Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Januari, 2016

USHUHUDA WA MCHUNGAJI RICHARD KUKAA MIENZI 9 BILA KULA WALA KUNYWA

NAITWA MCHUNGAJI RICHARD LEO NATAKA NIKUSHUDIE KIPENGELE KIMOJA ALICHONIPITISHA MUNGU AKIWA ANANIITA KATIKA HUDUMA YAKE. nilipitia wakati wakushangaza wengi niliungua sana nikawa nikiletewa chakula  nikitaka tu kukila chakula kinabadilika wanakuwa funza wachooni na kimwanga nikiletewa chai inakuwa damu nilikaa kwa mateso mienzi 9 sili wala kunywa kutokana na kutokula nilikonda sana nikawa mtu wakuongeshwa na bibi yangu watu wakija wanasema huyu atakufa haponi wajomba zangu wajomba zangu wakawa wanamwambia bibi yangu unahangaika nini huyu anakufa tu majirani  masister marafiki zangu walifika wakati huo nilikuwa rc niliumia sana mpaka baba yangu alinikatia tamaa kabisa mzazi wangu alituzimia simu bibi alinitia moyo mjukuu wangu nitakuwa nawe mpaka hatua za mwisho bibi nilimwambia usilie nitavuka tu huu wakati wangu wakujaribiwa. MUNGU AKAINUA WATU WAJE KUSAIDIANA NA BIBI. mungu akanyanyua mabint  wawili niliokuwa nmezoeana dada mdogo wetu kuishi na watu viz...

SOMO:UZIMA WA MILELE 1YOHANA.5:11-13 UFUNUO.3:20

UZIMA WA MILELE NIN? ni uzima unaopatikana mbiguni baada ya kufa kwa mwanadamu. ni mahari patakatifu na waingia hapo wale tu waliotembea na mungu katika sheria yake na maangizo yake  wenye kujitenga na dham KUNA SEHEMU KUU MOJA TU ITAKAYO KUPATIA UZIMA NA KUKUONGOZA KATIKA NJIA NZURI YA KUKUFIKSHA MBIGUNI. yesu akasema mimi ndie njia ya kweli itakayokufikisha kwa baba mtu haingii mbiguni pasipokupitia kwangu yohana.14:6 ILI UWEZE KUNGIA MBIGUNI LANZIMA UPITIE NJIA KUU HIZI. LANZIMA UTUBU MAOVU YAKO. nawaambia sivyo mnavyozania kuja kwa baba mnakuja na uovu wenu lanzima mtubu na msipotubu mtaangamia hapa anamaana mtachomwa moto  mtapotea mtaenda njia zisizofaa.mtakufa LUKA.13-3 LAZIMA UMPOKEE KRISTO YESU [UOKOKE] USIPOOKOKA HUTASHINDA  VISHAWISHI VYA KIDUNIA WALA DHAMBI HUTOISHINDA KAMA UNATAKA UONE UZIMA WA MILELE USIOKOKE KINAFIKI UKIWA KANISANI MWEMA UKITOKA KANISANI. UMBEA WAKO.UOGO WAKO .UCHAWI.UZINZI.DHABI ZINAKUTAWALA UMEAMBIWA   ISHINDE DHAMB...

