SOMO: MSIDANGANYIKE
SOMO; MSIDANGANYANE AU MTU ASIWADANGANYE. Waefeso;5;6 Waebrania;3;11 Msidanganyike Katika maneno ya Watu wanaopinga imani yako ya kikristo au Watu wa uasi waliomuacha Mungu nakuchangua kuifurahia Dhambi na hazina za Duniani Siku Zote maneno Yenu yawe na Hekima kwa mpumbavu anayewarubuni Kutenda Dhambi. Lengo la SOMO; Ukombozi na Mafundisho ya Neno la Mungu Dhima Yetu MOTO WA YESU;-Kuwafundisha Watu Katika Roho Mtakatifu KUDANGANYANA;- Ni Hali ya kushashiana Katika Kutenda Mambo yachukizayo Kwa Mungu au Ni kinyume Cha Neno "UKWELI" ATHARI KUU ZA KUMDANGANYA MWEZAKO 1:Inakufanya Usiaminike Tena 2;Hufuta Mema Yote Uliotenda 3:Hukushusha Heshima yako 4;Hutaacha Kudanganya 5;Huumbika roho ya uongo. MAMBO MATATU UFANYE UACHE KUDANGANYA 1:Jifunze Neno la Mungu Maana Ni Kweli 2;Kaa na Chukia Kudanganya mwenyewe mhusika. 3;Anza Kujizoesha Kusema Kweli tu VUNJA MAHUSIANO YA UONGO NA UDANGANYIFU NDANI YAKO. 1;Anza Kujiuliza Kwanini unadanganyika shida Ni Nini 2;Penda N...