Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari, 2020

✍🏾SOMO: NJISI YA KUMFUNGUA MTU ANAYETESEKA KUPITIA KINYWA CHAKE 

✍🏾✍🏾SOMO: NJISI YA KUMFUNGUA MTU ANAYETESEKA KUPITIA KINYWA CHAKE  AMEKUWA NA KINYWA KICHAFU KILA MTU ANAPISHANA NAE✍🏾✍🏾 Warumi;3;19;2Wakoritho:11;10 ✍🏾✍🏾Mathayo:12;34✍🏾✍🏾Luka:6;45 Mithali;10;5-32                             👉🏽👉🏽✍🏾✍🏾✍🏾 UTANGULIZI🌳🌳🌳🌳 BWana Yesu Atukuzwe Wanangu Pole na Hongereeni kwa Kuzidi Kuponywa na Kukua Kiroho Mimi Kwa Wageni Ambao ndio mmejiunga katika Ukurasa wangu Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Karibu Leo Nataka Nikamfungue yule Ambae AMEKUWA na Kinywa kinachotoa Lugha chafu Kauli chafu dharau na Mambo ambayo ya uchonganishi hachoki kungombanisha watu Ameitwa Kidudu mtu AMEKUWA kinyonga Anabad...

🌳🌳✍🏾Tabia✍🏾SOMO;MTU ANAVYOFUNGWA NA TABIA NA NJISI YA KUMPONYA MTU HUYO

SOMO;🌳🌳✍🏾✍🏾MTU ANAVYOFUNGWA  NA TABIA NA NJISI YA KUMPONYA MTU HUYO Tufungue Biblia Zetu Tusome Vitabu hivi Kisha Tujiulize Tabia Zetu Zinamuwakilisha Shetani au Mungu na Kwanini Tunajitesa wenyewe kwa Tabia mbaya 👉🏽👉🏽👉🏽👉🏽🌱🌱:Warumi;2;10-20👉🏽👉🏽1Wakoritho:3;1-8👉🏽;15;20-34 na 2;10-15 Waefeso;2;3-10 Tufunue Waebrania;13;1-8 👉🏽👉🏽👉🏽 UTANGULIZI 👉🏽🌱🌱 Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Kanisa La Holy Spirit Ministry Makao makuu Morogoro veta Dakawa Nakukaribisha ufunguliwe Karibuni Katika Kipindi Cha Neno la Mungu Leo nitaenda Kufundisha na Kumponya Mtu mwenye Kifungo Cha Tabia au Anateseka hapokei majibu Yake Kutokana na ...

✍🏾🌳SOMO; NGUVU YA MSAMAHA 🌳🌳✍🏾

✍🏾🌳SOMO; NGUVU YA MSAMAHA 🌳🌳✍🏾 Vitabu Tufunue Tusome Marko:3;29 Matendo;5;31 Daniel;9;5_10 Zaburi;130:1_6 UTANGULIZI; Kuna Mtu Ambaye Anaweza akawa Anateseka Kisa moyo wake hajui kusamehe na hajui madhara ngani Ambayo Anayapata asippsamehe mpaka mwingine SoMo Hili Limemwinjia majibu Yake kayazuia Mungu asimjibu kisa Msamaha Leo Nataka Kumponya Mtu wa hivi ili Akashuhudie Hakuna Kukaa Unasoma Shuhuda za wengine Lazima hiyo kamba iliyokufunga inayozuia muujiza wako INAYOKUFAnya ukosane Na Mungu Kila siku umebebelea mafurushi ya mizingo ambayo uwezo wako huwezi lakini ndio umekuwa mtaa mzima wanakujua husamehi wengine Kila ukikosana mchumba wako mmeo mkeo bos wako hujawasamehe Ndio chazo hupati Tena kazi kwingine Mungu unamuomna kanyamaza ,,,,,,,, Endeleaa Upone Ufunguliwe usijifunge Tena Naitwa Pastor Richard Naishi Morogoro Tanzania Ni Askofu na mwanzilishi wa ya Huduma ya Roho Mtakatifu yaani Holy Spirit Ministry Yenye ...

