) Sumil – jini hili huangamiza mimba changa 8) Wai...

✍️✍️SOMO:ONDOA

✍️✍️SOMO: ONDOA ✍️✍️ Tufunue Biblia Zetu Tusome Vitabu hivi 👉 Muhibiri;11;10👉 Waebrania;10:9-11;Luka:11;55 Yohana:20:15 Wakolosai:2;14                  ✍️✍️✍️UTANGULIZI✍️✍️✍️ Karibuni katika Mafundisho ya Neno la Mungu kwa Majina Naitwa Pastor Richard Ninakuwasilishia SoMo Hili Leo nataka kuwafungua watu ambao wameshindwa kuondoa horu woga Uzinifu ulevi Uchawi kwenda kuamini miungu Kutambika machukizo ndani Yao yanayowazuia Mungu anapo waletea majibu anawakuta bado hawajaondoa hofu hawajaondoa fikira za kujiona wao maisha Yao ya magonjwa tu maisha Yao ya kukaa singo tu maisha Yao yakuendesha bodaboda tu maisha Yao yakuunza mgahawa tu Bado kunawatu Leo hii Wanateseka kwa Sababu Kuna Fikira na mtazamo walisha uweka kwenye fikira Zao Mawazo yao Vijana wezao wanaw...

SOMO:YAWEZEKANA UKIWEZA KUAMINI NENO

✍️✍️SOMO:YOTE YANAWEZEKANA UKIWEZA KUAMINI NENO TU. 🤛🤛✍️✍️klKaribu katika Mafundisho ya Neno La Mungu Tunaenda Kukumbushana Nini maana ya wewe kuweza au uvuke katika Kipindi kigumu unatakiwa uamini Neno Inawezekana. ✍️✍️✍️ Tufunue Biblia Zetu kabla sijaendelea Mathayo;19;25 ✍️👈Marko:9;19-25✍️✍️Luka:18;27✍️    ✍️✍️✍️✍️ UTANGULIZI✍️✍️✍️ Katika Marko;9;19-25 Tunaona Ushuhuda wa kijana Aliyekuwa Anateseka na kifafa ukiziwi na ububu toka Mtoto Mzazi wake Anamweleza Yesu Kuwa Pepo Alijitaidi Kutaka Amuue Lakini Mungu alimlinda Mzazi anaendelea kushuhudia Amezunguka huku na kule na pepo wa kifafa alikuwa akimwagusha kwenye Moto Sasa nyingine alimrusha na kumdodosha Mwanae wakati mwingine aliangukia maji ya Moto. Mwili wake ulikuwa umejawa majereha Yesu Akamuuliza Mzazi huyo; Je Unaami nikimuombea Atapona Mzazi;Naamini Yesu;Nakwambia Kwamba ukiweza Leo KUAMINI NENO Inawezekana kwa Mungu yasiyowezekana kwa wanadamu ujue mwanao atafunguliwa. Mzazi;Naamini lakini Namuomba M...

SOMO:YAWEZEKANA UKIWEZA KUAMINI NENO

✍️✍️SOMO:YOTE YANAWEZEKANA UKIWEZA KUAMINI NENO TU. 🤛🤛✍️✍️klKaribu katika Mafundisho ya Neno La Mungu Tunaenda Kukumbushana Nini maana ya wewe kuweza au uvuke katika Kipindi kigumu unatakiwa uamini Neno Inawezekana. ✍️✍️✍️ Tufunue Biblia Zetu kabla sijaendelea Mathayo;19;25 ✍️👈Marko:9;19-25✍️✍️Luka:18;27✍️    ✍️✍️✍️✍️ UTANGULIZI✍️✍️✍️ Katika Marko;9;19-25 Tunaona Ushuhuda wa kijana Aliyekuwa Anateseka na kifafa ukiziwi na ububu toka Mtoto Mzazi wake Anamweleza Yesu Kuwa Pepo Alijitaidi Kutaka Amuue Lakini Mungu alimlinda Mzazi anaendelea kushuhudia Amezunguka huku na kule na pepo wa kifafa alikuwa akimwagusha kwenye Moto Sasa nyingine alimrusha na kumdodosha Mwanae wakati mwingine aliangukia maji ya Moto. Mwili wake ulikuwa umejawa majereha Yesu Akamuuliza Mzazi huyo; Je Unaami nikimuombea Atapona Mzazi;Naamini Yesu;Nakwambia Kwamba ukiweza Leo KUAMINI NENO Inawezekana kwa Mungu yasiyowezekana kwa wanadamu ujue mwanao atafunguliwa. Mzazi;Naamini lakini Namuomba M...

