Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Januari, 2020

SOMO:NJEGA Misingi YAKO ILIYOHARIBIWA NA UFALME wa NGIZA

✍🏾✍🏾SOMO;HARIBU MISINGI MAADUI ZAKO YOTE✍🏾✍🏾✍🏾 Vitabu;Mathayo:7:25 Luka:6;45  Matendo:16:26 Waebrania;4;3 Isaya;54;11 Karibuni Katika SoMo Hili Wanangu Naitwa Pastor Richard SoMo Hili nikiwa Nakuletea Lengo kuu la SoMo; Kufichua ufalme wa ngiza ulioharibu Misingi yako Iliyojenga Mateso Kupitia Misingi mibovu na Kujenga Msingi imara uliosimama imara. Misingi Ni Nini? Ni Kile kinachoshikilia ukuta au kusimamisha nyumba Nzima hiyo kimwili lakini Kiroho ni kitu kinachoshikilia imani yako na kukujengea udhaifu wa Kuamini uweza wa Mungu pia Misingi Ni Tabia inayoweza kuendesha maisha yako nakukuongoza kutatua kitu. Katika Uharibifu majeshi ya mapepo na wachawi hujenga Misingi Yake pale yanapoingia ili kuufanya mwili wako uwe Na Tatizo Hujenga Misingi ya Hofu woga ambayo Hufanya uhabifu wa maisha yako kwa ujumla Hujenga magonjwa mateso nk ambayo huwa misingi ya uharibifu wa Afya yako chazo Ni majeshi au Tabia Hujenga Misingi mibovu ya Tabia yako yenye kukuendesha nakukufanya...

Somo;Imani Yenye Nguvu inavyoleta majibu fasta

SOMO;IMANI YENYE NGUVU HAISHINDWI KITU 👉🏽👉🏽👉🏽Luka:8;25-32👉🏽Luka;18;42👉🏽Matendo;15;9👉🏽Warumi;14;1 ☝🏼☝🏼👉🏽Imani Yenye Nguvu ndio ikoje??  Hii huwa Hali iliyomo ndani mtu inayompatia mtu was kuliona Tatizo ngumu linawezekana Mawazo na fikira zinakuwa zipo juu katika kufikiri inawezekana 👉🏽👉🏽👉🏽👉🏽👉🏽👉🏽Faida za Mtu mwenye Imani Kubwa👉🏽👉🏽👉🏽👉🏽👉🏽 👉🏽Hazidiwi na pito lolote au jaribu 👉🏽👉🏽Hashindwi kitu kimwili na kiroho 👉🏽👉🏽Ana...

Maombi Ya Kutengua Mitengo waliokufunga kwa Siri

🗣🗣 MAOMBI YA KUTENGUA MITENGO YA KICHAWI WALIOKUUNGANISHA KWA SIRI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO 👄👄🔥🔥 Karibu Maombi haya Uwe Unaomba Kila Mara Pia Rudiarudia kabla ujaanza Ita Damu ya Yesu ikufunike halafu vaa siraha zote katika ulimwengu wa roho. Navaa Mwili wangu Richard Motoo Mawazo yangu Moto mavazi yangu Moto matamshi yangu Moto Nashusha MALAIKA wa Moto wanizunguke MALAIKA wa pelelezi wakafichue Kila siraha wakamate Kila waliokuwa wamenjega uharibifu ndani ya nafsi yangu nguvu ya upako  wa kuvurunga Kila mapando Yao kwenye moyo wangu wachie kwa jina wapondwe wapondwe Kila nguvu zao zilizokuwa zimenifunga kwenye maamuzi yangu uchumi wangu kazi yangu Uzao wangu waachie Leo hii Kama walizoea kunifunga Kupitia ndoto nafichua nishawajua Siri zao ndoto zao waliounganisha na mwili wangu Kuanzia kimwili kiroho Mimi sio wa maisha haya wewe jini uliyefugamanishwa na nafsi yangu pingwa kwa jina la Yesu Achia Achia Kila m...

Somo:Hasira Haitendi Njema hata siku Moja

⌚⌚SOMO:HASIRA HAITENDI NJEMA SIKU ZOTE👉🏽 EPUKA HASIRA👉🏽 Mwalimu; Pastor Richard Tusome Vitabu hivi 👉🏽👉🏽Mithali;16;14👉🏽 Mithali;14:16-29👉🏽Zaburi:106;40👉🏽Zaburi:103:8👉🏽Maombolezo;4;16👉🏽Ayubu;5;2👉🏽👉🏽 ⌚⌚⌚Hasira Ni Nini?? Ni Hali ya Mtu kughazibika au Kupaniki Hasira Huwa Ni roho inayochochea Mtu kufanya kitu Pasipo Kufikiria 👉🏽👉🏽👉🏽👉🏽👉🏽👉🏽Hasira huwa inamfanya mtu akosane na Mungu wake 👉🏽👉🏽👉🏽Hasira siku Zote inahasara Kama hivi 👉🏽👉🏽👉🏽&#1...

