Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari, 2022

MAOMBI YA KUBOMOA MADHABAHU YA KALE

MAOMBI NA MAELEKEZO YA KUJIONDOA KWENYE MADHABAHU ZA KALE.AU WENYEJI. Madhabahu za kale Ni tabia ulizokuwa nazo kabla hujafika Veta Dakawa Ukafundishwe Nini maana Ya Madhabahu Ni Mahusiano Yako Kati ya Mungu na mwanadamu au shetani Neno la Kusimamia Kutoka 34:13 [13]Bali utabomoa madhabahu zao, na kuvunja-vunja nguzo zao, na kuyakata-kata maashera yao. MADHABAHU ZA KALE 1:Wizi wa Fungu la Kumi umejua umhimu wa zaka lakini hutoi kisa huna kazi au Mungu Hajibu kwa Wakati anachelewa. ¶Hiyo Ni Madhabahu inayoshikiria hatua zako 2.KUENDELEA KUZINI WAKATI UMETOKA HUKU UKAFUNDISHWA MADHARA YA KUZINI ¶Hiyo Ni Madhabahu Ambayo unaifanya ikushirikilie  usivuke. 3.KUKATA TAMAA AU KUNUG,UNIKA ETI MUNGU HAJATENDA. Sasa wewe unataka Madhabahu ngani itapeleka mbele za Mungu au Mungu ngani wa kukata Tamaa maana Yeye Amesema Usihofu wewe Unakuwa na hofu nae na pia hata Tabia zako zinamhubiri shetani Ni ngumu kumshawi Mungu ATENDE kwa mtu aliyekata Tamaa. ¶Hiyo Ni Madhabah...

MAREKEBISHO YA KATIBA

IBARA YA 8; MUUNDO  WA KANISA LA HOLY SPIRIT MINISTRY TANZANIA Katika Huduma hii ya Holy Spirit Ministry Tanzania Kutakuwa na Uongozi wa ngazi ya Juu Taifa na Uongozi wa ngazi za chini. Itaundwa Kama ifatavyo;- a)Uongozi wa Juu Taifa Makao Makuu zitakapokuwepo Utaundwa na-: I) MWENYEKITI TAIFA II)KATIBU TAIFA III) MHAZINI TAIFA IV) Bondi Ya Wadhamini b)Uongozi ngazi ya chini Ngazi ya Kata ,Wilaya ,na Mkoa Itaundwa na ;- I) MWENYEKITI II) KATIBU III) MHAZINI IBARA YA;9; WAJIBU NA VYEO VYA UONGOZI 1:AINA YA UONGOZI a)Bondi Ya Wadhamini b) MWENYEKITI TAIFA c)KATIBU TAIFA d) MHAZINI TAIFA e)MWENYEKITI MKOA d) KATIBU MKOA e) MHAZINI MKOA f) MWENYEKITI WILAYA g) KATIBU WILAYA h)MHAZINI WILAYA I)MWENYEKI KATA j)KATIBU KATA k) MHAZINI KATA 2:SIFA ZA KIONGOZI. Kiongozi atapatikana kwa kuangalia Sifa zifatazo ;- 1:Awe Ameokoka Yaani Mwanafunzi wa Yesu( 1Timotheo;3;6) 2:Awe na Tabia Njema Kwenye Jamii (Yakobo;3;1-12) 3;Awe mtu mwenye kujitoa,Kujali, Kuhudumia ...

USHUHUDA

USHUHUDA HUU UTAKUVUSHA MAHALI SOMA WOTE      Habari Pastor Richard Mimi Ni Kijana Niliyeokoka Nampenda Yesu Sana Japo miaka 4  Nyuma Nimepita katika Jaribu la Kupenda na Kuumizwa na Wanawake Nilikuwa ninaanzisha mahusiano mwanamke anakuaminisha Anakupenda Lakini Jinsi muda unavyoenda gafla anaanza kutokujibu sms Mara akuambie Mimi nimechoka Mara nipo kwa dada nawewe huku unazidi kujipanga ukatoe mahari ukija Kumwambia Utasikia Anakuambia Subiri usije Mara utasikia Kuazia Leo sitaki kuendelea kuwasiliana na wewe hii Hali ilijitokeza kwa mabint watatu mmoja Wapo nilitoa mpaka mahari nusu akaja akaniacha  kingezo alichoniacha eti kwa kuwa Mimi Nimeokoka Yeye hajaokoka licha ya Kwamba Mimi nilimpenda  akaniambia labda nimfate Yeye nikasema haiwezekani ikabidi aniache👉🏿 Nashukuru Baada ya Kufika Madhabahu hii ya Moto wa Yesu Nikafundishwa Masomo Yaliyonifungua Mpaka nikajua mwanamke niliyeandaliwa Kuoa yukoje ndiye Huyu nimekuja kumpa verosa Mwanamke...

