Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni, 2021

SOMO:VITA YA KUBOMOA MAWAZO MABAYA

SOMO: VITA YA KUBOMOA FIKRA NA MAWAZO MABAYA Warumi;14:1 Wakolosai:3:5 Wagalatia:5:24  2Wakoritho:2;11 Wafilipi;4:10 USHUHUDA Bint mmoja Alifika Hapa Kanisani Akiteseka na Ukimwi na kutokuolewa Akaniambia Baba Napata WACHUMBA Lakini Nikiwapata wanataka tukapime nnaomba Uniombee nikaolewe na nikipimwa majibu yawe mazuri nikamfundisha Masomo TU ndani ya Siku SoMo mojawapo lilikuwa ondoa Mawazo mabaya yanazuia uponyaji wako pia Simama na Zaka Kumbe alikuwa Mwizi wa Zaka na akilini anawaza Hawezi Kupona h.i.v Baada yakufuta Mawazo ya wizi wa zàka na Ukimwi alipoenda kupima Ukimwi aliukuta Hana na Leo Ameolewa. Inawezekana Nawewe Unavita na Fikira zako na Mawazo mabaya Ambayo yamejenga Madhabahu Ndani Yako Na Unateseka maana unaombewa Uponyaji hupati kwaza unamuwazia vibaya hata Mtumishi anaekuombea Wewe Mwenyewe unawaza mabaya. Hebu fikiria Kama wewe unawaza Usiwe mwaminifu wa zàka  hutoi Unatengemea utapataje Kupona huna unachokifanya Zaka kila mwezi hutoi au unawa...

SOMO: MADHABAHU Part 4

        SOMO: AGANO LA MADHABAHU YA MUNGU. part 4 Warumi;11:3 Kutoka;29:16, 1samweli:2:33 Yoshua;22:29 👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿 Karibuni Mwendelezo wa UJEZI wa MADHABAHU Leo Tuagazie Jinsi yakuweka Agano na Madhabahu Za Mungu ndani Yetu. Mtu Yoyote anayetaka Madhabahu Yake na Mungu idumu anapaswa aweke agano na  Tabia za Kimungu nakutembea na Mungu mwenyewe. Gharama za Agano la Madhabahu yakimungu ndani yako 1:Mkiri Bwana Yesu Awe mwokozi wako 2:Amua Kutoka Madhabahu ya Baba zako uende Madhabahu aliyokupa Mungu. 3:Mungu Kumtengemea Katika Kil...

MAJINA YA MALAIKA

Picha
Majina 20 ya Malaika na Maana yake Malaika ni vitu vya kawaida na vya kiroho ambao kazi zao kuu, kulingana na mila ya Kikri to, ni kumtumikia Mungu na kulinda wanadamu. Baadhi ya majina ya malaika anayejulikana zaidi ni Gabrieli, Razie Maudhui: Orodha ya jina la Malaika Malaika mkuu michael Malaika Mkuu Gabrieli Malaika mkuu Raziel Uriel Azraeli Raguel Sariel Remiel Metatron Hanieli Jofiel Nuriel Jerathel Wengine Mada zinazohusiana Marejeo Malaika ni vitu vya kawaida na vya kiroho ambao kazi zao kuu, kulingana na mila ya Kikristo, ni kumtumikia Mungu na kulinda wanadamu. Baadhi ya majina ya malaika anayejulikana zaidi ni Gabrieli, Razieli, Uriel, Sarieli, Azraeli, Jofiel, au Jerathel. Kulingana na Bibilia, malaika wamegawanywa kulingana na nguvu zao na majukumu yao Mbinguni, ingawa wana sura zao za kimungu na miundo inayofanana. Utafiti wa takwimu hizi umetengenezwa kutoka kwa malaika, moja ya matawi ya theolojia. ...

