Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai, 2023

Maombi ya kuvunja agano la kitovu

 .SOMO:MAOMBI YA KUVUNJA AGANO LA KiTOVU Kuna maagano hufanywa katika ulimwengu wa roho hasa unapozaliwa wapo watu wanateseka Leo kuumwa matumbo kumbe chanzo ni Agano la kitovu ambalo lilifanywa Pasipo wewe kujua.        Mstari wa kusimamia            2 WAKORITHO:10:3-6 1;Yesu Kristo Mnazareti ninakuja mbele zako siku ya leo ninavunja kila agano lililosimama kinyume na wewe katika Maisha yangu,liniachie Leo kwa Jina la Yesu.Amen 2.Kila agano la ndoa lililofanyika kwenye ndoto nilipovishwa pete nalivunja,pete hiyo naichoma kwa moto wa Roho Mtakatifu.Agano hilo la ndoa limekosesha ndoa yangu amani,limefanya nisipate mwenzi sahihi,Kwa uhalali wa Damu ya Yesu nalivunja Leo .Amen 3.Kila agano lililosimama katika Maisha yangu Kupitia viungo vyangu vya mwili au chochote changu kilicho pelekwa kwenye nyumba za waganga.Iwe ni kitovu changu,unywele wangu wa kwanza ulionyolewa nilipokuwa mchanga,iwe Ni kucha zangu,nguo zangu,kalamu yangu,mchan...

SOMO: NAFASI YA MWANAMKE KIBIBLIA

SOMO: NAFASI YA MWANAMKE KIBIBLIA             UTANGULIZI  Mungu hakumwumba mwanamke kwa bahati mbaya au makosa,kila ambacho Mungu alikifanya ,alikifanya kwa kusudi.kwa lugha nyingine kila ambacho Mungu alikifanya maana yake moja kina nafasi mbele zake na mbili kuna wajibu ambao Mungu aliweka ili utekelezwe na hicho kitu. Lengo la ujumbe huu ni kukueleza nafasi ambayo Mungu amempa mwanamke katika kanisa,jamii,nchi,ndoa na nk na wajibu wa yeye kutekeleza katika nafasi hiyo:- Karibu Ninayekuletea Somo hili Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa  WhatsApp +255759861768 HAYA MAMBO YANAMJULISHA NAFASI YA MWANAMKE KIBIBLIA.  1. Mungu anamtazama mwanamke kama msaidizi wa mumewe .  Mwanzo 2:18 “Bwana Mungu akasema si vyema huyo mtu awe peke yake,nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye”. Tangu kuumbwa kwa Adam,mpaka Mungu kumletea Eva inasemekana miaka mingi ilipita hapa katikati.Sasa tunajua katika ile sura ya kwanza na ya pili ya kit...

somo:maombi ya kujikomboa na roho za ukoo

SOMO:JINSI YA KUOMBA KUJIKOMBOA KWENYE ROHO ZA MIZIMU NA UOMBAJI WAKE  🏇🗣️🧗 Omba kama ulivyoelekezwa Karibuni Katika Maombi Haya  na maelelezo yakuomba Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta dakawa Simu Piga Jioni Saa 12:00 Jioni Kwa Msaada Zaidi na maelekezo  WhatsApp inbox+255759861768 MSTARI WA KUSIMAMIA AU NENO LA KUDAI HAKI YAKO Wagalatia : 6:5 Maana kila mtu atalichukua furushi lake mwenyewe UFAFANUZI WA MAOMBI HAYA HASA NENO👉🏿MIZIMU Mizimu Ni Nini,,?Ni Roho za Ukoo Inayoishi na mtu ndani Yake kwa uhalali ya kudai ukoo wake inaanza Kupata nguvu Kutoka kizazi Cha nne ukihesabu Kutoka ulipo  Mfano :Richard Ni mimi 👉🏿Julius Ni Baba 👉🏿Linda Ni Baby 👉🏿Kushoka Ni Ukoo wangu.  ▪︎Kushoka ▪︎Ndiyo ukoo aliyeshika ukoo Huyu Jinsi Alivyokuwa yeye huweza kumwigia kila mwanaukoo wake nakudai aishi nakuhagaika Kama hii roho itakavyo Huyu Kama alikuwa chifu lazima kwenu watapatikana viongozi Kama alikuwa mganga lazima kwenu watapatikana waganga Kama kwenu huw...