SOMO:ZIJUE MBINU ZA ADUI WA TATIZO LAKO

Picha
HAKUNA VITA INAYOENDA KIUPOFU UPOFU TU USIJUE MBINU ZA ADUI YAKO HII HUWA HATARI SANA USIPOJUA  ADUI YAKO ANAMBINU ZIPI UKAENDA KICHWA KICHWA NA HII IPO KWA WALOKOLE WENGI WANAPOPAMBANA NA SHETANI KTK KUDAI HAKI YAO. HIZI NDIZO SIRAHA ANAPOKUSHINDIA SHETANI NAKUMFANYA MUNGU ASIKUJIBU. YAKOBO.4:3 TAZAMA WATU HAWA WANANIOMBA LAKINI HAWAJUI NJISI YA KUNIOMBA WANANIPINGIA KELELE TU. KWANZA ELEWA MAOMBI YAITAJI UADALIVU WA MAZINGIRA AKILI FAHAMU. PILI ELEWA SI KILA OMBI UNAOMBA KWA UTARATIBU MMOJA ULIOZOEA JUA KILA OMBI NA HITAJI LINA NJISI YA KUOMBA. TATU ITA UWEPO WA MUNGU KWA KUABDU WIMBO MMOJA AU ZAIDI NNE PUUZA TATIZO NA ULIONE NDOGO SANA. TANO MRUSU ROHO AKUONGOZE. SITA TII NA FATA MAELEKEZO YA ROHO WA MUNGU. YAFUTAYO NDIO SIRAHA YA SHETANI KUKUZIDI. KWANZA VISINGIZIO VINGI SANA VISIVYONAMATIKI. KURUSU TATIZO NA TATIZO KULIONA SUNGU KWAKO. KUOMBA MAOMBI BILA MPAGILIO. KUOMBA UKIWA UMELALA AU UMEKAA AU UMEPIGA MAGOTI WAKATI UNAJUA UNAOMBA MAOMBI YA VITA. MAOMBI YA VI...

SOMO; UONGONZI WA MWEMA. YEREMIA.1-5 KUTOKA.3:11-14 1SAMWELI.16

UONGONZI MWEMA WATOKA KWA MUNGU. UONGONZI NINI? Ni nikukumbalika kwa mungu na kwa wanadamu uongoze jamii au kikundi cha watu. KUNA SEHEMU GAPI ZA UONGONZI  KUNA SEHEMU KUU MBILI TU. 1"UONGOZI WA KIROHO. 2"UONGOZI WA KIMWILI WA NYAMA UONGONZI WA KIROHO ሸi uongonzi unateuliwa na mungu kukubalika mbele za mungu  tunasoma. 1samweli.16 SIFA ZA MTU HUYU KUCHANGULIWA NA MUNGU. -UNATAZAMWA MOYO WAKE UNAMFAA KUFANYA KAZI NA MUNGU. -HISTORIA YAKE INATAZAMWA JE MKAMILIFU. -IMANI YAKE JE INAMTENGEMEA MUNGU. -MABADILIKO YA MWILI NA KIROHO JE ATABADILIKA NA KULIISHI NENO LAKE -JE ANAUPENDO -NI RAFIKI WA MUNGU. MAMBO HAYA MAKUU MUNGU ANAYOTAZAMA ILI AKUTUMIE. ADUI WANAOPIGANA KUFIKIA ALIPOKUPAGIA MUNGU. 1- NAFSI YAKO  ni yen yewe inakufanya kukata tamaa. wasiwasi. woga. hofu. kujidharau. 2"MANZIGIRA YENU.wao wakukatisha tamaa na kukudharau kukuambia huwezi wakati si wao waliokuchangua. 3.IBILISI. huyu akubaliani kabisa na wewe upinge hatua ye...

SOMO:SAFARI YA MTU TAJIRI NA MASIKINI DUNIANI. MITHALI.28-11

TAJIRI NI MTU GANI? ni mtu aliyeridhika kimaisha mwenye kila kitu alichotaka au umwinyi MASIKINI NI NANI? ni mtu asiye na kitu alichotamani awe nacho au ni utumwa wa maisha magumu SAFARI ZA WATU HAWA HUANZIA UJANA WAO. MTU MASKINI huukaribisha umaskini toka akiwa kijana anakuwa mvivu wa kujituma katika kazi au kuwa anafanya kazi pasipo na malengo kijana huyu hatataka kujifunza kwa vijana wezake atafanya kazi pesa yote itaishia katika starehe tu atashindwa kununuq kitanda hata ngodoro  akili yake itawaza kuolewa au kuoa badala ya to fight life everytime man make postive life naver think negative life poor man your succes not camming coz the unprove mood pia umasikini mtu humkuta asipojipanga akiwa na nguvu yeye anakaribisha uvivu na kushinda kijiweni kujiuga na makundi ya ajabu  kufumba na kufumbua uzee huo hunaanza kulaamu ndugu wazazi marafiki unaanza mara kwa mjomba mara kwa shemeji mara huku unawapa mzingo watu kwa akili yako haikufanya kazi ujanani unailazimish...

