Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti, 2023

SOMO:MAOMBI YA UKOMBOZI WA NYOTA

SOMO ;MAOMBI YA UKOMBOZI WA NYOTA YAKO  UTANGULIZI : Karibu Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa  Tulia usome kisha tuombe wote tukomboe nyota zetu. Fatana nami katika  Somo hili Ujifunze uelewe nyota kibiblia. Kila mtu huwa amezaliwa na nyota yake kabisa isipokuwa katika kuishi watu wengi hujichanganya kwenda kwa waganga na kuanza kushiriki vitu vya kiganga au kuchanjwa chali kama watoto hawakufanya wazazi inawezekana walienda kwa waganga. NYOTA; huchukuliwa katika mazingira yafatayo  -Kwenda kwa waganga  -Kuishi maisha yakuzini unatubu unaridia kuzini -Dhambi ya uasi huharibu haraka nyota yako .UDHIBITISHO WA DHAMBI  Mwanzo 3:9 [9]BWANA Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi?  Dhambi ilisababisha uhusiano wa Adamu na Mungu kutoweka kuna kitu ndani ya Adamu kiliondoka. Nyota ya kuonekana ikapotea ndiyo maana Mungu anauliza upo wapi Adamu.  MAANA YA NYOTA; NYOTA: Ni utambulisho wa wewe ni nani katika maisha haya hatima yako ni ipi K...

TANGAZO LA HUDUMA YA WACHUNGAJI

KANISA LA HOLY SPIRIT CHURCH TANZANIA 2024 🇹🇿 (H.S .C.T) NA. SA.21139 Chini ya Muasisi na mwanzilishi wa Makanisa haya  Richard Julius Kushoka(Pastor Richard/Bishop Richard) Tunakufikia wewe Mtumishi mwenye wito wa kutumika Katika huduma zifatazo. A.Mwalimu B.Mchungaji C.Nabii D.Mtume E.Mwijiristi KWA UFUPI KUHUSU KANISA LETU Kanisa hili limeanzishwa na mtanzania halina mfadhili wala ushirika na shirika lolote la nje . Lipo Morogoro Wilaya ya Kilosa Kata Ya Mbigiri Kijiji cha Mateteni likiwa limetimiza Usajiri wake CPCT na WIZARANI NA;  21139 Linatenda Kazi zake za kuhubiri injiri kisheria na kwa uwazi kupitia njia za mtandaoni ,kawaida,radioni Nk OFISI KUU ZIPO: Zipo Mkoa wa Morogoro Wilaya Ya Kilosa Kata Ya Mbigiri Kijiji cha Mateteni MISINGI YA KANISA LETU NI YA KIPETECOSTE  AMBAYO IMEHAKIKIWA NA CPCT  TAIFA IKAPITISHWA KISHERIA. VIGENZO VYA WATUMISHI TUNAOLEGA KUWAFIKIA KUTUMIKA PAMOJA NAO Sifa zao -Umri kuanzi miaka 20 mpaka 45 -Wawe wana wito na nia ya kutumi...

MAOMBI YA UKOMBOZI WA NDOTO

MAOMBI YA KUJIKOMBOA NA NDOTO MBAYA ZOTE. UTANG: Majeshi ya shetani huweza Kumfata mtu usiku na kuuganisha uharibifu au matatizo ndani ya mtu usiku hasa wale watu wasiomba usiku au watu wasiopenda ibada. Watu wengi wanaota Wanafanya mapenzi,Wanakula vyakula, Wanasoma shule ya msingi wanakimbizwa, Nyoka au Kuota misiba kuongea na watu waliokufa. Ni 80% Kati Yao Wanateseka eidha na mahusiano eidha uchumi eidha maisha ya kiroho. Naitwa Pastor Richard  Nipo Morogoro Veta Dakawa  Dumila wilaya ya Kilosa WhatsApp +255759861768 UNAPOTAKA UJIONDOE KWENYE KUOTA NDOTO MABAYA VAA SILAHA TATU ZITAKUKINGA NA NDOTO  👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 KATIKA MAOMBI YETU TUNASIMAMA NA  👇👇👇👇👇👇 WAEFESO:6:10-20 Silaha ya Kuvaa Kujilinda na Ndoto mbaya ni Tatu Tu 1;SILAHA YA KWANZA VAA MAOMBI. Watu wengi ambao ni baridi katika maombi adui lazima awatese Sababu wao kuomba wanasema hawawezi mpaka mchungaji wao awaombee lakini Yeye kuomba yupo bize Sana hana muda tengemea Shetani ataendelea ...

