Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni, 2023

SOMO: JINSI YA KUJIKOMBOA KWENYE DAMU

SOMO: MAOMBI YA UKOMBOZI  WA DAMU.  :UTANGULIZI. ______^^^^^___. Damu ni kiugo kikubwa Sana Ambacho adui hukitumia ili kuweza kukuagusha na kukutesa kumbuka Yesu alikuja kukomboa wewe lakini Tendo la ukombozi lilikamilika kwa kumwaga damu ni nini ishara yake ni kwamba damu iliyomwangika ikasafishe Damu yako nakuikomboa iondokane na magonjwa umasikini mateso. Kwa Sababu ugonjwa ili Ukutese lazima uingie kwenye damu Umasikini ili ukuigie lazima upite kwenye damu Tatizo lolote Sungu au Ambalo unaliishi kwa sababu lipo kwenye Damu huwezi ukaanza kudai uponyaji au ukombozi bila kuikomboa damu yako kwanza. MAANA YA DAMU. Damu ni chombo cha kusafirisha mahitaji ya seli kama vile virutubishi na oksijeni pale panapohitajika, halafu inapokea dutu zisizohitajika tena kutoka seli na kuzipeleka kwa viungo zinapoondolewa mwilini. MWILI WA MWANADAMU UNABEMBWA NA VITU VITATU. DAMU; ambayo kazi yake kuzalisha seli hai nyeupe zinazoshambulia nakupambana na maradhi  MAJI:husaindia mfumo wa ...

SOMO:LENGO KUU LA MUNGU KUTUPITISHA KWENYE MAPITO

SOMO; LENGO KUU LA MUNGU KUTUPITISHA KWENYE MAPITO MAZITO. UTANGULIZI.  Inawezekana Kabisa hata wewe saivi upo unapitia kipindi kigumu mapito mazito mpaka umewaza moyoni Umuache Mungu  au Kuona Mungu Amekuacha Nataka nikuambie unayoyapitia Mungu alijua utayapitia kwanini basi ameruhusu iwe pito kwako  kwa sababu kwanza anakupenda na Anaimani kubwa na wewe na anajua hutamsaliti  ni vyema kuendelea kutunza uaminifu wako na Mungu. Karibu ujifunze kupitia Somo hili. Naitwa Bishop Richard nipo Tanzania Morogoro Veta Dakawa  WhatsApp +255759861768 KUNA MAMBO MANNE MUNGU HULENGA KUJIPATIA KUPITIA TUNAPOPITIA VIPINDI VIZITO. 1:KUTUSAFISHA NA KUJIHAKIKISHIA KAMA TUNA IMANI NEYE KATIKA MAJIRA YOTE. Soma: Yakobo:1:2-4 Mungu hutumia majaribu kuchunja watu walio wake na wasiokuwa wake kujua watu wenye imani nayeye kujua watu wake walio wavumilivu ambao wataendelea kumwamini na kumtengemea. Ndugu yangu majaribu hutusafisha na kujua tunapokosea nakutengeneza upya na Mungu tena...

SOMO:JINSI YA KUFIKIA MALENGO YAKO

SOMO: JINSI YA KUFIKIA MALENGO YAKO ULIYOJIWEKEA KATIKA MAISHA YAKO . 🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇 MALENGO NI NINI? NI Ramani Zima Ya Maisha Yako Huwezi kufikia malengo kama Ramani yako kwenye akili yako na ufahamu wako. Kupitia Somo Hili Linakupa mbinu na njia zitakazo kusaindia wewe Kufikia malengo Yako  Soma kwa umakini nakufatilia poit moja baada ya nyigine. Naitwa Pastor Richard  Nipo Morogoro wilaya ya Kilosa Kata Ya Mbigiri Kijiji cha Mateteni  WhatsApp +255759861768 1:CHANGUA MALENGO YALIYO NDANI YA UWEZO WAKO. Ni vyema unapopanga malengo uyaweke yaliyo ndani ya uwezo wako ili kukurahisishia kuyafikia malengo yako. Mithali 22:1 [1]Heri kuchagua jina jema kuliko mali nyingi; Na neema kuliko fedha na dhahabu.  Matendo ya Mitume 15:7 [7]Na baada ya hoja nyingi Petro akasimama, akawaambia, Ndugu zangu, ninyi mnajua ya kuwa tangu siku za kwanza Mungu alichagua miongoni mwenu ya kwamba Mataifa walisikie neno la Injili kwa kinywa changu, na kuliamini.  Mungu yeye...

