Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti, 2020

Somo; NGUVU YA FUNGU LA KUMI

SOMO: NGUVU YA FUNGU LA KUMI KWA ANAEFATA MAELEKEZO. Malaki:3;10 Kumb.Torati:14:22 Kuna Watu hawawezi Kuinuliwa au maisha Yao kubadilika Kutokana na wizi na tamaa za kula Fungu la kumi. Kuna watu Wengine wataendelea Kubarikiwa Kuinuliwa Kutokana wameweka Namba moja Katika Fungu la kumi. Nilisema Kwa wale mlioanza mwezi huu Kuwa mnatuma Zaka Zenu Katika Madhabahu ya Moto wa Yesu Tunautaratibu huu. Kabla hujaituma Sadaka Yako ya Fungu la kumi Omba Maombi matatu yanayoumiza Kichwa Chako Mfano: 1:Nataka nipate MKE mwezi huu 2:Nataka niongezwe mshahara wangu 3:Mungu uinue Huduma yangu Kupitia Sadaka hii ya Fungu la kumi mwezi huu. BAADA ya hapo tuma kwa M-PESA+255759861768 Jina Richard Julius Kushoka Kama Upo nje ya Tanzania Marekani nk Tumia Bank ya Posta Jina RICHARD Julius Kushoka 👉 nchi Tanzania FAIDA ZINAZOTOKANA NA WANAOTUMA FUNGU LA KUMI 1:Utawaona Adui zako wakishindwa. 2:Utapokea Baraka mbalimbali (Mfano Shuhuda unazoziona watu wengi wanafunguliwa Kupitia Sad...

Somo:Hasira Haitendi njema

SOMO: HASIRA HAITENDI NJEMA SIKU ZOTE. Matendo;26;11 Warumi:2:5-8 Waefeso:4:26-31 Yakobo:1:20 Nawakaribisha Wanangu Popote ulipo SoMo la Leo Jumapili ya Leo Tunataka Tujifunze madhara ya Hasira Na Hasira isivyo nashukurani haiwezi kukumbuka wema hata mazuri Hata Kidongo Lengo: Nikuwaponya watu Wenye Hasira Wameshindwa Kuendelea Kutokana na Hasira Zao Wamepishana na Baraka Zao Kutokana na Hasira. MAONO YA SOMO: Hasira Isiwemo ndani Yako ili kuponya Nafsi yako. MAAANA YA HASIRA: Hasira ni Kughadhibika Yaani Kupaniki kwa Ajiri ya Kitu Fulani. KUPOKEA Taarifa tofauti nakuitafisiri Tofauti inamfanya mtu Akasirike na Kupaniki MATOKEO YA HASIRA Yapo Mambo matatu tu Yanamtesa Mwanadamu kwa Mwanadamu 1;Hasira itakupa matokeo Ya Uadui Juu ya Mwanadamu MWEZAKO. Hi roho itakuwa na nguvu kukupa Mawazo machafu Juu ya MWEZAKO. 2:Hasira Itakupa matokeo Ya Kumtafisiri Tofauti Mwanadamu mwezako Hii roho itakufanya kila akiongea yule mtu kwa Kuwa unahasira nae utamwelewa tofauti Akili na Ufa...

MAOMBI YAKUJIONDOA KWENYE NGUVU ZA NGIZA AU UHARIBIFU

Picha
SOMO;NGUVU YA MAOMBI YAKUJIONDOA NA UHARIBIFU WA NGIZA Karibuni Katika Maombi Naitwa Mchungaji Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa @2020/8 Maombi haya ni kwa ajili ya wale ambao wanataka au wanatamani kujiondoa kwenye maagano ya Uharibifu, au maagano na nguvu za giza. Maagano ya Uharibifu yapo kwa ajili ya ya kuharibu tu na si vinginevyo, na kadiri yanavyoendelea kuwepo Uharibifu hauepukiki. Maagano yanayozungumziwa hapa ni yale ya kurithi au yaliyoingiwa na mhusika aidha kwa kujua au pasipo kujua kama anaingia kwenye maagano. Kwa sababu ni maagano ya uharibifu ni muhimu kujiondoa au kuvunja maagano hayo. Ili kuyavunja ni lazima utangaze kuyavunja, na inawezekana maagano mengine yapo hapo muda mrefu, kwa hiyo ni lazima kuomba kwa bidii soma Yakobo 5:16 Angalizo: Usiombe Maombi haya bila maelekezo,kama huelewi chochote Wakolosai 2:14-15, Wagalatia 3:13-14 Wakolosai 2:14-15, “akiisha kuifuta ile hati iliyoandikwa ya kutushitaki kwa hukumu zake, iliyokuwa na uadui kwetu; akai...