SOMO:YAWEZEKANA UKIWEZA KUAMINI NENO

✍️✍️SOMO:YOTE YANAWEZEKANA UKIWEZA KUAMINI NENO TU. 🤛🤛✍️✍️klKaribu katika Mafundisho ya Neno La Mungu Tunaenda Kukumbushana Nini maana ya wewe kuweza au uvuke katika Kipindi kigumu unatakiwa uamini Neno Inawezekana. ✍️✍️✍️ Tufunue Biblia Zetu kabla sijaendelea Mathayo;19;25 ✍️👈Marko:9;19-25✍️✍️Luka:18;27✍️    ✍️✍️✍️✍️ UTANGULIZI✍️✍️✍️ Katika Marko;9;19-25 Tunaona Ushuhuda wa kijana Aliyekuwa Anateseka na kifafa ukiziwi na ububu toka Mtoto Mzazi wake Anamweleza Yesu Kuwa Pepo Alijitaidi Kutaka Amuue Lakini Mungu alimlinda Mzazi anaendelea kushuhudia Amezunguka huku na kule na pepo wa kifafa alikuwa akimwagusha kwenye Moto Sasa nyingine alimrusha na kumdodosha Mwanae wakati mwingine aliangukia maji ya Moto. Mwili wake ulikuwa umejawa majereha Yesu Akamuuliza Mzazi huyo; Je Unaami nikimuombea Atapona Mzazi;Naamini Yesu;Nakwambia Kwamba ukiweza Leo KUAMINI NENO Inawezekana kwa Mungu yasiyowezekana kwa wanadamu ujue mwanao atafunguliwa. Mzazi;Naamini lakini Namuomba M...

SOMO; NYAMAZA

✍️✍️✍️SOMO; NYAMAZA TUNAMSHUKURU Mungu kwa Neema Zake na Rehema Leo hii Tumekutana Tena Katika Kukumbushana nakufundishana Neno la Mungu Leo Tunajifunza Neno Nyamaza ✍️✍️ 🗨️🗨️Vitabu:Kutoka:14:12-20✍️ ISAYA;36;21✍️42;14✍️Amosi:5;13✍️✍️Zaburi:39;5-10✍️Mithali;17;28. ✍️✍️✍️🙏 UTANGULIZI 🙏🙏✍️🙏 Hata Mpumbavu akinyamaza Asikujibu akaa Kimya huitwa mwenye hekima Lakini mtu mwenye hekima Anaweza akaitwa mpumbavu kwa kuwa tu ajui kunyamaza Anajua kujibishana Tu Anakinywa Ambacho hakiwezi kukaa Kimya Yeye Anaweza kuongea na kupinga kelele mpaka majirani wanakuwa Sasa mpaka wanamchoka. Kumbe jibu la kunyamaza na kukaa Kimya huwa siraha tosha kwa mwenye Hekima. 👉👉 NYAMAZA WE ADUI Kuna Wakati Tunapaswa Tuvinyamazishe Kila mago...

SOMO;KIPI BORA MUNGU AKUSAMEHE DHAMBI AU AKUPONYE MAGONJWA NA KUKUFUNGUA

🤣🔥🔥🔥SOMO✍🏾KIPI BORA MUNGU AKUSAMEHE DHAMBI AU AKUPONYE MAGONJWA NA KUKUFUNGUA????✍🏾✍🏾🤣 Tufunue Biblia Zetu hapo Tulipo Kama Simu au unabiblia kabisa Leo Tunatakiwa Tukumbushane Hili Kipi Bora Mtu asamehewe dhambi au Atatuliwe matatizo Yake na Kuponywa Vitabu; Mathayo;9;1_17 Marko:2;2-10 Luka:1;77 Luka:12:10 Warumi:4;7 Isaya:33:24                   🔥🔥🔥 UTANGULIZI✍🏾✍🏾✍🏾 Karibu Katika SOMO Hili Naekuwasilishia SoMo Hili Naitwa Bishop Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Ni vyema Upate kujihoji mwenyewe wewe umesamehewa dhambi au Ulifunguliwa TU ukaponywa na magonjwa yako lakini dhambi hujasamehewa mpaka Leo. Lazima ujihoji Unaenda kwa Mungu ukiwa na Hoja ipi Usamehewe dhambi zako toka ujana mpaka hapo au Mungu akuponye magonjwa Yako na uondoke zako. Umekuwa...

