Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei, 2021

SOMO: YAFANYE HAYA KWENYE MAHUSIANO NAYATADUMU

SOMO; YAFANYE MAHUSIANO YAKO YADUMU KWA KUFANYA HAYA KABLA HAMJAOANA. Naitwa Pastor Richard Mwalimu wa Wanandoa Kuna Watu Wengi Wameshindwa KUIMARISHA mahusiano Yao Nakuyafanya Yasifikie kwenye ndoa Kwa Sababu Yakukosa Ufahamu wakujua haya mapema Mithali 8:10 [10]Pokea mafundisho yangu, wala si fedha,  Na maarifa kuliko dhahabu safi. ✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️ Yeremia 7:28 [28]Nawe utawaambia, Taifa hili ndilo lisilosikiliza sauti ya BWANA, Mungu wao, wala kupokea mafundisho; uaminifu umepotea, umekatiliwa mbali na vinywa vyao. ✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️πŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸŒ΄πŸŒ΄πŸŒ΄πŸŒ΄πŸŒ΄ Mwanzo  wa Mahusiano Msidanganyane(a)Mwambie mwenzi wako ukweli. (b)Mwambie yale unayopenda na usiyopenda. (c)Kuwa muwazi kwa mwenzi wako. (d)Onyesha upo tayari kuachana na mambo yote uliyokuwa umeyazoea ambayo kwa sasa yanaweza bomoa uhusiano wenu. Mfanye Mwenzako Ajisikie ni wa Muhimu (a)Tenga muda maalumu wa kuwa naye. (b)Onyesha unafurahia uwepo wake. (c)M...

SOMO: USHUHUDA

SOMO: USHUHUDA WA MUNGU Zaburi 19:7 [7]Sheria ya BWANA ni kamilifu, Huiburudisha nafsi. Ushuhuda wa BWANA ni amini, Humtia mjinga hekima. ✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️ Marko 14:55 [55]Basi wakuu wa makuhani na baraza yote wakatafuta ushuhuda juu ya Yesu wapate kumwua; wasione. ✔️✔️✔️✔️🙏🙏🙏🙏🙏✔️✔️✔️ 1 Wakorintho 1:6 [6]kama ushuhuda wa Kristo ulivyothibitika kwenu; Karibu Katika Nakala Hii Jumapili ya Tar;30/5/2021 Lengo Ujifunze Ushuhuda Ndani Yako Na Umhimu wa Wewe KUSHUHUDIA ulazima Wakumshuhudia Bwana Kwenye Maisha Yako. Naitwa Pastor Richard Kutoka Morogoro Veta Dakawa Madhabahu Ya Moto wa Yesu MAANA YA USHUHUDA;Matendo Makuu Au Ni Jambo Ambalo Mungu Amekuf...

MISINGI 10 YA UCHUMBA

SOMO: SHERIA KUMI ZA MAHUSIANO (UCHUMBA/NDOA) Mithali;9;9 ,12:1 Kuna Dada mmoja Alifika Hapa Kanisani Akiwa Amejikatia Tamaa Hawezi Kuolewa Kwa Kuwa Umri Umefika Miaka 52 Anakaa TU na Mwanaume Miezi au miaka 2 Wanamuacha Akasema Anatamani Afunguliwe awe na mme wake maisha hayo amechoka nikamuuliza Ulishawahi kuwa na Angano la uchumba Akasema Mimi siijui Kama huwa Kuna Agano la uchumba nikamuuliza Tena huwa unawezaje Kujua Huyu Ni mme na huyu Anataka anipotezee muda Kumbuka Dada miaka 52 hajaolewa Kwa Kukosa kujua Agano la uchumba Baada ya Kufundishwa Sasa hivi Ameolewa na Alishatoa Ushuhuda hapa Lengo Ni kukutazamisha unaweza Ukawa Unateseka kwa Kukosa Kujua Umhimu wa kitu.Naitwa Mwalimu wa Wanandoa Pastor Richard WhatsApp Number Pastor Richard+255759861768 Nipo Morogoro Veta Dakawa HIZI NDIO SHERI ZA KUJENGA UCHUMBA MZURI WEKA SHERIA HIZI MOYONI. 1.       MUNGU Katika Mwanzo Tu mahusiano yako Tafuta mwanamme/Mwanamke Anayemjua Mungu Na Anahofu Y...

