Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari, 2023

SOMO;TARATIBU 10 ZA KUENDESHA UCHUMBA

SOMO: TARATIBU 10 ZA KUENDESHA UCHUMBA WENU.                     #UTANGULIZI  Karibu katika nakala hii inayoenda kukupa mwanga katika kuendesha uchumba hasa kwa vijana wetu ambao wapo kwenye uchumba Mahusiano mengi yanavunjika na kutokufikia malengo kwa sababu ya ukosefu wa elimu Nayekukaribisha katika darasa hili Naitwa Mwalimu Wa Wanandoa Bishop Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa  WhatsApp +255759861768 #UTARATIBU MAANA YAKE NINI Makusundi au mpangilio mzuri wa kulifanya jambo liwe katika ubora wakuonekana vyema. KUNA TARATIBU 10 ZA KUFATWA UNAPOENDESHA UCHUMBA  WAKO KIBIBLIA.  1:MRUHUSUNI MUNGU AJENGE UCHUMBA WENU NA SIYO AKILI ZENU Utasoma Zaburi;127;1 Uchumba wenu mnapaswa uwe Pembe tatu Juu muwekeni Mungu kulia akae mchumba wako na Kushoto ukae wewe kama ulivyo umbali wa Pembe Tatu kutoka Pembe moja kwenda Pembe nyigine ndivyo mnavyotakiwa muishi msikaribiane. Uchumba mkiujenga nyinyi wawili Mungu mkamuweka Pembe...

SOMO:MAOMBI YA MWAKA 2023 WOTE

              MAOMBI KUNDI LA KWANZA  TUTAOMBEA Kila JUMATATU MWAKA WOTE 2023 Mstari wa Mwaka  Zaburi:20:1 •••••°°°°°°°•••••••°°°°°°°•••••• Litashughulika Kuombea Rehema na Toba Kanisa la Moto Wa Yesu na Waumini wote na watoto wote wa Pastor Richard (Bishop Richard) Tutawaombea Rehema Kwa Mungu. •••••°°°°°°•••••••~~~~~~~~ Tutafungua Kwa Toba Kuwaombea Toba na msamaha watoto wote wa Pastor Richard na group nzima ________________^^^^€€^^^^^^^^^^^^^^^^^^£££ ●:Ee Bwana Yesu naja mbele zako mimi mtoto wako mtumishi wako nalibemba Kanisa langu la Moto Wa Yesu na Muumini mmoja mmoja ninaomba umsamehe kila alipokukosea katika Jina la Yesu Kwa niaba Yake Nasimama mbele zako kumuombea rehema mrehemu Bwana Samehe hata kanisa lako lilopokukosea Shuka Bwana ukawafungue watu na ukawatendee Katika Jina la Yesu. (Rudia ×3) Piga ngoti ombea rehema kwanza kisha Tuendelee.  Mistari ya Kusoma na Kutafakari Uombapo Rehema Zaburi 51:1 [1]Ee Mungu, unirehemu,...

SOMO:JINSI YA KUWEKA NADHIRI

SOMO: JINSI YA KUWEKA NADHIRI KWA MUNGU  UTANGULIZI  Nadhiri huwa ni ahadi au kiapo unachokitoa kwa kupatana na nafsi yako pasipo kushawishiwa au Kulazimishwa na mtu. Nguvu ya nadhiri huwa ni kubwa sana kwa mnadhiri yaani yule aliyeweka nadhiri kwa Mungu Sababu humfanya Mungu Atende Jambo hilo aliloweka nadhiri kwa kuabatanisha na kitu cha thamani au fedha au kitu kisichohamishika. Nadhiri huwekwa na Watu wanaojitambua nakujielewa Nini wanaweka na kwanani. Nadhiri inaweza kuwekwa moja au Zaidi kila nadhiri ikiwekwa husimama na nakiapo chake na nadhiri yake.  Mfano; Mwaka huu nikjpata kazi mshahara wa kwanza ni wa Mungu #Mwaka huu nikiolewa nitamtolea mshahara wangu wote #Mwaka huu nikifanikiwa mtoto nitatoa viti kanisani Hizi Nadhiri hupaswi ujumuishe Sadaka ya kwenye Kupata kazi ndiyo hiyo kwenye ndoa laa! Viginevyo utamke neno moja linalojumuisha sentence hii moja kwa wakati mmoja. Mwanzo;28:20-22 Nakukaribisha Katika Somo hili Nayekuadalia nakala hii Naitwa Pastor Rich...