MAOMBI YA KUOMBA UKOMBOZI

MAOMBI YA KUOMBA MTU ANAEUMWA MIGUU NA MIKONO. Mambo Ambayo AZingatie 1:Anunue mafuta ya mgando mapya 2:Awe Miguu inawaka Moto na mikono 3:Ayaombee mafuta na anapaka kila Baada ya Kuonga 4:Apake Kuazia chini ya Miguu kupanda juu mpaka magotini 5;Mikono Apake viganja kwa nje na ndani. 6;Yashike Juu mafuta unapoombea Jinsi Yakuombea Mafuta hayo. B"Hata nitawaweka Adui Zangu nitawaweka chini ya Miguu Yangu 1wakoritho:15:25 Ninaamuru mafuta haya yageuke yawe uponyaji Yawe Uzima Kila Uchawi uliotengeshwa Barabarani na Umeunganishwa na Miguu Yangu na mikono naivua Kwenye Miguu na mikono Kuazia Leo Mafuta haya yakafute kila uchawi ndani Yangu Kwa Jina la Yesu 🙏Amen. Rudia Mara 7 MAOMBI YA KUOMBA KWA MTU ALIYEBUBU NA KIZIWI MTU MZIMA. Mambo YAKUZINGATIA unapojifungua 1:Shika masikio Yako Kupitia kidole Kuingiza masikioni 2:Fanya Zoezi unatoa Kwenye sikio nakuigiza kidole wakati Unaomba 3:Bubu shika Kinywa chako Kupitia vidole vyako Unapoomba natoa Sauti 4:Fany...

SOMO; MADHABAHU 👉🏿 Part 3

SOMO: UNAPOJENGA MADHABAHU LAZIMA UBOMOE MADHABAHU YAKO YA KALEE Kutoka 34:10-15 [10]Akasema, Tazama, nafanya agano; mbele ya watu wangu wote nitatenda miujiza, ya namna isiyotendeka katika dunia yote, wala katika taifa lo lote; na watu wote ambao unakaa kati yao wataona kazi ya BWANA, kwa maana ni neno la kutisha nikutendalo. [11]Liangalie neno hili ninalokuamuru leo; tazama, mbele yako namtoa Mwamori, na Mkanaani, na Mhiti, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi. [12]Ujihadhari nafsi yako, usije ukafanya agano na wenyeji wa nchi ile unayoiendea, lisiwe mtego katikati yako. [13]Bali utabomoa madhabahu zao, na kuvunja-vunja nguzo zao, na kuyakata-kata maashera yao. [14]Maana hutamwabudu mungu mwingine, kwa kuwa BWANA, ambaye jina lake ni mwenye wivu, ni Mungu mwenye wivu. [15]Usije ukafanya agano na wenyeji wa nchi, watu wakaenda kufanya uzinzi na miungu yao, na kuitolea sadaka miungu yao; mtu mmoja akakuita, ukaila sadaka yake. MADHABAHU ZA KALE👉🏿Hii huwa Ni ...

SOMO; MADHABAHU Part 2

SOMO; JENGA MADHABAHU ILIYOMO NDANI YAKO                 UTANGULIZI HUWEZI KUPOKEA MAJIBU USIPOJENGA MADHABAHU HUWEZI KUPOKEA MAJIBU KAMA SADAKA HUTOI NA HUWEZI KUTOA SADAKA HUNA MADHABAHU NA USIPOKUWA NA MADHABAHU HUNA MAJIBU 1Wafalme;18 Soma huu Ushuhuda Jinsi Eliya alivyojenga Madhabahu Yake na Akamuita Mungu Moto ukashuka Si Jambo Jepesi Uweke maji Uchukue g,ombe ukatekate halafu Muombe Mungu Alete Moto apike wakati huo Anashindana na Watu 450 Wewe Unaweza Ukawa Mtu mmoja au wachawi mapepo yakakutoa Jasho au Tatizo likawa Sungu hailishagi Kutokana Hujajenga Madhabahu Inayoleta Majibu Hujajenga Madhabahu Takatifu Yaani Lazima Uelewe MUNGU wako Ni Mtakatifu na Ni mkuu mnoo Lakini ukijenga mungu wako bado Ukawa Unatenda maovu Unazini huku unamuomba Mungu Hapo Tayari Unakuwa umejega mahusiano na mungu mchafu. UJEZI WA MUNGU KWANZA NDANI YAKO. Mungu Ni Mungu TU Hana analoweza Kushindwa Isipokuwa ndani Yetu au...