SEMINA ✍️ KUFUNGULIWA NA KUFUNGWA

SEMINA ✍️ KUFUNGULIWA NA KUFUNGWA Zaburi:107:14-20 Matendo:16:25---30 YALIYOMO 1:MAANA YA KUFUNGWA NA KUFUNGULIWA 2: SEHEMU TATU ZINAZO MFUNGA MTU NA KUMFUNGUA 3:WANAOTEKELEZA KUKUFUNGA NA KUKUFUNGUA 4: UMHIMU 5:JINSI YA KUTUNZA 6: HITIMISHO 2: SEHEMU 3 ZA KUFUNGULIWA Kuna sehemu tatu za mtu kufunguliwa na maisha ya Mtu Kuwa huru 1;SEHEMU YA KWANZA; MWILI Mwili ni sehemu inayojumuisha viungo Vyote vya Mwanadamu 1;Milango ya Ufahamu 2;Milango ya taka mwili 3:Viungo vya mwili Kwa Neno la pamoja tunaita mwili. Adui huweza kuushambulia mwili kwa 1:Magonjwa 2: Ufahamu Akili kufungwa. Mtu ili awe huru hutakiwa afunguliwe mwili wake kwaza. Mambo yatakayokufanya mwili wako uwe vizuri. 1;Kupumzika hakikisha unalala. 2:Fanya Mazoezi 3:Usafi wa Mwili wako 4;Kula 5:Usiupe mwili wako Kazi ngumu Sana Zinazoufanya mwili ushindwe kukupa Taarifa ya kupaga mipago nakufikiri. 6;Ibada uzieshe Mambo ya ibada na Mungu. MAMBO YANAYOWEZA KUUFANYA MWILI WAKO UKAFUNGWA 1...

SOMO:MAMBO YANAYOVUNJA NDOA

SHULE YA WANANDOA NA WANAOJIANDAA KUINGIA. SOMO: MAMBO YANAYOVUNJA NDOA NYINGI AU KUTOELEWANA KWA WANANDOA MWALIMU; PASTOR RICHARD Nipo; Morogoro Veta Dakawa Simu+255759861768 Kwa ushauri na msaada piga Jioni 12;00 Haya nayoenda kueleza unatakiwa uwe makini nayo ili kuifanya ndoa Yako iwe Bora na yakuingwa. Tusimame mithali;14;1, 2Yohana: 1 10 Mtu akija kwenu, naye haleti mafundisho hayo, msimkaribishe nyumbani mwenu, 1: MARAFIKI,WACHUMBA,NA MAWASILIANO YA SIMU ZISIZO NA FAIDA. Vijana wengi wanaingia kwenye ndoa wanajua ndoa nikuvaa shera na suti hawajui Ni maisha mapya yanayoitaji ujenge Safu mpya sio marafiki uliokuwa nao kabla hujaolewa au Kuoa na uagalie Hata watu utakaoanzisha urafi nao. ✍️✍️UNASHAURIWA✍️✍️ Uwe na marafiki wenye hofu ya Mungu, Wanaozilea ndoa zao vizuri,Wenye ushauri mzuri wa Kiroho na kimwili. Badilisha laini zako na vunja laini ya zamani uaze mawasiliano na watu wapya Kabisa hakikisha Kama ulikuwa na wachumba au na mawasiliano ya Siri achana nayo. ...

STEPS: PRAYER OF GOD

👊🔥PRAYERS FOR REDEMPTION OF YOUR SOUL AND YOUR REPRODUCTION🔥👊 PROCEDURES TO FOLLOW SO THAT YOU CAN BE RELEASED FROM YOUR PROBLEM: 1:You must believe when Pastor Richard pray for you there is a healing power and you will bring testimony. 2:You must have REDEMPTION offering that you will give before prayers,you will wish your need on it . For those who are suffering from being barren,womb or menstrual bleeding YOU WILL PLACE YOUR HAND BELOW YOUR HUB ON THE LEFT SIDE You will pray this prayer👉🏼Through this offering ,i redeem my reproductive system from witchcraft,demonic powers in Jesus name i give this  offering on your  altar of The fire of Jesus Amen. If you have other problem different from Reproduction you will pray according to that need. 3:After finishing these prayers take your offering to  a postal bank that provide Western Union service or Money Gram Follow these procedures when you are filling a fo...