SOMO:MAZINGIRA YA SHETANI ANAVYOMKAMATA MTU

SOMO: MAZINGIRA ANAYOTUMIA SHETANI KUKAMATA; 🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳 Vitabu Rejea: Waamuzi;16' Matendo:6;8-15, Yeremia:26:👉🏿2Nyakati:22:1-9 __________________________________________________________________ Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Kutoka Kanisa la Holy Spirit Karibu Leo Nataka Nikufungue Akili yako Inawezekana Unateseka Lakini huelewi Shetani huwa Anatumia Njia Zipi ili Akukamate Na Akutumikishe na matatizo Kupitia Hili Somo Utapona Pakubwa Sana Ambapo umeteseka miaka mingi Sana Karibu🙏🙏 MAZINGIRA maana Yake kila Kitu Kilichokuzunguka wewe. KUKAMATWA Ni kuwekwa chini ya himaya ya utumwa wa Shetani Kutembea katika Tabia Zake. 1: MAZINGIRA YA KWANZA ANAYOYATUMIA KUKAMAT...

SOMO: NGUVU YA UPENDO

SOMO: NGUVU YA UPENDO Waamuzi:16:15 1Samweli:18:22 Zaburi:18;1 YOHANA:21:15:18 UPENDO Ni kujitoa maisha Yako Kwa Ajili Ya Kitu unachokipenda. KUPENDA Ni Kukichukua Kitu Kilivyo Na Kukiweka moyoni Pasipo Kuona Mawaaa NAKUPENDA Ni Kuutoa uthamani wako maisha yako kwa Ajili Yake KWANINI TUNAPENDA 1:Ni Tabia Asili ya Kimungu ndani Yetu iliyoumbika 2:Ni Kwa Sababu Kile Tulichokipenda Kisipotee Tukilee mpaka Kufikia Ndoto Zake 3:Kwa Sababu Sisi ni Daraja La Wengine KWANINI TUKIPENDA TUMEPENDA 1:Ni Kwa Sababu Tumekikabidhi Kile Kitu Kitumiliki 2:Ni Kwa Sababu Ya UKweli na Uwazi Wetu 3:Kwa Sababu Ya Upekee wa hicho kitu KUTOTOFAUTI KATI YA UPENDO WETU NA MUNGU ANAVYOTUPENDA NDIO TOFAUTI ZAKE NI HIZI 1:Mungu Huvumilia madhaifu nakutusamehe bila kuchoka lakini Sisi huchoka 2:Upendo wa Mungu huaza Kwa Uwazi Lakini Sisi huaza kwa Kujificha. 3:Upendo wa Mungu Ni wakudumu Lakini Sisi ni Wamuda TU 4:Upendo wa Mungu hauoni Mabaya Lakini Sisi Tunaona mabaya 5:Upendo wa Mungu NI Wo...

SOMO:MADHARA YA UZAZI WA MPANGO

SOMO:MADHARA YA KUTUMIA UZAZI WA MPANGO Mithali;9;9 Naitwa Mwalimu wa Wanandoa(Pastor Richard WhatsApp number+255759861768 Watu wengi hutumia Uzazi wa MPANGO Pasipokujua au Kupewa Elimu ya Athari na MADHARA Ambayo hujitokeza Karibu ujifunze MADHARA YA SINDANO ZA KUZUIA MIMBA  (1) Usumbufu hedhi  (2) Kuumwa kichwa mara mara (3) Kizungu zungu  (4) Kichefu chefu  (5) Kuongezeka uzito usiokuwa na faida. MADHARA YA VIDONGE VYA KUZUIA MIMBA  (1) Huathiri fuko la uzazi kwa ndan  (2) Kuongeza uzito wa ute utokao katika njia ya uke ili kuzuia mimba kutunga  (3) Kuumwa kichw mara mara (4) Kupata kichefu chefu  (5) Kutopata hedhi kwa baadh ya wanawake  (6) Kubadilisha mwenendo wa dam  (7) Kuliathir ini kidogo kidogo (8) Kupata kisukari (9) Kupata ugonjwa wa moyo 10) Kupooza upande mmoja wa mwili. MADHARA YA KITANZI (1) utokaji ovyo wa damu (2)Kutoboka fuko la uzazi (3) Kuongezeka kwa upana wa uke na kuifungua lupa ...

