Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia 2024

MAOMBI YA KUAMBATANA NA WATU SAHIHI

SOMO; MAOMBI YA KUABATANA NA RAFIKI SAHIHI. Kuna marafiki wengine unaweza kuwa nao pasipokujua kumbe katika ulimwengu wa roho ni Antena za kichawi Adui Anawatumia marafiki ulionao Akunase kwenye Eneo lake. Siyo Kila rafiki ukajua ni rafiki mengine mapepo yanajivisha sura za marafiki zako kwa kuwa huombi na hujuagi kuomba unaweza ukashagaa toka umeshikana nae urafiki maisha yako yanazidi Kuharibiwa. Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Kanisa la Holy Spirit church Tanzania  WhatsApp Group la Maombi na Mafundisho +255759861768 MAOMBI HAYA TUNASIMAMIA                  "Mithali 18:24 "  Ajifanyiaye rafiki wengi ni kwa uangamivu wake mwenyewe; Lakini yuko rafiki aambatanaye na mtu kuliko ndugu. ✍✍✍✍✍✍✍✍✍✍✍✍ ZINGATIA HILI; ============ Hakikisha Unapuguza marafiki wanaokupa hasara au ukiwa nao ndiyo majanga yanaongezeka Ambatana na marafiki unaona ukiwa nao unapiga hatua ya kiroho na unakuwa na ukaribu na Mungu. NAMNA UTAKAVYOO...

SOMO;MAOMBI KUJIACHANISHA (KUJITENGANISHA)

SOMO: MAOMBI YA KUJIACHANISHA. Kuna vitu vingine ili upone jiachanishe navyo  Katika Maisha ya ulimwengu wa roho huabatana na maisha yetu ya Damu na Nyama Kwa hiyo huwa Tunapitia hali magonjwa madhaifu madeni na Mikosi mbalimbali ambayo ipo kiroho imeshikama nasi au kuabatana nasi. Mfano: Unaumwa ugonjwa upo ndani ya Damu umeshikamana na Damu yako mfano Unateswa na madeni madeni yapo kwenye nafsi yako yaani kiu ya kukopa imeshikamana nawewe. KWA UFUPI NATAKA NIMANISHE KWAMBA UNATAKIWA UJIACHANISHE NA KILA HALI INAYOKUTESA;   MISTARI YA KUSIMAMIA    ===================== Ayubu 9:27 Nikisema, Mimi nitasahau kuugua kwangu, Nitaacha kununa uso nikachangamke moyo; "Maana yake huyu Ayubu alikuwa Akiumwa Akaamua Ajitenge na magonjwa yaliyomtesa. Wagalatia 1:15 Lakini Mungu, aliyenitenga tangu tumboni mwa mama yangu, akaniita kwa neema yake Mungu ndiye Mwazilishi wa Kuviachanisha au Kuvitenga Vitu na Vigine. Mfano kama kichanga kinavyotenganishwa na Tumbo la Mama. Mwanzo 1:4...

SOMO; MAOMBI YA KUKATAA ROHO YA MAFARAKANO NDANI YA NDOA

SOMO; MAOMBI YA KUKATAA ROHO YA MAFARAKANO KWENYE MAHUSIANO YENU. Katika ulimwengu wa roho zipo roho hutumwa kuwafarakanisha wewe na mweza wako kuhakikisha mnagombana gombana kila mara mkikaa siku mbili na Amani siku ya Tatu mnagombana hii hali siyo ya kuinyamazia Ukiona inakupata Twende Tuingie Maombi Pamoja na utaendelea kuomba ulipo mpaka itoke. 👉MSTARI WA KUSIMAMIA           🌴Malaki 2:15 🌴  Hakuna mtu mmoja aliyetenda hivi, ambaye alikuwa na ufahamu kidogo. Au je! Kuna mtu mmoja atafutaye mzao mwenye kumcha Mungu? Kwa hiyo jihadharini roho zenu; mtu awaye yote asimtende mke wa ujana wake mambo ya hiana. Sisi tutachukua mstari wa mwisho: Mtu Awaye Yote Asimtendee mke wa ujana wake mambo ya hiana. Imesemwa Katika Kitabu cha Malaki;2;15  "Baba Yangu Uliye keti katika kiti cha Enzi ninakataa kila roho iliyounganishwa kuwa inatungombanisha mimi mwezangu eidha katika maneno au kauli zetu hii hali inayoendelea mimi siitaki na Siipendi  Kabisa...

SOMO; MAMBO AMBAYO HUPASWI KUYAONGEA NDANI YA NDOA.

