Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia 2018

SOMO: HATUA ZA UCHUMBA KWA ANAETAKA AFIKE HATUA YA NDOA

Picha
🔥🔥 *SOMO:HATUA ZA UCHUMBA WA MTU ANAZOTAKIWA AZIPITIE* 🔥🤣 _DARASA LA WANANDOA_ 🔥🤣 Mwanzo;2;20-24 1wakoritho:1-13 🔥🔥MWAL: Pastor Richard 🔥🔥Mwadaaji: Pastor Richard 🔥🔥Lengo; Kuponya uchumba Usio na Msingi wa kufikia ndoa 🔥🔥Hatua za Uchumba ni nini? ni mtiririko unaotakiwa uipitie ili kufikia Hatua ya ndoa na kujenga familia bora 🔥🔥Kupitia Hatua Hizi Jipime Ujiangalie Mahusiano yako yapo wapi 🔥🔥Kuna misingi mitatu inayojenga ndoa iliyobora. 👉🏼✍🏾Hatua ya kwanza Kuwa Marafiki  yaani Boyfrd na Girlfriend 🔥✍🏾Hatua hii huwa wawili hawa wanakuwa hawajaenda kutambulishana kwa MCHUNGAJI au Wazazi wanaokuwa wanajua Marafiki Tu au wazazi wanakuwa wanasikia ✍🏾✍🏾UJUE HIYO HATUA KAMA UPO Nyie sio wachumba na nyie si watu mnaopaswa kuzini au kufanya chochote maana muda wowote kati Yenu anauwezo wa kubadili maamuzi ✍🏾✍🏾UZURI WA HATUA HII✍🏾✍🏾 1;Kufahamiana kitabia na huruka zenu 2!Kuanza kuweka malengo na mikakati ya kuingia kwenye uchumba 3!Kumjua mwezako...

USHUHUDA WA BINT ALIYEPONYWA H.I.V Baada ya Kufika kanisani kwa Pastor Richard

Picha
🔥🔥🔥MOTO🔥wa🔥YESU🔥🔥USHUHUDA WA BINT ALIYEKUWA NA H.I.V ALIYEFIKA Mwenzi wa Tatu kanisani kwa Pastor Richard MOROGORO Veta Dakawa akafunguliwa Neno Zaburi:103:1-5 Akusamehe uovu wako arudishe afya yako...akuponye maumivu yako akuepushe na kaburi...arejeshe ujana wako na sura yako ngozi yako ikanawili kama KIJANA na sio kama MTU uliyezidiwa na maradhi. Tusome Zaburi 🔥🔥🔥Huu ni 🔥Moto🔥wa🔥Yesu vile vimelea na Mapepo ya virusi yanaujua Moto wa Yesu Karibu Umsikilize Bint huyu alivyoponywa katika picha ni mhusika Anayekushuhudia ujue Mungu wetu si wa kulinganishwa 🔥🔥Habari Pastor Richard Mimi ninaitwa Radhia nipo Marangu MOSHI ninamiaka 36 Nimeteseka na H.I.V Miaka 18 Nimehangaika sana nikaenda huku na kule kutafuta UPONYAJI mpaka nilienda  nigeria south Africa Kenya Bila mafanikio niliona H.I.v Haiponi Tena maana...

Somo:PEPO ANAYEVUNJA NDOA ZA WATU NA KUHARIBU KABISA UPENDO

✍🏾✍🏾👂🏼 *SOMO:PEPO ANAYEVUNJA NDOA ZA WATU NA KUHARIBU KABISA UPENDO* 2wakoritho:10:3-6 Yeremia 13:27 ✍🏾✍🏾✍🏾✍🏾✍🏾 Lengo La Somo Kukusaindia kuelewa Adui yako Anayetumiwa Kuharibu Amani ya Ndoa yako Ugomvi ndani na kuchukiana Bila sababu ndani 👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽👂🏼👂🏼👂🏼 Holy👂🏼Spirit 👂🏼Ministry PASTOR RICHARD MOROGORO VETA DAKAWA SIMU:+255710889892 VODA +255759861768 *TUMA SMS KWA HIZI NAMBA Pastor Richard Atajibu Sms kama kuongea naye atakujulisha* ✍🏾✍🏾✍🏾✍🏾✍🏾✍🏾 Watu wengi Walishashikilia Jini MAHABA anayevunja Ndoa Hali ambayo huwa tofauti Licha ya kuwa Jini MAHABA huwa anashiriki Naye kusababisha ...

