Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia 2022

SOMO:HATUWEZI KUTIMIZA WITO

SOMO; KIONGOZI BORA KATIKA KAZI YA MUNGU.          《☆UTANGULIZI ☆》 Naotwa: Bishop Richard  Nipo Morogoro Veta  WhatsApp +255759861768 Karibuni Katika Somo hili Linalenga Uongozi ndani ya Kanisa la Kristo Ili Kulijenga Kanisa Katika Misingi bora ya uongozi Mungu ameweka ujumbe huu ili ujifunze Fatana nami katika Somo hili mpaka mwisho......... Kiongozi Bora= Ni Mtu Aliyeitwa  na Mungu  ili kuwafanya  au Kushawishi watu wa Mungu Kulitimiza Kusudi la Mungu  Kimungu na Kwa  Wakati wa Mungu. Ubora wa kiongozi katika kazi ya Mungu upo kwenye yafatayo; a)Mwitaji =Kujua aliyekuita na kwanini akuite wewe kati ya watu wengi. b)Mtu aliyeitwa= Kujitambua kama wewe ndiye uliyeitwa  kati yao walio wengi.  c)Ushawishi wako=Unanguvu ngani ya kushawishi watu na unakubalika kwa watu wako au hawakukubali lazima ukubalike kwa unaowatumikia. d)Namna Ya Kulitimiza Kusudi uliloitiwa=Ni vyema uweke mikakati ya malengo kulitimiza kusudi lako ...

SOMO; BABA WA KIROHO

SOMO; MFAHAMU BABA WA KIROHO                        UTANGULIZI  Naitwa Bishop Richard  Nipo Morogoro Veta Dakawa  Nakukaribisha ufatane nami hapa. Baba wa Kiroho Siyo Anayekuongoza Sala Ya Toba Au Kukuombea Ukapona huyo ndiyo baba wa kiroho hapana. Baba wa kiroho ni Yule Uliyeikumbali injili yake au mafundisho yake ukaamua uaze kufatilia na kusoma mafundisho au injili yake na yale masomo yakakujenga kiimani nakukomboa Fikira na Ufahamu wako ukaamua utembee na Mungu huyo ndiye huitwa mzazi wa kiroho sababu anakulisha kiroho nakukuza kiroho. ___________________________           🍇Tufunue Vitabu🍇  Luka;10;30_37 1wakoritho;4;15 ,2wafalme.22;2-20 1Nyakati;24;2-31, Mithali;15;2-20,Mathayo;10:20-37             .."Baba Wa Kiroho Ni nani? Baba wa Kiroho ni Yule anayekuzaa Kiinjili ya Kristo Yesu Kiroho na Kimwili Anakufundisha na kukuongoza namna yakuishi maish...

SOMO:SADAKA YA KUTEKETEZWA

SOMO: NGUVU YA SADAKA YA KUTEKETEZWA  Tufunue Vitabu; Mwanzo;22;2_13 Kutoka;29;18-42, 1SAMWELI;13:5-15          UTANGULIZI  Hii ni Sadaka inayotolewa na mtu mmoja mmoja haitolewi kwa kikundi au kifamilia Inapotolewa mtu huyu anakuwa na tatizo lilomshikilia miaka mingi Ameombewa Sana Ametoa Fungu la Kumi hiyo hali haijamtoka hupaswa atoe Sadaka ya Kuteketezwa katika madhabahu yake nakupewa muongozo wa kuiombea hiyo Sadaka. MAANA YA SADAKA  YA KUTEKETEZWA= Ni Sadaka inayoenda kuteketeza maangano miungu na magonjwa na uharibifu ambao mwilini au katika maisha yako Ulifanyika. Mfano:1 Mungu alipoona watu wanazidi kutenda dhambi na kila mtu yupo na mawazo ya dhambi aliamua atoe Sadaka akamtoa mwanae Yohana:3:16 Hali iliyokuja kuleta upatanisho na Mwanadamu. Mfano:2 Elia alipoona Miungu ya Baahari imetawala kwenye taifa lake na eneo lake alitoa sadaka ya kuteketezwa akauwa miungu yote nataifa likamjua Mungu 1Wafalme:18;20-46 UMHIMU WA SADAKA YA KUTEKETEZ...

