Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Novemba, 2020

SOMO;SI KILA TATIZO LITATOKA KWA MAOMBI

🥦S0MO : 🙋SIO TATIZO LITATOKA KWA MAOMBI.🥦 Tufunue Biblia Zetu;Mithali:12;1-4;Hosea;4;6;Warumi;10:2 Mithali:Mlango 8: 10 Pokea mafundisho yangu, wala si fedha,Na maarifa kuliko dhahabu safi. Isaya: Mlango 33:6 Nyakati zako zitakuwa nyakati za kukaa imara; za wokovu tele na hekima na maarifa; kumcha BWANA ni hazina yake ya akiba.✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼 KARIBUNIKATIKA MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU LEO HII JUMAPILI YA Tarehe 29/11/2020 Nataka Niseme na Mtu mmoja TU Ambae Amekuwa Akinifatilia Amekata Tamaa Kuligana Nakuombewa nakuhagaika Tatizo lake Bila mafanikio.  SI KILA TATIZO LINALOKUSUMBUA LAITAJI MAOMBI Ni Somo lenye Ufahamu na Maarifa ya Kukusaidia wewe Kama Mtoto wa Mungu namna ya Kutatua Changamoto Ambazo Zinakutesa Mimi Ni Mtumishi wa Bwana Yesu Pastor Richard NIPO MOROGORO VETA DAKAWA WhatsApp number+255759861768 Kwa msaada we Kiroho Piga Jioni saa12;00 NINI MAANA YA SIO KILA TATIZO LITATOKA KWA MAOMBI? Ni kukanusha Usemi wa Kutengemea Kuvuka Changa...

SOMO; KUKATA TAMAA

SOMO: KUKATA TAMAA INACHELEWESHA MAJIBU  ULIOMBA Tufunue:Ayubu;13;19 Isaya:15:5 Muhubiri:2:20 Naitwa Bishop Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Simu+255759861768 kuongea nae Jioni saa 12 00 Kukata Tamaa huwa Ni Asili Ya Shetani Moja ya Silaha anazozitumia Kumnasa mtu aliyekosa Ujasiri wa Kiimani. Shetani huadaa mazingira ya Upizani mbele yako ili Ifikie hatua Useme MUNGU AMENIACHA MIMI HIVI. kumbe kiukweli Hali hii Mapepo Majini wachawi na waganga humpiga mtu kiroho kwa Siraha Kuu Tatu 1;Hasira 2;Hofu 3:Kukata Tamaa UKIWEZA TU KUMPIGA shetani KWA SIRAHA HIZI 1:Hasira wewe Panda Upendo tu. 2:Hofu wewe Tumia Siraha ya Imani moyo JASIRI 3:Kukata Tamaa wewe Panda mataranjio au Matumaini utapata. UTAKUWA MSHINDI UKISIMAMA HIVYO TU TOFAUTI NA WEWE KUTENGUA SIRAHA ZA SHETANI ATAKUTESA NAKUIMBA HAKI YAKO. KUKATA TAMAA Ni Kukosa Ujasiri wa Kuendelea.. Muhubiri : Mlango 2; 20 Kwa hiyo nikageuka kukata tamaa moyoni mwangu juu ya kazi yangu yote niliyojishughulisha nayo chini ya jua....

MOYO ULIOKOSA UJASIRI WA MAOMBI

SOMO:MOYO ULIOKOSA UJASIRI WA MAOMBI. Mathayo:5:8 Mathayo:6;21 Matendo:8:21 Mithali:23:17 Naitwa Bishop Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa. Muda wa Kuongea Na Bishop Richard jioni Saa 12:00 Simu+255759861768 MOYO ULIOKOSA UJASIRI WA KUOMBA: huwa Ni moyo uliozungukwa na majukumu mbalimbali ya Kimwili moyo ulioelemewa na Dhambi . Watu wanaoteswa na huu moyo huwa Ni ngumu wao kusema moyo wao uwaongoze kuomba hauna hiyo tabia au UJASIRI utamkuta mtu Huyu akitaka kuomba TU huu moyo utamkumbusha majukumu ya Kimwili Ambayo anapaswa ayafanye kwa hiyo nguvu ya uwepo inatoweka UJASIRI unatoka Moyo huu humkosesha mtu MAJIBU yake. MOYO HUU HUWA MTU UNAMFANYA HIVI FATILIA UJUE HUU MOYO ULIOKOSA UJASIRI WA KUOMBA. 1:Huu Moyo Humkumbusha mtu Dhambi au Kumhamasisha Afikirie Dhambi. Utamkuta mtu Yupo katika Maombi Unafikiri anaomba kumbe Anadaiwa au Kuna Mchumba wake kanisani baadala Aelekeze akili yake Maombi atawaza wale anaowadai au Mchumba wake Yupo Kanisani na Kama ameingia Kanisani Jana al...