    👊DARASA LA WANANDOA 🤛        Karibuni Wanando ndani Ya Darasa Tusemezane Tujifunze Kitu mimi Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Nakuandalia nakala hii.. SOMO; SiRI AMBAZO HUTAKIWI KUZIONGEA NDANI YA NDOA  Wanandoa Tunapoingia ndani ya ndoa wengi wetu tulishawahi kuwa na mahusiano kabla ya kupata ndoa au Tulishapitia hali fulani familia zetu na wengine Tumetoka familia ambazo hazikutunza vizuri ndoa Wazazi wetu hawakuwa vizuri kukaa nasi kutufundisha juu ya namna Tunavyopaswa kukaa na wake zetu au waume zetu Kwa hiyo Tunapokuja kuingia maisha ya ndoa Tunaona kama magumu sana na tunaweza kukopi maisha ya wazazi wetu karibu ujifunze kitu hapa naamini utapata kitu. 1:UKIOLEWA/KUOWA NDANI YA NDOA USITOE SIRI ZA HALI YA UZAIFU KWA WAZAZI WENU BAADALA YAKE MWAMBIENI BABA WA KIROHO AWAOMBEE. Mfano mkeo umemuowa lakini kwenye tendo la ndoa kuna shida hakuhudumii ndani au umekuta anamatatizo sehemu zake za siri au Zipo mara mbili za kiume na za kike ...

SOMO; MAOMBI YA KUOMBEA CONECTION

SOMO: MAOMBI YA KUOMBEA CONNECTION   TUNASIMAMIA  Isaya,43;4 Mwanzo;12;13 Naitwa Pastor Richard  Nipo Morogoro Veta Dakawa  WhatsApp  Group la Maombi+255759861768 1:Maombi haya Utayaomba muda wako wowote Uliotulia  2;Kama Utashuhudiwa uyatolee Sadaka basi unatuma Sadaka yako unanipigia lakini sijapewa maelekezo ya wewe utoe Sadaka  👇👇👇👇👇👇👏👏👏👏👏👏👏 MAMBO YA KUZINGATIA SOMA HIZI AINA MBILI ZA CONECTION  ::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::;::;:::::::::::::: 1;AINA YA CONECTION YA KIROHO  Katika Maisha Yako Elewa Watu Huwa ni Sehemu ya Mabadiliko katika maisha yako ni Sehemu ya Mafanikio Kama Hutakutana Na Connection Watu Waliondaliwa Wawe kiunganishi Kufikia Hitaji lako Liwe la Kiroho Tunaitaji Baba wa Kiroho Awe Conection Na Mungu Tunaitaji Tutoe Zaka Iwe connect katika Maombi Yetu Kama Unaomba Huna Hivi vitu Viwili Madhabahu yako haitakupa matokeo Sababu lazima uwe na mlezi wa kiroho utakayemshirikisha kila kitu halafu ataenda ...

SOMO; WAJIBU WA MAMA MCHUNGAJI NA MCHUNGAJI NDANI YA KANISA.

SOMO; WAJIBU WA MAMA MCHUNGAJI NA MCHUNGAJI NDANI YA KANISA.  UTANGULIZI  Ni vyema somo hili liwafikie walengwa wapate kujua nini kinawapasa wafanye ndani ya kanisa Kwanza waelewe wao wanasimama kwa niamba ya Mungu wamepewa watu waongoze nakuwachunga Kiroho katika Kondoo hao wanapaswa wawajue vizuri nakujua zinzi lao na Aina ya malisho wànayowapa. Zaburi:23;1-4 Malaki.2:7, Mathayo.5:14-16 Basi Upo namimi Pastor Richard nakuletea Nakala hii Ujifunze kitu fatana nami mpaka mwisho. MAANA YA MAMA MCHUNGAJI ? Mama mchungaji ni msaindizi wa mchungaji katika majikumu ya kutimiza wito wake anasimama kwa niaba ya mchungaji hata kama hayupo. MAANA YA MCHUNGAJI? Mchungaji ni msaindizi wa Mungu anayesimama kwa niaba ya Mungu kuwaongoza watu kiroho nakuwakuza kiimani. MAMBO YA KUJUA NA YA MUHIMU KWA MCHUNGAJI NA MAMA MCHUNGAJI  _______________________________________ _ 1;Mungu Amekuweka Kwa Niaba Yake Kumuwakilisha Kwa Watu wake. 2.Mungu Amekupa Kibali  Kuliko wengine Amekuamini ...

MAOMBI YA KUOMBEA WANAO WANAPOKUWA WANAENDA SHULE.