Somo Pepo ANAYESABABISHA CHUMA ULETE Au ANAYEHARIBU UCHUMI WA WATU

*SOMO :PEPO ANAYESABABISHA CHUMA ULETE Au ANAYEHARIBU UCHUMI WA WATU NAKUTESEKA* 2:Wakoritho.10:3-6 👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽 Mwalimu: Pastor Richard Morogoro Veta DAKAWA Kanisa la Holy Spirit 👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽 Simu mtumie Sms Atajibu Akiwa Na Muda unaongea naye +255759861768 Tigo +255710889892 👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽 Chuma ULETE Ni Nini? Huwa ni ile hali Mtu anapata Pesa Au Anauza Lakini Haoni Pesa zaidi ya Kuteseka Tu Sio kwamba Hapati Pesa Anapata Lakini Pesa inavyoisha hawezi kujua Hii huwa hali ya mtu Huyu Kufungwa na Pepo Hili linakuwa linachukua Pesa zake Au Mchawi anakuwa anatuma Pepo linachukua Au Mtu anakuja anachukua usimujue 👆🏽👆...

Dalili za Mtu Aliyefungwa Nafsi yake soma

*DALILI ZA ALIYEFUNGWA NAFSI* Hii huwa kazi za wachawi Kukutesa Hivi Basi Ni Vyema kusoma hapa ukaelewa Dalili zake 1: Kuota Ndoto za kukimbizwa Kutisha Kifo Kuawa. 2:Kuwasha mwili kunuka mwili kutoa harufu Isiyotokana na usafi Mtu hata ajisunguaje Bado harufu hiyo 3:KUELEMEWA na Magonjwa ya Ajabu ajabu 4:Kutembea Unakuwa unaona Kama si Wewe mwili wako KAMA UNAHIZI DALILI Fika Morogoro Veta DAKAWA mwenzi Wa Nane Utakaa siku 4 Kula utajitengemea kipindi chote uwapo hapo kwa Pastor Richard Pakulala usihagaike juu ya Huduma hii Pinga Simu YA Pastor Richard +255759861768 Kutoka Morogoro Veta DAKAWA

Somo AGANO LA UCHUMBA

[5/1, 22:38] ‪+255 755 553 249‬: Amen Mtumishi [5/1, 22:43] 🙏🏽Holy 🙏🏽Spirit 🙏🏽Ministry 🙏🏽: *SOMO: AGANO LA UCHUMBA* *Mwanzo: 2:24* 👆🏽👆🏽👆🏽👇🏽👇🏽👇🏽 KATIKA Uchumba Au Mtu anapoanzisha Uchumba Ili Uchumba wake uwe wa Kufikia Malengo Huwa Anatakiwa Bint Na Kijana watambue Kwanini wameanzisha Uchumba baina yake Na Mwandani wake Kisha waamue Kufata na Kuzingatia Maangano Au Kuwekeana Agano La Uchumba Ambalo huzingatia Mambo YAFATAYO 👇🏽👇🏽👇🏽 *KUNA AGANO LA UCHUMBA* 1: *KUTAMBULISHANA  KWA MARAFIKI* 👂🏼👂🏼Hii itamfanya Mwenzi wako atambue Mengi Maana Pale Unapowaeleza marafiki na kuyaweka wazi Humfanya Yule umpendaye Atambue Popote Alipo...

