Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi, 2021

SOMO; UTAFIKA KANISANI

SOMO; UTAFIKA HAPA KANISANI Ayubu 38:11 [11]Nikasema, Utafika mpaka hapa, Mbarikiwe Watu mnazidi Kuchukua Hatua Ya Kuamua Kufika Kanisani Kama Angizo la MUNGU Kuweza Kuwasaidia nakutatua mateso Yenu Kupitia Masomo Yaani Neno la MUNGU na Hakika watu Wanafunguliwa na Wanamuona MUNGU Mtu anayefika nitofauti Sana na mtu anayeishiakusoma TU mtandaoni na unamuombea kwenye Simu. Sasa Chukua hatua Ya Kutafuta Suluhisho ya Tatizo lako na Kutafuta uso wa MUNGU Kwa Kufika Madhabahu ukiwa na Biblia Yako Notbook Yako Pen na Ukija Utaratibu utakaa SIKU Tatu Kula Utajigharamia Pakulala papo LAKINI Mkija MKE na mme mtalazimika muwe na hela ya kulala nyumba za wageni. Wewe Ukiishia Kukaa TU Unatengemea MUNGU atakuhudumia umekaa hapo utaendelea kusubiri Mkono wa Bwana utende kumbe unaitajika TU ufundishwe Neno la MUNGU SI Kila Tatizo unaitajika uombewe kwenye Simu au ukiwa nje na Kanisani. KWANINI MUNGU ALIANGIZA MNAFIKA KANISANI 🌳 Mara ya KWANZA nilikuwa nikiombea kwenye Simu TU watu ...

SOMO: UKOMBOZI WA DAMU

SOMO: UKOMBOZI WA DAMU Vitabu Rejea👉🏿⚠️ Mathayo:27:2-26👉🏿Yohana:19:34👉🏿 Waefeso:1:7👉🏿Waebrania:10:19-29👉🏿UFUNUO;12;11 Nikiwa Katika Uwepo na Tafakari Juu Ya Watu Wanaofika Kwa Ajili ya Ukombozi Hapa Kanisani wakitoka mikoa mbalimbali Nasikia Sauti Ikisema Ukombozi wa Damu Ukombozi wa Damu Wakomboe Damu Zao.Nikazidi Kuhoji Sauti ili inipe Vitabu ikanipa Vitabu nikasikia Adaa Somo na wengi watafunguliwa Kama Somo la Vifungo ambalo nilikupa na linaponya wengi Sasa Ukombozi wa Damu itawaponya wengi Karibu wewe msomaji wa Nakala za Mpakwa mafuta na mbeba maono ya Bwana Pastor Richard Ambaye Ni Askofu wa makanisa ya Holy Spirit Tanzania WhatsApp number+255759861768 Tusome Mithali 12:6 [6]Maneno ya waovu huotea damu; Bali kinywa cha wanyofu kitawaokoa. 👉🏿👉🏿Kila mtu muovu hufatiliwa na Dhambi ya Damu Pasipo Yeye Kuelewa ...

SOMO: KIBURI NI CHUKIZO KWA MUNGU

SOMO;;KIBURI NI CHUKIZO KWA MUNGU PIA HUKUTENGA NA MUNGU KIACHE KIBURI HICHO. Tufunue Biblia Tusome Wote kwa Sauti Mithali;16;18👉🏿Zaburi:73;6👉🏿1Samwel;17;28👉🏿Lawi:25:19👉🏿Luka:1:51👉🏿1Timoth:3;2 MUHUBIRI na Mwalimu Bishop Richard Yupo mtu Alikuwa Anateseka Kila mchumba akimpata akikaa nae mwaka tu anamuacha kwa Sababu ya kiburi Yupo Mtu mmoja alikuwa Anapesa akawa Amekuja Kuombewa Kanisani Kutokana na Mazingira Kanikuta naanza nasali kwenye mti Akasema Kanisa lako Pastor Richard liko wapi nikamuonesha Nasali hapa kwenye mti alikuwa Akiitaji mme Kutokana na Mtazamo aliokuwa nao hakuukuta akaishia Kutembea mbure Kutokana na Dharau au kiburi Wapo watu wengi Sana wanateswa na viburi vya chinichini Wazazi wameongea wewe Wachungaji wameongea Kutokana na Kuinuliwa Kidongo au Kupata Nafasi Kidongo imewafanya wamekuwa na Kiburi mpaka Kanisani Acha nikuambie Kiburi ni Kibaya Ndani mwako Hupaswi Ufunge Kiburi 👉🏿👉🏿 Mithali 16:5 [5]Kila mwenye moyo wa kiburi ni chukizo kwa BWANA;...

