Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei, 2020

SOMO; UHUSIANO WA MUNGU NA KIJANA

✍️✍️SOMO✍️UHUSIANO WA MUNGU NA KIJANA: ;MWALIMU Pastor Richard :@2020 Kanisa la Holy Spirit ✍️✍️YALIYOMO✍️✍️ 1:UHUSIANO WA MUNGU NA KIJANA. 2;UJANA NA IMANI 3:INJIRI NA KIJANA 4:UCHUMI NA KIJANA 5:NDOA NA KIJANA 6: HITIMISHO Nakukaribisha Kijana Ujifunze Jinsi Wewe ulivyowathamani na Mungu amezungumzaje kuhusu wewe kijana Nakala hii UTAJIFUNZA Mengi Soma kwa utulivu tu Nakala hii. 1; UHUSIANO WA KIJANA NA MUNGU👉👉IMeandikwa:Muhubiri;12:1 1 Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako,Kabla hazijaja siku zilizo mbaya,Wala haijakaribia miaka utakaposema,Mimi sina furaha katika hiyo. Kijana Anatakiwa Atengeneze UHUSIANO wake Na Mungu Akiwa Bado kijana Amfanye Mungu kuwa Kinga yake Amtumikie Mungu. Kijana Anaweza kutengeneza Uhusia Wake Na Mungu Kwa Kufundishwa Neno la Mungu na Kulitii Neno linavyomuongoza nakutii ibada Yeye na Mungu muda kuuzingatia wa Kuingia ibadani na Kutoka. IMeandikwa Zaburi;119:9👉Jinsi gani kijana aisafishe njia yake?Kwa kutii, akilifuata neno lako KIJANA ASAFISHE NJIA...

SOMO: MKITADHA WA BIBLIA JUU YA CORONA

✍️Darasa la Biblia✍️✍️ ✍️✍️SOMO; MKITADHA wa BIBLIA JUU YA CORONA INASEMAJE ✍️✍️YALIYOMO✍️ 1  WAKRISTO WA AGANO JIPYA WALIFANYAJE WALIPOKABILIANA NA JANGA?               2  MAJANGA MENGINE                                                                                                         ...

Somo;Imani yenye udhihirisho

💪💪SOMO;👉IMANI YENYE UDHIHIRISHO WA MAJIBU. Tufunue Daniel;3;na sura ya 4 Yote 👉Darasa la Biblia 👉MWALIMU Pastor Richard $2020 Tunaona IMANI ya Vijana watatu waliokuwa Wapo katika nchi ya kigeni wakakuta wenyeji wanaabudu miungu wanauliwa nakuchomwa Moto MFALME wa Utawala huo alikuwa na roho mbaya Sana Vijana Hawa Meshaki,Abidnengo na Shadraka walimjua Mungu wao na walisema moyoni mwao wakapatana hatutaabudu Sanamu nakuzipingia magoti Sanamu wakakubaliana Siku hiyo ilikuwa majira ya saa 12 Alfajiri filimbi ya watumwa wa MFALME waliitajika waingie ibadani mfalme akashangaa Vijana hawakutokea alimtuma msaidizi wake akawaita akawauliza nyie Vijana mbona ibadani Leo hamjaja Wale Vijana kwa Pamoja wakamwambia Mfalme hili Swali halina majibu hatujaja sababu Sisi hatuwezi kuabudu Sanamu na Kukunyenyekea wewe haipo 😳😳Mfalme Nebukadarenza Akasema Nyinyi Vijana mnanitania utaratibu wangu hapa mtaabudu Tu na mt...

SOMO;wewe MSHINDI

😴😴😴TUSOME HAPA MPAKA MWISHO_ELIMU HAINDAGANYI NA BIBLIA Yer:1;19 Haidaganyi😴😴 🔥🔥SOMO;WEWE NI MSHINDI TOKA TUMBONI.🔥🔥 Tufunue Biblia Yeremia;1;19,18:19 Ufunuo;12;8A,Zaburi:13; Naitwa Pastor Richard NIPO Morogoro veta Dakawa Simu+255759861768 Turudi Darasani Kindogo Unajua Unapoambiwa wewe MSHINDI unazani unatiwa moyo na Mungu anapokuambia nilikujua toka nikiwa tumboni uelewi. Karibu Mwanzo wa Wewe Ulivyoanza Kushinda. Biology Inatuambia Mwanaume Anapofanya tendo la ndoa hutoa mbengu takiribani milioni Mia tatu(300,000,000) mbengu Hizi huwa zinaongelea kukimbia kufika kwenye ovary(yai) lakini katika milioni Mia tatu wote Wanaofanikiwa kulifikia yai Ni mia Tano (500) Kutoka kwenye kukutana na yai la kike na la Kiume huendelea mbengu kuongelea mpaka kwenye mfuko wa Uzazi ambao hufika mbengu Moja TU(1)AMBAYE Ndio Wewe Hapo Unayesoma Ujumbe huu. JIULIZE KAMA KIPINDI HUNA MACH...