SOMO; MAISHA YAKO YAKAINUKE UPYA ADUI ZAKO WALALE CHINI YAKO

🌍🌎🔥🔥SOMO: MAISHA YAKO YAKAINUKE UPYA ADUI ZAKO WALALE  CHINI YAKO🔥🌴🌴🌴 Tufunue Biblia Zetu Natumaini Yu Mzima na Upo Fireee Bado Moto uliotoka nao Veta Dakawa Bado unawakaa Basi Leo Adui yako akainamishe kichwa chini yako Iwe Ni ugonjwa madeni mapepo kudharaulika;Kukatishwa Tamaa Maisha yako kupofuka Leo hii naamuru katika SoMo hili Ukainuke na nguvu mpyaa. Zaburi;20;8 Nehemia;12;37 Nahumu;1;8 Yoshua:8;3-19 Luka;7;14-17                      🌍🌎🔥 UTANGULIZI🔥🔥🌴🌴🌴 Kiukweli Tunapaswa Kuinuka na Kusimama Sio Kuwa Tunainuka Tunaanguka Tunainuka Tunaanguka Kwanini hatusimami Kwanini Tuteleze Tuanguke Nini Tatizo Tunaanzisha Vitu vinakufa havisimami Tumefungua cafe lakini saivi imefungwa Tumeanzisha duka lakini mtaji hatuoni Kwanini Hatusimami Tunaanguka Anguka T...

SOMO; CHAZO NI NGUVU CHACHE

✍🏾✍🏾🔥🔥SOMO; CHAZO NI NGUVU YA ROHONI SIO YA MWILINI🔥👏🏽👏🏽 Shalom Mwanangu Karibu Katika SOMO LA LEO CHAZO CHA KUSHINDWA NA ADUI NI NGUVU ZA KIROHO KUWA CHINI Tufunue Biblia Zetu Tusome Vitabu hivi; 1Timotheo;4;8 Marko:1;43, 3;27, 5;4 Warumi;4;20 1Wakoritho;1;27 Zaburi;18;1-39 Kutoka;1;20 Waefeso;4;13                             ✍🏾✍🏾🔥🔥 UTANGULIZI🔥👏🏽👏🏽 Karibu Leo Tujiulize Kwanini Tunazidi Kupingwa Kiroho hatukui kiroho bado Shetani ameendelea Kututumikisha na kila kukicha Tunatamani Tutoke Kwenye Mateso haya lakini Tunaishia Kujipa moyo Bado Tunazidi Kuelemewa na inaonekana hata mbinu anayoitumia Shetani bado Kwetu Kama watoto wa Mungu inatupa shida njisi ya ustad wake na umahili wake wakututandika Bado unanguvu Kwa Sababu ngani Shetani Anazidi kutupatia magonjwa kutupatia Mateso minyororo mpaka imefikia Kumshusha uwezo wa utendaji wa...

🌍🌎🔥🔥SOMO; UMEFICHWA NDANI YA TAMAA TOKA UPONE🔥🌴🌴🌴

🌍🌎🔥🔥SOMO: UMEFICHWA NDANI YA CHUMBA CHA TAMAA TOKA HUMO UPONE 🔥🌴🌴🌴 Kabla Hatujaendelea Nawasalimu wanangu wote Nawaombea mnaouguliwa na Kupitia katika Jaribu la Tamaa Leo hii unielewe SoMo Hili Ukapone Tufunue Biblia Zetu Kama Unabiblia Fungua Warumi;1;22-29,7;5 waefeso 4:22 Tito:2;12 Yakobo:4;1-5 Mwanzo:3;16 Nehemia:6;16 Ayubu;14:10-16 Isaya;42;1-5 Weka chini Biblia Yako Tafakari Maandiko Dakika 3 TU. Uendelee kufun guliwa kwa kusoma SoMo Taratibu umetulia.                     🌎🔥🔥UTANGULIZI🔥🌴🌴🌴 Tamaa huwa chazo Cha mtu Kuharibu malengo Yake na mfumo mzima w a mwisho wa maisha Yake kiroho na kimwili Mpaka Sasa Wapo watu wanajuta kwa tamaa Ambazo walizifanya kukimbilia Kutaka wafikie ndoa harakaraka wafikie mahusiano harakaharaka wafikie maisha mazuri harakaharaka wafiki...