Hatua za Kuombewa

👊🔥MAOMBI YA UKOMBOZI WA NAFSI YAKO NA KIZAZI CHAKO🔥👊 HATUA ZA KUFATA ILI UFUGULIWE TATIZO LAKO. 1:Unatakiwa Uamini utakapoombewa tu na Pastor Richard Kuna nguvu inakuponya na Utaleta Ushuhuda. 2: Unatakiwa uwe na Sadaka Yako ya UKOMBOZI utakayoitoa Kabla ya Maombi kwa kuinenea kulingana na Tatizo lako Kwa Anaeteseka na Uzao na Uzazi au Tumbo au Blinding UTASHIKA KWENYE TUMBO LA KIZAZI Chini Mkono wa kushoto Utaomba hivi 👉 Kupitia Sadaka hii ikakomboe kizazi changu nakikomboa Kutoka Kwenye nguvu za Kichawi Nguvu za Majini kwa jina la Yesu naitoa Sadaka hii katika Madhabahu yako ya Moto wa Yesu Amen. Kama unatatizo nje ya Uzazi utatamka kuombea Ikaongee kwa Habari ya Tatizo Hilo. 3: Ukimaliza Maombi hayo ichukue Sadaka Yako Nenda ukaitume Kupitia njia za Bank ya Posta Popote Ulipo. Au Bank inayotoa Huduma ya Western Union au Money Grammer Fata Hatua hizi unapojaza fomu hiyo yakutumia Pesa. Jina: RICHARD JULIUS KUSHOKA ...

Seminar🔥Faith @2020

SEMINAR👉🏼SUBJECT👊FAITH Read;Mark:5:11 Luke 14:5 Romans:14:1-23 Ephesians:4:5... You are welcome in this Seminar of the Word of God Date:17/8/2020 Teacher:Pastor Richard Place:Holy Spirit Ministry Church Phone:+255759861768 Website:www.mchungajirichardi.blogspot.com DAY ONE SEMINAR:THE FIRE OF JESUS 👉🏼CONTENT👉🏼 1:MEANING OF FAITH 2:TYPES OF FAITH 3.THREE COMPONETS OF FAITH 4:RELATIONSHIP BETWEEN PRAYERS AND FAITH 5:CONCLUSION 👉🏼PREFACE👉🏼 Faith is a thing that connects a person to receive and to get the outcome that he/she desire. WELCOME TO THE FIRST CHAPTER OF THIS SUBJECT: 1:MEANING OF FAITH Faith:is the hope and expectation of something that can not be seen by our naked eyes. Faith is the assurance and the power to receive and to give something that you hope. WHO IS THE FOUNDER OF FAITH?? Is God himself who created faith. Read:Gene...

SEMINA👉IMANI🇹🇿2020 Veta Dakawa Morogoro

SEMINAR 👉SOMO👊IMANI Tusome;Marko:5:11 Luka 14:5 Warumi:14:1_23 Waefeso:4:5 Karibuni Katika Semina  Hii Ya Neno la Mungu Tarehe:17/8/2020 Mwalimu Pastor Richard Mahali Kanisa la Holy Spirit Simu,+255759861768 Website: www.mchungajirichardi.blospot.com SEMINA SIKU YA KWANZA: MOTO WA YESU 👉YALIYOMO👉 1;MAANA YA IMANI 2:AINA ZA IMANI 3:SEHEMU KUU TATU ZA IMANI. 4:UHUSIANO ULIOPO KATIKA MAOMBI NA IMANI 5:HITIMISHO. 👉 UTANGULIZI 👉 Imani ni kitu kinachomuunganisha mtu Kupokea Nakupata Matokeo ya Anachokiitaji . KARIBUNI KATIKA SEHEMU YA KWANZA YA SOMO HILI: 1:MAANA YA IMANI: Imani: Nitumaini na tarajio lisiloonekana Kwa Macho. IMANI: Ni uhakika na Nguvu yakupokea nakutoa kitu kwa unachokitumaini. MWANZILISHI WA IMANI NI NANI?? Ni Mungu mwenyewe ndio aliumba Imani Tusome:Mwanzo:1:1_10 TUMEIPOKEAJE IMANI Sisi Imani Yetu ililetwa na Yesu Kristo na Kuanzisha Misingi mbalimbali Kama Vile Kuponya watu Kufungua kuwafundisha watu Mambo ya Imani pia Kukua kiroho Wa...