SOMO: NGUVU YA UMOJA

🎙️🎙️DARASA LA NENO🎙️🎙️ 🔥🔥SOMO: NGUVU YA UMOJA Tufunue Yohana:17:21-24 Zaburi:133:1 Waefeso;4;3 MWALIMU: Pastor Richard NIPO Morogoro veta Dakawa Simu+255759861768 Mambo mengi hayaendi vizuri na yanaishia njiani Iwe ndani ya ndoa Zetu familia Zetu mahusiano yetu katika Huduma Zetu makanisa yetu Kwa sababu yamekosa nguvu ya umoja Lakini yatakaponjegwa kwa umoja Kama kristo Yohana;10;30 Karibu Leo Nataka nifundishe Nguvu ya umoja. Naitwa Pastor Richard NIPO Morogoro veta Dakawa 🔥🔥 NGUVU YA UMOJA NI NINi?? Ni Ushirikiano na SAUTI moja Kama watoto wa Mungu. Lengo la SoMo;Tujenge kanisa na jamii Yenye umoja. Dhima ya Moto wa Yesu;Watu wafundishwe Neno la Mungu wakombolewe Faida Ya Umoja 1;Kujengana katika Misingi Yenye mafanikio. 2:Kusaidiana na Kubebana kwenye matatizo na matukio mbalimbali 3:Kuwa na SAUTI moja inayopaza kunena utetezi kwa mwingine. 4:Kufika juu kimaendeleo na ki...

Mambo matano mhimu ya ndoa

🎙️🎙️🎬SOMO; MAMBO MATANO UYAZINGATIE KABLA HUJAINGIA KWENYE NDOA🎙️🎙️ DARASA la Wanandoa MWALIMU wa Wanandoa Pastor Richard NIPO Morogoro veta Dakawa Tumekuwa Tunaona Vijana wengi au watu wengi wanakimbilia Kuoa au Kuolewa Kwa Kuangalia ndoa kwa nie wanapoingia kwenye ndoa wanaanza kutamani wavunje ndoa Kijana Sikia Usikimbilie Kuoa Kama haya bado hujayadhibiti. 1;Hasira Dhibiti Hasira ZaKo na ujifunze kusamehe Unakimbilia Kuolewa wakati bado Hasira hujaidhibiti ndoa Yako itakuwa na shida tu Hasira haina shukurani inajua kuharibu tu. 2:UKOMAVU WA AKILI. Ndoa inajengwa kwa AKILI sio Elimu Yako au Urembo au Sura au Mapishi Akili Yako inauwezo wa kutatua haraka na kumwelewa haraka Mwezako au Akili Yako bado ya kitoto haijui kutatua changamoto na kujicontro Basi Tulia usioe au Kuolewa mpaka akili ikikomaa ikajua changamoto 3;ACHANA NA MAWASILIANO NA WAPENZI AU MARAFIKI WALIOKUWA WANAKUSUMBUA.(USIZINI) Kijana unat...

SOMO🎙️🎙️ JIFUNZE VYAKULA VINAVYOCHOCHEA HAMU YA TENDO LA NDOA

SOMO:🎙️🎙️ JIFUNZE  VYAKULA  VINAVYOCHOCHEA  HAMU YA TENDO LA NDOA Mithali;9;9 Mithali;4;3 Mwanzo : Mlango 4 1 Adamu akamjua Hawa mkewe; naye akapata mimba, akamzaa Kaini, akasema, Nimepata mtoto mwanamume kwa BWANA 🎙️📣📣DARASA LA WANANDOA 🎙️🎙️📣MWALIMU WA WANANDOA 🎙️🎙️📣NIPO MOROGORO VETA DAKAWA 🎙️🎙️📣KARIBU wanandoa Tuongee+18 Matatizo mengi yanayokumba Ndoa nyingi Ni katika Tendo la Ndoa hasa kwa wanaume KARIBU Tuongelee vyakuls vinavyochochea Hamu ya Tendo la Ndoa Tatizo la uwezo wa kufanya tendo la ndoa linazidi kukua miongoni wa wanandoa na wapenzi wengi. Takwimu za kitafiti zinaonyesha kuwa karibu ndoa 4 kati ya 10 zenye umri wa miaka 3 na kuendelea zinakabiliana na tatizo hili. Aidha wanaume 6 kati ya 10 wanatajwa kulalamikia upungufu wa nguvu za kiume. Pamoja na matatizo mengine k...