USHUHUDA WA BINTI WA MIAKA 38 KOLEWA BAADA YA MAOMBEZI

USHUHUDAA HUU KARIBU UKUJENGE IMANI UNAELILIA MME AU MKE UMEFIKIA HATUA UMEKATA TAMAA KARIBU UFATILIE USHUHUDA HUU WA FROLA KUTOKA SIMIYU MKOA MPYA. baada ya kufatilia shuhuda za matendo makuu ya mungu anayoyatenda kwa wanaomkimbilia alichukuwa namba akanipingia akanieleza naitwa flora nimekuwa nateseka sana na mahusiano kila kijana naempata anaishia kuniogopea tu inapofikia hatua tukatambulishane anakuwa na moyo mgumu halafu baada ya mda wanaiacha akija mwingine anakuja na ngia ya kukuoa mpaka atajitambulisha kwa wazazi lakini mwisho wa siku anatimiza lengo lake anakuacha mpaka  sasa baba na miaka 38 naona umri unanitupa mkono baba naomba uniombee niolewe MCHUNGAJI.pole sana binti yangu hivi unajua nadhiri ulishawawekea wagapi nadhiri FLORA.wengi sana bab MCHUNGAJI.nitafugua nadhiri na vifungo vya mapepo nilivunja nadhiri na kuanza kumuombea nikamuongoza toba nasamaha nikaanza kumuongonza njia ya mungu nashukuru alikuwa msikivu na dani ya miwili alijibiwa na mungu na akan...

SOMO. KUHARIBU UJAUZITO.{kutoa mimba} KUTOKA 20-13" ZABURI.139:13

KUHARIBU UJAUNZITO NINI? ሰi kitendo cha mtu kuua kijusi kinachokua tumboni mwa mjamnzito. au nikua kiumbe cha mungu. KUNA SEHEMU KUU MBILI ZA KUHARIBU UJAUNZITO. 1"MIMBA KUHARIBIKA KWA NJIA YA SHETANI 2"MIMBA KUHARIBIWA NA MKE AU MME. KUHARIBIKA MIMBA KWA NJIA YA SHETANI. ኸተ kitendo kinachomfa mjamnzito mimba inaharibika au inatoka yenyewe tu kazi hii huwa ni shetani anatoa kafara kuzimu eiza kati yenu anapenda kushika dawa za kienyeji ni virahisi shetani kutumia ajent  wake wachukue kiumbe ktk tumbo lako hilo huwa mpango wa shetani kwa njia mbovu zenu SHETANI ANAHARIBU  VIPI MIMBA. shetani hutumia wafasi wake hawa. -MAPEPO YA KUTOA KAFARA KUZIMU -WACHAWI KAMA NYAMA YAO NA MAFUTA YA KUSAFILIA MBALI. -WAGANGA MMOJA WENUAU WOTE ANAPOKUWA MWANACHAMA WAO NJISI WANAVYOMUINGIA MTU. pepo humvaa  mwanamke anamnjazia mawazo nakumwambia toa ujauzito si baba yake kamkataa atatoa kijana nae pepo atamvaa na kumwambia wewe ujajipaga hutoweza kulea  mtoto ...

USHUHUDA WA MWANAMKE ALIYETOKWA BLIND KWA WIKI TATU MFULULIZO.

NILIFIKA WORD YA WANAWAKE HAPA NZEGA HOSPITALI. baada ya kufika hapo nikiwa nimeenda kuombea wagonjwa na kuwasalimia nilikutana na mwanamke aliyekuwa anamwanga damu kama maji nilijitambulisha kwake kuwa naitwa mchungaji richard nahusika na maombezi kwa watu wote nilimuuliza bint yangu unamda gani hii hali ikukute alisema wiki mbili alikuwa nyumbani tu na anawiki kaletwa hosptalin lakini hali ilikuwa mbaya sana nikamwambia unajua mungu apendi uteseke nikamwambia nataka nikaifunge hali hii je wa mwamini mungu alinijibu ndio nikamwambia baba ulisema utanituma kwa watu wako ninaifunga damu isitoke tena nawe damu na pepo uliekuwa unamtesa bint yangu mwachie mara moja na ikawe ivyo dani ya siku 3 katika jina la yesu. kweli siku ya tatu damu ilikuwa haimtoki kesho yake alitoka hospitalini. USHUHUDA HUU YAMKINI UNAPITIA KIFUNGO HIKI CHA KUBLIND DAMU NYINGI SASA WAKATI WAKO WA KUMPA YESU TATIZO LAKO NAITWA MCHUNGAJI RICHARD FROM NZEGA TABORA TANZANIA WASILIANA NAMI SIMU.+2557...