SOMO : MJAMZITO NA TENDO LA NDOA

*SOMO:MJAMZITO NA TENDO LA NDOA* Pastor Richard Darasa La Wanandoa Simu +255759861768 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽 Wakati wa ujauzito wanawake wengi hukosa hamu ya tendo la ndoa hivyo mwanaume unahitaji kuwa na mawasiliano mazuri ili mambo yaende vizuri. *Je, Mwanamke mwenye mimba anaweza kuendelea na tendo la ndoa* ? Hakuna ushahidi wa kisayansi unaothibitisha kwamba tendo la ndoa kwa mwanamke mwenye mimba ya hatua yoyote ya ujauzito inaweza kumuathiri mwanamke mwenyewe au mtoto tumboni ( fetus) Hata kama kunatokea  miscarriage bado sayansi inathibitisha kwamba chanzo huwa si sababu ya tendo la ndoa wakati mwanamke ana mimba, bali sababu zingine kabisa. Tafiti nyingi zimefanywa kwa kufuatilia wanawake ambao waliendelea na tendo la ndoa huku wakifika kileleni ( orgasm) na wale ambao hawakuwa wanafika kileleni wakati wa tendo la ndoa, na wale ambao hawakufanya kabisa tendo la ndoa muda wote wa ujauzito...

MAOMBI YA MWANAMKE BORA WA KWENYE NDOA

*MAOMBI YA MWANAMKE BORA MWANAMKE MWEMA KWENYE NDOA AOMBE HIVI. Pastor Richard Darasa La Wanandoa Simu +255759861768 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽 Mwenyezi MUNGU, Mfalme wangu uliye juu..binti yako ninashukuru kwa kunipigania mpaka muda huu. Nimepitia mengi na bado ninapitia kila aina ya majaribu lakini unazidi kuniimarisha. Wakati wanawake wengine wakilalamika, wakilia, wakikashifu na kudhihaki mimi nimechagua kukimbilia kwako. Ninapenda kukuabudu na kukutegemea wewe na sio kumtegemea binadamu! 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽 Wanawake wenzangu wengi wanahangaika na ndoa zao, wamepoteza tumaini la maisha na mahusiano, lakini mimi sitakata tamaa; nitakukimbilia wewe. 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽 Nashukuru sana kwa namna ulivyoniinua. Je ni nani kama wewe? Kila nikijitazama aina ya mwanamke ambae nimekua, sababu kubwa ni wewe. Umenifanya niwe mzuri, ninayevutia, smart na kila aina ya sifa anayotakiwa kuwa nayo noble woman! 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽 Nipe busara ya kuishi na mume, wanawake wengi tunashindwa kuangal...

MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO UNAPOANXISHA UCHUMBA

*MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO* UNAPOANZISHA DARASA LA WANANDOA Pastor Richard Simu +255759861768 👇🏽👇🏽👇🏽 1. Mwanaume kuna aina fulani ya wanawake kwa namna yoyote ile unatakiwa uwaepuke. Wanawake wanaodhani uzuri wao ni zaidi kuliko tabia zao. 👇🏽👇🏽👇🏽 2. Mwanamke Tafuta mwanaume atakaekuongoza na kumtumikia Mungu, sio yule atakaekimbilia kutaka ngono pekee. 👇🏽👇🏽👇🏽 3. Mwanaume Usimpe MIMBA mwanamke kabla hujamfanya kuwa mkeo wa halali. 👇🏽👇🏽👇🏽 4. Mwanamke usikubali MIMBA ikufanye kuwa SINGLE MOTHER, kabla ndoa haijakufanya kuwa MKE HALALI. 👇🏽👇🏽👇🏽 5. Mwanaume Unapokua na bidii ya kumtafuta Mungu kama utavyutavyo wana...