MAOMBI YA KUJIKOMBOA KUTOKA KWENYE UPOFU

JINSI YA KUJIKOMBOA KUTOKA KWENYE UPOFU WA KIROHO NAKUAZA KUONA NJIA YA KUFIKIA MAFANIKIO YAKO AU HUDUMA YAKO. Naitwa Bishop Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Maombi Haya nayokufundisha unatakiwa uombee macho yako ya damu na Nyama yaweze kuona mwelekeo wa Maisha yako Kuona Mlango wako wa Baraka.Ukitaka Kuongea nami kwa msaada piga Saa 12;00Jioni simu za Bishop Richard+255759861768 Marko:Mlango 10 🥦🥦Huu mstari wa kusimamia; 51 Yesu akamjibu, akamwambia, Wataka nikufanyie nini? Yule kipofu akamwambia, Mwalimu wangu, nataka nipate kuona ✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍🏼✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️ MAMBO HAYA ZINGATIA UNAPOOMBA USIOMBE BILA MAELEKEZO HAYA. 1:Maombi ya omba ukitamka Nafuta macho upofu kwa Damu ya Yesu. 2:Unapoomba Onesha ishara macho yako unafuta kitu ukiwa unayapapasa macho yako. 3:Kisha yaombee macho yako Yawe na Nguvu ya Kuharibu kazi za shetani wachawi wasikutazame mapepo yasisimame mbele yako 4:Tamka maneno na uyatoe maneno kwa kuamrisha Unapoomba. 5;Omba Ukiwa Umesimama au unate...

NDOTO 20 ZA KUTISHA ZIJUE MAANA YAKD

#NDOTO ZA KUTISHA ZIJUE MAANA YAKE: Tufunue Biblia:AYUBU:33:14-15 Mathayo:2:12-13 Matendo:2;17 NDOTO ZA KUTISHA huwa zinaoparetiwa na majeshi ya Shetani na hulenga kumjulisha mhusika majeshi hayo yalivyomfunga Alipo na Anafanya Nini kazi ngani wanamtumikisha nazo. mtu Huyu huhitaji akombolewe au ajue tu Maana ya ndoto hiyo na aombe kukemea hizo roho.Naitwa Pastor Richard Muda wa Kuogea nami jioni Saa 12:00 Jioni WhatsApp+255759861768 Tovoti👉:www.mchungajirichardi.blogspot.com HIZI NI NDOTO ZA KUTISHA NA MAANA YAKE 1:Ndoto Ukiota Unakimbizwa na watu wanamapaga✍️Unajulishwa Shetani anakutuhumu unakosa anakuadalia Tuhuma kwenye ofisi yako kazi yako Uombe ukemee. 2:Ukiota Upo ndani au umejificha Watu wanakutafuta hawakuoni✍️ Unajulishwa Umeshinda Adui zako katika roho. 3;Ukiota Upo Unaua au Unafyekwa Panga✍️ Unajulishwa Umekufa kiroho kila Kitu Kitakuwa kinakufa. 4:Ukiota umedumbukia shimoni au matope umezama✍️ Unajulishwa ...

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

NDOTO ZA SHULENI ZIJUE MAANA YAKE. AYUBU:33;14-15 Mathayo:2:12-13 Matendo:2;17 Mwanzo:41:1-32 NDOTO✍️Ni Taarifa inayomlenga muotaji Ikimjulisha Yaliyopo Katika maisha Yake au Yanayokuja Katika Maisha Yake au Yalishapita Katika maisha Yake. NDOTO Huoparetiwa au Kuendeshwa Na Mungu mwenyewe au Shetani Hawa hukufanya uote mtu asiyeota ndoto au Kukosa Maono hawezi Kufika Anakoenda au hawezi kuijua njia.✍️ Masomo haya yapo WhatsApp+255759861768 Youtube✍️https://youtu.be/0z6oPMGtVyY ✍️ Ukiigia Subscribe Utakuwa umejiuga YouTube ✍️✍️Pia Website: www.mchungajirichardi.blogspot.com KARIBUNI TUJUE MAANA YA NDOTO ZA SHULENI. 1:Ukiota Upo mazingira ya shule msingi na Unifom✍️ Unajulishwa Umefungwa Usifanikiwe waitajika uombe kukemea 2:Ukiota Upo shuleni unamwagilia mimea✍️ Unajulishwa Watu Utakuwa unawafanya wanafanikiwa kwa ulicho nacho wewe hutafanikiwa. 3;Ukiota Upo Palendi(Mstarini...