SOMO: MAOMBI YA KUSHUGHULIKA NA MATOKEO MABAYA

SOMO:MAOMBI YA KUSHUGHULIKIA MATOKEO MABAYA.        Karibu Maombi haya.      ➖➖➖➖➖➖➖➖➖ Huwa ipo hivi unapopanga mipango yako vizuri Tambua ulimwengu wa roho nao unakuwa unapanga upate matokeo mabaya ili ukate tamaa na kurudi nyuma uachane na hicho kitu. Mfano unawaza mwaka huu ufungue Biashara Utaanza kutafuta flem na mtaji utapata vizuri shinda kuianza hiyo biashara unaweza kwenda kufanya Jambo ambalo hukupanga likakupa matokeo mabaya. wapo watu wanashindwa kusonga mbele kutokana na matokeo                    Mika 5:2 [2]Bali wewe, Bethlehemu Efrata, uliye mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda; kutoka kwako wewe atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala katika Israeli; ambaye matokeo yake yamekuwa tangu zamani za kale, tangu  Bethlehemu Kalikuwa Ka mji kandogo Sana lakini ndiko kalileta na Kupewa kibali azaliwe huko Yesu na matokeo yake yalikuwa mazuri maana kupitia Yesu Dunia ilipata kuokolewa na mji k...

MAMBO 20 YA KUFANYA UKITAKA UMFURAHISHE MUMEO

MAMBO 2O YA KUZINGATIA UNAPOTAKA MUME WAKO AFURAHIE NDOA YENU Mithali:12;1_5  Karibuni katika Darasa la Wanandoa +18 Tuongeee na Kupeana elimu katika Njia yenye kujenga ndoa zetu katika kipengele cha kuwapokea Wanaume wapotoka Kazini na mambo yanayomfurahisha mumeo Mwalimu anayekuletea Darasa NAITWA PASTOR RICHARD  WHATSAPP NUMBA +255759861768 1:Unapomkaribisha mume wako hakikisha unaanza kwa kupokea mzingo wake kisha msalimu kwa heshima (piga magoti) nakumkaribisha. 2:Unapoanza Kuongea naye anzia kumweleza Habari nzuri na kumpa Pole kwa mihagaiko kisha muulize anaenda kuoga au Anakula kwanza. 3;Hakikisha Unakuwa msafi na unaoga vizuri mumeo anaporudi akukute upo msafi. 4;Safisha nyumba yako na Kutandika kitanda chenu vizuri mumeo asirudi akute chumba hakijatandikwa. 5.Badilisha mitindo ya nywele Na Kuvaa nguo anazozipenda mume wako. 6.Mshukuru Mumeo Kwa Kile kindogo anachokupa mwambie Ansate mfalme wangu. Fanya mara kwa mara. 7.Usimuite mumeo majina haya mume/Jeremia/rafiki y...