SOMO; MZUNGUKO WA Siku 28

🎙️🎙️DARASA LA WANANDOA🎙️🎙️+18 🎙️🎙️📣📣KUHESABU NA KUPANGA WATOTO MWENYE MZUNGUKO 28📣🎙️🎙️ SOMO🎙️🎙️JINSI YA KUSHIKA MIMBA NA KUPANGILIA WATOTO KUPITIA KALENDA YA MZUNGO WA SIKU 25-30 Ambayo huitwa siku 28 Tufunue Vitabu; Mithali;9;9 Mithali;4;3 Mithali;16;23 🎙️🎙️ MWALIMU WA WANANDOA PASTOR RICHARD 🎙️🎙️Nipo Morogoro veta Dakawa 🎙️🎙️SIMU+255759861768 Kupiga Jioni saa 12;00 Inawezekana kabisa umejichanganya ukaenda hosptali ukaharibu kizazi chako wakati wewe mzima KILA mwanamke aliyeumbwa Ameumbwa mfumo wa Uzazi tofauti na mwezake Leo Kupitia Njia hii itakusaidia na kukupa Elimu Jinsi ngani utumie Elimu KUPANGA familia iliyobora ili hata watoto wako uweze kuwapa matunzo na Elimu vyema Tutaongea Kuhusu KUHESABU na KUPANGA WATOT...

SOMO; DALILI HIZI NDIYO UTAJUA MAHUSIANO YENU HAYATADUMU

⛏️⛏️DARASA LA WANANDOA⛏️🔨🔨 SOMO; DALILI TANO KUMBWA ZA KUJUA MAHUSIANO YENU HAYATADUMU UKIONA DALILI HIZI. Chukua hii mwanangu tahadhali. Soma Mithali;7;6_10 Mithali;12;4 Mwanzo;2;24 Mwalimu wa Wanandoa Pastor Richard Yupo Morogoro veta Dakawa Simu+255759861768 🔓🔓Kuna vitu unavyotakiwa uwe navyo makini katika ndoa yako mahusiano Yenu maana huwa chazo kikubwa Cha mahusiano kuvunjika au kutokuendelea katika mafanikio au hatua Mambo haya matano Ninaenda kuyafundisha. 🔓🔓 DALILI HIZI HUKUJULISHA MPENZI ULIYE NAE HUTANDUMU NAE 1;MPENDA PESA Ukiona mpenzi wako Anataka au kupenda pesa Kutoka Kwako au Anakuomba Pesa bado hamjaoana mpo tu uchumba KILA mmoja kwao ujue uchumba wenu huo hamtandumu Kutokana Mwezako kakupenda kwa ajili ya Pesa na unavyompa Pesa 2;MUONGO Ukiona mpenzi wako uliye nae anakudaganya Mara kwa Mara na ukijua anakuambia nilikuwa nakutania au Anakuambia kweli kabisa wakati unajua ...

🙏🙏✍️SOMO;MALAIKA WA UJENZI

✍️🙏🙏SOMO🙏: MALAIKA WA UJENZI🙏🙏✍️ Tufunue Biblia Zetu Tusome Vitabu hivi 👉👉 Luka:14;30🌱Luka:17;28🌱1wafalme:5:3🌱8;15-20🌱Zakaria:6:15🌱Hagai:1;2🌱Muhubiri;3:3🌱Ezekieli;11:1-5 🙏UTANGULIZI🙏 Karibuni katika Mafundisho ya Neno la Mungu yatakayokukuza kiroho nakukuimarisha Kiimani Naitwa Bishop Richard Ni Askofu na Muasisi wa makanisa ya Holy Spirit Ministry Tanzania Yenye Makao makuu Morogoro veta Dakawa Makanisa yanayongozwa na Roho Mtakatifu Yenye nguvu ya UKOMBOZI na Mafundisho ya Neno la Mungu Ili kuwafungua watu na kuwaponya Kupitia Mafundisho tu. Leo Tunataka Tuwajue MALAIKA WA UJENZI kazi zao na MALAIKA Hawa wakoje na wanatenda kazi ngani. NIKIWA natafakari kazi ya Bwana Nasikia Sauti Malaika wa Ujenzi. KARIBU uwajue Hawa MALAIKA na uwatumie. 🙏🙏 MAANA YA MALAIKA WA UJ...

SOMO: UTOFAUTI YA MKE MWEMA

✍️✍️DARASA LA WANANDOA +18✍️✍️ ✍️✍️SOMO; UTOFAUTI WA MKE MWEMA NA MKE ASIYE CHANGUO LA MUNGU. Mithali;31;7-11 Mithali;14;1-4 ✍️✍️ MWALIMU PASTOR RICHARD Nipo Morogoro Veta Dakawa ✍️✍️ WhatsApp+255759861768 ✍️MAANA YA MKE MWEMA✍️MME MWEMA ✍️✍️MKE MWEMA Ni mke unayepewa na Mungu Baada ya kusungua ngoti na Kumlilia. ✍️✍️ANAPATIKANA WAPI MKE MWEMA: Kwenye nyumba za ibada huwezi kumpata uchocholoni au disco au bar au nje ya nyumba za Ibada. ✍️ MAANA YA MKE WA SHETANI✍️MME WA SHETANI ✍️✍️MKE AMBAYE SIO MWEMA Ni mke ambaye unampata bila Maombi unakutana na kuazisha uchumba bila kusungua ngoti  Huyu hupatikana kwa matamanio Yetu na Akili Zetu kwa muonekano wa nje tu. ✍️✍️ANAPATIKANA WAPI MWANAMKE H...