MISINGI 10 YA IMANI YETU Holy Spirit Tanzania

MISINGI (10) YA IMANI YETU KANISA LA HOLY SPIRIT 🌐Sauti Yetu Ya Pamoja Kama Kanisa la Roho Mtakatifu Tunaamini Huduma ya Roho Mtakatifu Ni Ukombozi wa fikira na mawazo ndani ya mtu Hali ambayo hufanywa na Roho Mtakatifu *Kufundishwa Neno la Mungu *Kuombewa Tatizo kwa kufata chazo Cha Tatizo ambalo Roho Mtakatifu hulifunua nakulionesha; Mstari wetu unaosimamisha Imani Yetu 2Wakoritho:3:6 🌐🌏Tunaamini Mungu Ni mmoja na wakweli Tena Ni Roho Ambaye Ameziumba Roho Zote Zinazoonekana na Visivyoonekana Yohana:4:24 Mwanzo:1 Isaya 43:10 🌏🥝🌐Tunaamini Dhambi ndio Sababu ya Mungu Kukosana na Mwanadamu Lakini Endapo Mwanadamu Atajitambua Kwa Hili  nakutubu kwa kunyenyekea akaacha Hiyo Dhambi Atamfanya Mungu akae nae nakusikiliza maombi yake 2Nyakati:7:14-16 🥦🌏🥦✔️Tunaamini Hakuna Ngumu au Linaloweza Kuweza Kushindikana Na Mungu Msemaji wa Mwisho Ni Mungu Yeremia:32:27 Matendo;8;37 ...

SOMO: KARIBU YESU

SOMO👉🏿 KARIBU YESU HIVI VYAKO MWILI WANGU MALI ZANGU Mathayo:16:8 UFUNUO:3:20 Basi Alikuwepo mtu Mmoja ameokoka anampenda Yesu Sana Siku Moja Yesu Alimtembelea Nyumbani Kwake Akabisha Hodi,,Hodii,,Hodii,,Akasema Karibu wewe Nani Akasema mi Yesu akamkaribisha Akampa chumba Self KILA kitu humo Yesu akasema okay Siku ya pili akasikia hodi akaenda kufungua akakutana nakipondo Cha Shetani akapingwa na Shetani na Yesu Yumo ndani ya NYUMBA Yake Siku Ya Pili Shetani akaja Akabisha hondi Akafungua mlango Shetani alimpiga nakumtesa Yule mtu Siku 14 Yumo ndani Akakumbuka hivi Kwanini napingwa na Yesu ninaye Humu Humu ndani akamfata Akasema Mimi Yesu shetani ananitesa nawewe humo humu ndani hunisaidii Yesu Akamwambia Umenipa chumba hiki Kimoja nikae nami nalinda hiki ulichonipa Akasema Aah Sasa ukae na Sebuleni usiwe TU chumbani Yesu akawa Yupo na Sebuleni Shetani Tena akaja Siku Hiyo kabisha Hodi Akafungua Shetani Akamvuta nje kampiga Kweli alimtesa magumi akaondoka kw...

SOMO: MUNGU ASIYEKAWIA

SOMO:  MUNGU ASIYEKAWIA KUJIBU Mtu Mmoja alikuwa anateseka na Uzazi Kila Alipoenda Kwenye Maombi Alitamani Kupata mapacha na alikuwa mwaminifu wa Zàka na Maombi yakufunga alifunga Sana Anasema SIKU Moja akiwa mtandaoni akakutana na Ushuhuda wa mapacha wawili Akakoment nami SIKU nikifika TU Kwa huyu Pastor Richard nitafunguka ALIPOFIKA KANISANI Tumbo lake Akafunguliwa Akapata Watoto watatu Na Mungu Kuna wakati unatakiwa utambue Mungu uliye nae hakawii isipokuwa wewe unakawia Kufika Madhabahu iliyobeba majibu yako 🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳 Zaburi;119:60👉🏿 Mwanza 34:19👉🏿Luka,:1;2👉🏿 Matendo;25:17 MAANA YA MUNGU ASIYEKAWIA 👉🏿🌳✍🏼Ni Mungu Asiyechelewesha Majibu SABABU ZA KUKAWIA KUPATA MAJIBU YAKO 1:Hutokana Na Kukosa utii wa Sauti ya Mungu na Mlezi wako kiroho yaani mchungaji wako. 2:Kutamani Kitu unachokitaka Lakini Ukawa unajichanganya Katika uaminifu wa zàka usitoe au ukatoa katika Madhabahu Ambayo haijabeba majibu 3:Kutafuta Kitu Usijue Nini kin...