NJISI YA KUSTAWISHA UCHUMBA WAKO

*NJISI YA KUFUFUA MAHUSIANO YALIYO KUFA Au YASIYO SITAWI* Darasa La Wanandoa Pastor Richard Simu +255759861768 👇🏽👇🏽👇🏽 1.Maneno, Ya Kutiana Moyo, Kumthibitishia Unavyompenda Mtamkie, Msifie Mpenzi Wako Asikie Kutoka Kwenye Kinywa Chako, Mtanie(Angalizo:Kama Hapendi Tani Unalo Mtania, Usimtanie Ilo Tani, Maana Wengine Mnamatani Ya Ukweli). 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽 2.Vitendo, Vitendo Huzungumza Kwa Sauti Kubwa Kuliko Maneno, Mfano: Kama Mpenzi Wako Anavaa Tai Msaidie Kumvalisha, Msaidie Kumvalisha Mpenzi Wako Viatu, Akitoka Kazini Mpokee Kwa Bashasha. 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽 3.Zawadi, Zawadi Humfanya Yule Aliyepelekewa Kukumbuka/Kumkumbuka Yule Aliyempa, Hukaa Kwenye Fikra Zake, Haijalishi Ukubwa Wa Zawadi, Zawadi Zote Zina Mguso Sawa Kwa Wale Wapenda...

SOMO: CHANZO CHA MATATIZO

👆🏽👆🏽✔ *SOMO: CHANZO CHA MATATIZO KWA MWANADAMU* Yakobo:1:2-4 2Koritho:1:3-7 8-10 KUNA MAMBO YANAYO MFANYA MTU ATESEKE AU APITIE MATATIZO Ambayo humfanya mtu aishi kwa Shida na Matatizo Mbalimbali  karibu ufuguliwe katika somo hili Lengo la SOMO : Uelewe NJISI yakutoka kwenye Tatizo lako au Umsaidie mwenye Matatizo *KABLA SIJAENDELEA KUNA Jambo ambalo lazima uelewe  mtu alianza kuteseka pale tu Adamu na Hawa waliambiwa wawe waagalifu wanaweza kutumia miti yote Lakini wasitumie mti wa miujiza na mabaya na Mema. LAKINI  HAWAKUWEZA KUTII AU KUZINGATIA* KWANINI mtu huwa mgumu sana kwenye kushika anachoelekezwa chenye kuokoa maisha yake  hii huwa sababu ya kuteseka *Mwanzo:1:31 mwanzo 3* *1:MATOKEO YA DHAMBI* Hii huwa sababu inayomfanya mtu atende dhambi na akishatenda ile dhambi humfanya ajute na kupitia  katika chagamoto mbalimbali na kumpelekea mtu Awe chazo cha mateso Mambo hayo huwa ni Pamoja ya dhambi Adamu n...

SOMO : LIJUE MAANA YA JINA LAKO KATIKA SIFA YAKE

✍🏾✍🏾 *LIJUE JINA LAKO sifa  Yake *HERUFI* A Mwenye jina linaloanziana na herufi A ni mtu anayependa mambo makubwa, anajiamini na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake. Ni mtu mwenye tahadhari, mchangamfu na mpenda matukio. Anapenda Kuheshimiwa, anapenda Mamlaka, na ana kiburi, na hasira. Ni Jeuri Sana Wanaakili Pia Watu wenye SIRI sana MTU HUYU HUWA Anatumia Akili Tu Kufika Pale Atakapo USHAURI UNashauriwa mwenye Jina Kumcha Mungu na kuepuka matukio Na ugomvi Sababu huwa wagomvi wachochezi sana washudiaji vitu.   *Mwenye HERUFI B* wenye jina linaloanziana na herufi B ni mtu, mkarimu, muaminifu, na hupenda kazi. Ni Jasiri, shujaa na mkatili katika  pale anapotaka kulinda vilivyo katika himaya yake. Hapendi Adhurumiwe au Uchezee kilicho chake ni wataratibu sana na wanaofanya mambo yao kimya kimya. ✍🏾✍🏾😄Watu Hawa Hupenda Kushauriwa na kufanyia  Kazi Katika Yale Wanayoshauriwa Na Hufika mbali kimaisha...