SOMO:WITO WA MUNGU

SOMO; WITO WA MUNGU  Vitabu Rejea Kutoka;3:2-7 Yona;1;1_10 YEREMIA;1;1-10 Waefeso;4;1_6 Naitwa Bishop Richard  Nipo Morogoro Veta Dakawa  FB; Kanisa la Moto Wa Yesu  Akaunt Bishop Richard Tz Tiktok :Moto wa Yesu WITO Ni nini? Ni sauti unayoisikia kufanya kazi ya Mungu. Au Ni Sauti inayokuita nakukupa maelekezo ya kufanya au Ni Kaulitz mbiu ya Maisha Yako. UTOFAUTI KATI YA WITO NA HUDUMA  Wito ni Sauti ya mtu kuitwa na Mungu Akaitika HUDUMA ni Mzingo anaopewa na Mungu Mfano; Unasikia kuchukia dhambi au kuumia watu wanavyoteseka ujue unawito wa kuwasaindia hao watu na Huduma inakuwa jinsi utakavyojitoa kuwawezesha waondokane na mateso hayo. UTOFAUTI KATI YA MAONO NA HUDUMA  MAONO; Ni Picha Ya baadae katika HUDUMA yako  HUDUMA ni Mzingo ulioubemba au ni ujumbe uliomo ndani yako uliopewa ufikishe kwa walengwa au wahusika anaowalenga Mungu. WITO HUZAA MAMBO MAWILI. 1:HUDUMA huzaliwa na mtu aliyeitwa na Mungu. 2;MAONO huzaliwa na mtu aliyeitwa na Mungu JINSI...

SOMO;NGUVU ZA ANGA

  SOMO:NGUVU YA ANGA. Mwanzo;1;6-14 Karibu Tujifunze Kwa Ufupi nguvu ya Anga Katika Maisha yako na umhimu wa maombi yako kushughulikia Anga lako kabla ya kuomba chochote  Anga Ni nini? Anga ni Mpaka unaoweza kutenganisha kitu na kitu kigine Hicho kitendo cha kutenga huitwa Anga. Nguvu Ya Anga katika ulimwengu wa Roho Huzuia Maombi unayoomba Yasitoke chini kufika kwa Baba Mbinguni. Malaika wako anayekuwa Ameshjkilia machozi yako au mahitaji yako huyu malaika hukutana Angani na Vizuizi Kutoka kwenye malaika waasi kuhakikisha wanazuia ombj lako. Mwanzo 1:8 [8]Mungu akaliita lile anga Mbingu. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya pili.  And God called the firmament Heaven. And the evening and the morning were the second day. Mungu kuliita Anga mbingu maana yake ni Anga lilopo katikati ya mbingu na nchi. UMUHIMU WA KUSHUGHULIKIA ANGA LA ENEO ULIPO KUNA AINA NYIGI MIANGA LAKINI KUU Ni Anga lako la Maombi. Maombi Unapoomba Anza Kushughulika Na Anga la Eneo ulipo huwezi kug,ag,ana k...

SOMO:SABABU TANO ZA MWANAMKE KUUMBA.

SOMO: SABABU TANO ZA MWANAMKE KUOLEWA AMBAZO MUNGU ALIKUSUNDIA. Na mwanamke wa Kwanza Kuumbwa alikuwa Hawa Ni Kwanini Huyu Mwanamke aliumbwa aliumbwa kwa kuwa kulikuwa na Adamu ambaye Aliitaji Msaindizi Na Mungu akaona Ni vyema hawa apelekwe Kwa Adamu akawe msaindizi wake. Awe faraja yake asijiweke katika upweke. Tunasoma;  Mwanzo 1:26-27 [26]Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.  And God said, Let us make man in our image, after our likeness: and let them have dominion over the fish of the sea, and over the fowl of the air, and over the cattle, and over all the earth, and over every creeping thing that creepeth upon the earth. [27]Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.  So God created man in his own image, in the image of God created he him; male and female creat...

SOMO; Faida ya Hekima

       SOMO: FAIDA YA HEKIMA Hekima kwako inafaida Sana kuliko kitu chochote Unachoweza Kutenda Tengeneza maisha yako yapate nafasi kuipa hekima iamue.  1.  Itakuwezesha kujanga nyumba imara na kuwa na mahusiano imara ya kifamilia. Mithali 24:3   Nyumba hujengwa kwa hekima, Na kwa ufahamu huthibitika. Mithali 19:13   Mwana mpumbavu ni msiba kwa babaye; Na ugomvi wa mke ni kama kutona-tona daima. 2.  Itakufanya upate kibali katika yale unayoyafanya. Mithali 14:35   Upendeleo wa mfalme humwelekea mtumwa atendaye kwa busara; Bali ghadhabu yake itakuwa juu yake aletaye aibu. Mithali 17:2  Mtumwa atendaye kwa busara atamtawala mwama atendaye mambo ya aibu;.. 3.  Itakuwezesha na vikwazo na upinzani Mithali 21:22   Mwenye hekima huupandia mji wao wenye nguvu; Na kuziangusha nguvu za tumaini lao. Mithali 24:5  Mtu mwenye hekima ana nguvu; Naam mtu wa maarifa huongeza uwezo. Muhubiri 9:18a   Hekima ndio bora kuliko silaha...

