SOMO:UADAJI WA MAHUBIRI
SOMO: UADAAJI WA MAHUBIRI Uadaaji Ni Nini? Ni uwekaji Na mpagilio wa masomo utakayo hubiri. MUBIRI Ni muwasilishaji wa Jumbe za Kibiblia kwa usahihi kwa ajili ya kuonya Kundi na Kuongoza Kundi. SIFA ZA MUHUBIRI 1Timotheo;3;1-7 1:Asiyelaumika mstari;2 Awe mtu mwenye Ushuhuda mzuri kwa Watu na Kwake mwenyewe asiwe mtu mwenye kujiona mtenda Dhambi au mchafu akijikangua ajione msafi Hana doa 2:Mwenye Kiasi na Busara Utumie Busara na Kiasi katika chakula Kama utakaribishwa kula usile Sana au Usiwe na Tabia au SIFA chafu kwa Kundi unalolihubiria 3:MKARIBISHAJI Kuwa mtu wa kula pamoja na Waumini wako na waliokuzunguka pia Ukitembelewa wageni wakaribishe wape pakukaa au waelekeze Usitembelewe na wageni unawaagalia tu. 4:AJUE KUFUNDISHA. Lazima mhubiri awe mwalimu mtu anaejua kufundisha 5:ANAEJUA KUJISIMAMIA MWENYEWE NA KUJITOA MWENYEWE Mhubiri anapaswa ajue kujicontro mwenyewe katika maisha Yake Ya Damu na Nyama pia kiroho awe vizuri amesimama. 6:ASIYEPENDA FEDHA AU MALI ZA WAUM...