SOMO:MAOMBI YA KUWAOMBEA WATOTO WETU WANAOSOMA. 👆👆👆👆✅✅✅✅🌴🌴👇🌴👇👇👇👇👇 Adui huwa yupo macho sana kufatilia watoto wetu hasa tunaowasomesha Nasikia Sauti na Maelekezo niongoze kukufundisha Maombi haya kila mzazi aajibike kuombea watoto uwe mama mdogo mama mkubwa Mjomba Babu bibi na unakaa na watoto wanaosoma Tafadhali Simama nafasi yakuwa unawaombea kila Wanaporudi shuleni au Kufungua shule au Kwenda shule. MSTARI WA KUKUMBUKWA TUNAPOOMBA.  👇👇👇👇👇👇👇👇👇 Kumbukumbu la Torati 12:28 [28]Maneno haya nikuagizayo yote yatunze na kuyasikiza, ili upate kufanikiwa na watoto wako baada yako milele, hapo uyafanyapo yaliyo mema na kuelekea machoni pa BWANA, Mungu wako.  Mambo matatu uyajue kabla hujaomba. 1.Unakuwa unatimiza angizo la Mungu unapoombea watoto wako. 2.Unawajenga Kiroho na Kimwili hata wakija kuwa na familia zao baadae 3.Unafungulia Mlango wa Wao Kufanikiwa Katika Masomo Yao. MAOMBI YATANZIGATIA YAFATAYO. 1.Uwe unakaa na Watoto wanaosoma tayari wewe ni mzazi uta...

SOMO; MAOMBI

Picha
SEMINAR :TOPIC: ✍️👊 MAOMBI Mwalimu; Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Simu+255759861768 Tufunue Vitabu hivi;2Mambo ya nyakati:7:14-16 1Wafalme;8;38-49 Zaburi;61;1,86;6 1Petro;3;12 SOMO HILI AU WALAKA HUU UNASURA "5" A:MAANA YA MAOMBI B; MAKUNDI YA MAOMBI C;SEHEMU ZA MAOMBI D:TABIA YA MAOMBI E: HITIMISHO                      UTANGULIZI. 👊✍️SIKU YA KWANZA; Tarehe 3/8/2020 Jumatatu muda saa;4;00-6;00 A👊👊MAANA YA MAOMBI NA UFAFANUZIq WAMAOMBI 👊👊 1:MAOMBI NI NINI??Ni Hali ya uwasilishaji wa Taarifa na maendeleo ya Mtu Kiroho na Kimwili mbele Za Mungu Yenye Kutaka Apewe Majibu na Anachokiomba Nakukiamini. B👊👊✍️KUNA MAKUNDI MAWILI YA MAOMBI;(WANAPOOMBA) ✍️Kundi la Kwanza Ni la Watu Wanaomuomba Mungu Wasiyemjua ✍️Kundi la Pili Ni la Watu Wanaomuomba Mungu Wanaemjua C:KUNA SEHEHEMU TANO ZA MAOMBI MTU ANAPASWA AZIJUE. 1:AINA ZA MAOMBI ANAZOPASWA MKRISTO AOMBE 2;MIKAO YA MAOMBI ANAZOPASWA MKRISTO AKAE WAKATI ANAOMBA 3;STAYLE ZA ...

SOMO:MAOMBI YA KUVUNJA MADHABAHU YA KICHAWI

SOMO: MAOMBI YA KUVUNJA MADHABAHU ZA KICHAWI  Kuna Watu Wanateseka Na Madhabahu za Kichawi Kutoka Kwa Wazazi Wao Leo hii Zinawatesa Watoto Wao Kusoma hawaelewi Darasani Watoto Wengine Wamekuwa viziwi wengine Vipofu na Wapo wengine Hawaolewi au Kuowa Wamekuwa ni Watu Wanaotumikishwa na roho ya kuzini hatari Pasipo Kujua nyuma hicho kitendo wanachofanya Kuna Madhabahu Ya Kuzini. Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa  TUNASIMAMIA; Isaya 43 yote Waefeso:6:10-20  Katika Maombi Yetu Haya mstari mkuu wa kutamka unapoomba ni 2Wakoritho.10;3-6 ":MAMBO HAYA YAZINGATIE KABLA YA KUANZA KUOMBA": <===============================> 1.Hakikisha Umeokoka na Kusimama usikurupuke Kuvunja madhabahu za kichawi zilizo ndani ya Familia ukiwa hujasimama. 2 Utakuwa Na Sadaka Yako Kuanzia 50000 na utaitoa siku ya kumaliza maombi kupitia hii madhabahu utanipigia simu ukishatoa. 3.Tambua Madhabahu ya Kichawi ndani ya Familia husababisha. Watoto wachukie shule au wawe wanadodoka au Kuw...