SOMO; UKOMBOZI WA WAWAKATI

SOMO; UKOMBOZI WA MAJIRA NA WAKATI KUTOKA;16;8-13,40;37-38 Yoshua;14;10-11 Waefeso;5;15-16 Muhubiri;12;1-5 MAJIRA NI Kipindi unachokipitia Unapaswa ukomboe Kipindi hicho ukivuke Salama. KATIKA MAISHA HUWA TUNAKOMBOA VIPINDI 4 Karibu unifatilie kwa umakini Ukombozi wa Wakati. 1: UKOMBOZI WA ELIMU. Huu Ni Ukombozi unaolenga Elimu Dunia na Elimu darasani Maisha Yanaitaji Elimu kila paitwapo Leo. MATOKEO YA KUKOMBOA ELIMU 1:Utakuwa na Elimu juu kile ulichojifunza 2;Utaongeza maarifa na Ufahamu 3;Utakabiliana na Changamoto Mbalimbali. 2; UKOMBOZI WA UCHUMI. Hii huhitaji Ukombozi wa Uchumi na vyazo vyake. Kuhakikisha kiuchumi unasimama vizuri. MATOKEO YA UKOMBOZI WA UCHUMI 1;Utamiliki Uchumi na kuutawala 2;Utatumia muda wako vizuri kutafuta Uchumi 3:Utasimama imara kiuchumi 3: UKOMBOZI WA KIROHO Huu Ni Ukombozi wa Kiroho na mwili Kutembea Katika misingi mizuri ya Mungu MATOKEO YA UKOMBOZI WA KIROHO 1;Utamjua Zaidi Mungu 2:Utakaa katika Mapenzi ya Mungu 3;Imani itakuw...

SOMO: USALITI

                       SOMO; USÀLITI Mwal; Pastor Richard Yupo Morogoro veta Dakawa YouTube; Kanisa la Moto wa Yesu              UTANGULIZI Tusome Vitabu hivi 👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼 1 Mambo ya Nyakati 12:17 [17]Naye Daudi akatoka ili kuwalaki, akajibu, akawaambia, Kama mmenijia kwa amani ili kunisaidia, basi moyo wangu utaambatana nanyi; lakini kama mmekuja ili kunisaliti kwa adui zangu, kwa kuwa hamna udhalimu mikononi mwangu, Mungu wa baba zetu na alitazame neno hili, na kulikemea. 👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼 Mathayo 26:14-16 [14]Wakati huo mmoja wa wale Thenashara, jina lake Yuda Iskariote, aliwaendea wakuu wa makuhani, [15]akasema, Ni ...

SOMO; ULIMWENGU WA ROHO

SOMO: ULIMWENGU WA ROHO 🍉Mathayo:5:14 👉🏿24:14👉🏿Luka;20;34👉🏿Warumi;11;12-15 UTANGULIZI ______________ 1 Wafalme 2:2-4 [2]Mimi naenda njia ya ulimwengu wote; basi uwe hodari, ujionyeshe kuwa mwanamume; [3]uyashike mausia ya BWANA, Mungu wako, uende katika njia zake, uzishike sheria zake, na amri zake, na hukumu zake, na shuhuda zake, sawasawa na ilivyoandikwa katika torati ya Musa, upate kufanikiwa katika kila ufanyalo, na kila utazamako; [4]ili BWANA afanye imara neno lake alilonena kwa habari yangu, akisema, Ikiwa watoto wako wataiangalia njia yao, wakienda mbele zangu kwa kweli, kwa moyo wao wote, na kwa roho yao yote, (akasema), hutakosa mtu katika kiti cha enzi cha Israeli. 👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👉🏿👉🏿👉🏿👉...

MAOMBI YA KUJIKOMBOA NAFSI

SOMO.MAOMBI YA KUIKOMBOA NAFSI. 1;Anza na Kuabudu au Sifu   2;Kaa katika Uwepo 3;Anza kuliita jina lako Mfano RICHARD RICHARD RICHARD Mara Tatu. Unasema njoo njoo njoo Duniani toka kwenye magonjwa Toka Kwenye mikosi Ya magonjwa....... 4;Endeleaa kuitaa Jina hata ukidondoka Tamka Kuliita Jina Lako 5;Angizia Malaika wa Moto Malaika Wapelelezi 6;SEMA Naangizia malaka wa Moto Wapelelezi waende kila kambi za Kichawi walipochukua jina langu waliachie Nasema. 7:Kaza Sauti Kama Mwanajeshi Palendi Omba Omba Tumia Malaika wakufate walipokuweka AGALIZO Kama wewe Ni mtu mwenye wasiwasi na Nguvu za Mungu wako au Umejikatia Tamaa au Umejawa manug,uniko usiingie kuomba RUHUSU Nguvu za ROHO MTAKATIFU ziongoze Maombi Muda wowote jikomboe nafsi Yako MSTARI wa KUSIMAMIA Mwanzo 2:7 [7]BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai. MAOMBI YA KUVUKA VIZUIZI Mithali;3;25 Mstari wa KUSIMAMIA 1;Anza Kwa Kuomba Toba 2;Anza kutamka Nav...