Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi, 2022

SOMO; NGUVU YA MAOMBI YA KUFUNGA UKIWA NA SADAKA (Kujitoa)

SOMO; NGUVU YA MAOMBI YA KUFUNGA  UKIWA NA SADAKA (Kujitoa) MAOMBI NI Nini ? Maombi ni Pumzi ya mtu aliyeokoka Yeyote aliyeokoka pumzi yake ni Maombi Asipoomba lazima Afe Kiroho. SADAKA YA MAOMBI YA KUFUNGA NI NINI? Ni kujitoa kwa ulichojaliwa kwa Mungu Nakumpa Mungu Kama Alama ya kiugo cha maombi yako kuyakamilisha yawe kitu kimoja. SADAKA  YA MAOMBI  ni kiugo kikubwa kama unapouga mboga ili mtu ale chakula chako utaweka chumvi. USIPOWEKA chumvi chakula chako hakiliki. Ni mhimu kwa anayejua thamani ya kiungo na sio mhimu kwa asiyejua umhimu wa sadaka ya maombi ya kufunga huendana na Sadaka Yake. Yoeli 2:12 [12]Lakini hata sasa, asema BWANA, nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote, na kwa kufunga, na kwa kulia, na kwa kuombolea;  Therefore also now, saith the LORD, turn ye even to me with all your heart, and with fasting, and with weeping, and with mourning: MAMBO MATATU USIYOYAJUA KUPITIA  SADAKA YA KUFUNGA NA KUOMBA  1:UTAIMARISHA MWILI WAKO USITENDE DHAMBI...

SOMO: MILANGO MITANO YAKULIFANYA TATIZO LISIISHE HATA UKIOMBEWA.

SOMO: MILANGO MITANO YAKULIFANYA TATIZO LISIISHE HATA UKIOMBEWA. Karibu Tuone Malango Ya Adui anayoingilia kukutesa na kukupelekesha katika utumwa Viondoe hivi ili Upone kabisa  Kuna Watu Matatizo hayaishi au Hawafunguliwi kwa sababu Wamefanyika kuwa lango la kutokufunguliwa kupitia vitu kama hivi nilivyovitaja hapa katika somo tunaloenda kujifunza Naitwa Pastor Richard 🙌 Morogoro  🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝 1:UCHUNGU NA MAUMIVU NDANI YA MOYO. Hii huwa hali inamtokea mtu baada ya kutendewa jambo siyo nzuri au kuhisi Ameonewa  Tunamuona Essau anaingiwa na uchungu baada ya Kuona Yakobo Anabarikiwa na Baba Yake Yeye asibarikiwe. Tusome Maandiko; Mwanzo;26:35, 27:34 Isaya:38:17, Warumi:3:14,Waefeso,4:31 2:KUKATA TAMAA NA MANUG,UNIKO. Hii hali huwa ni mtu anakuwa amepoteza Tumaini Na Mungu wake hali inayomfanya mtu aanze manug,uniko. NI LANGO kubwa lakukufanya uteseke kupitia lango. Tusome: Muhubiri; 2;20 Isaya;15:5 3:KUZINI AU KUISHI MAZINGIRA YA UZINIFU. Kuzini huwa ni la...

SOMO: MAMBO YANAYOKUFANYA UWE Masikini

SOMO;MAMBO MANNE YANAYOKUFANYA UWE MASKINI. Mwal. PASTOR RICHARD  MOROGORO VETA DAKAWA  WHATSAPP +255759861768 1:WAZO LA KUJIONA UMESHINDWA. Matokeo ya ulivyo nikutokana na Wazo ulilokuwa Unawaza huko nyuma. Huwezi kuwa Tajiri wakati Unawaza Umasikini Huwezi kuolewa wakati unawaza Kuwa Singo. Zaburi 94:11 [11]BWANA anajua mawazo ya mwanadamu,  Ya kuwa ni ubatili.  The LORD knoweth the thoughts of man, that they are vanity. 2:KUCHUKIA MAFANIKIO  YA WENGINE. Hapa Tusome; Mwanzo:4:1-10 Huwezi Ukawa mtu unayechukia maendeleo Ya wegine ukifanikiwa.  3:MATUMIZI MABAYA YA KINDOGO UNACHOPATA. Huwezi Kumiliki Ukathamini Kitu Kikubwa wakati kidogo unadharau  Mfano umepata 10000  Yote inaisha usiweke skiba lazima uwe maskini. 4;JIFUNZE MAKOSA YAKO KWANINI NI WEWE  UPO HIVYO. Mtu anayetaka Kufanikiwa Lazima Ujifunze upate ujuzi juu ya unachoenda kukifanya.  HITIMISHO  Epuka umasikini Ambao Unaweza ukaepuka kupitia haya tuliojifunza WhatsApp Pas...