SOMO:LIJUE MAANA YA JINA KUFANIKIWA KWAKE

👉🏽 *NJISI  YA MAJINA  KUFANIKIWA KUAZIA HERUFI A-Z* _Pastor Richard_ From MOROGORO _WENYE HERUFI A_ 1:Anashauriwa Asimamie  katika Msimamo wake Asiyumbishwe 2;Ajiamini kwa kila jambo Afanyalo 3!Awe MTU WA IBADA NA Ushirika Na MUNGU 4;AJIREKEBISHE SIFA Zisizo faa kama Kiburi ugomvi nk aache. 5;Ajichanganye na wengine asijitenge tenge 👉🏽 _WENYE HERUFI B_ 1; Ajiepushe na makundi marafiki 2; ASIMAME Katika sifa zake asifate mkumbo 3;Awe  mtetezi kwa waliodhaifu 4; Asimame Na MUNGU asimuache 5; Abadilishe Sifa  zisizofaa ajirekebishe 👉🏽 _WENYE HERUFI C_ 1;Huyu Anashauriwa Tabia ya kubadilika Badilika Waache. Wasimame na malengo yao 2;Wasivunjike Moyo wawe jasiri 3;Wamuweke MUNGU mbele waache kubabaika Mara wanarudi nyuma Mara wanasimama 4; Waheshimu Ndoto zao 👉🏽 _WENYE HERUFI D_ 1; Wanashauriwa waendelee na msimamo yao Kupenda Hali. Waepuke Ujeuri wawe watu wenye kujishus...

SOMO :HIZI NDIO NJIA UTAMJUA MWANAUME TAPELI WA MPENZI MHARIBIFU

SOMO: HIZI NDIO NJIA ZA KUMJUA MWANAUME ATAKAYEKUOA USIPOPATA SIFA HIZI UJUE HAMUOANI Bwana YESU Asiwe watoto wa MUNGU  Haya masomo nayaleta kwa Vijana wote wakae wajue  na kuepuka kupitia katika4 Machungu YA kusalitiwa katika Mapenzi Kwa sababu vijana wengi siku hizi hutumia njia ya kusema kuowa wakiwa wanataka Bint wampate wazini nae tu kisha wamzalishe au kumharibia malengo yake na mipango. Binti Yangu nimekuletea Somo hili Ambaye hujaolewa Ujue sifa ya mwanaume muoaji Anakuaje Hii ikupe ufahamu.  Usijirahisishe na kukubali kuitwa mama kabla ya kuitwa mke wa mtu. Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Kutoka Kanisa la Holy Spirit church Tanzania  nakuandalia nakala hii fupi yenye maarifa makubwa. Tunasoma Zaburi 119:9      Mithali 7:7 1.MWANAUME MWENYE LENGO LA KUKUOA ATAKUPA NAFASI YA KWANZA KWENYE MAISHA YAKE. Yaani ktk mahusiano ya uchumba tu utaanza kujiona queen. Wanaume waoaji tunafanya hivi ili ndege mzuri asirukie mti mwingine kwa hi...

SOMO ZIJUE SIKU ZA KUPATA MIMBA

*SOMO:NJISI YA KUELEWA SIKU ZA KUPATA MIMBA* Na Sababu zinazofanya Wanandoa wasizaye haraka kutokujua Elimu hii Ufunuo:12:2 Isaya 26:17 Ayubu:3:3 YAI KUPEVUKA HUA HATUA YA KWANZA KUIJU Yai la Mwanamke hupevuka siku 14 kabla ya ya siku ya bleed. Hii ni siku muhimu sana kwa wana ndoa kuijua. Siku hii yai huwa linakuwa limeshakomaa na tayari limeshatoka katika nyumba yake ya mayai (ovaries) na kuelekea katika mirija ya uzazi (fallopian tube) tayari kukutana na mbegu ya kiume. Na kumbuka mbegu za kiume huishi muda wa masaa angalau 72 kwa hiyo muda wowote ndani ya masaa 72 kabla ya yai kutoka katika ovaries mtwanamke anaweza kudungwa mimba. Mfano kama yai linatoka tarehe 13, basi ukifanya tenbdo la ndoa siku ya tarehe 13,12,11,10 zote unaweza pata mimba - kwa hiyo hizi huitwa siku za mimba (fertile days), tofautisha na siku za hatari ambazo ni kuanzia siku yai limetoka na siku kadhaa baada ya yai kutoka.  *KWA NINI BAADHI YA WANANDOA HUCHELEWA KUTUNGA MIMBA* ? Kupata mtoto...