Somo;Tunza MUUJIZA WAKO UKISHATOKA KWA Pastor Richard Karibu

.⌚⌚SOMO;JUA NJISI YA KUUTUZA MUUJIZA WAKO UNAPOKUWA UMETOKA KUFUNGULIWA MOROGORO VETA DAKAWA⌚⌚   Imeandaliwa na Pastor Richard 👉🏽👉🏽Lengo: SoMo Hili linamsaidia mtu ajue njisi ya kukaa na kulinda Kile alichokipokea muovu asije Tena kumrudisha kwenye Tatizo au Akaanza Kupitia yaleyale aliyofunguliwa pia inamuongoza hata Yule mtu anayekuwa Ameenda kuupata ukombozi au kufunguliwa mbali mfano. umeenda dar umeenda south umeenda Morogoro Sasa ukisharudi hujui uendelee vipi kutunza ulichokipokea hasahasa MUUJIZA WAKO unajikuta Baada ya muda unaanza Kurudi kule kule matatizo yaleyale yanaanza tena.👉🏽👉🏽👉🏽Karibu katika SoMo Hili Biblia inasema👉🏽 👉🏽Zaburi : Mlango 39 1 Nalisema, Nitazitunza njia zanguNisije nikakosa kwa ulimi wangu;Nitajitia lijamu kinywani,Maadamu mtu mbaya yupo mbele yangu 👉🏽&#1280...

SOMO; NDOTO YAKO IJUE INAMANA GANI

⌚⌚ *IJUE NDOTO YAKO INAAMANA NGANI⌚⌚ Maana YA NDOTO * 👉🏽👉🏽👉🏽Ndoto huwa Taarifa unayojulishwa juu ya kitu kilichopo au kijacho au kilishapita. 👉🏽👉🏽Lengo :Wewe ujue Nini walikufanyia ufalme wa ngiza au kujua Mungu Anataka Ufanye Nini na ukaaje ili ndoto YAKO itimie ;👉🏽👉🏽Kuna minyororo MINGI na chazo Cha wewe Kupigwa na kuharibika kwa maisha yako Ni Vita katika ulimwengu wa ndoto wachawi mapepo majini waganga wanakuinjia kwa mbinu na muonekano mbalimbali kwa Lengo ya kukuharibia maisha yako nyota yako na wanakuzidi nguvu kwa kutokujua Sasa Utajua Siri zao na utafunguliwa. 👉🏽👉🏽👉🏽Naitwa Pastor Richard Ninayekuandalia Somo hili litakalokuweka huru na matatizo Yako Pia Simu yakuongea nami+255759861768 piga mida ya saa:12;00-8;00 usiku kuhudumiwa kwa wa...

SOMO:Jua Njisi Ya Kuvua Utukufu wa Shetani nakuvaa utukufu wa Mungu

⌚🌅🌠SOMO: MVUA UTUKUFU wa SHetani___ VAA UTUKUFU wa MUNGU.🔥🌠🌠 Vitabu: Mathayo;16;27 Mathayo:25:31 Yohana;9;24 Warumi:5;2 Isaya;60;1_5 Lengo La SOMO; Kukujulisha kujua nguvu ya UTUKUFU wa MUNGU ndani yako na njisi ya kuulinda utukukufu wa Mungu. Karibu Naitwa Pastor Richard UTUKUFU NI Nini?? Huwa Ni Nuru au mwanga unaokuwa unakuzunguka katika kuhakikishia unakutambulisha kwenye kazi unayoifanya. Kwa mfano rahisi unaweza chukua zoezi hili Nzima taa yako usiku halafu uone unazungukwa na Nini Kama utaona ngiza Ni utukufu wa Shetani unavyokuwa unakuzunguka kwa Kukosa Neno la Mungu  ndio unajikuta mtu Anateseka na Tatizo  bila kujua chazo kumbe kwa kuwa Anakuwa Yupo amefunikwa na UTUKUFU wa WANADAMU au Utukukufu wa Kumtengemea Hirizi waganga uchawi Miungu majini nk Mtu aliyezungukwa na Hali ya ngiza huwa Ni kazi pia Kuelewa adui anayemtesa Yupo nae ndani au Yupo nae nje kwa kuwa taa Yake Huyu mtu ameizima Anaona ngiza TU kwa ...