SOMO;MAADUI WA 5 KATIKA MAISHA YAKO

Picha
     SOMO: WAJAUE MAADUI WA 5 KATIKA                 MAISHA YAKO. JUMAPILI KANISANI  LEO ▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎ Karibu Kuna Maadui Wanne Hatari Kwenye Maisha Yetu Ambao Ni Vyema Uwajue. Naitwa Pastor Richard  Nipo Morogoro Veta Dakawa  WhatsApp +255710889892 Karibu 1:ADUI KAINI. TUNASOMA (MWANZO;4;2-25 Hawa ni Maadui Ambao Wanaojifanya wanakupenda ndani ya moyo yao wana mikakati mibaya Juu Yako. SIFA ZA WATU HAWA 1:Ni watu wanaojifanya wanakupenda kumbe wauaji. 2;Ni Watu Wanaofanya Uadui nawewe Kwa Siri ni ngumu kuwajua hivihivi. 3:Ni watu Wasiopenda wewe Ufanikiwe wanapenda wao tu wafanikiwe. 4:Wanaushauri Na Nia Ya Kukuzunguka Kipindi Ukifanikiwa ukawazidi. 5;Ni watu wanaona wivu kila uwapitapo hatua moja ya maendeleo.  6;Ni watu wanaweza kukuwekea hata sumu wakue. TUFANYE NINI KUWAEPUKA ADUI HAWA 1:Tusiwape nafasi kubwa ya kujua malengo Yetu 2;Tumuombe Mungu atuepushe nao. 2:ADUI DELILA Tusome WAAMUZI;16;1-...

USHUHUDA WA NDOA

Picha
Habari watumishi Namtukuza Mungu Kupitia Madhabahu Hii Ya Moto Wa Yesu Namuona Mungu Akitenda Toka Nimetoka Morogoro Mambo mengi yamefunguka Kupitia Masomo niliyoyasoma huko yamenifungua Sana Sana maana sikuwahi ukifundishwa hivyo Hata Leo Nashuhudia nipo Kwenye Ndoa. MUNGU amenipa ubavu wangu vifungo vimefunguka Mimi na miaka 37 Nipo Dar Huyu Pastor Richard Haombei Lakini Yeye Ukifika Huko Anakufundisha tu kupitia masomo yatakufungua kuendelea kusimama na Mungu Mfate WhatsApp Akupe Maelekezo Ya Kufika +255759861768 YUPO MKOA WA MOROGORO VETA DAKAWA  

USHUHUDA ULIONGUSA WAKULIMA WA NYANYA

Picha
USHUHUDA ULIOGUSA WAKULIMA WA NYANYA  Habari Baba  Mimi mwanao Donna Ninaishi Dar Nilifika hapo kanisani Kwako nikiwa nimekondisha mashamba nilime Nyanya Kikweli Mke Wangu ndiye Alinishauri Kabla Sijaanza Kilimo Nije Kwako Nipate Masomo Yatakayoniimarisha Kiroho na Imani Nashukuru Mungu amenipa mke anayempenda Mungu na Kila analonishauri huleta MATOKEO mazuri Baba Ansate Kwa Masomo Yako na Malezi Yako Nimemuona Mungu hali ya shamba nyanya zimekubali Kama Unavyoona Kwa Picha Nataka Niwaambie Wakulima Wezangu Tumtangulize Mungu Na Utaona Baraka. Mfate Pastor Richard WhatsApp Akupe Maelekezo Na Wewe ufike huyu mchungaji Haombei Anakufundisha Neno la Mungu hata USHUHUDA anavitu vipo kiroho vimekufunga atakuambia nakukuelekeza jinsi ya kwenda mimi Nilimjua kupitia wife namba zake Pastor +255759861768 Watumie Ushuhuda huu wegine Yupo Morogoro Veta Dakawa  Kwenye Picha ni Ushuhuda niliotendewa kupitia madhabahu ya Moto wa Yesu  TELEGRAM GROUP PASTOR RICHARD Jiuge 👇👇👇👇?...

