SOMO;MAOMBI 46 YA KUMTEKETEZA SHETANI
SOMO;MAOMBI YA KUMTEKETEZA SHETANI: NA NGUVU ZAKA Vitabu vya Kusimamia Tusome 2Wakoritho;10;3-6 Maombolezo;3;33 Yeremia;29;11-14 Omba rudiarudia mara 5 kila ombi Muda tulivu ndio uombe Naitwa Pastor Richard WhatsApp +255759861768 1. Ninayaharibu na kuyateketeza mamlaka yote aliyopewa shetani na mababu/ mababa, ndugu zangu katika Jina la Yesu. 2. Nina zilaani na kuziteketeza kwa damu ya Yesu roho zote zinazoendelea kutilia mkazo hayo maagano katika maisha yangu na naziteketeza na kuzivunavunja kwa Jina la Yesu. 3. Kitu chochote kilichoingizwa kwenye maisha yangu,kwa mkono wa kipepo, au majini ninakiamuru kiachie kwa JIna la Yesu. 4. Kila aina ya sumu iliyopenyezwa kwenye maisha yangu nina iamuru itoke nje sasa, katika jina la Yesu, nina sukuma nje kwa damu ya Yesu. 5. Ee Bwana Yesu, shusha moto juu ya kila roho ya mauti na kuzimu, iliyoandaliwa kwa ajili yangu, katika jina la Yesu 6. Nina ponda kichwa na kukanyaga kila mkia wa majoka ya kiroho, katika jina la Yesu 7. Upanga wa moto...