SOMO:CHANZO CHA MATATIZO YAKO

SOMO: CHANZO CHA MATATIZO YAKO. Nawakaribisha katika Nakala hii Ambayo itakufanya ujue ukweli wa matatizo yako yanasababishwa na nini nawewe Utaweza Kutengeneza kama utaitaji kupona lakini kama utaitaji kuagamia hutaweza kutengeneza na Mungu. Sasa nakuarika utenge sikio lako ujifunze Neno la Mungu na Pastor Richard  Huyu mtumishi yupo Morogoro Veta Dakawa  Mfate WhatsApp Yake +255759861768 MAANA YA CHANZO CHA MATATIZO Ni Kitu ngani kinalifanya Tatizo ndani yako lipate nguvu mzizi wake ni nini? Ukitaka Kupona tatizo lolote lile Tafuta chanzo usitafute tatizo.  KUNA MAMBO MATATU YAKUZIGATIA NA NDIYO YANASABABISHA UPITIE MATATIZO UKINIELEWA SOMO HILI UMEPONA. A;MATOKEO YA DHAMBI  Vitabu rejea: Mwanzo:4:7 Mhubiri.8;12 Yeremia;14:20,Mithali:17;19 Matendo;3;19 Neno linasema hivi; Mwanzo 13:13 [13]Lakini watu wa Sodoma walikuwa wabaya, wenye kufanya dhambi nyingi sana juu ya BWANA.  Dhambi utafurahia unapoifanya kama hauna hofu ndani yako ya kiungu Na utajipa moyo haku...

MAOMBI YA WALIOJIKATIA TAMAA

  MAELEKEZO YA MAOMBI KWA WALIOFUNGA LEO MUNGU KASEMA UFANYE HILI.           Yakobo;1;12-13 Kila mtu ambaye amekuwa akipitia haya atapaswa kuomba maombi 1:Umekuwa ukijikatia tamaa nakumunug,unikia Mungu. 2.Umekuwa ukisema Mungu ndiye anasababisha uteseke. Mungu katoa siku mbili kwa watu wa aina hii kuomba msamaha kwake Mungu Amechukizwa na mioyo yao inayojikatisha tamaa na kumuacha Mungu. Unaposoma huu ujumbe utaingia chumbani uombe hivi. Jinsi ya kuomba  Eeeh Baba naomba unisamehe Sana Nimekukosea katika dhambi ya kukata tamaa kunug,unika na kukulaumu kwa sababu ya nyakati mbalimbali nazopitia Nimekuwa mtu ninayesema wewe ndiyo umeruhusu mimi niteseke wakati umesema katika yakobo:1:13 hakuna jaribu unaloliruhusu lipate kibali ya kunitesa naomba niondolee kila mzingo niliokuwa nimebebeshwa katika jina la Yesu.Amen (Rudia mara 7 kuomba ukiwa umepinga got. Baada ya hapo utakuwa na Sadaka yako utaituma kwa M-Pesa +255759861768  ukituma unipigie nikuo...

Namba za siri akauti za fb

Bishop Richard Moto wa Yesu Namba;0710889892 PASWORD;232343 YouTube account  Kanisa la Moto Wa Yesu  Pasword:motowayesu Email:richkushoka@gmail.com  Facebook; MOTO WA YESU Email:richkushoka@gmail.com  Password:Kushoka@Jesus

MADHARA YA BINT ANAYEJIPELEKA KUISHI NA MWANAUME

SOMO;MADHARA YA BINT ANAYEJIPELEKA KUISHI NA MWANAUME AMBAYE HAJAMTOLEA MAHALI. •••••••••○○○••••••••●●● Mstari wa kusimamia _______________€ Kumbukumbu la Torati 5:18 [18]Wala usizini.  Neither shalt thou commit adultery. Karibu ujifunze Bint mwenye maono ya ndoa Au kujenga familia Bora Yenye hofu ya Mungu. JILINDE USIZINI WALA USILE PESA ZA MWANAUME NI HERI UCHELEWE KUOLEWA Kuliko uolewe ukiwa  unazini sifa ambayo mbaya Sana Kwa Mungu ni mwanae kuzini kuolewa hataki kuowa hataki kuzini anataka Kosa kubwa. HAYA NI MADHARA UTAKAYOYAPATA BINT MADHARA MENGI YAPO KWAKO KULIKO KIJANA. 1;Kwanza utavaliwa na Jini Anzura huyu jini humzuia mtu asiolewe omba uombavyo zunguka makanisa na makanisa ndoa utaisikia tu mpaka ukutane na anayejua kukufungua. 2.Utadharaulika kwa kijana atakufanyia vituko na atakuona umejirahisha kwake hata kama wewe umempenda. 3.Utapoteza malengo yako na mwelekeo mzima wa maisha yako. 4.Utaruhusu milango ya matatizo iwe mingi mara magonjwa ya wanawake,mara tatiz...