MWANAUME AMBAYE ASIYEFAA KUKUOA

Picha
MWANAUME AMBAYE ASIYEFAA  KUKUOA NI MWENYE SIFA HIZI 1. Mwanaume Kicheche: Hakuna mwanamke anayependa kuchezewa na wanaume, labda tu kama anafanya hivyo katika juhudi zake za kujikwamua kiuchumi, lakini pale mwanamke anapokuwa katika harakati za kutafuta mwanaume ambaye kama mambo yakiwa mazuri wafunge ndoa, ni vyema akajiepusha na wanaume vicheche wanaotongoza wanawake kwa lengo la kustarehe na kumaliza matamanio yao ya ngono. wakati mwingine mwanaume mwenye tabia ya kuchezea wanawake anaweza kumfuata mwanamke ambaye ametamani mwili wake na kujifanya eti amebadilika na kuwa mtakatifu. Anaweza kujiweka katika mazingira yanayoonyesha kwamba amebadilika ili kumvuta mwanamke. Shituka mwanamke, jasiri haachi asili atakutumia kama condom na kisha kukutupilia mbali. Wanaume wenye tabia hizo ni vigumu kubadilika. Inahitaji subira ya hali ya juu kujiridhisha kama kweli amebadilika au anazuga ili apate anachokitaka. 2. Mwanaume asiye na kazi na asiyejishughulisha: Mwaume asiye na kazi...

SOMO: SIRI YA MPEZI ANAKUPENDA

Somo;$iri Za Mpenzi Anayekupenda Kweli Mithali;12:1 Watu wengi Bado Wanakuwa ngizani Katika Kujua mchumba Anayekupenda Kwa dhati Kutokana na Wengi Kukosa Elimu ya mahusiano Karibu Tena Msomaji na Mdau wa Ukurasa Huu Naitwa Mwalimu wa WANANDOA Pastor Richard 1:.Anakuheshimu na anakufanyia mambo yote kwa heshima Mchumba anayekupenda lazima ataonyesha heshima kwako hata kama kuna jambo la ajabu utakuwa umelifanya, halitamfanya akudharau bali atakurekebisha kwa kukwambia kwa heshima lakini haitakupunguzia credit za upendo kwako.   2.Mda wote uko kichwani kwake/anakuwaza wewe Mara nyingi sana hili ni jambo ambalo kama umeshakuwa kwenye mapenzi utakuwa unao uzoefu ni jinsi gani huwa una muwazaga mpenzi wako, mchumba anayekupenda kweli muda wote atakuwa anakuwaza na kama mpo mbali unaweza ukalitambua hilo kwakuwa atakuwa anakutumia sms, kukupigia simu, anakujulia hali kila wakati hata kama mkiwa mnafanya kazi sehemu moja basi atakuwa anapenda sana kukuona na kukufwata k...

VIASHIRIA VYA MAJINI MWILINI

VIASHIRIA NA DALILI ZA MTU MWENYE MAJINI NDANI YA MWILI WAKE HIZI ZISOME Unapoziona Dalili Hizi ujue Jeshi unalopaswa ulipige Jeshi la Majini Mstari wa MaombiπŸ‘‰πŸΏ2 Wakorintho 10:2-6 [5]tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo; (1)            kizunguzungu. (2)            vitu kutembea tumboni. (3)            vicheza mwilini. (4)            kichwa kuuma mara kwa mara. (5)            kuhisi mtu anatembea nyuma yako. (6)            kupiga miayo sana. (7)           ...