SOMO. KAZI ROHO MTAKATIFU. ISAYA.11:2-6

RROHO MTAKATIFU NI NIN? ni msaidizi wako katika njia ya mbiguni ili uweze kutembea na mungu lazima uogonzwe na mungu kupitia roho mtakatifu yeye hatakupotosha. KUNA SEHEMU KUU SABA ZA ROHO MTAKATIFU ZOTE HIZI ZINAKAZI YAKE NDANI 1" ROHO YA BWANA. WARUMI.8-11 huyu roho anakupa kuwa na mamlaka makumbwa katika kazi ya bwana huyu ukupa upako wa kuponya kitu 2"ROHO WA HEKIMA.  MHUBIRI.7-12 huyu roho hukufanya utende mambo yanayoonekana ya maana. anakupa uelewa na ufahamu wa kutenda kazi yako vizuri kwa umakin hukupa uelewa wa kuongea mungu anakufundisha kuomba mbele za baba kwa utiifu na heshima. maombi yako yatajibiwa haraka 3"ROHO WA  UFAHAMU YOHANA.16:7-8 huyu anakupa kujua  mambo yajayo na yaliyopita yaliyopo. huyu roho hukufanya uone vosivyoonekana kwa macho hukufanya umjue mtu kiudani atakujulisha siri zote za mti au maisha yako. 4"ROHO WA USHAURI 1wakoritho.3-9 huyu roho anakuonya na kukukemea katika njia mbaya. anakushaur...

SOMO. MSAMAHA YER.31-34 KOLOSAI.3:13 MATH.6:14-15 ZABURI.86-5

 SOMO:NGUVU  YA KUSAMEHE    MSAMAHA NI NINI? NI kufuta na kusahau makosa uliowahi  kukosea au kukosewa. KUNA  SEHEMU KUU MBILI ZA MSAMAHA . 1-MSAMAHA WA BINADAMU KWA BINADAMU 2*MSAMAHA  WA MUNGU NA BINADAMU MSAMAHA WA BINADAMU NA BINADAMU. mathayo.6:14-15 ni hatua ya kuwafutia watuakosa yao waliowahi kukukosea na kusahau kabisa. KWANINI USAMEHE UNAMBIWA HATA KAMA MTU AMEKUUMIZAJE. 1"ukisamehe unafunguliwa vifungo vyako vya kukosa amani. 2"unapata amani katika moyo. 3"mungu anakuona mtoto msikivu unafata anavyokuamuru. 4"unapewa roho yakusamehe wengne. 5"upendo unatawala. NINI KITATOKEA USIPO SAMEHE NI LAZIMA ITOKEE 1:hautasamehewa makosa yako yote. 2"hautayashinda matatizo itakuewa kila siku nafuu ya kesho. 3*watumishi watakuombea sana mungu hatajibu hitaji lako. 4"moyo unakosa amani 5*ጠapito yakuzidi kila tatozo  mungu analirusu. HULAZIMISHWI KUSAMEHE MAYHAYO 6;14-15 MSAMAHA WA MUNGU NA BINADAMU ZABURI.86-...

SOMO. SAFARI YA MWANADAMU MITHALI.25:28 1WAKORITHO.7-5

.poሰደSAFARI NI NINI? ni hatua anazokuwa nazo mtu za kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyigine. SAFARI ZIMENGAWANYIKA SEHEMU KUU MBILI 1"$AFARI YA KIROHO 2"$AFARI YA KIMWILI. SAFARI YA KIROHO ( MWANZO.2-3 UFUNUO.4-8 ni safari inayoanzwa na mtu pale tu anapookoka na kumkiri kristo kuwa ni BWANA. SAFARI HII HUGAWANYIKA SEHEMU KUU TATU    1"WÕKÕVU     2"KUÕKOKA     3"KUKOMBOLEWA WOKOVU"ሰተ ዘatua inayomfanya mtu awe na uhakika yeye yupo ameandikwa katika orodha ya watakatifu wa bwana. wakolosai.1-13 ATAJUAJE KUWA YEYE AMEANDIKWA KATIKA WATAKATIFU WA BWANA 1"matendo yake yatamshundia 2"ሸa roho atamjulisha. 3"atabadilika tabia yake na kumpenda mungu sana. 4"hatasukumwa kufanya kazi ya mungu. 5"watu watamsema vizuri na atakuwa na moyo wa kipekee. KUOKOKA" ሰተ ጠaisha mapya ya kuamua kutembea katika njia ya mungu. yohana.1:12 yohana.10-10 UTAMJUAJE MTU AMEOKOKA 1"atabadilika njia zake za uovu...