Faida ya Kufunga

SOMO;KWANINI NAKUAMBIA KILA IJUMAA UFUNGE Karibu Kama Wewe Ni Mkrusto Usiyejua umhimu au Faida za Maombi yakufunga Kibiblia Twende Darasani Nikufundushe Jinsi unavyojiweka Connection na MUNGU. Mwalimu Pastor Richard Nipo Morogoro veta Dakawa Kanisa la Huduma ya Roho Mtakatifu Tovoti;www.mchungajirichardi.blogspot.com 1.maombi ya kufunga yanaweza kutufanya kuongezeka kiimani  Mathayo 17:21" Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga" 2.Hufungua/Huachilia macho ya ndani kuona vizuri  Zaburi 119:18" unifumbue macho yangu yatazame Maajabu yatokanayo katika Sheria yako" 3.Huachilia mwili kutiishwa,  Wakolosai 3:5  "Kwa ajir ya mambo hayo huja ghadhabu ya MUNGU"  1Thesalonike 5:17 " shukrani kwa kila Jambo maaña hayo ni mapenzi ya MUNGU kwenu katika Kristo Yesu "     Marko 11:24 "kwa sababu hiyo nawaambia yo yote myaombayo mkisali kwamba mnayapokea nayo yatakuwa yenu" 4.Huachilia kupokea ahadi ya MUNGU na Màombi kujibiwa,...

PRAYERS POWER

I prophesy this month you womb will be set free from witch power that have been holding it in Jesus name.AMEN I can see you womb has water and hell meats when you go to a check up they say you have a problem while there is no such thing,i say that your womb must be set free in Jesus name.AMEN After prayers you will be free,put your hand where there is a problem  and declare to receive your healing in Jesus name. Every problem that is troubling you for a long time is going to dissapear in Jesus name.AMEN From today you will not be called a barren woman again in Jesus name. I can see your womb is released ,the one that is reading this testimony after prayers through WhatsApp with Bishop Richard,you will bring testimony in the name of Jesus🙏🏻Amen 🙏🏻The one that is reading this, the testimony will be yours in the name ofJesus🙏🏻Amen✍🏼 I prophecy this year will never end before you receive your desire...

SOMO;JITOE KWA MUNGU

SOMO:JITOE KWA MUNGU KAMA MKRISTO NDIO KIPIMO CHA UKRISTO Tufunue Vitabu hivi Tusome 👉 Warumi 6:13👉 Waebrania 9:25👉2Nyakati:30:8 Naitwa Pastor Richard Kama Ndio Mara ya Kwanza Kunifatilia Nipo Morogoro Veta Dakawa Askofu na Muasisi wa Makanisa ya Holy Spirit Tanzania Karibu Leo Tukumbushane haya Kama Wakristo Na Wajibu wa mkristo katika JUKUMU la Kujitoa Kanisani Mali zako na Pesa ZaKo Kuhakikisha Unaipenda Nyumba ya Baba yako na Kuamua kubadilika mwili wako Akili Yako Na Elimu yako ulioipata ukaamua uvitumie kwa Ajili ya Kumtumikia Mungu MAANA YA KUJITOA: Ni Kufanya Jambo kwa moyo wote linalompa Bwana Utukufu na Kuwaponya watu kiroho mfano Ijue Ndoto yako Shuhuda na Masomo yamekuwa  Baraka na Wengi wameokoka toka mwaka 2015 Nilipoanza kutuma Masomo mtandaoni huu Ni mfano was kujitoa Kupitia mtandaoni Ukawa unatoa Elimu ya kuponya watu kiroho KUJITOA KWA ELIMU Mfano wewe Daktari; Unaweza Kuadaa Masomo ya Afya Tu Ukajitoa Kuwafundisha watu bu...