SOMO MAOMBI YA UKOMBOZI WA TUMBO LA UZAZI

SOMO:MAOMBI YA MWANAMKE ANAYETAKA KUZAA WATOTO AMBAYE ANAMATATIZO YA KUTOSHIKA UJAUZITO (Hakuna Tasa Kwa Mungu( 👆🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🍉🍉🍉🍉🇹🇿🇹🇿🇹🇿🍇🍇🍇🌴 Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro wilaya ya Kilosa Kata Ya Mbigiri Kijiji cha Mateteni Kanisa la Holy Spirit church Tanzania Moto wa Yesu  Karibu maombi haya yasome kwa umakini na kwa utulivu kisha omba ukiwa na imani na Mungu Kama Huna Imani Au Unajiona Hutaweza Basi Usiombe maana Maombi haya yanawataka watu wenye Imani wenye kujua uwezo wa Mungu wao wanayemuomba. Soma:Warumi;10;17 Hakuna Neno linalokuambia hutazaa utakuwa tasa ukiona huzai ujue ipo dhambi au Mungu anataka Ajitukuze kupitia msimamo wako utakavyoendelea Kusimama Soma; 2WAKORITHO.3-6 MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUOMBA  1.Utaomba Maombi Haya Siku 7 Bila Kufunga. 2.Utakuwa na Sadaka Kuanzia 50000 nakuendelea 3.Utaomba Kwa Kufata Muongozo uliopewa 4.Utaitoa Sadaka Siku ya 7 Unanipigia nadhibitisha nakukuombea. MATATIZO  YANAYOTOKANA NA DHAMBI KUT...

SOMO: NAMNA YA KUTOA SADAKA YA KUJENGA MADHABAHU

SOMO👉👈: NAMNA YA KUTOA SADAKA YA KUJENGA MADHABAHU YA BWANA  NDANI YAKO. Naitwa Pastor Richard  Nakuletea Somo hili ujifunze kitu Nipo Morogoro Veta Dakawa  Madhabahu ni mahari patakatifu panapo mfanya roho wa Mungu akae aanze kuhudumia watu kuwafugua na kuwaponya. MADHABAHU ni mahusiano yako ndani Kati Yako Na Mungu. Haya Mahusiano Yako na Mungu ndiyo Yanayokufanya uombe uone matokeo ya ulichoomba. Pia ndiyo yanayokufanya wewe uombe usione matokeo Kama unaenda Kuomba huna mahusiano na Mungu. NDIYO  sababu inayowafanya watu Waende kuombewa na mwigine waone matokeo kwa sababu wao hawana madhabahu ya Bwana Hawana uhusiano na Mungu. KUNA AINA MBILI ZA MADHABAHU  1:MADHABAHU ZA miungu. Ambayo ni uchawi,uganga,mizimu nk Tusome hapa 👇👇👇 Kutoka 34:13 [13]Bali utabomoa madhabahu zao, na kuvunja-vunja nguzo zao, Kumbe Basi Kama unataka Kujenga madhabahu Ya KIMUNGU ndani Yako Lazima uziondoe Tabia zinazofanya uharibu uhusiano wako na Mungu  1:Kuabudu miungu...

SOMO; MAOMBI YA UKOMBOZI WA NAFSI, MWILI NA ROHO.

SOMO: MAOMBI YA UKOMBOZI WA NAFSI , MWILI, NA ROHO Naitwa Pastor Richard  Nipo Morogoro Veta Dakawa  Nifate WhatsApp +25759861768 nikuuge kwa group la maombi na mafundisho kama bado A:MAOMBI YA UKOMBOZI WA NAFSI Katika maisha Nafsi ni kiugo mhimu sana Kwenye maisha ya kiumbe chochote Kilicho na Damu. Biblia inasema nafsi ni uhai. Mwanzo 2:7 [7]BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.  Tafsiri yake nini ukiona mtu mambo yanakuwa vizuri  Kila Kitu akiamua kukifanya kinifanyika kwa Sababu Nafsi yake ipo hai haijaharibiwa  Dalili za haraka zinazojitokeza Nafsi Adui anapoiharibu. 1:Unakuwa mtu wa hasira hasira kila mara  2:Unakuwa mtu wa kuahirisha ahirisha. 3;Ufahamu wako kujiongoza na kujisimamia huwezi mpaka ukubushwe yaani masaurifu. 4.Unaanza Kufanya mambo yanayoonekana kwa jamii na kwa watu ya ajabu mfano. Uchawi. Uzinzi, ulevi nk 5.Unakuwa na hofu sana na woga mashaka mashaka. 6;Unaanza Kukata t...

SOMO; MAOMBI YA KUJIKOMBOA KUTOKA KWENYE ROHO YA KUCHELEWESHWA.

SOMO; MAOMBI YA KUJIKOMBOA KUTOKA KWENYE ROHO YA KUCHELEWESHWA. Habari mtu wa Mungu nataka niongee leo na watu wote kwamba katika maisha tunayoishi yaitaji tuombe sana na kujifunza Neno la Mungu pia tunatamani maisha Yetu yawe ya viwango tunatamani kuowa na kuolewa zipo roho kazi yake nikuchelewesha muda wetu wakufikia kwa haraka eneo Mungu alipotuandalia ni lazima Tuombe Kuzikataa. Karibu ugana nami katika maombi haya kwenda kushughulikia roho ya kucheleweshwa Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa  nifate WhatsApp +255759861768 MISITARI YA KUSIMAMA NAYO. 👇👇👇👇👇 Yoeli : 2 : 25 -  Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu. 👇👇👇👇👇👇👇 Hesabu : 23 : 23 -  Hakika hapana uchawi juu ya Yakobo, Wala hapana uganga juu ya Israeli. Sasa habari za Yakobo na Israeli zitasemwa, Ni mambo gani aliyoyatenda Mungu! 👇👇👇👇👇👇👇 Yeremia 29:14 [14]Nami nitaonekana kwenu, asema BWANA, nami ...

