Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti, 2022

SOMO:CHANZO CHA MATATIZO YAKO

SOMO: CHANZO CHA MATATIZO YAKO. Nawakaribisha katika Nakala hii Ambayo itakufanya ujue ukweli wa matatizo yako yanasababishwa na nini nawewe Utaweza Kutengeneza kama utaitaji kupona lakini kama utaitaji kuagamia hutaweza kutengeneza na Mungu. Sasa nakuarika utenge sikio lako ujifunze Neno la Mungu na Pastor Richard  Huyu mtumishi yupo Morogoro Veta Dakawa  Mfate WhatsApp Yake +255759861768 MAANA YA CHANZO CHA MATATIZO Ni Kitu ngani kinalifanya Tatizo ndani yako lipate nguvu mzizi wake ni nini? Ukitaka Kupona tatizo lolote lile Tafuta chanzo usitafute tatizo.  KUNA MAMBO MATATU YAKUZIGATIA NA NDIYO YANASABABISHA UPITIE MATATIZO UKINIELEWA SOMO HILI UMEPONA. A;MATOKEO YA DHAMBI  Vitabu rejea: Mwanzo:4:7 Mhubiri.8;12 Yeremia;14:20,Mithali:17;19 Matendo;3;19 Neno linasema hivi; Mwanzo 13:13 [13]Lakini watu wa Sodoma walikuwa wabaya, wenye kufanya dhambi nyingi sana juu ya BWANA.  Dhambi utafurahia unapoifanya kama hauna hofu ndani yako ya kiungu Na utajipa moyo haku...

MAOMBI YA WALIOJIKATIA TAMAA

  MAELEKEZO YA MAOMBI KWA WALIOFUNGA LEO MUNGU KASEMA UFANYE HILI.           Yakobo;1;12-13 Kila mtu ambaye amekuwa akipitia haya atapaswa kuomba maombi 1:Umekuwa ukijikatia tamaa nakumunug,unikia Mungu. 2.Umekuwa ukisema Mungu ndiye anasababisha uteseke. Mungu katoa siku mbili kwa watu wa aina hii kuomba msamaha kwake Mungu Amechukizwa na mioyo yao inayojikatisha tamaa na kumuacha Mungu. Unaposoma huu ujumbe utaingia chumbani uombe hivi. Jinsi ya kuomba  Eeeh Baba naomba unisamehe Sana Nimekukosea katika dhambi ya kukata tamaa kunug,unika na kukulaumu kwa sababu ya nyakati mbalimbali nazopitia Nimekuwa mtu ninayesema wewe ndiyo umeruhusu mimi niteseke wakati umesema katika yakobo:1:13 hakuna jaribu unaloliruhusu lipate kibali ya kunitesa naomba niondolee kila mzingo niliokuwa nimebebeshwa katika jina la Yesu.Amen (Rudia mara 7 kuomba ukiwa umepinga got. Baada ya hapo utakuwa na Sadaka yako utaituma kwa M-Pesa +255759861768  ukituma unipigie nikuo...

Namba za siri akauti za fb

Bishop Richard Moto wa Yesu Namba;0710889892 PASWORD;232343 YouTube account  Kanisa la Moto Wa Yesu  Pasword:motowayesu Email:richkushoka@gmail.com  Facebook; MOTO WA YESU Email:richkushoka@gmail.com  Password:Kushoka@Jesus