✍🏾🌳SOMO; NGUVU YA MSAMAHA 🌳🌳✍🏾

✍🏾🌳SOMO; NGUVU YA MSAMAHA 🌳🌳✍🏾 Vitabu Tufunue Tusome Marko:3;29 Matendo;5;31 Daniel;9;5_10 Zaburi;130:1_6 UTANGULIZI; Kuna Mtu Ambaye Anaweza akawa Anateseka Kisa moyo wake hajui kusamehe na hajui madhara ngani Ambayo Anayapata asippsamehe mpaka mwingine SoMo Hili Limemwinjia majibu Yake kayazuia Mungu asimjibu kisa Msamaha Leo Nataka Kumponya Mtu wa hivi ili Akashuhudie Hakuna Kukaa Unasoma Shuhuda za wengine Lazima hiyo kamba iliyokufunga inayozuia muujiza wako INAYOKUFAnya ukosane Na Mungu Kila siku umebebelea mafurushi ya mizingo ambayo uwezo wako huwezi lakini ndio umekuwa mtaa mzima wanakujua husamehi wengine Kila ukikosana mchumba wako mmeo mkeo bos wako hujawasamehe Ndio chazo hupati Tena kazi kwingine Mungu unamuomna kanyamaza ,,,,,,,, Endeleaa Upone Ufunguliwe usijifunge Tena Naitwa Pastor Richard Naishi Morogoro Tanzania Ni Askofu na mwanzilishi wa ya Huduma ya Roho Mtakatifu yaani Holy Spirit Ministry Yenye ...

NGUVU YA MWANAMKE MWENYE HEKIMA

⌚✍🏾✍🏾SOMO; NGUVU YA MWANAMKE MWENYE HEKIMA HUJENGA NDOA YAKE LAKINI MWANAMKE MPUMBAVU HUKIMBILIA KUIVUNJA NDOA YAKE HALI KADHALIKA MWANAUME MPUMBAVU HUTOA TARAKA ASITAFUTE SURUHU NA MKEWE KWA KUKOSA HEKIMA HUONA SAWA TU.✍🏾✍🏾✍🏾 MITHALI;14;1_13 1wakoritho;11:1_15 Waefeso;4;4 Karibu Mwanangu ujifunze Somo Hili litakalo kufanya uvue upumbavu ukavae vazi la hekima nakutulia na ndoa yako uchumba wako na msimamo wako. Naitwa Pastor Richard Ni Bishop Richard Muasisi wa makanisa ya Holy Spirit Ministry Tanzania Moto wa Yesu yaliyopo nchini Tanzania na makao makuu Yake ofsi zipo Morogoro wilaya ya kilosa kata ya mbingiri Kijiji Cha Mateteni Lengo Kuu LA SOMO LETU; Tufikiri Kila maamuzi Tunayoyafanya yanaleta Faida Baadae au Yatatupelekea Kuteseka Tusiamue Vitu Kwa Hasira au Kukomoa mtu. HEKIMA Ni Nini Ni kufanya Mambo kwa utaratibu au usawa bila kupendelea Upambavu Ni Nini Ni kufanya Mambo ovyo ovyo bila usawa Wala ...

✍🏾✍🏾SOMO;USIJIDHARAU

✍🏾✍🏾SOMO;USIJIDHARAU Kutoka;4;1-10 Ayubu;5;17 Mtu Anaweza Kujidharau Kutokana na Mazingira anayoishi nakufanya au Hali Yake ilivyo ya kimaisha Kitu Ambacho huwa chukizo kwa Mungu na Furaha Yake Shetani kukutazamisha Uone huwezi au maisha Bora chakula kizuri kwa Ajiri ya wenye Pesa TU kumbe njisi ulivyo ukijikubali unaweza kuyabadilisha maisha yako. Masikini hujiona Hana thamani mbele ya Mtu mwenye Pesa hivyo Hali hiyo humfanya ajidharau nakunyenyekea nakumwabudu mtu mwenye Pesa kwa kuwa TU kuna kitu anakuwa anakiitaji. Kumbe wewe Ni wathamani Sana lakini kwa kuwa hujui thamani yako mbele za Mungu unajishusha hujiamini umekuwa mtu wa kusitasita katika maamuzi yako umekuwa wakujinug.unikia TU imefikia hatua umekufuru mpaka kusema kwanini nilizaliwa  imefikia hatua lawama umewatupia wazazi wako walezi wako Yote Kukosa ufahamu wakujielewa thamani yako kwa Mungu Umepewa thamani kumbwa Sana ya kutawala kila kitu kinakujua wewe Ni Mtoto wa Mungu taifa Teul...