USHUHUDA WA ANJELA

Picha
    USHUHUDA WA UNABII KUTIMIA KWA ANJELA BAADA YA PASTOR RICHARD KUMWAMBIA ATAZAA MAPACHA  Habari Pastor Richard  Pole na majukumu yakuzidi Kutufundisha wanye huhitaji Mungu Akupe nguvu mimi Ni mwanao Anjela Ninaumri wa miaka 41 Ninaishi Pwani Nilifika hapo Mwaka Jana Nikiwa na Tatizo sishiki mimba Mme wangu Uchumi Ukiwa Umeshuka Kazini akiwa anavita nilipofika ukaona Nimefungwa Kizazi Nisizae Pia mme wangu nae ukamwambia anatatizo ofsini kwake katika kiti anachokalia Ukatufundisha masomo na ukasema nitazaa mapacha Berith na Beatha Unabii ulioutamka Pastor Umetimia nimezaa mapacha Kweli Tena Wenye Afya Nzuri Na Kwa Upande Wa Mme wangu Jamani mme wangu alikuwa kila anachofanya hakisimami pia Watu atakaofanya nao kazi lazima wasimlipe lakini toka Tumetoka huko kwa huyu mchungaji alikuja kupata kazi ofsi nyigine uchumi umesimama mpaka amenunua na kiwaja  na kunifungulia duka Sifa na Utukufu kwa Mungu Wetu       ●JINSI YA KUPATA HUDUMA HII● UKITAKA U...

MAMBO 6 YANAYOFANYA MWANAMKE AKUKIMBIE

SOMO;MAMBO 6 YATAKAYOKUFANYA MKE AKUKIMBIE AU MCHUMBA AKUACHE  WANAUME Wengi huachwa na kukimbiwa na wanaume zao kwa sababu hizi karibu Naitwa Pastor Richard  1;KUKOSA UMAKINI NAE. Msichana huhitaji Umjali na umsikilize mini anaongea anataji nini  uwasiliane nae asiposikilizwa mwanamke atakuacha au usipowasiliana nae simu unazima 2;USALITI. Msichana anapoanzisha mahusiano na wewe huhitaji awe peke yake  kuaza mundo wa kuogea mara unachati na mwanamke uliyezaa nae akikuuliza unasema ananipa habari za mtoto wangu ni bora ukamchukue mtoto ukae nae au unaongea na mchumba wa zamani mwanamke atakuacha na hutampata kama huyo tena. 3:MUHESHIMU. Mwanamke afokewi au Kupingwa mwanamke Usimfokee au usimfanyie Visa vya ajabu au Usitoe Siri Zake nje au kuwaeleza rafiki zako Ukifanya hivyo mwanamke atakuacha Na atakukimbia au utapata watakaokusaidia kuishi na mkeo.  4;HISIA NAO ZA KIMAPENZI. Mwanamke hupenda uwe na hisia Naye za mapenzi anapokuitaji Tendo la ndoa Aweze kufurah...

Somo;Tabia 7 za Malaika

      SOMO: TABIA 7 ZA MALAIKA.   KARIBU KATIKA SOMO HILI UJIFUNZE KITU   KUHUSU Somo hili la Tabia Za Malaika. Naenda Kuongelea Tabia Walizonazo malaika kule mbinguni 1;Ni Watiifu. Malaika wanatabia ya utiifu hwana Neno hapana kwa Mungu au Viongozi wao kila kitu husema ndio wanachoamriwa kufanya. Tusome;Mathayo:6;10 Zaburi;103;20 2;Ni Wacha Mungu Sana. Yaani Malaika Kazi Yao Kubwa Kumcha Mungu Usiku na mchana muda wote hufanya hivyo mbinguni. Tusome;Nehemia;9;6 Filip;2;9-11 3;Ni Wenye Busara Sana. Malaika hufanya kila jambo kwa hekima busara na maarifa ya juu. 1Petro;1;12, 1wafalme;8;39 4.Ni Wanyenyekevu. Malaika Wanatabia Ya Kunyenyekea Hawachukii wala kununa wala kupigana 2Petro:2;11,Yuda.9 5.Ni Wenye Nguvu Sana. Malaika mmoja anauwezo wa kuua majeshi au malaika wa shetani 1000 Anauwezo wa kuua Taifa au nchi nzima  malaika mmoja Tu. Wananguvu kuliko kawaida. Tusome 2wafalme;19;35,Ufunuo.18:1,21 6;Ni Watakatifu Hawana Dhambi   ...

SOMO:MAMBO MATANO UYAFANYE UKITAKA MME MWEMA

MAMBO MATANO UKITAKA MME MWEMA MABINT. Mithali;3:1-10 Naitwa Pastor Richard Ninakukaribisha katika Darasa la mahusiano 1;Epuka Kuzini au Kukaa na mwanaume ambaye hajafata Taratibu au kujulikana. 2;Kuwa mtu wa ibada na manisha kuokoka asiache kanisa kwenda. 3;Jitambue na Ujituze vizuri jiepushe na watu wanaokushauri mabaya. 4:Jitengemee Kuwa na Kazi Yako inayoendesha nakukupatia mahitaji yako. 5;Usile Pesa Ya Mwanaume au Kuchukua chochote bure. MAMBO HAYA BINT YASHIKE ILI UPATE MME MWEMA