SOMO:MAMBO MHIMU YA KUZINGATIA UNAPOOMBA

SOMO: MAMBO MHIMU YA KUZINGATIA UNAPOOMBA.  Kuna vitu ni vya muhimu Sana Kufanya Maombi Yako Yafike mbele za Mungu na ujibiwe. 1:MUDA WA KUOMBA. Jifunze unapotaka uingie maombi yoyote mfano unaombea kitu au unaombea familia yako  Hakikisha unaweka muda wa kuomba Huo muda utapatana na Roho Mtakatifu na Mungu mwenyewe nawewe simamia huo muda maana katika ya huo muda ndio Mungu atashuka akuhudumie. Mfano umesema kila siku nitaamka saa sita usiku nianze kuomba mpaka saa nane simamia huo muda ulioutamka usipishane nao. Kwa Kufanya hivyo utayafanya maombi yako yawe yanajibiwa haraka. 2:TUBU. Hakikisha kama unajiona uliwaza vibaya au ulimunug,unikia Mungu au ulikata tamaa, au ulifanya dhambi Yoyote unaitubia hiyo dhambi.  Upotubu Hakikisha unapiga magoti na unaijutia dhambi yako kwa maombi ya kuugua na kuijutia dhambi hiyo. 3:UWASILISHAJI WA MANENO. Hakikisha unatamka maneno yanayoeleweka Yenye hekima na utaratibu maalumu usiende kuomba mbele za Mungu ukitumia lugha za mitaani...

SOMO.MAOMBI YA KUOMBEA KAZI ZETU

MAOMBI YA KUOMBEA KAZI YAKO KILA SIKU KABLA HUJATOKA NYUMBANI  Naitwa Bishop Richard Nipo Morogoro  Veta Dakawa 👉Africa ✍Tanzania  WhatsApp niinbox 0759861768 MAMBO AMBAYO UYAZINGATIE 1:Maombi haya uyaombe kila Siku kabla hujaenda kazini changua ombi moja omba. 2.Kila wiki Utaandaa Sadaka Yako nakumshukuru Mungu kukulinda wiki nzima kisha utaituma kupitia madhabahu hii ya moto wa Yesu.  3.Hakikisha Kila wiki unaomba maombi ya kushukuru kama navyoelekeza mwisho  MAOMBI YA WALIOAJIRIWA KWA MIKATABA NA WALIOJIAJIRI KWA KAZI YOYOTE YA HALALI ________________________________________ 1:Ninaibariki Kazi Ya Mikono Yangu Kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu  Katika Jina la Yesu.Amen  Omba ×3 Imeandikwa  Zaburi 128:4 Kiri huu mstari umebarikiwa wewe. Mf. Mimj Pastor Richard nimebarikiwa nimebarikiwa. [4]Tazama, atabarikiwa hivyo, yule amchaye BWANA.  2;Baba Yangu Wa Mbiguni Nakuomba Siku Ya Leo Ukaitawale Kazi Yangu Umtume malaika msimami...

SOMO: MAOMBI MBALIMBALI YA KUVUNJA MAAGANO YA DAMU.

SOMO: MAOMBI MBALIMBALI YA KUVUNJA MAAGANO YALIYOFANYWA KWAKO NA WACHAWI KUHUSISHA DAMU  Naitwa PASTOR Richard  Nipo Morogoro Veta Dakawa  Vitabu rejea Mwanzo:4:10-15 ISAYA:26:21  Kutoka:7;19-20 EZEKIELI;16:36-38 1Wakoritho:11-25 Waebrania:9:20 Huwa wachawi wanatumia damu yako au ya mnyama Kuweza Kuuwa kila kitu nasema kila kitu Kuuwa Afya yako Kuuwa uchumi wako Kuuwa Kazi Yako Kuuwa Malengo yako. Damu huwa ni uhai wa kila kiumbe chenye damu kiliunganishwa uhai wake kupitia Damu . Wachawi hutumia damu ya Wanyama,Ndege,Watu, nakuchinja ambayo huwa kafara ya damu wanayoitumia Kuuwa vitu mbalimbali kwako kama afya unakuwa mtu wa kuumwa umwa Tu Kukosa kazi Kuishiwa Damu mara kwa mara kupenda kuzini kutoa mimba mara kwa mara kuwa na magonjwa yanayohusisha zinaa mfano.H.i.v Kisonono. NK   KATIKA VIFUNGO HIVI WACHAWI HUTUMIA .NJIA ZIFATAZO. 1:Waganga wanakuambia upeleke kuku au mnyama harafu wanamchinja  Kumbe Wanweka Patano na Wewe kupitia damu hiyo. 2:Damu ya Bl...