USHUHUDAA WA MME MWEMA NA MKE MWEMA.2016 MORONGORO

MWAKA HUU MUNGU KAANZA KWA KUONYESHA MKE MWEMA NA MME MWEMA ANAVYOWAUGANISHA MWANAMME ALIKUWA MORO MKE ALIKUWA IRINGA SAFARI YA WALIVYOKUTANA mwanamme anaphamancy yake moro mwanamke akaambiwa kuna kazi ya kuuza duka la dawa na huko alikuwa anauza phamancy akaasems acha niende moro kijana akiwa amajisemea ukiniletea bint mungu wangu huyo ndio atakuwa mke wangu bint alifika salama moro kijana akamuona bint akasema moyoni huyu ndie mke wangu bint akatokea kumpenda kijana kama kaka yake miez ikaenda kijana akaanza kumweleza binti awe mke wake bint alimwambia mimi ninamchumba na kweli alikuwa anamchumba ALIVYOONGONZWA NA MUNGU MPAKA KWA PASTOR RICHARD NAILIVYOUNGANISHWA JINA LA BINT NA MCH. siku moja aliingia internent akakutana na shuhuda zangu chini niliacha namba akachukua akanipingia nikapokea akaniambia nimekuwa nikidhulimiwa  kila napo kopesha saa ingne wati wananiahid tu baba naomba uniombee nipate mme mwema nilimuongoza toba nikamwambia baba nijulishe juu ya bint...

DHAMBI INAMTENGA MTU NA USO WA MUNGU WARUMI:3-23

DHAMBI NI NINI? ni uasi  au kwenda kinyume na sheria ya mungu. KUNA SEHEMU KUU MBILI YA DHAMBI. -DHAMBI YA KUKUSUNDIA. -DHAMBI YA KUTOKUSUNDIA DHAMBI YA KUKUSUNDIA  NDIO IKONJE. ሸi dhambi unayoifanya kwa kujua kabisa hapa namkosea mungu lakini bado uachi. DHAMBI HII INAMADHARA GANI -inakutenga mbali na utuku wa mungu -inakuletea maradhi na matatizo mengi -unakufa kifo cha mateso -unakuwa mlango wa shetani kukutesea -unakuwa mtu usiyejijua katika matendo yako. -kamwe uwezi kuingi mbiguni -utachomwa moto na kuhukumiwa kifo cha haraka maana anaona akikuacha uishi utaendelea na uovu anaona tu akuchukue mapema. FAINDA YA KUEPUKA DHAMBI -unaishi maisha marefu. -maradhi kwako hayatakuwepo -ukitaka kufa mungu anakujulisha unaacha ratiba vizuri. -utaomba na kupanga na kulaani kuhukumu na itakuwa ivyo. -unachukia dhambi -roho wa mungu anakaa nawe -utaandaliwa makao pa nzuri baads ya kifo -shetani na njeshi lake hawatkungusa MAAMUZI NI YAKO SASA ...