SOMO; JINSI YA KUMSAINDIA MTU MLEVI

SOMO; JINSI YA KUMSAINDIA MTU MLEVI ASINYWE POMBE Tusome;Zaburi 107:27 [27]Wayumba-yumba, wapepesuka kama mlevi, Akili zao zote zawapotea. mlevi Ni mtu anayetawaliwa na kiu ya Mpombe au Kilevi. Maana ya Kilevi; Ni kitu Chochote CHENYE nguvu yakukulewesha. KWA SABABU ZIPI ZIMEMFANYA ANYWE POMBE. Fatilia ujue chazo Ni Nini kunywa POMBE. 1;NAKUNYWA KWA SABABU NAPATA PESA. Inawezekana Anakunywa kwa Sababu Anashika Pesa Basi unatakiwa Uwe Unachukua Pesa na Kuhakiki hakai na Pesa au Kuongea naye kushikilia wewe Pesa. 2:MARAFIKI NILIONAO WANANISHAWISHI. Kwanza mwenyewe ajitambue asitembee na marafiki wasio na faida aachane nao mwenyewe. 3:NI URITHI KATIKA KIZAZI CHETU. Kama amerithi Kutoka nyuma Basi Yeye mwenyewe anatakiwa aingie ajikomboe kwenye Mizimu Yao Maombi yakujikomboa kwenye Mizimu utayapata kwenye tovoti yangu 👉🏿www.mchungajirichardi.blogspot.com 4;NAKUNYWA KAMA STAREHE au  KUPUNGUZA MSONGO WA MAWAZO. Kama huwa Anakuambia hivyo muulize hawezi...

Tangazo la Huduma

  TANGAZO 2022 Ni Mwaka Wa Masahihisho Pastor Richard Pastor Richard Ndiooo Pastor Richard Yupo Wapi Morogoro Veta Dakawa Ukitoka mizani kituo kinafhofata Amekuwa akiwafungua watu na Kuwaponya Kupitia Mafundisho ya Neno la Mungu Yeye Haombei Anafundisha Neno la Mungu Na Anakuelekeza Jinsi Ya Kujikomboa.   Mwenyewe Amepewa Kuona katika roho na kukutatulia Kupitia roho Ukifika kwa Pastor Richard utakaa siku Tatu kula utajigharamia pakulala Papo Uje na notbook Pen Na Biblia Kumuona na Kufundishwa Ni Buree Huduma zake hatozi Chochote Zaidi uje na Sadaka Yako ya Ukombozi Kiasi ulichojaliwa. Akikuuliza mtu Mwambie Pastor Richard Wa Morogoro Moto unawaka Zaidi Ya Jana Twende Tukafundishwe Neno la Mungu Tupone. Wahi mapema walete Ambao Wamefungwa nguvu ya Neno itawaponya Hana Imani ya maji au mafuta anaamini Neno la Mungu MFATE Facebook Seach Kanisa la Moto wa Yesu au Bishop Richard Tz YouTube ; Kanisa la Moto wa Yesu Tikitok;Kanisa la Moto wa Yesu WhatsApp number+2...

SOMO;JINSI YA KUMSAINDIA BINT ANAEKAA NA MWANAUME

SOMO; JINSI YA KUMSAINDIA BINT ALIYEJIOA MAANA YA BINT KUJIOA; Ni Kukaa na mwanaume ambaye hajatoa mahari. SABABU ZILIZOMFANYA BINT AKAKAE NA MWANAUME. 1:MAISHA MAGUMU NYUMBANI HATA KWAKE. Hii siyo sababu ya msingi kwa bint anayejielewa hawezi kuuza uthamani wake kwa ugumu na mapito akaanza kuzini na kujiozesha bure. Yeremia;9;20 Ulitakiwa uombe na tafuta shughuli ya kufanya. 2;ATAENDA KUTOA MAHALI ACHA NIMZALIE KWANZA. Jifunze kwa Lea au Rebeka hata Eva Wewe unawezaje kuzaa mtoto kwenye uzinifu au kwenye dhambi ambayo unaijua Sababu mpaka mwanaume unaanza kukaa naye anakuzalisha watoto hata akija kukuacha Sababu Ameshakuharibia ubint wako Maono yako. Usikubali mwenyewe kukaa na mtu asiyekutolea mahari au kuzini nae. Mwanzo;29;6 3;UMRI UMEENDA. Hii siyo sababu ya kukufanya uthamani wako na ubint wako uuze kisa umri umeenda unaamua kukaa na mtu ambaye hajakutolea mahari. Hutakiwi ujirahisishe wewe ni wa thamani. Kwa sababu Mungu amekuambia atakupa wa kufanana naye usijisu...