Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Januari, 2021

SOMO: KANUNi ZA KUENDESHA UHUSIANO

SOMO: KANUNI 7 ZA KUENDESHA UCHUMBA WAKO. πŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏKaribu Katika Darasa la Wanandoa Na Mahusiano Leo hii Nataka nifundishe Jinsi Ya Kuendesha Uchumba Wako Kwa Wale mliopo Kwenye Uchumba mlio na malengo ya Uchumba wenu Kufika Mbali Basi SOMO Hili linawalenga Mtulie msome Kwa Umakini Kwa UTULIVU. UCHUMBA NI NINI? nipatano la watu wawili Jinsia ya Kiume na Kike linalowapeleka Kuanza Maisha ndoa na Uchumba huwa umeshatambulika kwa wazazi Kama haujulikani huo uitwa Urafiki.. MNAPOFIKIAGA Kwenye Uwe umeamua mwenyewe na usiingie kwa kuiga Shuhuda kwa Kuwa unaona wezako wanaolewa hapana Tulia kabla hujaingia ili Kuepuka maumivu na majeraha kwenye moyo wako Sababu ukikosea utaumizwa nakusalitiwa. Naitwa Bishop Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Karibu UJIFUNZE mbinu za Kuendesha Uchumba Wako mpaka ukafikia ndoa. πŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏMAMBO YAKUZINGATIA KUENDESHA UCHUMBA WAKO ILI USIVUNJIKE AU KUISHIA NJIANI  FANYA HAYA. A:Ruhusu Mungu Akupe MKE/MME Usiruhusu Akili Zako Zikupe MKE/MME.πŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ₯¦?...

MAMBO YAKUFANYA UKISALITIWA

SOMO: MAMBO YA KUFANYA UKIACHWA NA MCHUMBA WAKO. Marko : Mlango 14 42 Ondokeni, twendeni zetu; tazama, yule anayenisaliti amekaribia.Kusalitiwa na Kukamatwa kwa Yesu ✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍️✍️✍️✍️ Karibu Katika Darasa la Wanandoa Na Mahusiano Masomo haya nakipindi hiki kimenusuru NDOA nyigi Uchumba uliokuwa hauna Amani umeponywa kupitia Kipindi hiki Karibuni kwa Wageni Naitwa Pastor Richard nipo Morogoro Veta Dakawa Piga Jioni Saa 12:00 Kwa Namba+255759861768 nieleze ✍🏼✍🏼KUSALITIWA NI NINI?? Ni Mtu uliyemuamini na Kumuweka moyoni ambaye anafanya vitu tofauti na vilivyokufanya umwamini. 1*1=1 inakuwa 1+1=2 Anajumjulisha nakumpata mtu mwigine anayemfanya Tena wewe aondoe uthamani wako nakumpenda huyo. MTU ANAPOKUSALITI AMEAMUA MWENYEWE WALA SIYO PEPO BASI WEWE UNATAKIWA UFANYE HAYA ILI USIUMIE AU KUMUWAZA. 1:FUTA SMS ZAKE NA NAMBA YAKE BLOCK. Kufanya hatua hii itakufanya Asiendelee Kukupa maumivu najiraidi Namba unaisahau nakuifuta kichwani mwako Futa yote na jina ...

SOMO: MTOTO WA MUNGU MTAMBUE MUNGU WAKO

SOMO; MTOTO WA MUNGU MTAMBUE MUNGU Naitwa Bishop Richard Karibu ninaishi Morogoro Veta Dakawa Someone Hili linalenga mtu mmoja TU Anatakiwa amtambue Mungu wake na kuelewa anavyoishi maisha Yake yatapona Kupitia someone Hili tu Kwa msaada wa Maombi piga Jioni Saa 12 00 Namba +255759861768 1:KWANINI UMEAMINI KUNA MUNGU Yaani lazima ujiulize Huyu Mungu uliyehubiriwa Ni roho au miungu Kama umehubiriwa miungu je ukisoma kitabu Chako Cha Huyo Mungu unaemsoma kinamtambulishaje na anawezaje kukusaidia. Basi UNAPOMWELEWA MUNGU NA KUMTAMBUA inakufanya iwe rahisi ukimuita atende 1 yohana : Mlango 3 1 Tazameni, ni pendo la namna gani alilotupa Baba, kwamba tuitwe wana wa Mungu; na ndivyo tulivyo. Kwa sababu hii ulimwengu haututambui, kwa kuwa haukumtambua yeye. HUU mstari mwandishi Ametueleza ukitambua kitu Hakuna Tena elimu itakayokufanya usikitambue kitu Kama ulivyokielewa Lazima Tujue Sisi watoto Mungu aliye ulimwengu na Ishara zake maovu Yake hatuyatambui na menyewe hayatutambui kwa ...

