Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Oktoba, 2023

SOMO:MJUE MTU ALIYEFUNGWA NA Maroho Bila KUJUA

SOMO: MJUE MTU ALIYEFUNGWA NA Maroho Bila KUJUA.  Karibu katika Somo hili uweze kujitambua namna ya kushughulikia roho zinazokutumikisha Katika Ulimwengu wa roho bila wewe Kujua au Kutambua kama unateswa na roho. Somo hili unaruhusiwa kushare nakuwafundisha wegine. Naitwa Pastor Richard  Nipo Morogoro Veta Dakawa  WhatsApp inbox +255759861768 TUSOME MISTARI HII Mithali 1:7 [7]Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu.  1 Wakorintho 12:7 [7]Lakini kila mmoja hupewa ufunuo wa Roho kwa kufaidiana.  👇👇👇👇👇👇👇👇👇 Nitaenda Kuongelea Vifungo na Pepo linalosababisha hilo tatizo ili kukusaindia kujua ushughulike vipi unapojifungua au kuomba. KUNA WATU MAPEPO YAO YANAWATUMIKISHA KULA VITU VIFATAVYO:_ _________^^^^^^^_______^^^^^^^_____ 1:KULA UNDOGO WOWOTE =Jini nyoka Ukiona unakula undogo unapepo la nyoka kemea. 2.KULA MKAA= Jini Cheketu. Ukiona mtu anakula mkaa anapepo hili linamtumikisha Kemea. 3.KULA NGODORO= Jini la Uvuvi. Ukio...

SOMO:ROHO MTAKATIFU

SOMO: ROHO MTAKATIFU  Roho Mtakatifu Ni Nani..? Ni mshirika wa tatu wa Uungu unaowakilisha Nafsi Ya Mungu. Yeye ni Sawa na Mungu Baba Yeye ni Msaindizi wako katika maisha yako ya Wokovu. Roho Mtakatifu Siyo Nafsi Tu ni Nafsi ya Ki Mungu. Huitwa Mungu mwenyewe.       Karibu Somo hili Linaletwa na Pastor Richard Kwa Msaanda Wa Roho Mtakatifu. Nipo Morogoro Veta Dakawa  WhatsApp +255759861768. A.ROHO MTAKATIFU ANAZO SIFA AMBAZO NI MUNGU PEKEE NDIYO MWENYE SIFA HIZO. 1.Ana Sifa ya Umilele Hafi Wala Hazikwi. Ebrania;9:14 Soma. 2.Ana Sifa ya Kuwa Kila Mahali Kwa Wakati Mmoja Dakika Moja Anaweza akawa Arusha Dar Na Zanzibar Kwa muda mmoja akihudumia watu. Zaburi:139:7-10 soma 3.Ana Sifa Ya Kufahamu Yote Hadi mawazo Yetu Nia Zetu 1Koritho:2:10-11 Soma  4.Anaweza Yote. Kila Kitu Anaweza Kukifanya chochote kile. Luka:1:35 Soma 5; Hushirikishwa Majukumu Sawa na Baba na Mwana Katika Utendaji Kazi. Mathayo;28:19 Soma 6.Alishiriki Katika Mpango wa Ukombozi wa Mwanad...

MAOMBI YA KUG,OA ROHO ZA KULA MKAA PEMBA nk

MAOMBI YA KUG,OA ROHO ZA KULA MKAA PEMBA UDONGO UNGA NK. Kuna watu humu wanatabia ya kula mkaa Unga udongo nk hii huwa ni Pepo la nyoka linajifanya kukupa hisia za kutamani ule udongo tu au mkaa au Pemba nk. Unatakiwa uombe nami Sasa uvunje hiyo roho kama huipendi lakini kama mwenyewe unaipenda unataka uendelee basi  hata ukiomba haitasaindia chukia hiyo hali kisha tuombe wote. Neno linasema hivi Pepo la nyoka huwa linajifanya Lierevu humshawishi mwanamke kula vitu vilivyokatazwa na Mungu. Mwanzo 3:1 [1]Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya BWANA Mungu. Akamwambia mwanamke, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani?  OMBA HIVI  MARA TATU KWA SIKU 2 Tu 1.Nakata kiu ya kula udongo ndani yangu katika Jina la Yesu kila Pepo  aliyekuwa Ananiamuru kula udongo, mkaa ,pemba,Unga ninakataa kuanzia sasa sitatumikishwa katika Jina la Yesu.Amen  Rudia ×4 2.Hela yangu au miguu yangu au mikono yangu haitafata pepo a...

MAOMBI YA KUJENGA UCHUMBA

MAOMBI YAKUJENGA MADHABAHU YA UCHUMBA NA NDOA Naitwa Pastor Richard  Nipo Morogoro Veta Dakawa  Nakukaribisha uombe nasi. Katika ulimwengu wa roho kuna kitu kinaitwa madhabahu inayobemba ubavu wako nakukuletea wewe hii madhabahu adui anapoivunja au Kuibomoa Yeye Ajengaye mahusiano au uchumba unakuwa unajenga palipobomoka hakuna nguvu inayowauganisha mkae mume na mke unakuta tayari shetani au falme zake zimejenga madhabahu ya kutoolewa yaani wachungaji wataomba sana bila matokeo. Pia zipo ndoa nyigi shetani Amejenga madhabahu zake na Amezifanya zisiwe na Amani au furaha zingine zimevunjika. USIPOJENGA MADHABAHU YA BWANA NDANI YA NDOA YAKO AU UCHUMBA WAKO TENGEMEA SHETANI ATAITESA. ISAYA anasema utapajenga palipoharibiwa Na Kubomolewa Adui Ameharibu mahusiano yako umri unaenda huowi au huolewi shinda hakuna nguvu ndani yako yenye kuongea nakukutanisha na wako sahihi. Tusome mstari huu👇👇👇 Isaya 58:12 [12]Na watu wako watapajenga mahali palipokuwa ukiwa; utaiinua misingi ya viz...

SOMO:NGUVU YA MAOMBI YA KUOMBA KATIKA ROHO MTAKATIFU

SOMO; NGUVU  YA KUOMBA KATIKA ROHO MTAKATIFU. Vitabu: rejea Warumi:8:26 Waefeso.6:18 Kuna Watu Wanaweza Wakawa Wameelewa Namanisha Nini KUOMBA KATIKA ROHO Lakini Wegine Wanaona Kichwa cha Somo tu na hata hawaelewi hata hawajawahi Kuhisi nguvu na mtetemeko WA Roho Wakiwa Katika Kuomba. KWANZA UJUE ROHO MTAKATIFU NI MUNGU  MWENYEWE ndiye Anayekufundisha Kuomba na Kukuongoza Katika Wokovu wako.  Leo Tunataka Tujue Ili Mungu Tuweze Kumfikia Lazima Tujue hili. Kuomba katika Roho Mtakatifu ni Nini? Nikuomba Maombi Yenye hisia za Kumfikia Mungu na Kuwa Connect naye mfano nichukue mauganisho ya umeme yanavyoleta nguvu ya UMEME KUTOKEA Mwanga Ambayo huuganishwa. Nawewe Maombi Yako Ili Yawe Connect Lazima Ujue Kujiugamanisha na Unakiomba. AINA TOFAUTI ZA MAOMBI YA KUMFIKIA MUNGU AOMBAYO MWANADAMU. Watu Wamekuwa na Aina tofauti tofauti za maombi ambayo Yanatusaindia Tumfikie Mungu Kutokana ROHO MTAKATIFU kuwafunulia kwa karama zao mbalimbali za uombaji. 1:MAOMBI YA KUTAFAKARI. Haya ...