SOMO;UAMINIFU WA FUNGU LA KUMI

MAMBO HAYA HUCHANGIA  KUBARIKIWA KIUCHUMI NA KIAFYA 🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇 UAMINIFU WA FUNGU LA KUMI KATIKA UTOAJI WAKO KILA MWEZI NA CHOCHOTE  UFANYACHO KUHAKIKISHA UNAKITOLEA FUNGU LA KUMI 🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓 Tufunue Malaki;3;10 Kumbu;Torati:28;1-13 Kuna watu Fungu la Kumi hulitoa kimakosa harafu wanatengemea wajibiwe Maombi Yao au wabarikiwe Ni Marufuku Fungu lako la Kumi Kama Mkristo Ukalitoa Kwa Yatima,wajane,wagonjwa,wahitaji, Ukasema Nawe unatoa Fungu la Kumi hapana Fungu la Kumi hutolewa Kanisani Katika Madhabahu yako Iliyobeba Baraka zako Kama Huna Unatakiwa uwe na mchungaji wako umuulize katika utarat...

SOMO: UMHIMU WA KUOMBA USIKU

SOMO : MATATIZO MENGI HUMWINGIA MTU ASIYEOMBA Tufununue Tusome Mistari hii Luka;11:9 Waefeso;6;18 Zaburi:6:9 1wafalme:8:45 Nataka Nikukaribishe Katika Neno la Mungu Ujue matatizo mengi Shetani hutumia Kumwingia mtu na Kumpiga Huwa Ni Usiku ukiwa wewe umelala hasa hasa wale ambao walishazoea Wakitoka huko kwenye Kazi mahagaiko ya kutwa Nzima Usiku Anarudi Analala Bila Kuomba. Hawa watu huwa wanawimbi Kumbwa Sana la Kumfanya Adui Amwingie Asubuhi Akiamka ataamka natatizo limeshaingia halafu litamsubua. Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Simu ya Kuongea nae+255759861768 MAANA YA MATATIZO MENGI''''? Ni Uharibifu wa Kiroho na Kimwili Wenye kudhoofisha Afya yako Matatizo Ni Nini??Ni Hali ya kuvamiwa kiroho na roho za kushindwa kuendelea kuutawala ulimwengu wa roho na mwili Mtu aliyeshindwa kuutawala ulimwengu wa roho Huteseka LENGO letu;Watu wafunguliwe katika Fikira za Kiroho na mwili Maono Yetu; Wafundishwe Neno la Mungu na Wakombolewe watu Kupitia N...

✍️ SEMINAR ✍️ TOPIC; MAOMBI ✍️VETA DAKAWA 2020

Picha
SEMINAR :TOPIC: ✍️👊 MAOMBI Mwalimu; Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Simu+255759861768 Tufunue Vitabu hivi;2Mambo ya nyakati:7:14-16 1Wafalme;8;38-49 Zaburi;61;1,86;6 1Petro;3;12 SOMO HILI AU WALAKA HUU UNASURA "5" A:MAANA YA MAOMBI B; MAKUNDI YA MAOMBI C;SEHEMU ZA MAOMBI D:TABIA YA MAOMBI E: HITIMISHO                      UTANGULIZI. 👊✍️SIKU YA KWANZA; Tarehe 3/8/2020 Jumatatu muda saa;4;00-6;00 A👊👊MAANA YA MAOMBI NA UFAFANUZIq WAMAOMBI 👊👊 1:MAOMBI NI NINI??Ni Hali ya uwasilishaji wa Taarifa na maendeleo ya Mtu Kiroho na Kimwili mbele Za Mungu Yenye Kutaka Apewe Majibu na Anachokiomba Nakukiamini. B👊👊✍️KUNA MAKUNDI MAWILI YA MAOMBI;(WANAPOOMBA) ✍️Kundi la Kwanza Ni la Watu Wanaomuomba Mungu Wasiyemjua ✍️Kundi la Pili Ni la Watu Wanaomuomba Mungu Wanaemjua C:KUNA SEHEHEMU TANO ZA MAOMBI MTU ANAPASWA AZIJUE. 1:AINA ZA MAOMBI ANAZOPASWA MKRISTO AOMBE 2;MIKAO YA MAOMBI ANAZOPASWA MKRISTO AKAE WAKATI ANAOMBA ...