Somo; UMEPANDIKIZIWA DHARAU NA LAWAMA

✍🏾✍🏾👏🏽SOMO; UMEPANDIKIZIWA DHARAU NA LAWAMA ZIONDOE LAWAMA NA DHARAU TU UTAPONA.✍🏾✍🏾 Nimatumaini Yangu Wanangu Wote Mpo Salama Kabisa Basi chukua Muda uombe Mungu nipe Ufahamu nifunguliwe na SoMo Hili Maana Masomo haya yaitaji msaada wa Roho Mtakatifu ili Uelewe Tatizo lilipo na uchukue hatua Tufunue Biblia Zetu Tusome Vitabu hivi Mathayo:12;7 Luka:6;37 Warumi:9;19 Wakolosai;3;13 Waebrania;8;8 Zaburi:31;11 na 74;10-18,38;1_5 Kaa kimya Dakika Tano kabla hujaendelea kusoma SoMo Hili Kisha Rudi uendeleee                               ✍🏾✍🏾🔥🔥 UTANGULIZI🔥👏🏽👏🏽 Ushuhuda wa Mtu aliyekuwa Anapenda Kila Kitu Kulaumu akawa anaumwa presha miguu kuumwa na Kisukari Miaka MINGI hiyo Hali ilikuwa ikimte...

Somo; UMEFICHWA Ufahamu wako

✍🏾✍🏾👏🏽SOMO: UMEFICHWA UFAHAMU WAKO USIELEWE KITU 👏🏽🙏🏽🙏🏽 Chukua Biblia Yako kabla sijaendelea Tusome; Hosea;13;14 Habakuki:3;4 Isaya:48;6 Yeremia;16;17 Wakolosai:1;26 Mathayo;10;26 Tafakari kabla ujaendelea mistari Soma Kisha tulia TU kimya Dakika Tano Ufahamu wako unaenda kufunguliwa Biblia uielewe na kuitafakari.               ✍🏾✍🏾👏🏽 UTANGULIZI 👏🏽🙏🏽🙏🏽 Ushuhuda wa Mtu aliyehesabiwa haki na Mungu Akiwa katika Kufa Nikiwa Katika Huduma ya kutembea mikoani Mimi Pastor Richard nilifika Tabora wiliya ya NZEGA Taarafa Ya ITOBO nikaifikia familia moja mtu  Mmoja alikuwa mgonjwa Sana  Mungu akawa Amenituma nifike hicho Kijiji Cha Ikindwa Nilipofika pale Sauti ya Mungu ikasema ingia nyumba ile uombe Maji ya kunywa Kisha uendelee na safa...

SOMO; SAUTI YA MUNGU Sikia

✍🏾✍🏾🔥🔥SOMO; SIKIA SAUTI YA MUNGU NAFANYIA KAZI SAUTI HIYO🔥👏🏽👏🏽 Tufunue Biblia Zetu Tusome Vitabu hivi ✍🏾1Wafalme:18;23-43✍🏾1Samweli:8;7-23' 28;12-23🔥Mwanzo;3:8-17          ✍🏾✍🏾🔥 UTANGULIZI🔥🔥👏🏽👏🏽 Sauti ya Bwana au Sauti ya Mungu Ni Sauti inayokuijia kwa malengo makuu manne TU 1:Kukuonya Utaona wazo au fikira ndani yako zinakuja Kama zinakuonya na kukemea uache bila kukupa Sababu au maelezo mengi 2;Kukuongoza Utaona wazo au fikira zinakuja zikikupa mwanga Nini Ufanye na Kukuelekeza uende wapi kanisani ukaongee na Mchungaji au ufanyaje. Sauti hiyo haitakuwa na sababu au maelezo mengi. 3;Kukueleza Utasikia wazo au fikira inakuja kwa njia ya Kukuelekeza Nini Ufanye njia na madhabahu itakayokuponya au Tatizo lako Lilivyo Sauti it...

