Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni, 2020

SOMO; JIFUNZE KUNASUA MITENGO

✍️👊SOMO👊 JIFUNZE KUNASUA MITENGO YA MAJINI WALIOKUFUNGA KICHAWI✍️👊 Vitabu;Mathayo;25:43-45 Luka;13;16 Mwanzo;40;4  Zaburi;142;7 ✍️✍️Karibu Mwanangu Popote Ulipo Unayenifatilia katika Kurasa Zangu Leo Naitaji Ujue Jinsi ya Kutoka Kwenye Vifungo vilivyokufunga Naitwa Pastor Richard Ninaishi Morogoro Veta Dakawa Ni Askofu wa makanisa ya Moto wa Yesu (Holy Spirit Ministry Tanzania) Makao makuu Morogoro Simu za Maombezi+255759861768 Jioni saa;12;00-8;00 Usiku Nitaanza Kuongelea Watu wanaokuwa Matasa Hawazai Jinsi Adui Anavyowafunga Cha Kwanza Uzigatie Haya ukiwa Unanusua MITENGO Yao ya kichawi Kupitia Majini 1;Uwe Na Imani 2;Uwe Upo vizuri kiroho 3;Uwe na ufahamu Juu ya Tatizo 4:Uwe na nguvu ya Roho Mtakatifu 5;Tumia Jina la Yesu Katika Minyororo Yote. Wachawi Huwa hawawezi Kukufunga au Kukutesa Bila Majini au roho za Majini Na Majini huwa Ni roho zinazoweza kukuingia nakukuvaa endapo hujasimama vizuri Ki...

Somo;Mitengo mitatu ya kichawi

👊SOMO: 👊Wachawi Hukunasa Kupitia Nyoka Mtengo Wao hata👊ri. Tusome: Vitabu Isaya;30;6 Yeremia:31:9 Muhubiri:10;8-11 Wachawi huwa Wanamitengo mingi inayosababisha wewe wakutese na mitengo Yao Leo Nataka Niongelee mitengo Yao mitatu 1:Mtengo wa Nyoka 2:Mtengo wa Pesa 3:Mtengo wa Ulimi wako Nalenga Maarifa haya yakuponye nakukusaidia ufunguliwe Sio uendelee kuteseka Na Ili Ufunguliwe Utoke kwenye mateso huwa lazima upate Mchungaji atakayejua wamekufungaje na Akunasue kwenye Mtengo huo. Veta Dakawa nishaanza Kuhudumia watu Hapa Kanisani Fika unasuliwe kwenye Mtengo. 👊 MTENGO WA NYOKA Huu huwa Ni Mtengo wanaoutumia wachawi kumnasa mtu au kumzuru au kumharibu Masharit ya Mtengo huu lazima mlengwa Amuone Nyoka Eidha kwa ndoto au Kwa macho mubashara Yule Nyoka Kwa Kuwa Ameunganishwa na nafsi Yako. Utafanya Mambo haya bila Kujua unajiagamiza au unamwagamiza mwanao mmeo mtoto 1;Utachukua fimbo umpige Akifa hatachukua muda mlegwa anakufa....

SOMO;MILANGO WANAYOINGILIA MAJINI NA KUMTESA MWANADAMU

SOMO✍️MILANGO WANAYOINGILIA MAJINI NDANI YA MTU NAKUMTESA. Mathayo;13;14,10;27 ✍️Waefeso:5;12,32✍️Zaburi:25:14, 44;21, 64;2 Maombolezo;3;33, 2wakoritho:10;3-7 @Pastor Richard Kutoka Morogoro veta Dakawa @2020June 19 Simu+255759861768 Piga saa,12;00-8:00Usiku ✍️✍️MAANA YA MAJINI✍️✍️ 🍓🍓MAJINI Ni roho walioumbwa kwa Moto na walikuwa malaika miaka milioni 3 iliyopita huko mbinguni walitupwa chini Pamoja na Baba Yao Shetani (Lucifa) Jini mmoja huweza kuishi miaka 2500 Anakufa pia MAJINI huwa wanauwezo Mkubwa wa kumtesa mwanadamu ✍️✍️Watu wote wanaokuwa wanateseka au Kupitia wakati wowote wa kushindwa  huwa Ndani Yao kunakuwa na Jini au roho yakuwazuia Kufikia katika Lengo au kusundi njema. ✍️✍️✍️MAJINI HUTUMIWA NA WATU KUWATESA WATU✍️✍️ MAJINI hutumiwa na watu wabaya kukutesa wewe Na...