JINSI YA KUOMBA KUSHUGHULIKIA ROHO YA TAMAA

JINSI YA KUOMBA KUSHUGHULIKIA ROHO YA KUTAMANI MABAYA(TAMAA) Karibu Katika Maombi Ya Kushugulikia roho ya Tamaa inayozidi kukutesa na imeharibu maisha yako njia Zako uaminifu. 👉🏿 MSTARI WA KUSIMAMIA Warumi : Mlango 1 24 Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao. Naitwa Pastor Richard Kanisa la Roho Mtakatifu WhatsApp+255759861768 Morogoro Veta dakawa ✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️ MAELEKEZO YA KUFATA UNAPOOMBA. 1:Ombea hiyo Dhambi inayokufanya uitende kupitia Tamaa. 2:Chukua DAKIKA 45 TU zikishakamilika Stop Maombi haya. 3:Unaomba Kwa Unyenyekevu Katika Stayle ya Kupiga magoti. 4:Omba Kwa Kutamka Tamaa inayokutenga na Mungu MAOMBI YAOMBE HIVI Ansate Yesu Kwa Kunipa Ufahamu Huu nakuniona mwanao napotea katika D...

MAOMBI YA KUJIONDOA NA MIZIMU

🏌️🏇🤰JINSI YA KUOMBA KUJIKOMBOA KWENYE ROHO ZA MIZIMU🏇🗣️🧗 Karibuni Katika Maombi Haya  na maelelezo yakuomba Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta dakawa Simu Piga Jioni Saa 12:00 Jioni Kwa Msaada Zaidi WhatsApp+255759861768👉🏿👉🏿 YouTube 👉🏿https://youtu.be/NCJuVrn7MJk MSTARI WA KUSIMAMIA AU NENO LA KUDAI HAKI YAKO Wagalatia : 6: 5 Maana kila mtu atalichukua furushi lake mwenyewe UFAFANUZI WA MAOMBI HAYA HASA NENO👉🏿MIZIMU  Mizimu Ni Nini,,?Ni Roho za Ukoo Inayoishi na mtu ndani Yake kwa uhalali ya kudai ukoo wake inaanza Kupata nguvu Kutoka kizazi Cha nne ukihesabu Kutoka ulipo Mfano:Richard Ni mimi👉🏿Julius Ni Baba👉🏿Linda Ni Baby👉🏿Kushoka Ni Ukoo wangu. Huyu Jinsi Alivyokuwa yeye huweza kumwigia kila mwanaukoo wake nakudai aishi nakuhagaika Kama hii roho itakavyo Huyu Kama alikuwa chifu lazima kwenu watapatikana viongozi Kama alikuwa mganga lazima kwenu watapatikana waganga Kama kwenu huwa mnakufa kwa ugonjwa Fulani itafata ukoo.Maisha Yoyote yanayof...

IJUE NDOTO YAKO

🥦🥦IJUE NDOTO YAKO INAMAANA GANI?🥦🥦 🛌🛌🛌🛌🛌🛌🛌🛌🛌🛌🛌🛌🛌🛌🛌🛌🛌🛌 Karibuni Katika Kipindi Kinachokupa Maarifa na Kujua ndoto yako inakujulisha Nini na unatakiwa ufanye. Naitwa Pastor Richard Naishi Morogoro Veta dakawa Kanisa la Roho Mtakafu Simu piga jioni Saa 12 00Jioni Namba+255759861768 💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪 Tufunue Biblia Zetu:👥Ayubu:33;14-15 Mwanzo:37;10-20 Matendo:2:17 👉🏿MAANA YA NDOTO NI Taarifa Ambayo mhusika aliyeota hupewa na Mungu au Shetani KUPITIA majeshi Yake ya majini,ma...

NDOTO 105 NA MAANA ZAKE

NDOTO 105 NA MAANA YAKE Ndoto huwa Ni Taarifa juu ya mhusika anaeota Kutoka Katika Biblia;Ayubu:33;14-15 Dilili kutoka katika Qur'an 49:12 يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اجْتَنِبُوا كَثِيرًا مِّنَ الظَّنِّ إِنَّ بَعْضَ الظَّنِّ إِثْمٌ وَلا تَجَسَّسُوا وَلا يَغْتَب بَّعْضُكُم ...

