Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili, 2025

SOMO;MAOMBI YA MJAMZITO ALIYEPITILIZA MUDA WA KUJIFUNGUA

   SOMO : MAOMBI YA MJAMZITO                 ALIYEPITILIZA MUDA WA KUJIFUNGUA. Naitwa Pastor Richard Wa Morogoro  Nipo Kanisa la Holy Spirit church Tanzania  Ni Askofu na Muasisi Wa Makanisa haya Makao Makuu Morogoro Veta Dakawa  Huwa Kunasababu mbili Ambazo zinaweza mama mjamzito zikakufanya ukapitiliza Muda wa kujifungua. 1;Tatizo la Kiafya: Hii husababishwa na mtoto kutokugeuka au njia za uzazi kutokufunguka 2:Nguvu Za Kichawi: Hawa ndiyo Wale hukaa mwezi mwaka hawazai ndiyo Wale wanaota mandato ya ajabu ajabu nakuona Vitu vya Ajabu. Pia hutokea hali ya uchungu lakini hawajifungui na wegine hukosa nguvu wakati wakisukuma mtoto . UONAPO HAYA NILIYOYAANDIKA WEWE UMEBEMBA KIZUIZI NA UKIWA MZEMBE KUOMBA UNAWEZA KUUA KICHANGA TUMBONI. "ZINGATIA HAYA" 1:SHIKA TUMBO LAKO KWA CHINI KWA MIKONO YOTE. 2;UKIJIFUNGUA SALAMA BAADA YA HAYA MAOMBI UTATUMA SADAKA NZURI 1️⃣   soma huu mstari HOSEA;13:13  "Utungu kama ...

SOMO;MAOMBI YA KUWEKA NADHIRI 2025

SOMO: MAOMBI YA KUWEKA NADHIRI. Kuna Wakati Ukiona Maombi Yanachelewa Kujibiwa Weka NADHIRI au ALAMA.  NADHIRI Itaendana na ukubwa wa tatizo lako lilivyokusumbua ndiyo hivyo utakavyoweka nadhiri kubwa.  Mfano: NADHIRI YA HANNA ukisoma ;1Samweli 1. Alikaa Muda mrefu bila kupata mtoto aka8ngia maombi ya NADHIRI.  NADHIRI hutimizwa katika madhabahu uliyoihusisha au Mchungaji uliyemhusisha. USIPOTIMIZA NADHIRI HUWA INAKUTESA MWENYEWE ULIYEIWEKA        OMBA HIVI  1️⃣:Bwana Yesu Naweka Nadhiri  Katika Madhabahu hii ya Moto Wa Yesu Unipe Mume au Mke  Nikafunga naye ndoa Namimi Nitatoa Milioni moja kwenye madhabahu hii(Taja uwezo wako) ZABURI;61:8  8 Ndipo daima nitaliimbia sifa jina lako na kuzitimiza nadhiri zangu siku baada ya siku.  Katika Jina la Yesu.Amen  RUDIA ×4 2️⃣:Ninaomba Bwana  Nitimize Nadhiri Zangu Usinipe moyo mgumu nifanye niwe mwepesi wa kutengua nadhiri  yangu katika Jina la Yesu.Amen    ...

SOMO; MAOMBI YA KUPIGA HATUA

SOMO; MAOMBI YA KUPIGA HATUA KWENDA MBELE. Mwanangu Katika Kitu Ambacho ukielewe  Kwenye Maisha yako kila unapopiga  hatua kwenda mbele Ipo roho inakuzuia kufika unapotakiwa ufike bila wewe mwenyewe muhusika kusimama na Maombi huwezi kwenda hatua unayotaka ufikie bila kuomba nakuwa na ujasiri ukaacha roho ya kukata tamaa au kufikiria negative na mafanikio yako. Ninaitwa Pastor Richard (BISHOP RICHARD) KANISA LA HOLY SPIRIT CHURCH TANZANIA  MAKAO MAKUU MOROGORO VETA DAKAWA  MAOMBI HAYA YANAITAJI ZINGATIA HAYA. 1:Unapoomba Fanya Kitendo cha kupiga hatua. Yaani Tembea Tembea. 2:Tamka Maneno Kila yanayokuja kinywani mwako namna ya kuomba elekeza maneni kupiga hatua kwenye kile unachoona kimesimama sehemu moja. 3:Maombi Haya Utaomba Siku 4 Mfululizo kwa Masaa na Muda unaokuwa Tulivu kwako. 4:Utaandaa Sadaka Yako Siku ya Nne ukimaliza maombi utaituma na Unanipigia Simu. 5:Chochote ukikiona au kuota ukiwa katika haya Maombi Basi Nieleze. Na Ukiishia njiania unarudia upya us...