Somo;Kijana usioe/Kuolewa na mgomvi

SOMO: KIJANA 🍓🍓 USIOE/KUOLEWA 🍓🍓NA MTU MGOMVI ANAYEPENDA KUTUKANANA LUGHA CHAFU Mithali;21;9,19 ✍️ Mithali;25;24✍️ Mithali ✍️27;15 Kuna wakati Kija anakosea mahusiano na Uchumba Anaanzisha uchumba toka marafiki mpaka wachumba mmoja wao anakuwa Hana furaha Hana siku waliokaa Pamoja wakaelewana KILA siku ugomvi hawezi Kujua Kama kwenye mahusiano tu  kila siku ungomvi je mkifunga ndoa. KIJANA unapaswa uvunje mahusiano yanayokuwa kila siku mmekosana au matusi au Kitu kidongo tu mwezako Ameshakukatia Mawasiliano. Katika maisha ya ndoa kijana Usije ukaingia kuanzisha maisha ya ndoa ya magimvi Kila Kitu kitengeneze vizuri unapokuwa Kwenye urafiki na Uchumba Usikimbilie ndoa halafu ukaingia kwenye ndoa ya maumivu. Naitwa mwalimu Wa Wanandoa Pastor Richard Simu+255759861768

SOMO:MWANAMKE TAMBUA NAFASI YAKO.

SOMO:MWANAMKE TAMBUA UTHAMANI WAKO Vitabu;Mithali;21;9-19 Matendo;9;15-17 Esta:Sura ya 5 mpaka 9 Mwanzo;5;2 Mithali:12;4 1wakoritho;7;16-20 Biblia inamtambulishaje mwanamke mcha Mungu anayetembea katika kusundi la Mungu👉👉 Zaburi : Mlango 68 11 Bwana analitoa neno lake;Wanawake watangazao habari ni jeshi kubwa Mwanamke Akisimama Vyema Katika Nafasi yake huwa Neno hili hutimia ndani yake. Lakini Mwanamke Asiyesimama Nafasi yake Na Kutumia Vyema Neema aliyonayo Atakuwa Kama Delila Nakatika Kundi au Jeshi Tutapata Dorcas na Tutampata Delila Wanawake wanaomuwakilisha Delila Ni wale hawajasimama Nafasi Yao kwa Usahihi(Waamuzi:16;10-16 Wanawake wanaosimama Nafasi ya Doricas Ni wale waliosimama katika Nafasi zao katika Kanisa na kwenye Jamii kwenye ndoa zao;(Matendo;9;10-19 Mwanamke Katika Kanisa na Jamii Ananafasi Kubwa Kama Biblia Inavyomtambulisha Karibu Naitwa Pastor Richard Somo hili Linalenga wanawake Kujitambua Ndani ya Kanisa wao Ni Nani pia inaenda kuwajengea Kusimama nakufat...

SOMO:KIJANA MKE MWEMA HATAFUTWI HULETWA NA MUNGU

☺️☺️SOMO😊 KIJANA MKE MWEMA HATAFUTWI HUTAFUTWA NA MUNGU. Tufunue Vitabu hivi; Mwanzo;2;20-24 Mithali;19;14 Ruthu:3;11 Mithali:31;8-10 Siku Zote kitu kilicho chema huwa kazi Sana Kukipata na kukiona endapo utatumia akili zako au wewe usiwe na Sifa ya kumiliki kitu chema huwezi Kukipata Utapata kinachofanania au kukaribiana Lakini Ukifata hatua Hizi Kama Upo kwenye Utafutaji wa Kuoa/Kuolewa Utapata MKE sahihi muda sahihi Na Ataletwa Na Bwana Wala wewe hutahagaika Kupoteza Muda wako Kutafuta Bint wa Kuoa au Mme wa Kukuoa. Karibuni Vijana mjifunze kitu....... DARASA hili linalenga Vijana wakike na wakiume Ambao wanafikiri MKE mwema/Mme mwema hupatikana kiurahisi kwa akili ZaKo Ni ngumu Sana kumpokea Endapo Akili Yako ikiwa imemshikilia mtu. Kwanza Toka Mwanzo Adamu Alipofikia Umri wa Ujana Wake Anataka Kuoa Mungu Alimpa Usingizi mnono nakumletea mwanamke Kupitia ndoto na Baadae alimpata Eva Kama maono yake yalivyokuwa Adamu Alipita Hatua Zipi Tunazopa...

SOMO:IBADA YA SANAMU

              🌴🍍SOMO✍️✍️IBADA YA SANAMU:🌴🍍 Tufunue Vitabu hivi 👉 1wakoritho:10;14👉Wagalatia:5;20👉Wakolosai:3:5👉1Petro:4;3 🍍🍍🍍🍍🍍🍍🍍🍍 Karibu Mwanangu Unayenifatilia Kiganjani mwako au kwenye Laptop Popote pale mlipo ndani na nje ya Tanzania;Leo Nataka Niwashirikishe Kitu UNAJUA NINI MAANA YA IBADA YA SANAMU Karibu Tujifunze. Wapo watu wanateseka kwa sababu hawajaacha ibada ya Sanamu Wapo wengine wameokoka lakini wanaishi maisha ya ibada za Sanamu nakufata ibada hizo ambazo chukizo. ✍️✍️MAANA YA IBAADA ZA SANAMU 🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑🥑 Ibada ya Sanamu: Ni Mawazo Yote na Matendo mabaya Huitwa Ibaada ya Sanamu; ✍️✍...