VIASHIRIA VYA MAJINI MWILINI

VIASHIRIA NA DALILI ZA MTU MWENYE MAJINI NDANI YA MWILI WAKE HIZI ZISOME Unapoziona Dalili Hizi ujue Jeshi unalopaswa ulipige Jeshi la Majini Mstari wa Maombi (1)            kizunguzungu. (2)            vitu kutembea tumboni. (3)            vicheza mwilini. (4)            kichwa kuuma mara kwa mara. (5)            kuhisi mtu anatembea nyuma yako. (6)            kupiga miayo sana. (7)            macho kukosa aibu. (8)            hasira za mara kwa mara. (9)    ...

SOMO: MADHABAHU

   MADHABAHU Ni Nini? Vitabu;Isaya:17:8 Kutoka:32:5    👉🏼👉🏼Madhabahu Ni mahusiano Kati yako na Mungu au Shetani 👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿 Mathayo 23:19-21 [19]Vipofu ninyi; maana ni ipi iliyo kubwa, ile sadaka, au ile madhabahu iitakasayo sadaka? [20]Basi yeye aapaye kwa madhabahu, huapa kwa hiyo, na kwa vitu vyote vilivyo juu yake. [21]Naye aa...

ISHARA NA VIASHIRIA VINAVYOKUJULISHA MWANAMKE ANAKUPENDA

VIASHIRIA NA DALILI ZINAZOKUJULISHA MWANAMKE ANAKUPENDA KIMAPENZI YUPO TAYARI KUWA NA WEWE. Karibuni wanaume mliopo Singo mnaotamani Kujifunza au Kujua Mwanamke uliye nae Anakupenda Kweli Anakupitezea muda TU. Naitwa Mwalimu wa Wanandoa Pastor Richard 1:ATAKUTUMIA SMS NA UKIMJIBU ATAENDELEZA CHATINI Atakupingia Simu Mara Kwa Mara Kukujulia Hali au kukutumia sms fupi Kama Hi.Mambo,Upo wapi nk Utaona TU Ukaribu Wenu mkikaa atatamani Akuguse au Umguse Atakuuliza maswali unamchumba unamke unapenda mwanamke wa Aje. Mwanamke anayekupenda hufurahia chatini Au uogee naye asikiye Sauti Yako tu Kwake Kupita Siku ujamjibu sms ataona Kama humpendi Kabisa. UKIONA haya Ujue Unapendwa. 2:MWANAMKE ANAEKUPENDA HUWA ANAPENDA KUTABASAMU NA KUFURAHISHWA NA VITUKO VYAKO UTANI UTANI. Utaona tu ukifanya Jambo lolote atacheka Hata Ukifanya Jambo halichekeshi Peke Yake atatabasamu nakufurahi. Utaona hata wengine wanakuponda Yeye atakusifia Kiukweli mwanamke Anayekupenda hutabasamu nakufurahi akikuona. ...

ISHARA NA VIASHIRIA VYA KUJUA MWANAUME ANAKUPENDA HAKUDAGANYI

VIASHIRIA NA DALILI ZINAZOKUJULISHA MWANAUME ANAKUPENDA KUTOKA MOYONI Naitwa Mwalimu wa Wanandoa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa WhatsApp number Pastor Richard+255759861768 Waefeso;5;23,33 HII MAALUMU KWA WANAWAKE TU 1:ATAKUPA NAFASI KWENYE MOYO WAKE ATAKUPENDA. Utaona TU hata bila kutengemea amekupigia Simu Amekutumia Sms Amekuja nyumbani Kwenu Amekuletea Zawadi Utaona hata Mienendo Yake atabadilika Mazungumzo Yake utayafurahia ukiongea nae kwenye Simu utatamani Asizime. 2:ANAKUPA MANENO YA KUKUTIA HATAPENDA UPOTEZE FURAHA. Kwakuwa anakupenda atafanya njia zote ili ahakikishe unacheka au unatabasamu Furaha Yake atahakikisha wewe unafuraha na sio huzuni atakapokuona upo katika Kipindi kigumu atakutia moyo nakukupa nguvu ya Kusimama Tena Ujue Huyu Ni mwanaume Sahihi 3:ATAWAPENDA NDUGU ZAKO KAMA NDUGU ZAKE. Kwa Kuwa Amekupenda Wewe ATAWAPENDA na Ndugu Zako na watoto wako atawapenda Ukiona hii ujue Anakupenda 4:ATAKUFUNDISHA NA KUKUONYA VITU AMBAVYO NI HATARI Ataha...