NDOTO 105 NA MAANA ZAKE

NDOTO 105 NA MAANA YAKE Ndoto huwa Ni Taarifa juu ya mhusika anaeota Kutoka Katika Biblia;Ayubu:33;14-15 Dilili kutoka katika Qur'an 49:12 يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اجْتَنِبُوا كَثِيرًا مِّنَ الظَّنِّ إِنَّ بَعْضَ الظَّنِّ إِثْمٌ وَلا تَجَسَّسُوا وَلا يَغْتَب بَّعْضُكُم ...

MAOMBI YA KUPATANA NA MUNGU

JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA KUJIPATANISHA NA MUNGU 🅰️🅰️🅰️🅰️🅰️🅰️🅰️🅰️🅰️🅰️🅰️🅰️🅰️🅰️🅰️🅰️🅰️🅰️🅰️ Hatua Za Kuzingatia 1:Moyo wako uugue nafsi yako ilie Kinywa Chako Kinene Kwa uchungu. 2:Omba Ukiwa Umesimama au Umepiga magoti Kanisani au chumbani. 3:Omba maneno uyatoe yasikike yakitoka kwa uchungu 4:Baada ya Kumaliza mshukuru Mungu kwa kupigapiga makofi ukisema Ansate Sana Baba. Mathayo : Mlango 20 2 Naye alipokwisha kupatana na wakulima kuwapa kutwa dinari, aliwapeleka katika shamba lake la mizabibu. 🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦 Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta dakawa Simu Kupiga jioni Saa 12 00 Namba+255759861768 Bwana Yesu Nasimama mbele Zako Mimi Mwanao Richard Moyo wangu unaugua Kwako unashauku nawewe Baba Yangu Nafsi Yangu inalia inalia inasema Baba mbona umeniacha Mimi Mwanao Agalia Nateseka Agalia Nadharaulika Nayaleta mashika haya Kwako Baba Yangu Nasimama Mimi Mtoto wako unanijua Vyema Kuliko ninavyojielewa unajua mifupa ya mwili wangu unaju...

SOMO:YAJUE HAYA UNAPOTAKA UFIKE MBALI

SOMO : YAJUE  HAYA UNAPOTAKA UFIKE MBALI KIMAISHA. Kutoka:3:1,18:1-7 Matendo:7:22 Zaburi:68;6 Mathayo:3;9-17 na sura ya 4 Mwanzo:12 🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦 UTANGULIZI Hatua Zinakufanya ufike pale unapoenda Kukaa chini nakujikstia Tamaa Inakufanya Usifike Lakini Waitaji Ujifunze Kwanini Hutembei Upo pale pale ujiulize Kwanini Shetani mapepo wachawi na magonjwa yanazidi kwako hayaishi Kwanini Mwaka unaisha au Umeshindwa kuendelea na Masomo. Basi Katika Somo Hili Litakupa muogozo mzuri wa Kiroho utakao kufanya ufike mbali. Naitwa Pastor Richard Napatikana Morogoro Veta Dakawa Simu za Kuogea na Pastor+255759861768 Tafuta MAKUNDI haya au Watu wa Sifa HIZI Utembee nao katika maisha au Safari yako ya mafanikio 1:UTAFUTE WAL...

DALILI ZA MTU ANAETESWA NA DHAMBI YA WIZI WA FUNGU LA KUMI

HIZI NDIZO DALILI KUU ZA MTU ANAETESWA NA DHAMBI YA WIZI WA FUNGU LA KUMI. Naitwa Pastor Richard Ninakukaribisha kujifunza nakujua viashilia vinavyokujulisha Mungu Umekosana nae KUPITIA Kukosa Uaminifu wa Kutoa Fungu la kumi MALAKI:3;10 1:Huingia roho ya kudhulumiwa au Kutapeliwa utakumbwa na matukio ya hivi. 2:Biashara mtaji wako utakufa au utaona Biashara  huuzi Hata Mia ujue Fungu la kumi 3:Utakopa madeni utashindwa kuyalipa na madeni yatakuzidi Kwa Kuwa hujui unatakiwa uaze kutoa Fungu la kumi utaombewa madeni hayataisha Hata nafuu hutaona. 4:Utakumbwa na kuuguza watoto wazazi pesa zako zote zitaishia kuuguza. 5;Kila utakalo Sema ulifanye utalifanya katika Makosa yaani utapatwa na HASARA.. 6;Utafukuzwa Kazi Utashushwa cheo chako 7;Utakosa Kibali mbele za Mungu na Kwa Wanadamu. 8:Hautapata ulizi wa kazi yako utaona Mambo kwenye kazi Yako yanaharibika 9:Utachangia kuua kanisa au Huduma kwa sababu KUPITIA Fungu Lako huifanya kanisa lijijjenge KUPITIA kikumi 10;Uaminifu...