SOMO:NATAKA MUNGU ANIJIBU

SOMO; MIMI NATAKA MUNGU  ANIJIBU NIFANYAJE 2021.? Je ulishawahi Kujiuliza Swali Kama Hili Kuwa Nimekuwa nikiona Shuhuda mbalimbali Watu wakitendewa na Mungu Akijibu nikisoma maandiko Naona Mungu alijidhihirisha Kwa viwango vikubwa kwa kina Elia Musa Yesu Na Kina shadrack Na wezake Unafikiri kwanini kwako humuoni Karibu Somo Hili au muongozo wa Kumgusa Bwana Naitwa Bishop Richard TusomeπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‡Luka:8:45-47 πŸ‘‰πŸΏYakobo;2;21πŸ‘‰πŸΏMwanzo;12πŸ‘‰πŸΏ1Wafalme;18;25-40 MUNGU huwa ananjia au Fomula Yake Ukitaka umguse mpaka nguvu zake azielekeze Kwako huhitaji muda wako na Kujitambua wewe Ni mwanae kwake Mpango na Kusundi lake Ndani Yako Ni Kukubariki nakukuinua Sasa utafikiaje hatua hii ya Kumgusa Bwana nakuinuliwa huwa TUNAITAJI TUMGUSE BWANA NA KUMFANYA TUMFANYE USO WAKE ATAZAME. MAMBO MAWILI TU HUWA CONNECTION YA KUMFANYA MUNGU AJIBU Mfumo huu ulivyo hata Watu Wa Shetani Wanayoconnet mbili tu. A: MADHABAHU        1 wafalme;18;25-37 Madhabahu:- huwa Ni Mahusi...

Darasa la ndoa

DARASA LA WANANDOA✍️✍️MAMBO YA KUZUNGUMZA KAMA WANANDOA. Naekuletea Darasa Hili Ni Mwalimu Wa Wanandoa Pastor Richar Wanandoa Wanapishana Kauli na Kukosana ndani Kwakuwa Kila mmoja Anakuwa hazingatii Maisha ya ndoa ndani ya NYUMBA Karibu Tufunzane nakujengana Ndoa Zetu. NDOA HUJENGWA KATIKA MISINGI YA MUNGU NA HUTAKIWI UOLEWE AU UOE KWA KUBAHATISHA AU KWA TAMAA YA KIGONO Mambo haya Wanandoa Hutakiwa Kuyazingatia Mambo matatu la nne utaongeza hapo mwanandoa. 1;Kusikilizana Nakuwa Makini mwezako anapoongea Siyo Anaongea Upo na Mambo Yako Wanandoa Wengi waliopo Kwenye ndoa hasa Kundi la Wababa hupenda Kusikilizwa Tu wao lakini wao Kusikiliza maoni ya wake Zao huwa ni kazi na hii husababisha ndoa nyigi Uchumi wake ushuke Wasipinge hatua nakuvunjika kwa ndoa👉🏿👉🏿Wewe Ukioa Usioe Kwa Kuwa unataka uonekane kwa Watu owa ukiwa umejipanga Kuingia Maisha mapya utakayotakiwa ndani Kama Wanandoa msikilizane Yakobo;1;19 2:MSIDANGANYANE ...

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

JENGA UFAHAMU Kujitambua ni hatua ya muhimu katika maisha ya mtu yoyote duniani na ni hatua ambayo hakuna mwanadamu anaeweza kufika hatima ya maisha yake kwa ubora na matarajio bila kuipita. Kujitambua ni matokeo ya kupata ufahamu sahihi juu eneo Fulani, ingawa pia inawezekana mtu akajitambua kwa kupata ufahamu usio sahihi utakaomfanya aishi maisha yanayolingana na ufahamu alioupata. Ufahamu unapatikana kwa kutafuta, kuchunguza na kudadisi taarifa mbalimbali lugha rahisi ufahamu ni gharama. Matokeo ya ufahamu ulionao yatafanana na ubora wa maisha unayoishi. Kila taarifa unayoipata ina kusudi au lengo lake, uwe unajua au hujui na ni muhimu kuzingatia kuwa kiwango cha matokeo ya kujitambua kitafanana na ubora wa taarifa ulizozipata. Udhihirisho wa maisha ya kujitambau ni hatua ya juu kabisa ya kuthibitisha kwamba kweli umejitambua. * Maana   ya   Kujitambua “ Kujitambua   ni   hali   ya   kuwa   na   ufahamu  au  uelewa ...

SOMO: TUNAONA NGUVU YA UDHIHIRISHO

🥦SOMO: 🥦TUNAONA NGUVU YA UDHIHIRISHO KUBWA MWAKA HUU.2021🥦✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️ Jumapili:3/1/2021 Somo la Kwanza Kwa Mwaka huu Mwalimu Pastor Richard Kila Mwaka Katika Madhabahu hii ya Moto wa Yesu huwa Bwana Anatuuliza Mwaka huu Mnaona Nini Nasisi Hutamka Neno alilotupa Tutembee nalo Basi Mwaka Jana Tuliona Ushuhuda mwaka huu Tunaona NGUVU Kubwa Mungu Wetu Akitudhihirishia Watoto Wote wa Madhabahu hii Nakukaribisha Tujifunze Tunaona Na Kwanini Tunaona hivyo Udhihirisho wa Bwana. ⛪⛪⛪⛪⛪🏬🏬🏬🏬🏬⛩️⛩️⛩️⛩️⛩️⛩️⛩️⛩️⛩️⛩️⛩️⛩️⛩...