MASWALI MAZURI YA KUMUULIZA MPENZI WAKO

MASWALI MAZURI YA KUMUULIZA MPENZI WAKO Kabla hujaingia Kwenye Urafiki Na Mtu Yeyote hakikisha unajua Sifa anazozitaka unazo Maono uliyo nayo wewe na mwezako Yupo hivyo Jinsi Anavyompenda nae anakupenda Tengeneza maswali haya muulize Mkiwa Katika Mazungumzo Yenu. Karibu Naitwa Mwalimu wa Wanandoa Pastor Richard 1 . NI KITU GANI AMBACHO UNAJUTIA SANA KUKIFANYA NA KAMWE HUWEZI KURUDIA TENA KUKIFANYA? 2.NI TABIA GANI UNAYO INAYO KUKERA HATA WEWE MWENYEWE? 3.RAFIKI YAKO MPENZI NI NANI? 4.KATIKA MAISHA YAKO NI KITU GANI UNAKIOGOPA SANA? 6.KUMBU KUMBU GANI ZA UTOTONI HUWA ZINAKUFURAHISHA SANA UKIKUMBUKA? 7.UNAPENDA MPENZI WAKO AWE NA SIFA GANI? 8.KITU GANI UNAPENDA KUKITIMIZA KWANZA KABLA SIKU ZAKO ZA KUISHI DUNIANI HAZIJAISHA? 9.UMESHAWAHI KUJIUSISHA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA AU UNATAMANI SIKU MOJA KUJA KUJIHUSISHA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA? 10.ENDAPO NIKIAMUA KUKUBUSU NI KITU GANI KINGINE UNGEPENDA NIKUFANYIE HUKU NIKIWA NAKUBUSU? 11.SEHEMU GANI UKIGUSWA UNAPATA MSISIMKO SANA? ...

UFAFANUZI WA NEBO YA KANISA LA HOLY SPIRIT

UFAFANUZI WA NEBO YA KANISA LA HOLY SPIRIT 1:Rangi Nyeusi👉🏿Ni Watu waliofungwa na ufalme wa ngiza na wasijielewe Wala Kupata Ufahamu kuwa Wameufungwa 2:Rangi Nyeupe👉🏿Watu Hawa wameaza Kupata ufahamu Na wanaanza kuifata Huduma hii ya Roho Mtakatifu nakujiuga nayo 3:Rangi ya Njano👉🏿Ni Watu Hawa Wanapokea nguvu ya Roho Mtakatifu Yenye Asili ya mabadiliko ndani Yao inayoanza Kuwabadilisha Katika Tabia za Asili nakuwapa Uweza. 4:Rangi ya Kahawia👉🏿Watu Wanafurahia Mabadiliko ya Kiroho na Kimwili wanayoyapata Baada ya Kufundishwa Neno la Mungu. 5:Watu Wanaoneka kwa mbali👉🏿Ni Watu waliotoka kwenye mateso Vifungo wakiipokea Huduma ya Roho Mtakatifu 6:Njiwa 👉🏿Inamaanisha Asili ya Huduma Ni Roho Mtakatifu Ambaye huwabadilisha Fikira zao na Mawazo Yao kuwapa hofu ya Dhambi. MOTTO; Moto wa Yesu Ukawake Kila Kona Zaidi Ya Jana