MADHARA YA BINT ANAYEJIPELEKA KUISHI NA MWANAUME

SOMO;MADHARA YA BINT ANAYEJIPELEKA KUISHI NA MWANAUME AMBAYE HAJAMTOLEA MAHALI. •••••••••○○○••••••••●●● Mstari wa kusimamia _______________€ Kumbukumbu la Torati 5:18 [18]Wala usizini.  Neither shalt thou commit adultery. Karibu ujifunze Bint mwenye maono ya ndoa Au kujenga familia Bora Yenye hofu ya Mungu. JILINDE USIZINI WALA USILE PESA ZA MWANAUME NI HERI UCHELEWE KUOLEWA Kuliko uolewe ukiwa  unazini sifa ambayo mbaya Sana Kwa Mungu ni mwanae kuzini kuolewa hataki kuowa hataki kuzini anataka Kosa kubwa. HAYA NI MADHARA UTAKAYOYAPATA BINT MADHARA MENGI YAPO KWAKO KULIKO KIJANA. 1;Kwanza utavaliwa na Jini Anzura huyu jini humzuia mtu asiolewe omba uombavyo zunguka makanisa na makanisa ndoa utaisikia tu mpaka ukutane na anayejua kukufungua. 2.Utadharaulika kwa kijana atakufanyia vituko na atakuona umejirahisha kwake hata kama wewe umempenda. 3.Utapoteza malengo yako na mwelekeo mzima wa maisha yako. 4.Utaruhusu milango ya matatizo iwe mingi mara magonjwa ya wanawake,mara tatiz...

JINSI Ya Kutoa fungu la kumi madhabahu ya moto wa Yesu

SOMO;JINSI YA  KUTOA  FUNGU LA KUMI KWA UAMINIFU.[ KANISA LA HOLY SPIRIT MINISTRY TANZANIA.(K.H.M.S.T) Naitwa Bishop Richard  Naishi Morogoro Nchini Tanzania 🇹🇿 Africa 🌍  Karibu katika ufafanuzi na elimu ya nguvu ya fungu la kumi. Kumb la Torati.14;22 ,28:1-24 Luka.18;12 Malaki;3;10 1 Samweli 8:17 [17]Atawatoza fungu la kumi la makundi yenu; nanyi mtakuwa watumwa wake. Linalenga kwa watoto wa Madhabahu Ya Moto Wa Yesu wanaotuma mafungu yao au Zaka zao Kumbukumbu la Torati 28:2 [2]na baraka hizi zote zitakujilia na kukupata usikiapo sauti ya BWANA, Mungu wako. Hapa natoa maelekezo tu jinsi ilivyo muhimu kujua  Faida na Hasara Za Kutoa Zaka Kwa Uaminifu wa Bila Kurukaruka FAIDA ZA MTU ANAYETOA FUNGU LA KUMI KWA UAMINIFU KILA MWEZI 1-LAZIMA AJIBIWE MAOMBI YAKE NA AONE MABADILIKO 2-LAZIMA KILA OMBI LAKE LIAGUSHE UTAWALA WOTE WA FALME ZA NGIZA 3-KILA KAZI ATAKAYOFANYA ITASITAWI 4.ATAFANYA KITU KINDOGO KITAMPA FAIDA KUBWA. 5-HATADHULUMIWA, HATAPOTEZA VITU,HATAACHIS...

SOMO; UBATIZO WA MAJI MENGI

SOMO:     UBATIZO WA MAJI MENGI WA  KIBIBLIA                    Ni muhimu kufahamu kuwa Yohana mbatizaji alimbatiza Yesu katika maji tele  (MATHAYO 3:13-17 ). Yesu Kristo alibatizwa katika mto Yordani kwasababu huko kulikuwa na maji tele. Yohana mbatizaji alikuwa akibatiza sehemu zenye maji tele ili watu waweze kuzamishwa katika maji kama tutakavyoona maana ya ubatizo na kwa nini kuzamisha katika maji tele. Yohana mbatizaji hakubatiza Yordani tu, alibatiza Ainoni karibu na Salimu kwa sababu huko kulikuwa na maji tele.  YOHANA 3:23  “Yohana naye alikuwa akibatiza huko Ainoni, karibu na Salimu, kwasababu huko kulikuwa na maji tele, watu wakamwendea wakabatizwa”. Ubatizo lazima ufanye kwenye maji tele ya kumtosha mtu kuzamishwa.                     MAANA YA NENO KUBATIZWA A...

