SOMO: USIRUHUSU MTU ANGUSE MOYO WAKO
SOMO :USIRUHUSU UNGUSWE MOYO WAKO NA MTU UTUNZE MOYO WAKO MOYO; huwa ndio Chanzo Cha Furahs Kwako au Huzuni. Kupitia Moyo Unaweza kuhisi na Kupata Taarifa YOYOTE. UNATAKIWA HAKIKISHA MOYO WAKO UNAUFANYIA HAYA. 1:LINDA MOYO WAKO KULIKO KIUNGO CHOCHOTE. Usikubali mtu aunguse moyo wako au akupige kwenye moyo maana utaumizwa na kujeruhiwa usiweze Kupata Matibabu ya haraka. Mungu Ametupa Tahadhari Kupitia Kitabu Cha Mithali 4:23 [23]Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima. Zaburi 73:26 [26]Mwili wangu na moyo wangu hupunguka, Bali Mungu ni mwamba wa moyo wangu Na sehemu yangu milele. 2; USIRUHUSU MAWAZO MABAYA YA UNGUSE MOYO WAKO Unaweza Kuupa Mawazo mabaya au Kufikirisha mabaya na Ukajikuta unajiumiza mwenyewe Usiufanye moyo wako uwaze mabaya MUNGU huchukizwa na Mawazo Mabaya. Mwanzo 6:5 [5]BWANA akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu sikuzote. ππΌππΌππΌππΌ...