WATU 8 WAEPUKE UKITAKA KUFANIKIWA

SOMO;WATU 8 WAEPUKE KATIKA MAISHA YAKO Kuna watu katika maisha yako unapaswa waepuke ili ufike mbali katika maisha yako Usiabatane na Watu hawa kwa sababu watakwamisha hatua zako.  1;WATU WAJUAJI Isaya;50;4-11 Mwanzo;15;8 Mwanzo 3:21-24 [21]BWANA Mungu akawafanyia Adamu na mkewe mavazi ya ngozi, akawavika.  Unto Adam also and to his wife did the LORD God make coats of skins, and clothed them. [22]BWANA Mungu akasema, Basi, huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya; na sasa asije akanyosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima, akala, akaishi milele;  And the LORD God said, Behold, the man is become as one of us, to know good and evil: and now, lest he put forth his hand, and take also of the tree of life, and eat, and live for ever: [23]kwa hiyo BWANA Mungu akamtoa katika bustani ya Edeni, ailime ardhi ambayo katika hiyo alitwaliwa.  Therefore the LORD God sent him forth from the garden of Eden, to till the ground from whence he was taken. [24]B...

SOMO;MWIZI SUNGU WA FUNGU LA KUMI

SOMO: MWIZI SUNGU WA FUNGU LA KUMI NA LAANA YAKE                  UTANGULIZI  Hakuna laana mbaya au wizi mbaya kama kusubutu kuwa mwizi wa fungu la kumi au kuwa mtu wa kusema umetoa fungu laku sijaona maana au kudharau Biblia inakemea Vikali Sana kwa mtu kumwimbia Mungu na mbaya Zaidi  ufundishwe  na mchungaji halafu jinsi ya kutoa fungu la kumi halafu ukaacha kufata utaratibu kama Baba yako wa kiroho. #REJEA KATIKA MISITARI HII SOMA KISHA ACHA WIZI _______________________________________ Malaki 3:8-15 [8]Je! Mwanadamu atamwibia Mungu? Lakini ninyi mnaniibia mimi. Lakini ninyi mwasema, Tumekuibia kwa namna gani? Mmeniibia zaka na dhabihu.  Will a man rob God? Yet ye have robbed me. But ye say, Wherein have we robbed thee? In tithes and offerings. [9]Ninyi mmelaaniwa kwa laana; maana mnaniibia mimi, naam, taifa hili lote.  Ye are cursed with a curse: for ye have robbed me, even this whole nation. [10]Leteni zaka kamili...

SOMO;MAOMBI YA VITA DHIDI YA FALME ZA NGIZA

SOMO: MAOMBI YA VITA DHIDI YA FALME ZA NGIZA  Maombi ya Vita ni nini? Maombi ya Vita ni mwanamaombi Kwenda Kupambana na ulimwengu wa roho majeshi na falme za ngiza kudai haki zake. MAOMBI HAYA HUZINGATIA YAFATAYO 1;Kutembeatembea unapoomba 2;Kutamka maneno kwa amri na mamlaka 3;Kushughulika na Anga na falme za ngiza 4;Kusimama na mstari mfano; 2wakoritho;10:3-6 Warumi;8;35  nk SIRAHA UNAZOPASWA UZITUMIE KATIKA MAOMBI YA VITA. 1;Jina la Yesu 2;Moto wa Yesu 3:Malaika wa Vita na malaika wa Moto 4:Roho Mtakatifu  5:Neno la Mungu 6;Mapanga,Mishale,Nyudo,mawe, Yalete katika ulimwengu wa roho. MAMBO AMBAYO HUPASWI UYAFANYE HALAFU UINGIE KATIKA MAOMBI YA VITA 1:Kuzini halafu unaenda kufanya maombi ya Vita  2:Kutokusamehe halafu unaingia kuomba 3:Manug,uniko au umejikatia tamaa unaingia kupigana Vita ya ulimwengu wa roho utashindwa HITIMISHO  NINI TUFANYE SASA ILI TUWE WANAMAOMBI WAZURI. Tunapaswa tujipe mazoezi ya kuomba mara kwa mara maana Maombi ni Pumzi ya mtu aliyeo...