Somo; Nimechoka

🌳🌳SOMO: Nimechoka Na Matatizo Yasiyoisha🌲🌲Mungu wangu usiniinulie Kisasi mwanao Niokoe Na Mateso haya🌲🌲🌳 Vitabu;Zaburi:6;6 Zaburi:69:3 Yeremia;6;11 Yeremia:45:3 Ayubu;10;1-5 Inafikia hatua Tunapoona Mambo yanazidi kuharibika na kuwa magumu Tunaamua kikri Nimechoka na majaribu haya hata Kama ndio Mungu umeamua kupima Imani yangu sio kila Siku Mimi Tu Nimeomba Sana Lakini Naona Kama Umefumba masikio usinisikie Huwa Tunaenda mbali mpaka Tunaacha kwenda Kanisani nakuwachukia WATUMISHI au Wanaotendewa Kwa Sababu ngani Tumechoka na Teso Hilo. Je Kwani Wewe Ukinuna nakuchukia Usipite kwenye pito Unaweza kumfanya Mungu Akuhurumie asikupitishe kwenye Jaribu linaloenda kukupa sifa ya Kumtengemea Je Ukiacha Kwenda kanisani Nakuomba ndio suruhisho ya Tatizo lako Unakuwà unamkomoa Mungu au mwenyewe Je ukisema Unaanza Kurudi nyuma Unaacha Wokovu harafu mchungaji wako akikuuliza unamdanganya unazani ndio Utavuka...

SOmo ;Mungu Akuheshimishe

⌚⌚SOMO; MUNGU ANAIRUDISHA HESHIMA YAKO WALIOKUDHARAU ANAWAFUNGA VINYWA VYAO⌚🗣🗣🗣 Nahumu;2;1-13 Yohana;4;44 Mathayo:13:57 1coritho:12;21-25 Waebrania:2;7-10 Wahenga walishasema Usimdharau mtu kabla hajafa huwezi ukajua atakuja kuwa Nani Heshima na Thamani ya Mtu ipo katika uhai Wake TU maana unayemdharau Leo kesho hujui utamkuta wapi Karibu Naitwa Pastor Richard Kwa Wageni Ambao ndio mmeanza kunifatilia Kurasa na group Zangu Nipo Morogoro Veta Dakawa nchini Tanzania Lengo Kuu LA SOMO Hili; Tujifunze kuwaheshimu wakubwa kwa wadogo Usimdharau mtu hata Kama kaja ofsini kwako Jitaidi kumkalimu na kumfundisha au kumhudumia vyema ili hata siku nyingine akukumbuke Usiwe na majibu machafu au kuwadharau wengine waheshimu wote. Nini Maana Kudharau Ni Hali ya kukiona kitu hakina thamani hakina umhimu kwako Tena. Tambua kila mtu Mungu amemuweka kwa kusundi maalumu mpango mwalimu usiaze kuhesabu madhaifu kwa mtu ukakosa kukumbuka ipo siku madhaifu yatao...