SOMO; NDOA YENYE FURAHA

SOMO: SIRI ZA KUWA NA NDOA YENYE FURAHA 💜💜💜💜💜💚💚💚💚💞💞💞💞💞💞❣❣ Karibuni Wanandoa Kwa Majina Naitwa Pastor Richard Mwalimu wa Wanandoa Tukumbushane Mambo mhimu kwa Wanandoa Kufanya ndoa Zetu Ziwe Nafuraha Tumia Muda mchache ujifuze Kwa Ushauri piga Saa 12 00 Jioni Kwa Namba+255759861768 1;👉🏿Mawasiliano(KUJALI) « Huu ni mfupa wa mifupa yangu, nyama ya nyama yangu. » (Mwanzo 2.23) Mawasiliano ni suala muhimu kwa wanandoa, kwani Mungu aliumba mwanamume na mwanamke kuwa kitu kimoja, ambayo inamaanisha kuunda mwili na moyo. Ikiwa mtume Paulo anawaita Wakristo kuishi katika ukweli na nuru kila siku (Waefeso 4: 25-26), ni nini? Hii inatumika haswa kwa wanandoa. Kwa hivyo, mawasiliano mazuri kati ya wenzi wa ndoa yanaashiria hitaji la uwazi, kuheshimiana na kuelewana. Na matunda yanayotokana yataashiria uaminifu, usalama na amani. 2👉🏿Msamaha(KUJIREKEBISHA) « Shikaneni na kushukuru; ikiwa mtu yeyote ana sababu ya kulalamika dhidi ya mwingine, kama vile Kr...

SOMO: JUHUDI ZENYE NGUVU

        SOMO: JUHUDI  ZENYE NGUVU. ♿♿♿♿♿♿♿♿♿♿♿♿♿♿♿ Tufunue Biblia Zetu👉🏿Warumi:10:2-6👉🏿Warumi:12;11-15👉🏿Tito:2:14-16 Zaburi:119:139 Ushuhuda Mfupi; Pili alipewa 10000 Kama mtaji Baada ya miezi 5 alirudisha 20000 na mtaji Waka ukiwa umefikia 250000 Siku Moja Nilikuwa Katika Kuhubiri injiri  za mtaani nilipokuwa nahubiria Ni kwenye vijiwe vya mateja na wavuta mbagi Gafla Vijana Waliinuka  Kwa Somo lilikuwa Amelaniwa Amtengemeaye Mwanadamu moyoni mwake Anajishuhudia Hakuna Mungu Wala Watumishi Wa Mungu wakweli Somo liliwangusa Vijana wakashika mawe na wengine wakanisongelea Lakini Sikuogopa Na mwisho wa Siku walimpokea Yesu. KARIBUNI Naitwa Pastor Richard Ninaewakaribisha Nipo Morogoro Veta Dakawa WhatsApp Number+255759861768 MAANA YA NENO JUHUDI 👉🏿Kujituma au Kujitoa JUHUDI ZENYE...

SOMO: MBINU ZA MAOMBI

DARASA LA UJUNZI WA KUOMBA  SOMO: MBINU ZA MAOMBI 1wafalme:8:28-45, Zaburi:6;9,👉🏿17:1,👉🏿39:12 Kuna mtu mmoja Anajiuliza Kwanini Ufalme wa ngiza Bado unamtawala Wakati Kuomba Anaomba Sana TU Hakuna Unafuu Karibu Ujifunze Mbinu na Tarata Ya Kuomba Katika Maarifa. Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa WhatsApp Number+255759861768 MAANA YA NENO MBINU ZA MAOMBI Ni ujuzi wa kuwasilisha mahitaji mbele za Mungu nakupokea. MBINU ZA MAOMBI 👉🏿Maarifa ya uombaji kwa mtu anaeomba SABABU YA SOMO HILI KUFUNDISHWA Ni kumuwezesha mwanamaombi aombe Vizuri na alete MATOKEO Ni Kuuteka ulimwengu wa Roho Mtakatifu Nakuumiliki Ni Kuwa mtawala na Mmiliki wa Ushindi wa Maisha Ya Kiroho. KUNA MAKUNDI MAWILI YA UTAALAMU NA UJUZI WA KUOMBA 1:MBINU YA MAOMBI YA KIJESHI👉🏿{1samweli;17:25-58) ✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️ 2:MBINU YA MAOMBI YA KIFALME👉🏿{Esther:2, Yakobo;2;8,1Nyakati;29;25 ✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️ 3: MBINU ZA MAOMBI YA KIKUHANI👉🏿{Kutoka:19;6-24 Waebrania:7;10-28} ✔️✔️✔️✔...