SOMO; UCHUMBA NA HATUA ZA KUOA KIBIBLIA

✍️✍️SOMO: UCHUMBA NA PROCESS ZA KIBIBLIA  KUFIKIA NDOA✍️✍️ TUSOME Vitabu hivi.✍️✍️ Mathayo:5;37 Wimbo;4;1-5 Mithali;19;14 Luka;2;5 Kutoka:21;8 Hosea;2;19 ✍️✍️ Karibuni Katika Somo Letu Hapa Leo Tutajadili na kujifunza Utaratibu wa mkristo Aliye na Uchumba Unaetaka Kuingia Kwenye Uchumba huwa kuna Process Zipi Kama mchumba uliyechumbiwa au Kuchumbiwa Hatua Hizi Ni vyema Ukazitilia mkazo na maanani Kama Kweli Umeamua Kua ili kuurudi Ushuhuda wa Kristo na wengine kuinga kitu. ✍️Naekuletea DARASA Hili Naitwa Mwalimu Wa Wanandoa Pastor Richard ✍️DARASA LA Wanandoa ✍️✍️ UCHUMBA NI NINI..? Ni process zinazopitiwa na jinsia mbili Mwanaume na Mwanamke zinazowapeleka kwenda kuwa Wachumba Wanaotambulika Au Kuingia kwenye ndoa. Uchumba Ni hatua ya Pili ya kuelekea ndoa ✍️✍️ UMHIMU WA MKRISTO KUPITIA HATU...

SOMO; MALAIKA WANAVYOKUPELEKEA OMBI LAKO

✍️SOMO: MALAIKA WANAVYOKUPELEKEA OMBI LA HITAJI LAKO KWA MUNGU Tufunue; Vitabu hivi Zakaria:1;4-10,5;5,Mwanzo:22;15,Waebrania:2;5-7,Luka:1;11 Maamuzi;13:15-20 Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Karibu Katika Kipindi Cha Neno la Mungu. Leo Nataka Niongelee Na Kufundisha Juu Ya Malaika walinzi ambao pia huwa wanabeba dhamana Yako ya kuchukua Maombi Yako pale unapoomba Huchukua Yale Maombi Yako nakuyapeleka mbinguni. Maombi Yako Kama Malaika wako Anayebeba Maombi Yako Kuyapeleka Kwa Mbinguni hatayafikisha Ni ngumu Mungu Kukujibu Tuchukue Mifsno Kadhaa kwenye Biblia. Tunaangalia mzee wetu Ibrahimu Alitengemea Apate Mtoto bado kijana Akaja Kupata akiwa na Miaka 99 na mkewe 80 Lakini Ibrahimu alimpenda Mungu na Alikuwa mtoaji wa Zaka kanisani Alimtumikia Mungu lakini Alikuwa Akiomba Mungu nipe Mtoto asipokee. Kwa Sababu ngani Maombi yake hayakumfikia Mungu mbinguni Kutokana na Malaika wake Aliyekuwa Amebeba Maombi kuzuiliwa Angani na Kadiri alivyozidi kuomba ...

SOMO;TOKA KWENYE NCHI YA UKAME.

SOMO: NGUVU YA KUVUKA KWENYE UKAME -Vitabu:Torati:32:10, -1wafalme:18;40, -Yoeli:2;20 ,Yeremia:2;6, -Yeremia;17;6 -Yeremia:50;12 -Ezekieli:19;13 ✍️✍️Kuna Wakati Unaweza Ukawa Upo katika Kipindi Cha Ukame Katika Kipindi Ambacho Hata unyevuunyevu TU umekauka Hata kuziona Baraka Tena imekwisha Ulikuwa umesimama uazishe Jambo Fulani unafikia Kipindi umekaukiwa na Baraka Unaziona au Dalili za masika unaona nitalima mazao yangu nivune Gafla unalima halafu jua linawaka mbengu umepanda. Hiki huitwa ukame Hakuna mvua huzioni Baraka Zako Kumbe nikipindi kinachokuitaji Umuombe Mungu Akuvushe kwenye ukame usimwangalie mtu Au Kukata tamaa au kubaki njia Panda au kutulia kwenye ukame Kwenye Ukame huwa Tunaomba Tutoke kwenye Ukame wa Mawazo ukame wa fikira Ukame wa Kumtengemea mtu ukame wa mavuno ukame wa Baraka. Tunaitaji Tutulie nchi inayotoa mazao matunda mimea inastawi Leo Nataka Nifundishe wewe NGUVU ya Kukuwezesha Kutoka Kwenye Ukame Naweza Kuwa Nafundisha S...