UMEKOSA MATUMAINI UMEKATA TAMAA. WAEBRANIA.6:18-19

TUMAINI NI NINI? tumaini ni mataranjio ya maombi yako kuwa utajibiwa. au kutaranjia kitu kisichoonekana kuwa utakipata. KWANINI MTU HUFIKIA HATUA YA KUKOSA MATUMAINI. -INAWEZA KUSAMBAMBISHWA NA ;MTU KUKOSA IMANI NA ANACHOKITAMANI. :MTU KUTOMJUA VIZURI  UWEZA WAKE. :KUTOELWA MUNGU ANAMAMAJE KWA WANADAM. :MTU KUUONA TATIZO LAKE NGUMU SANA LIMESHINDIKANA. :MTU KUJIKATIA TAMAA :MTU KUTOONA WAPI TATIZO LAKE ALIPELEKE. HAYA NDIO YANAFANYA WATU WAKOSE TUMAINI KABISA. VITU VITAKAVYO KUFANYA UWE NA  MATUMAINI. :JUA NAFASI YA MUNGU ANASIMAMAJE KATIKA MAISHA YAKO. :KUWA NA IMANI NA MUNGU :CHUKULIA TATIZO LAKO NDOGO :PENDA NENO LA MUNGU :USIMAME NA MUNGU :KUWA KARIBU NA WATI WANAOPENDA MUNGU. KAMA KWAKO KILA SIKU HUZUNI.TUMAINI HAKUNA LAZIMA USHIKE HAYA UKAWE NA TUMAINI KUMBWA NAITWA MCHUNGAJI RICHARD FROM NZEGA KUTOKA HUDUMA ZA KIROHO MAOMBEZI NA  MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU OMBEA HUDUMA HII IKUFIKIE MKOANI KWAKO NA ULIPO ILI ISAINDIE WENGI KWA MAWASI...

SOMO.KUFUNGULIWA ZABURI:107:14

KUFUNGULIWA NI NINI? ni kuwa huru na matamanio ya moyo wako. unafikia malengo yako bila kizuizi. NITAJUAJE MIMI NIMEFUNGULIWA VIFUNGO VYANGU. HIVI VITU VITAKUJULISHAA 1-UTAMPENDA  MUNGU KULIKO VYOTE. 2-UTAPENDA  KUSOMA BIBLIA KULIKO VYOTE 3-UTAPENDA MAOMBI SANA 4-UTATAMANI WATU WOTE WAMJUE MUNGU WAWE KAMA WEWE 5-UTAKUWA NA MOYO WA KUSAMEHE WATU. 6-UTAPANGA MIPANGO ITASONGA MBELE. 7-UTAKUWA MTU MWENYE HURUMA KWA WENGINE. 8-HUTOMWIMBIA MUNGU FUNGU LA KUMI AU SADAKA. 9-UTAFANYA KAZI FAIDA UTAIONA 10-HAUTAKUWA MTU WA KUUMWA TENA 11-UTABEBA  MIMBA NA UTAZAA. 12-UTAKUWA NA UPENDO KWA WATU WOTE. 13-UNAKUWA MTU WA KUMSIKLIZA MUNGU TU. 14-UNAKUWA KILA UTAKACHOOMBAUNAJIBIWA 15-UNAPENDA IBADA NA NENO LAKE 16-HATA MANZUGUMZO YAKO YANAKUWA YA MUNGU MUNGU TU 17-UNALIWA MTU  USIYE CHUKIA  BILI SABABU. HAYA NDIO YATAKUJULISHA KAMA UMEFUNGULIWA JICHUNGUZE JE WAPI TATIZO NIPINGIE  NAITWA  MCHUNGAJ RICHARD Holy SPIRIT Ministry KW...

VIFUNGO ZABURI.107;14

VIFUNGO NI NINI? NI HALI YA MTU KUTOKUA HURU NA UAMUZI WA KUFANYA JAMBO AU MTU KUTOKUFIKIA MATAMANIO YAKE. VIFUNGO VIMEGAWANYIKA SEHEMU MBILI 1'VIFUNGO VYA KUJIFUNGIA MWENYEWE. 2'VIFUNGO VYA SHETANI. VIFUNGO VYA KUJIFUNGIA. ni mtamshi unayotamkiwa au unajitamkia ambayo huwa kama laana. MANENO HAYA UNAWEZA UKATAMKIWA NA MARAFIKI AU WAZAZI AU UKAJINENEA JUA UNAKUWA UNAJIBLOCK MWENYEWE KWA BAADAE YANATHIBITISHWA NA MUNGU MFANO MANENO HAYA -HUTONZAA -HUTOOLEWA -UTAKUWA MALAYA -HUTAFANIKIWA MANENO YA LAANA HUKUFUNGA MWENYE UNAPOYAKUBALI. 2'VIFUNGO VYA SHETANI. NI MTU KUKAMATWA UFAHAMU NA AFYA ANAKUWA YUPOYUPO WEZAKE WANAPINGA HATU YEYE HATA WAZO HANA ANAPAGA MIPAGO HAIENDI VIFUNGO VUA  MAJINI NA MAPEPO -UNAPANGA MIPANGO HAIEDI. -KUFANYA KAZI BILA FAIDA -KUKOSA  AJIRA -CHUMA ULETE -MAHUSIANO KUVUNJIKA -HASIRA -CHUKI -KUTOKUSAMEHE -MWILI KUUMWA UMWA -NDANI YA NDOA AMANI INQKOSEKANA -MME KUMCHUKIA MKEWE AU MKE KUMCHUKIA MMEWE. ...