SOMO;UBATIZO WA MAJI MENGI

Picha
SOMO: ;UBATIZO WA KWELI NI UPI KI-BIBLIA*              *KATI*                *YA* *MAJI MENGI AU MACHACHE* Biblia inasema katika *WAEBRANIA 6:1-3:-“Kwa sababu hiyo , tukiacha kuyanena mafundisho ya kwanza ya Kristo, tukaze mwendo ili tuufikie utimilifu; tusiweke misingi tena wa kuzitubia kazi zisizo na uhai, na wa kuwa na imani kwa Mungu, na wa MAFUNDISHO YA MABATIZO, na kuwekea mikono, na kufufuliwa wafu, na hukumu ya milele. Na hayo tutayafanya Mungu akitujalia*” Kama waalimu wengine wa uongo watalitumia andiko hilo kupotosha watu na kusema , suala la ubatizo halina umuhimu sana kuhangaika nalo , kikubwa wewe ukishaokoka , basi ! Haijalishi kwamba umepatiza kwa ubatizo upi maji mengi au machache.  Watu wanaofundisha hivyo hao ni wapotoshaji wakubwa wa kweli ya neno la Mungu. Wanakudanganya hao !! Ni muhimu kuelewa *UBATIZO NI SUALA LA LAZIMA NA LENYE UMUHIMU MKUBWA KATIKA IMANI YETU YA WOKOVU”* Bwana Yesu ...

MAOMBI YA KUFUNGA NA KUOMBA IJUMAA

SOMO;MAOMBI YA KUFUNGA KILA IJUMAA  WANAGROUP WOTE TUNAKUWA TUPO MAOMBI. •••°°°°°°°•••••••°°°°°°°°••••••▪︎▪︎▪︎▪︎ Yoeli 2:12 [12]Lakini hata sasa, asema BWANA, nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote, na kwa kufunga, na kwa kulia, na kwa kuomboleza Karibu kama wewe ni mgeni katika Group Tunakujulisha group linaratiba ya maombi ya kufunga na kuomba kila ijumaa maombi haya ya kufunga hukamilishwa na Sadaka Ambazo Tunazituma katika madhabahu hii ya Moto Wa Yesu Kama itakavyoelekezwa. Faida za kufunga maombi ukiwa na Sadaka  1;Kutii maelekezo ya Mungu ambayo alituambia kila ijumaa tunafunga na Sadaka kama hauna bora usifunge kwa kuwa hapokei maombi yasiyo na Sadaka. 2.Sadaka hukamilisha maombi yetu yawe na nguvu ya kusikilizwa na kupewa kibali kwa Mungu ya kujibiwa. 3 Sadaka Humshawishi Mungu kuyapa uzito maombi yako. 4.Utaweza kuwa unavushwa katika maombi ya kufunga kwa sababu unajua jinsi ya kufunga ukiwa na Sadaka.  Kinyume cha haya ni mtu asiyetoa Sadaka katika madhabahu aliyof...

Account number startimes king,amzi

Smart card 02724929978 Namba Ya Malipo

SOMO:MAMBO YANAYOLETA NDOA YENYE AMANI NA FURAHA

MAMBO 5 YANAYOWEZA KULETA NDOA YENYE AMANI. Habarini Wadau na Wasomaji wa nakala za Wanandoa Tuongee+18 Ninataka niongelee Jambo la mhimu kwako wewe ambaye upo kwenye mahusiano au ndoa inawezekana unapitia machozi kwenye mahusiano kwa kuwa hukuwahi kusikia Mahusiano au uchumba ndio hujenga msingi mwema wa ndoa njema ukikosea ni kazi kurekebisha ukiwa kwenye ndoa Naitwa Mwalimu wa Wanandoa Pastor Richard nakualika. MAMBO HAYA UYAFANYE KABLA YA KUINGIA NDOA. 👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆 1:MAHUSIANO YASIYOELEWEKA NI BORA UYAVUNJE KULIKO KUINGIA KWENYE NDOA ITAKAYOKULIZA MILELE. Ukiona unatumia nguvu nyigi kulazimisha upendo au unaumizwa na kusalitiwa mara kwa mara halafu unamurudia yule yule anayekuumiza mkiwa kwenye steji ya uchumba ujue unajulishwa huyo mtu kwenye ndoa mtasumbuana tu. ●●●●●●●●●●●●●● 2.UTAKAVYOPATIA KUCHANGUA NDIVYO UTAKAVYOPATIA KUJENGA NDOA YENYE AMANI NA FURAHA. Unajua kuna mahusiano watu wanaanzisha wakiwa hawana malengo yoyote ghafla wanapeana mimba wanachukuana wanaanz...