SOMO;MAOMBI YA MTU ANAYEFANYA BIASHARA YOYOTE

SOMO;MAOMBI YA KUOMBEA BIASHARA UFANYAYO. ✳✳✳✳✳✳✳✳✳✳✳✴✴✴✴✴ Karibuni Naitwa Pastor Richard Wa Morogoro Nipo Kanisa la Holy Spirit church Tanzania  Ni Askofu pia Wa haya makanisa. Ni Mume Wa Mke Mmoja na Watoto wawili. WhatsApp NIULIZE INBOX+255710889892 ⭕MAOMBI YA BIASHARA YAKO SEHEMU  KUU MBILI 1;KUOMBEA MWANZO WA BIASHARA UNAPOANZISHA. 2:MAOMBI YA BIASHARA YAKO  AMBAYO ULISHAIANZA. 1️⃣-KUOMBEA MWANZO WA BIASHARA YAKO UNAPOANZISHA  Vitabu;Kumb.Torati.28;1-2 Kutoka;23;20-24 Mambo Yafatayo ya kufata Unapoanzisha Biashara 1:Mshirikishe Mungu Eneo la Kuweka Biashara yako. INGIA MAOMBI. Mithali;16;3 Omba hivi:-Baba Ninaomba unielekeze Ni sehemu ipi niweke Biashara yangu nataka nifungue Biashara ya kuuza mtumba (utataja biashara unayotaka uanze kuifanya)Mimi Siwezi Kujua Nipe Maono au ndoto au Sema na Mtu aniletee ujumbe mtume Gabriel malaika mkuu aje anipeleke kwenye Eneo la Biashara Yangu Katika Jina la Yesu.Amen.  RUDIA KUOMBA ×7 Sehemu yeyote utakapoona amani ya m...

SOMO:IJUMAA KUU

SOMO:IJUMAA KUU Yohana;19:31-42 Ijumaa Kuu :-Ni Maandalizi ya kuelekea kukamilisha Wokovu kwa wanadamu. IJUMAA KUU IMEGAWANYIKA SEHEMU KUU TATU. 1:MATESO YA BWANA YESU. Hii inatukumbusha mateso  ya Bwana Yesu. Yohana;19;27-37 2:KIFO CHA BWANA YESU. Hii Inatukumbusha Kifo na Kuzikwa kwa Bwana Yesu. Yohana;19;38-42 3:UPENDO WA BWANA YESU. Hii Inatukumbusha upendo mkubwa kwa Bwana Yesu Kwetu. Yohana;3;16 Ijumaa kuu ni siku muhimu kwetu wakristo kutafakari na kuona Yale Aliyoyatenda Bwana Yesu.

SOMO: NDOTO ZA KUOTEA WEGINE

Somo;NDOTO NA TAFSIRI ZA KUOTEA WENGINE NDOTO  NI UJUMBE AU TAARIFA UNAYOJULISHWA WEWE UOTAYE. Huu Ujumbe Unaweza Ukahusu Wengine Au Sisi Wenyewe Na ujumbe inaweza ikawa jambo lipo kwa wakati huo au linakuja au lilishatokea. Ayubu:33:14-15 Karibuni Ninaitwa Pastor Richard Wa Morogoro Nipo Kanisa la Holy Spirit church Tanzania  Tuma ndoto inayokusumbua Inbox +255710889892 1:Ukimuotea mtu amekufa 👉🏿👉🏿Unajulishwa Huyo mtu hatakufa Roho ya mauti inamfatilia  Omba kemea hiyo ndoto. Ninakataa roho za mauti kwa.. katika Jina la Yesu.AMEN  2:Ukimuotea Mtu umemfumania 👉🏿👉🏿 Unajulishwa Huyo mtu Atakamatwa na Uzinifu  Omba kemea hiyo ndoto 3:Ukimuotea Mtu Anipita Barabarani anatembea wewe Umesimama 👉🏿Unajulishwa Huyo mtu atafanikiwa Kukuzidi wewe  Omba ombea itimie 4;Ukimuotea Mtu anaumwa Sana 👉🏿👉🏿Unajulishwa ataenda kuumwa yule mtu Sana lakini Mungu atamponya  Omba kemea hiyo ndoto 5:Ukimuotea Mtu anaolewa au Anaoa 👉🏿👉🏿Unajulishwa Huyo mtu amef...

MAOMBI YA KURUNDISHA KILICHO CHAKO

SOMO: MAOMBI YA KURUNDISHA  KILICHO CHAKO Katika ulimwengu wa roho watu wengi Sana Wanaishi maisha yasiyopangiwa na Mungu Sababu Wapo Watu Wanafanya kazi ambazo siyo zao walizosomea, Wapo Watu Wameolewa au Kuowa watu ambao siyo walioandaliwa na Mungu LEO hii Tunataka Kurundisha Kilichochako. 👊MSTARI TUNASIMAMIA          Mwanzo 14:23   ya kuwa sitatwaa uzi wala gidamu ya kiatu wala cho chote kilicho chako, usije ukasema, Nimemtajirisha Abramu; #ZINGATIA HAYA YAFATAYO 1:Uwe Jasiri mwenye msimamo wa kuomba. 2:Uwe Unajitambua Haya Maisha unayoishi siyo yako Kuna vitu unatakiwa uwe navyo huna.. 3:Ujiwekea Muda utembee na Maombi haya Siku 3 Kwa Muda utakaoweka.         NAMNA YA KUOMBA; Ninarundisha maisha yaliyo yangu Narundisha Kazi iliyo yangu Narundisha Mikono iliyo yangu Narundisha Pesa zilizo zangu Narundisha ndoa Yangu Narundisha Kizazi changu Narundisha Ujenzi Wangu Narundisha kila kitu kilicho  changu Kwa Jina la Yesu l...