JINSI Ya Kutoa fungu la kumi madhabahu ya moto wa Yesu

SOMO;JINSI YA  KUTOA  FUNGU LA KUMI KWA UAMINIFU.[ KANISA LA HOLY SPIRIT MINISTRY TANZANIA.(K.H.M.S.T) Naitwa Bishop Richard  Naishi Morogoro Nchini Tanzania 🇹🇿 Africa 🌍  Karibu katika ufafanuzi na elimu ya nguvu ya fungu la kumi. Kumb la Torati.14;22 ,28:1-24 Luka.18;12 Malaki;3;10 1 Samweli 8:17 [17]Atawatoza fungu la kumi la makundi yenu; nanyi mtakuwa watumwa wake. Linalenga kwa watoto wa Madhabahu Ya Moto Wa Yesu wanaotuma mafungu yao au Zaka zao Kumbukumbu la Torati 28:2 [2]na baraka hizi zote zitakujilia na kukupata usikiapo sauti ya BWANA, Mungu wako. Hapa natoa maelekezo tu jinsi ilivyo muhimu kujua  Faida na Hasara Za Kutoa Zaka Kwa Uaminifu wa Bila Kurukaruka FAIDA ZA MTU ANAYETOA FUNGU LA KUMI KWA UAMINIFU KILA MWEZI 1-LAZIMA AJIBIWE MAOMBI YAKE NA AONE MABADILIKO 2-LAZIMA KILA OMBI LAKE LIAGUSHE UTAWALA WOTE WA FALME ZA NGIZA 3-KILA KAZI ATAKAYOFANYA ITASITAWI 4.ATAFANYA KITU KINDOGO KITAMPA FAIDA KUBWA. 5-HATADHULUMIWA, HATAPOTEZA VITU,HATAACHIS...

SOMO; UBATIZO WA MAJI MENGI

SOMO:     UBATIZO WA MAJI MENGI WA  KIBIBLIA                    Ni muhimu kufahamu kuwa Yohana mbatizaji alimbatiza Yesu katika maji tele  (MATHAYO 3:13-17 ). Yesu Kristo alibatizwa katika mto Yordani kwasababu huko kulikuwa na maji tele. Yohana mbatizaji alikuwa akibatiza sehemu zenye maji tele ili watu waweze kuzamishwa katika maji kama tutakavyoona maana ya ubatizo na kwa nini kuzamisha katika maji tele. Yohana mbatizaji hakubatiza Yordani tu, alibatiza Ainoni karibu na Salimu kwa sababu huko kulikuwa na maji tele.  YOHANA 3:23  “Yohana naye alikuwa akibatiza huko Ainoni, karibu na Salimu, kwasababu huko kulikuwa na maji tele, watu wakamwendea wakabatizwa”. Ubatizo lazima ufanye kwenye maji tele ya kumtosha mtu kuzamishwa.                     MAANA YA NENO KUBATIZWA A...

SOMO;UBATIZO WA MAJI MENGI

Picha
SOMO: ;UBATIZO WA KWELI NI UPI KI-BIBLIA*              *KATI*                *YA* *MAJI MENGI AU MACHACHE* Biblia inasema katika *WAEBRANIA 6:1-3:-“Kwa sababu hiyo , tukiacha kuyanena mafundisho ya kwanza ya Kristo, tukaze mwendo ili tuufikie utimilifu; tusiweke misingi tena wa kuzitubia kazi zisizo na uhai, na wa kuwa na imani kwa Mungu, na wa MAFUNDISHO YA MABATIZO, na kuwekea mikono, na kufufuliwa wafu, na hukumu ya milele. Na hayo tutayafanya Mungu akitujalia*” Kama waalimu wengine wa uongo watalitumia andiko hilo kupotosha watu na kusema , suala la ubatizo halina umuhimu sana kuhangaika nalo , kikubwa wewe ukishaokoka , basi ! Haijalishi kwamba umepatiza kwa ubatizo upi maji mengi au machache.  Watu wanaofundisha hivyo hao ni wapotoshaji wakubwa wa kweli ya neno la Mungu. Wanakudanganya hao !! Ni muhimu kuelewa *UBATIZO NI SUALA LA LAZIMA NA LENYE UMUHIMU MKUBWA KATIKA IMANI YETU YA WOKOVU”* Bwana Yesu ...