MAOMBI YA UKOMBOZI WA URAFIKI (WACHUMBA)

MAOMBI YA UKOMBOZI WA URAFIKI ( MAHUSIANO YASIYOELEWEKA) ,,,,,,,,▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎ Naitwa Pastor Richard  Nipo Morogoro Kutoka Kanisa la Holy Spirit church Tanzania  Wapo watu Mahusiano yao hayaeleweki hakuna mawasiliano wala sms wala simu Yapo kama hayapo Adui Ameichukua nafasi zao za kuwasiliana kaweka kila mmoja amuone mwezake kawaida tu. Tunaingia maombi Tafadhali Soma uelewe mambo ya kuzingatia unapokomboa  ,,,,,,,,,,,,▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎         #ZINGATIO Walengwa ni wale Tu urafiki (Mahusiano) wao haueleweki Waombe kila siku kwa muda wao mpaka waone matokeo wayaone  Hakuna Kitu adui anachokichukia kama nyinyi wawili mkiwa na lengo la kufunga ndoa yaitaji uombe hasa. Mstari unaobemba Maombi 👇👇👇👇 Mithali 6:1 [1]Mwanangu, kama umekuwa mdhamini wa rafiki yako,  Ikiwa wewe na mgeni mmepana mikono,  °••••••••°°°°°••••••°°°°°°°•••••°°°°°°•°°•°••°°•°••°••°••°° MAMBO  MATATU  YAKUSHUGHULIKIA KWENYE URAFIKI UNAPOKOMBOA. 1:MAWASILIANO YA...

SOMO: MAOMBI YA UKOMBOZI WA MZALIWA WA KWANZA

SOMO: MAOMBI YA UKOMBOZI WA MZALIWA WA KWANZA KATIKA FAMILIA YOYOTE. 🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴 Thamani Ya Mzaliwa Wa Kwanza  Kimwili ni kubwa ikitokea huyu mtoto wa kwanza kushindwa kimaisha Anafungulia Wadogo zake Washindwe na Familia nzima Kutokana Yeye ndiye Taa ya Familia Ikitokea Amejiingiza kwenye tabia chafu mfano ukahaba,Wizi,Kuabudu miungu,Kutumia madawa ya waganga wa Kienyeji ni rahisi Adui kupitia mlango wake huo nakuingia ndani ya Wazazi wake wadogo Zake. Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Kanisa la Holy Spirit church Tanzania.  👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 Rejea Hii Mistari Soma: Mwanzo:22:21, Mwanzo:25;31-34, Kutoka:13:12, Wakolosai;1:15-18 MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUOMBA HAYA MAOMBI.  🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍇🍇🍇🍇🍇🍇 1.Soma rudia rudia uelewe Somo hili la kumkomboa mzaliwa wa Kwanza. 2.Utaandaa Sadaka Yako 35000 Nakuendelea Ukiwa huna usiyaombe subiri ukiwa nayo ingia umkomboe Mzaliwa wa Kwanza. 3.Wanaopaswa Kuomba Ni Wazazi ,Wazaliwa Wa Kwanza,...

SOMO: MAOMBI YA MTU ATESEKAYE NA MAPEPO

SOMO;MAOMBI YA KUOMBA KWA MTU ANAYETESWA NA MAPEPO 👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿 Habari Mtoto Wa Mungu Naitwa Pastor Richard Ninataka Ujifunze Kumfungua mtu mwenye mapepo. Unapomfungua mwenye Pepo Zingatia haya. 1.Mazingira yawe wazi palipo na nanafasi maana mengine huwa na funjo. 2.Ondoa Woga na Hofu Jiamini na Utoe Sauti Kwa Kukanza yenye Amri. 3.Tumia mistari Mfano. 2Wakoritho.10;3-6 Simamia 4.Tazama ishara na Vitendo lile Pepo linavyokufanyia Unamkomboa mtu mwenye Mapepo. Mfano. WADALILI ZA MAPEPO UNAMFUNGUA MTU. 1.Kama linarebua na kutembea kwa kunata ujue jini mahaba  2.Akiwa anatembea Anajivuta na kujinyoganyoga mwili Unaambiwa ndani mwili yumo Jini Nyoka. 3.Unapoona Haongei wala kuzungumza Yumo Jini Kiburi endelea kuchochea Moto wa Yesu Moto wa Yesu. 4.Unapoona Mtu unamuombea Anavua nguo Jini Kichaa endelea kuomba tu. 5.Unapoomba Ananyosha vidole Anaomba msaada wa wezake waingie ndani mwili huo Apate msaada wewe omba haribu msaada. Nk Kuwa mfatiliaji na makini kuzifichua...