SOMO : KUELEWA SIKU AU DALILI ZA KUKUJULISHA Upo Tayari Kupata mimba

*SOMO:NJISI YA KUELEWA SIKU ZA KUPATA MIMBA* Na Sababu zinazofanya Wanandoa wasizaye haraka kutokujua Elimu hii Ufunuo:12:2 Isaya 26:17 Ayubu:3:3 YAI KUPEVUKA HUA HATUA YA KWANZA KUIJU Yai la Mwanamke hupevuka siku 14 kabla ya ya siku ya bleed. Hii ni siku muhimu sana kwa wana ndoa kuijua. Siku hii yai huwa linakuwa limeshakomaa na tayari limeshatoka katika nyumba yake ya mayai (ovaries) na kuelekea katika mirija ya uzazi (fallopian tube) tayari kukutana na mbegu ya kiume. Na kumbuka mbegu za kiume huishi muda wa masaa angalau 72 kwa hiyo muda wowote ndani ya masaa 72 kabla ya yai kutoka katika ovaries mtwanamke anaweza kudungwa mimba. Mfano kama yai linatoka tarehe 13, basi ukifanya tenbdo la ndoa siku ya tarehe 13,12,11,10 zote unaweza pata mimba - kwa hiyo hizi huitwa siku za mimba (fertile days), tofautisha na siku za hatari ambazo ni kuanzia siku yai limetoka na siku kadhaa baada ya yai kutoka.  *KWA NINI BAADHI YA WANANDOA HUCHELEWA KUTUNGA MIMBA* ? Kupata mtoto...

SOMO : MAHUSIANO KUJUA MCHUMBA MWENYE MALENGO NAWE

*SOMO: HATUA  NZURI  ZA  KUMJUA MCHUMBA WAKO ALIYE NA LENGO NAWE* Vitabu vya Biblia tunaongozwa na Zaburi 119:9 Torati 22:23-28 Mithali 7:7 Muda au Wakati mzuri wa kumjua huyu kweli ni mchumba wangu  Hakikisha Uwe Umefata Hatua hizi za Kutunza Uchumba wenu usivunjike Asiwe mtu wa kutaka mzini Kabla ya hatua hizi mabint na wavulana hufikiri kuzini Kabla ya kutabulishana ni nzuri huwa ni dhambi kumbwa ambayo hupelekea mtu asiolewe au kuoa anakuwa anaanzisha mahusiano yake hayadumu 1: *Hatua Ya Kwanza Mtambulishe kwa Marafiki Zako* Hii huwa mmekaa miezi 4-6 Katika uhusiano bila kuzini na mkiwa mnachunguzana na kujuana mapungufu yenu 2: *Hatua ya Pili  Mtafute mtu atakayekuwa anakuongoza na kukushauri mwenye uzoefu wa mahusiano au mchungaji* Hii huwa mkishafikisha Miezi 6 YA uhusiano wenu au unaweza ukawa na Mlezi wako WA mahusiano utakayemweleza Kila kitu utakayemwamini wewe Bint au Mvulana  waweza kumwambia mchungaji au rafiki yako 3: *Hatua Ya Tatu...