RATIBA ZA GROUP WhatsApp

✍🏾✍🏾Ratiba Za Maombi Kwenye Group Letu ✍🏾✍🏾 Admin kiongozi: Bishop Richard  ✍🏾✍🏾JUMATATU Tutaombea.  .Toba na Kuugama Dhambi zetu na shukurani. ✍🏾✍🏾JUMANNE ✍🏾✍🏾 Tutaombea. Kufungua Anga na Aridhi,Ndoa na Uchumba ✍🏾✍🏾JUMATANO ✍🏾✍🏾 Tutaombea.  KUTAWALA NA KUMILIKI VITU KATIKA ULIMWENGU ROHO. KUKATAA KUMILIKIWA NA MATESO,MAGONJWA nk  ✍🏾✍🏾ALHAMIS ✍🏾✍🏾 Tutaombea.  AJIRA,UCHUMI, AFYA,KIBALI. ✍🏾✍🏾IJUMAA ✍🏾✍🏾 TUTAFUNGA GROUP NZIMA. Tutaombea Kila Kitu na Tutaambatanisha Sadaka za Maombi Tutakazozituma na kuabatanisha maombi kabla Pastor Richard hajapanda madhabahuni Saa.2:00 Usiku. ✍🏾✍🏾JUMAMOSI✍🏾✍🏾 Tutaombea  Karama za Roho Mtakatifu, Wachungaji,Wajawazito,Wazazi ,nchi yetu na utawala wake,Pastor Richard na Huduma hii nk ✍🏾✍🏾JUMAPILI ✍🏾✍🏾 Tutaombea  IBAADA, WAHUDUMU,WANASIFA na UJUMBE TUTAKAOHUDUMIWA KIROHO.  ✍🏾✍🏾Kila siku Tutakuwa na Mafundisho ya Neno la Mungu  mahusiano na ndoa ✍🏾✍🏾Tutakuwa Tunafungua Audio za mao...

SOMO: SIFA 7 ZA UCHUMBA

Picha
SOMO;Sifa 7 za Wachumba wa Kufanikiwa Kwanza  Upo tayari kuingia katika mkataba wa maisha na rafiki yako wa jinsia nyingine? Kabla ya kufaulu kuingia kwenye ndoa, wewe na mwenzio mnapaswa kuwa na sifa za ukomavu zinazoweza kuwahakikishia ndoa imara. Wachumba waliotayari kwa urafiki wa milele huwa na sifa nyingi za kupevuka, lakini kuu kati ya hizo ningependa kushiriki nawe. 1. Kila mmoja anajua anachohitaji na atakachochangia katika ndoa   Ni dalili ya utu uzima kung’amua kuwa  “si vema”  ubakie mwenyewe. Unaonesha umekomaa unapohisi uhitaji wa mwingine maishani mwako ili uwe kamili (Mwanzo 2:18). Unapotambua mahitaji yako ya kihisia, kiroho, kijamii, na hata kimwili unakuwa tayari kumkaribia mwenzako ili ukamilike. Ukiwa na utambuzi huo huoni sababu ya kuficha hisia zako. Huna aibu kufungua moyo wako mbele ya macho ya mwenzako. Unamtaka mwenzio ajue umeanza safari ya kumkaribia ambayo kilele chake ni  “mwili mmoja” — ngozi kwa ngozi, moyo kwa moyo (Mwa 2:24-25)...

SOMO:JINSI YA KUTOA FUNGU LA KUMI

SOMO;JINSI YA KUTOA FUNGU LA KUMI KATIKA MADHABAHU YA HOLY SPIRIT  🍇🍇🍇🍇🍇✍✍✍✍✍ SIKU ZOTE UJUE MADHABAHU UNAYOISHIRIKISHA MAOMBI AU KUOMBA MAOMBI YAKO LAZIMA UWE NA MADHABAHU YAANI BABA WA KIROHO FUNGU LA KUMI LITOE KWENYE HIYO MADHABAHU YAKO UNAYOISHIRIKISHA MAOMBI UKIENDA KUIAMURU MADHABAHU ILETE MAJIBU YAKO HALAFU HUITOLEI FUNGU LA KUMI HAITAJIBU KWAKO. Mfano Umeomba madhabahu hii ikujibu halafu Pastor Richard huwa hakuoni kwenye list ya watoto walio wanaotoa fungu la kumi au Taarifa zako za uaminifu wako wa utoaji wa za hana BASI Hata madhabahu hii inakuwa haikutambui kama mtoto wa Pastor Richard.  Pia Jifunze Kukaa na Kutulia na Madhabahu moja unayoona itakuvusha na kukulea kiroho kutoka hatua moja kwenda igine usiwe mtu usiye na msimamo kama wewe ni mtoto wa Pastor Richard ueleweke na uwe mwaminifu wa fungu la kumi kama siyo simama kwa huyo baba yako wa kiroho uwe mwaminifu wa fungu la kumi hakikisha unapotoa baba yako atamke neno aliombee fungu lako 👉👉Karibu Soma m...