SOMO: VIPINDI VITATU VYA KUFAULU KWENYE NDOA YAKO
SOMO:VIPINDI MHIMU UTAKAVYOVIPITIA MWANANDOA UINGIAPO KWENYE NDOA. Mehali:14:1-5 Waefeso;5;20-25 KARIBUNI Katika Wanandoa Tuongee+18 Wakubwa tu na wanaojiandaa kuingia Kwenye ndoa au waliopo ndani ya ndoa. Naitwa Pastor Richard Simu Ya Kuongea Nami Pastor Richard+255759861768 NDOA HUHITAJI SEMINA NA DARASA LA KILA SIKU LEO TUNAONGELEA VIPINDI VITATU VYA KUFAULU KWENYE NDOA YAKO. Kuna Mambo matatu ukiyavuka hayo Basi utaitwa mshindi wa ndoa Yako 1:KIPINDI CHA UTOTO KATIKA NDOA YENU. Katika kipengele hiki KILA mmoja anahamu na mwezake na hamu ya kuishi maisha ya ndoa kwa hiyo Kipindi mtaitana Baby Sweetheart My Lotion KILA Aina ya maneno mazuri mtafurahiana nakucheka. Kipindi hiki huwa bado Mambo yapo motomoto ya Kuolewa au Kuoa Hiki Kipindi huwa ndio yakuaza kujuana Vyema Tabia Zenu ndani ya ndoa huhitaji Mfanye haya Mambo mawili; a)Muelekezane na Kurekebishana. b)Kuchunguza Tabia ambazo za kukemea kwa mwezi wako. c)Muombe MUNGU nakuongozana Kumjua MUNGU. Hiki huitwa Kipi...