SOMO: MAOMBI YA KUVUNJA PATANO (AGANO) LA WACHUMBA WA ZAMANI
SOMO; MAOMBI YA KUVUNJA PATANO (AGANO) LA WACHUMBA(MARAFIKI) WAZAMANI. 🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴 Kuna watu walijiugamanisha Katika maagano ya Wanadamu nayo yamedhibitika Kwao Sasa hivi wanateseka Na hao wapenzi wao wa Zamani Hawaolewi au Kuowa Wengine Wameshindwa Kuwasahau Kabisa Akilini mwao wengine misimamo ya kuwaacha hata kama wao wamewaacha wao mioyo haikubaliani kabisa sababu ni lile Patano Ambao waliliweka Wakati nipo ofisini Kwangu nasikia Sauti wafungue watu wangu kutoka kwenye maagano yao ya kibinadamu kwa wachumba wao maana yanawazuia nisitende kwao. 🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉 Ipo hivi Agano huwa ni Patano yaani makubaliano linodhibitishwa na Mungu kuwa hai. 👇👇👇👇 TUREJEE MAANDIKO 👇👇👇👇👇👇👇 2 Wakorintho 3:14 ,17 [14]ila fikira zao zilitiwa uzito. Kwa maana hata leo hivi, wakati lisomwapo Agano la Kale, utaji uo huo wakaa; yaani, haikufunuliwa kwamba huondolewa katika Kristo; [17]Basi “Bwana” ndiye Roho; walakini alipo Roho wa Bwana, hapo ndipo penye uhuru. 👇👇👇👇...