VIFUNGO ZABURI.107;14

VIFUNGO NI NINI

MAOMBI YA USIKU UNAEKUWA UMECHOKA KUOMBA MAOMBI MAREFU OMBA HIVI.

MAOMBI YA USIKU.MITHALI.3:24 eeh Bwana Yesu nakushukru umenilinda kuanzia asubuhi mpaka mda huu napokuja kwako nakukabidhi viungo vyangu wewe ukanilinde na kunikinga na yule muovu katika jina la yesu.AMENI.

MAOMBI YA ASUBUHI NA BWANA

MUNGU NAKUSHUKURU.ZABURI.118:21 nakushukuru mungu wangu asubuhi naianza baba naomba ukaanze nami ukamalinze nami salama siku yangu kanipe wepesi penye nzito palipo pa ngumu kapamalinze mwenyewe naomba nakuamini hayo katika jina la yesu.AMEEEE

SOMO.MAOMBI 1wafalme.18:21-46

MAOMBI  NI  NINI? nimawasiliano ya mtu na kitu anachoamini kitamsaindia katika hitaji lake au jibu la matamanio yake. MAOMBI YAMEGAWANYIKA KATIKA SEHEMU KUU MBILI TU.  1:MAOMBI KATI YA MUNGU NA BINADAMU 2; MAOMBI KATI YA SHETANI NA BINADAMU 1:MAOMBI KATI YA MUNGU NA BINADAMU zaburi.91:14-16 ni mawasiliano baina ya mtu na mungu akieleza  mahitaji yake au matamanio yake anayotaka mungu amtendee au ampatie. MAOMBI HAYA YAMENGANYIKA KUTENGEMEANA NA HITAJI LA MTU PIA KILA OMBI LINAUTARATIBU WAKE JINSI YA KUOMBA ILI UJIBIWE. KILA OMBI LINATOFAUTIANA JISI LA KULIOMBA KWA BABA. MATAMSHI YAKO YAENDE SAMBAMBA NA OMBI UNALOOMBA KWA BABA. yaani mf.maombi ya vita inatimia nguvu lakini yamsamaha unanyenyekea yoyote yanayomhusu mungu lazims ujishushe kwake si umwendee kiukali hatakujibu. KUWA NA ADABU ZOTE MBELE ZAKE USIMWENDEE KIMAZOEA MUNGU KUMUOMBA. SIMAMA NA NENO LINALONZUGUMZIA HITAJI UNALOMUOMBA MUNGU TAFUTA  MSITARI MMOJA TU.  ...

KARIBUNI WOTE

KARIBUNI NDUGU ZANGU KATIKA MAFUNDISHO HAYA YATAKAYOKUJENGA NA KUKUINUA KIROHO YANAYOENDESHWA KATIKA UFAHAMU NA ELIMU YA KIROHO MTAKATIFU. KARIBUNI SANA

NAMSHUKURU MUNGU SANA TENA SANA

Picha
KWA KUNIINUA JUU ZAID MIMI MCHUNGAJI RICHARD NILIYESHIRIKI PAMOJA MATESO NA KRISTO MTUMWA WA KRISTO YESU NINAMSHUKRU MUNGU KWA HUDUMA ZA KIROHO INAYOONGONZWA KIROHO HUDUMA  ILIYOFIKA TANZANIA NZIMA ULIPO IPO NAYO NI HUDUMA INAYOHUSU MAOMBENZI NA MAFUNDISHO YA NENO KARIBUNI SANAA ENDELEAA KUFURAHIA