✍🏾✍🏾SOMO:PUPA

✍🏾✍🏾SOMO:PUPA(Usiwe na Pupa) Tufunue Biblia Zetu Tusome ✍🏾✍🏾Mithali;21;5 Mithali;23;18-23                    ✍🏾 UTANGULIZI✍🏾 Leo Nataka niwafungue watu wafanyao vitu kwa Pupa bila Ustaraabu wao popote pale wanapofika wanaile Hali ya kufanya vitu kabla hata wenyeji hawajawakaribisha Yeye muda Ameshapazoea Mpaka chumbani na hata katika kula hajanawa au Kuomba Yeye Ameshaanza Kula watu wapo ambao nyumbani kwao walilelewa kutokuwa na Ustaraabu katika pale wanapofika sehemu yoyote ile Mungu Watu Kama hao hafurahii Mtu Ambaye Anakula chakula Kama kinaisha au anakunywa soda Yupo ugenini Mpaka wenyeji ukiondoka unawapa Maneno yakuongea Fanya kila Jambo Kwa Ustaraabu usiwe na pupa Popote unapoenda Hii Hali itakupa heshima ya Ustaraabu Usifanye vitu ovyovyo au shaghalabagala Fanya Kitu hata mwingine anaekutazama Aseme Mto...

SOMO;TULIA

👏🏽👏🏽SOMO; TULIA (Dhambi inaua) 🌳🌳 Tufunue Vitabu hivi Tusome Kabla hatujaendeleaa na SoMo Letu Matendo;19:30-37 Yeremia;48;11 Mwanzo;1;2 Ruthu;3:18 Zaburi;51;10 Ayubu;37;17 1wathesalonike;4;11         👏🏽👏🏽 UTANGULIZI🌳🌳 Tulia Ni Neno ndogo Sana Lenye herufi Tano TU lakini limebeba mafanikio mengi FAIDA nyigi Kazi nyigi USHINDI mwingi katika maisha Yetu endapo tukilishika na Kuliishi Neno Kutulia. Kutulia hii Ni Sifa kuu ya Mungu Kutulia au Utulivu na sio kuruka ruka au Kuwa mtu wa makelele kujichaganya njia zako au katika ndoa yako Mara Upo nyumba ndogo Mara mme huyu au MKE huyu Kila mwanamke wewe MKE wako au Kila mwanaume mme wako au Mara Upo na mchumba huyu kesho mmeachana kesho Tena Upo na huyu Halafu unaaza kusema Mungu hakukusudia niwe na huyu Mungu ndio maana tumeachana Unaanza Kumwambia Mungu akupe mme au MKE. Shida sio mme au MK...

Somo: VUKÀ

🌳🌳SOMO; NJISI YA KUVUKA ULIPOSHINDWA KUVUKA✍🏾✍🏾🌳🌳🌲🌱🌱 Tufunue Biblia Tusome vitabu hivi Mathayo;14;34 Matendo:18;27 Hesabu;32;30 Torati:9;1-5 Yoshua,;3;1-17 🌳🌳🌳 UTANGULIZI🌳🌲🌱🌱 Shalom Wanangu Karibuni Neno la Mungu kwa uongozi wa ROHO MTAKATIFU Somo Linaloenda Kukuvusha Hapo ulipokwama kuvuka Hakuna mtu aliyekuja kukutoa hapo lakini Kupitia Neno TU unaenda kuvuka Yordani unaingia kanani. Naitwa Pastor Richard Ni Mwanzilishi wa makanisa ya Huduma Ya Roho Mtakatifu Tanzania (Holy Spirit Ministry Tanzania) Makao makuu Morogoro veta Dakawa Huduma hii inalenga Ukombozi na Mafundisho ya Neno la Mungu Katika uongozi wa ROHO MTAKATIFU yenye kukufungua na Kukuponya katika fikira na mawazo ya elimu ya shetani na kukupa elimu yenye uwezo wa ukiungu ndani Yako katika Kufunguliwa Kutoka kwenye matatizo Len...