SOMO NJISI YA KUHESABU MZUNGUKO WA HEDHI

  Siku za hatari za mwanamke ni zipi? Hizi ni siku ambazo mwanamke akishiriki ngono bila kutumia kinga anapata ujauzito bila wasiwasi wowote labda kama ana matatizo yanayomfanya asibebe mimba au mwanaume wake ana matatizo. Utazijuaje siku hizo? Kwanza kabisa ili ujue siku zako za hatari lazima ujue idadi ya siku za mzunguko wako. Kuna aina tatu za mzunguko.. mzunguko mrefu ambao unachukua siku 35, mzunguko mfupi unaochukua siku 25 na ule wa kawaida unaochukua siku 28 na ndio mzunguko ambao watu wengi wanao. Unajuaje mzunguko wako? Hesabu siku tangu siku ile ya kwanza uliyoona siku zako za hedhi mpaka siku moja kabla ya kuona siku zako za hedhi zinazofuata. Unashauriwa uchukue miezi mitatu mpaka sita ukihesabu ili ue na uhakika kwamba mzunguko wa tarehe zako haubadiliki, kama umeshahesabu siku za nyuma kabla ya kusoma makala hii ni vizuri pia. Mfano umeanza kuona siku zako tarehe moja mwezi wa nne alafu ziko zako zingine ukaziona tarehe 29 mwezi wa nne, chukua 29 toa 1 utapata...

SOMO :NJISI UKIMWI UNAVYOPONYWA NDANI YA Yesu

*SOMO, :KANISA NA UKIMWI* YEREMIA 32:27 Zaburi,, 103:3-4 Ukimwi ni uharibifu wa kinga mwilini Ni ugonjwa unaosababishwa na Virusi viitwavyo H. I. V human immunodeficiency virusi UKIMWI "uligudulika rasimi mwaka,, 1980/1980 Huko marekani  Florida San Francisco Mwaka, 1983 uliingia Africa ya Kati mwaka 1986" uliingia  Tanzania na mtu wa kwanza alipatikana kagera ugonjwa huu ulienea kwa kasi na kuua watu wengi UGONJWA HUU mara ya kwanza kutokana na mafundisho ya wachungaji wengi waliwaaminisha wa kristo kuwa mtu aliyeokoka anaweza asipate h. I. V KITU AMBACHO KILIWANJENGEA WENGI KUAMINI KUWA ni Pepo wapo wengine walikufa kutokana na kukatazwa wasinywe dawa au kufata Ushauri wa madokta pasipo kuelewa Dhambi huzaa magonjwa na magonjwa huleta mauti Na hii Husababishwa na dhambi ya uzinzi kwa Wanandoa au walio katika mahusiano Hali hii huwa dhambi ya kuitafuta mwenyewe  na  mtu huyu anaweza kusababisha hata mtoto kuzaliwa na tatizo hilo mtoto huwa Hana hatia kosa h...

SOMO :NJISI YA KUMSAIDIA BINT ALIYEZALIA NYUMBANI ILI IAKAOLEWE

*SOMO :NJISI YA KUMSAINDIA BINT ALIYEZAA KATIKA UZINZI NA MWANAUME ALIYEKATAA MIMBA* Yohana 8:1-11 4:6-19 Mwanzo 39:7-12 Mathayo 18:17-18 Matatizo ya Mabint wengi Kuzaa nje ya ndoa au nje imekithiri sana kwa wanaomjua MUNGU Na wanazaa na wapagani kabisa Hali ambayo Husababisha watelekezwe au kuachwa wakiwa na Mimba Hali hii huwa wote wanakuwa wameingia kwenye dhambi ya uzinzi  Au kuharibiana Malengo yao Hali ambayo husababisha Kutokuoa au kuolewa kwa kuwa mtu Mzinzi akianza kuacha huwa kazi sana Na kutokana wote wanakuwa vipofu wa kiroho  wanaweza kuendelea kutenda dhambi kwa kushauriana 1:Toa mimba 2:Kutoroshana 3:Kukimbilia Mjini ili kukwepa aibu 4:Kuwa na huruka hiyo Kila mtoto na Baba yake *JE NI DHAMBI KUZAA NJE YA NDOA Kuzaa na mwanaume ambaye hamjatambulishana na kutoleana Mahali ni dhambi* Ndio mwanaume na mwanamke huwa wanatenda dhambi na Hali hii huwafanya wasioe au kuolewa kwa kuwa humrusu Pepo wa kuvunja mahusiano kutokuelewa au kuoa kupitia uzinzi ndio...