SOMO : MAOMBI YA UKOMBOZI WA TABIA.

SOMO: UKOMBOZI WA MAOMBI YA TABIA. Unajua Kuna Watu wateswa na tabia kiasi kwamba hata kuowa hawaowi kuolewa hawaolewi kutokana na tabia zao hata iwe ofisini makazini tabia inawagombanisha na watu na saa nyigine wamekosa msaada hata mtu aseme awasaindie Kwa Tabia zao anaweza Jutia. Nataka Niseme unaweza ukawa unaona kawaida Sana kumbe roho chafu roho za kipepo zinakuopareti kupitia Tabia na unabaki kuwa mtumwa wa shetani. Kubali Leo hii ujikomboe ili ukamuone Mungu akitenda kwako. Naitwa Pastor Richard  Nipo Morogoro Veta Dakawa  WhatsApp niinbox +255759861768 MAANA YA TABIA..? Tabia ni Mwenendo wa kitu. Kinachokitambulisha kitu juu ya anayekiona. Ambapo huu mwenendo hutengeneza utambulisho wa kitu kukijua mfano Silika ambapo viumbe vyote isipokuwa mwanadamu. Vinasilika yake ukiona mbwa tabia zake zinakujulisha ukiona mahindi tabia zake zinakujulisha. Mwanadamu huongozwa na Utashi wake wa kujua njema na mbaya kwa mtu mwenye tabia mbaya tunasema muovu kwa mtu mwenye tabia nzuri...

SOMO: MAOMBI YA UKOMBOZI WA FIKIRA

MAOMBI YA UKOMBOZI WA FIKIRA ZAKO. UTANGULIZI; Fikira ndiyo msingi wa maamuzi yote unayoyafanya katika maisha Tunaweza kusema hivyo ulivyo ni kipimo cha uhai wa fikira zako ndiyo zimefika mwisho. Naitwa Pastor Richard  Nipo Morogoro Veta Dakawa  WhatsApp niinbox +255759861768 Kabla hatujaanza kukomboa Fikira lazima Tujue Fikira ni nini..? FIKIRA  👉👈ni mkusanyiko wa mawazo yako unayoyawaza huunda neno fikira na kupitia fikira ndipo palipo na utendaji yaani maamuzi. Mawazo: hayawezi amua jambo kama Fikira hajasaini kupitisha ulichowaza. Wapo watu humu wala hawateswi na wachawi au majini au nguvu ya ngiza Yeyote isipokuwa ugumu wa maisha na mfululizo wa matukio kwao yamewafanya wateseke kwa kurundika mawazo mengi ambayo yametengeneza fikira Potofu kila kitu Yaani kila jambo anafikiria vibaya tu. Kama Umepata neema kusoma hili somo linakuhusu. Wapo watu Wengine Adui au Kinachowazuia Wasifunguliwe Ni Fikira zao zinatumikishwa na watu mfano. 1.Unampenda mtu kiasi kwamba hata ...

SOMO: USHUHUDA WA KUJUA UNAEMTOLEA SADAKA KIBIBLIA

SOMO: USHUHUDA WA KUJUA UNAEMTOLEA SADAKA KIBIBLIA. Karibu ujifunze kitu somo hili Unapotoa sadaka hakikisha unajua unaemtolea ni Mungu wako aliye hai siyo mtu au mchungaji  toa Sadaka kwa imani  Naitwa Pastor Richard  Nipo Morogoro Veta Dakawa  WhatsApp yangu +255759861768 Nifate nikuuge kwa group la maombi na mafundisho  1:KONELIO BIBLIA INASEMA ALITOA SADAKA KUWAPA WATUMISHI WA BWANA NA WATU 👇👇👇👇 Soma kitabu; Matendo;10;1-33 Lakini kilichokuwa cha ajabu malaika alishuka na kumwambia Sadaka zako zimefika mbiguni Mungu Ameona Moyo wako. Unajiuliza Sadaka kawapa Watu Mbigu zinafugukaje Wakati anawapa watu. Jibu. KONELIO Alijua Mungu anayemtolea Sadaka Alijua Siwapi watu mimi namgusa Mungu moja kwa moja. Haleluyaaa hebu jaribu nawewr mbigu kuzifungua kwa utoaji. Jifunze hili kwa Konelio 2:HABELI BIBLIA INASEMA ALITOA SADAKA KWA IMANI BILA KUSITA SITA TENA NZURI. 👇👇👇👇👇 MWANZO; 4;1-10 Jifunze unapotoa Sadaka yako hebu uwe na imani Usitoe Sadaka huku huna i...