MTAMBUE JINI MAHABA KATIKA UHARIBIFU WAKE

MTAMBUE JINI MAHABA KATIKA UHARIBIFU WAKE 👉🏽👉🏽SOMO;JUA PEPO LA KUPATA PESA HALAFU MATATIZO NDIYO YANAONGOZEKA__KUTOKUUZA DUKANI__KUGOMBANA NA MMEO/MKEO/MCHUMBA.✍🏾✍🏾✍🏾✍🏾✍🏾 Vitabu Usome: Mathayo;7;24-28 Mathayo;4;24 Luka;8:2-39 Kutoka;15;8-10 Zaburi;18:10-14 Lengo kuu; Ujue njisi huyu Pepo anavyoharibu maisha yako kwenye uchumi na kuvunja ndoa kuwagombani. Karibuni wanangu Naitwa Pastor Richard SoMo Hili lipo kwa Ajili ya kukupa mbinu ya Kutoka kwenye uchumi wako kushikwa. Pepo ni Nini? Ni roho isiyoshikika Ni hewa inayotumiwa kufarakanisha kuharibu uchumi wako Huwa Matatizo niliyoyaorodhesha hapo Juu ukiona unatatizo haya. 1;Mafarakano wewe na mmeo/mkeo/mchumba 2;Unauza biashara huoni Pesa unakazi yakuongezea mtaji 3;Kuota ndoto Unafanya mapenzi 4;Kushika Pesa ukizishika tu ndio matatizo yanaimbuka 5;Ugomvi wa KILA siku na mmeo/mkeo/mchumba wako 6;Kuotwa kinyama sehem...

Somo; JIFUNZE MAOMBI YA VITA vya KIROHO

✍🏾✍🏾SOMO; JIFUNZE MAOMBI YA VITA✍🏾 1wafalme;8;45-54 2wafalme:20:5   2Nyakati:7;15 Karibu Mwanangu Naitwa Pastor Richard Naekuwasilishia SoMo Hili Lengo la SoMo Ujue hatua na unavyotakiwa uombe kupambana Vita katika ulimwengu wa roho Hali itakayokufanya ujinasue katika ulimwengu wa Vita vinavyokukabili kiroho. Mambo Ya KUZINGATIA katika Maombi ya Vita 1;Uwe Tayari mwili wako na Akili yako Kuelekea vita ya kiroho 2:Usiwe umechokachoka au unaomba huku Upo nje ya eneo la Vita akili yako itulie. Hatua za kufata Kabla yakuanza Maombi ya Vita; 1;Omba utakaso na Kujitakasa kwanza 2;Omba roho wa Maombi ya Vita aingie aiongoze Vita Mfano karibu roho wa Maombi ya Vita karibu unifundishe kuomba karibu unitawale  karibu karibu 3:Omba Kujifunika mawazo akili maneno yako nk kwa Damu ya Yesu 4;Kiri ujitangaze katika ufalme wa ngiza na Anga la eneo ulipo kuwa Mimi Richard Ni Moto Tena sikia falme za majini ya kike na ya Kiume wachawi n...

SOMO; ONDOA FIKIRA Chafu ufunguliwe

✍🏾✍🏾SOMO;ONDOA FIKIRA CHAFU UFUGULIWE 2Wakoritho:2;11,3:14,4;10 na 10:5 Matendo;8;22 Karibuni wanangu Naitwa Pastor Richard SoMo ondoa fikira chafu ufunguliwe Linalenga SOMO Hili Kukufungua uliyefungwa na fikira chafu au fikira zakujiona wewe mateso sehemu yako. Fikira Ni Nini?? Fikira Ni Hali ya Mtu kujijengea tabia fulani katika maisha tabia hiyo inaweza kuwa chafu au nzuri. Sasa Chazo chake huitwa fikira yaani mtazamo usiobadilika. Fikira imegawanyika katika Makundi Mawili. 1;Fikira Yenye Nguvu 2:Fikira isiyo na Nguvu Fikira Yenye Nguvu Ni Hali ya Mtu kwenda sabamba na mabadiliko ya nchi na kuwa mwepesi kubadilika Kutoka pale anapoona hapampi Faida kwenda kwenye Faida mfano; Nataka niwe na biashara kumbwa Huyu mtu anafikiri hivi Sasa anatakiwa Aifanye biashara Yake iwe Kubwa kwa kutofautisha Huduma na Wegine hata kuitangaza Mfano unauza online uona biashara haiendi hakikisha Unafanya kazi kumbwa kuitangaza tu na kuielezea biashara yako mtandaon...