Machapisho

SOMO: UTUNZAJI WA AKILI

SOMO: UTUNZAJI WA AFYA YA AKILI: "Akili Iliyofunguliwa kwa Ajili ya Utukufu wa Mungu" ​UTANGULIZI Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Kanisa la Holy Spirit church Tanzania ​Watu wengi makanisani wanadhani matatizo ya akili ni pepo pekee, lakini neno la Mungu linatufundisha kuwa akili ni sehemu ya ibada yetu ( Mathayo 22:37 ). Akili yenye afya ni ile inayoweza kufanya maamuzi sahihi, kukabiliana na mikazo ya maisha, na kufanya kazi kwa tija. ​1. ADUI WA AFYA YAKO YA AKILI ​Ili tulinde afya ya akili, lazima tujue nini kinaishambulia: ​ Hofu na Wasiwasi: Huvuruga uwezo wa kufikiri ( 2 Timotheo 1:7 ). ​ Msongo wa Mawazo (Stress): Kutokana na madeni, changamoto za kifamilia, au kazi. ​ Majeraha ya Kihisia: Uchungu, kutokusamehe, na kukataliwa. ​ Uchovu wa Mwili: Kukosa mapumziko kunadhoofisha mfumo wa fahamu. ​2. NGUZO TANO ZA KUIMARISHA AFYA YA AKILI ​Ili akili yako iwe na nguvu, unapaswa kuzingatia haya: ​ A. Kulisha Akili Neno la Mungu Akili yako i...

SOMO: FANYA HAYA KUMJUA MUNGU

SOMO: FANYA HAYA KUKUA KIROHO Group: Maombi na Mafundisho Admin; Pastor Richard Wa Morogoro WhatsApp:Group Jiunge+255710889892 Kuna Mambo haya ukifanya yakupima umekomaa kiroho.  A:MJUE SANA MUNGU.  Ayubu 22:21  Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia. MFANO WA MAMBO YANAYOKUPA USHAHIDI UNAMJUA MUNGU.  1:Kuwa na MWoga Wa Wizi Wa zaka Malaki:3:8-12 Kila Mwezi unatoa kama Mchungaji alivyoelekeza 2;Kuwa Muoga Wa dhambi Kufanya Waefeso 4:23  na mfanywe wapya katika roho ya nia zenu; 3:Unabadilika Kitabia Zako.  1 Wakorintho 15:33 Msidanganyike; Mazungumzo mabaya huharibu tabia njema. B:MAFUNDISHO YA NENO.  Ukiponywa Akili Yako na Fikira Zako utapenda kujifunza Kila Siku NENO la Bwana. Kumbukumbu la Torati 32:2 Mafundisho yangu yatadondoka kama mvua, Maneno yangu yatatona-tona kama umande; Kama manyunyu juu ya majani mabichi; Kama matone ya mvua juu ya mimea. C: MAOMBI Ukiona huna ratiba Yako Binafsi ya Maombi Ujue Umekufa rohoni s...

SOMO: UKOMBOZI WA FIKIRA

SOMO: ​SALA YA UKOMBOZI WA FIKIRA Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakota Kanisa LA Holy Spirit church Tanzania Kitabu 2 Wakorintho 10:5 tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo; ​Mungu Baba ​Katika Jina la Yesu Kristo, ninaomba ukombozi wa fikira zangu. Ninatambua kuwa mawazo yangu ni muhimu sana katika kuishi maisha yenye furaha, amani, na utimilifu. ​Ninaomba ukombozi kutoka kwa mawazo hasi, hofu, na wasiwasi. Ninaomba ukombozi kutoka kwa imani zinazoleta ukomo ambazo zinanizuia kufikia uwezo wangu kamili.  Ninaomba ukombozi kutoka kwa mwelekeo wa kujilaumu na kujihukumu. ​Ninaomba ukombozi kutoka kwa utumwa wa mawazo ya zamani ambayo hayanipi manufaa. Ninaomba ukombozi kutoka kwa ushawishi mbaya wa wengine kwenye fikira zangu. ​Ninaomba ukombozi kutoka kwa mawazo yoyote ambayo hayaendani na neno lako na mapenzi yako kwa maisha yangu. ​Ninaomba ukombozi wa fikira ili niweze kuwa n...

SOMO;NAMBA ZA KIBIBLIA

Namba 1:NAMBA ZA  UUMBAJI WA MWANADAMU Maana ya Kiroho Ufafanuzi mfupi Aya ya Rejeo 1 Umoja / Utoshelevu Inamwakilisha Mungu mmoja tu na upekee wake. Hakuna mwingine. Kumb 6:4, Efe 4:5 2 Ushuhuda / Muunganiko Inahitajika mashahidi wawili kuthibitisha jambo. Pia inahusu Ndoa. Yn 8:17, Mwa 2:24 3 Uthibitisho / Utatu Inakamilisha ushuhuda. Inawakilisha Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu. Mt 28:19, 1Yn 5:7 4 Ulimwengu / Uumbaji Inahusu pande nne za dunia (Kaskazini, Kusini, Mashariki, Magharibi). Ufu 7:1, Eze 7:2 5 Neema ya Mungu Wema wa Mungu usio na kipimo kwa mwanadamu dhaifu. Efe 2:8, Mt 14:17

SOMO:NAMNA YA KUISHI NA MWANAUME AMBAYE HANA HELA

SOMO: NAMNA YA KUKAA NA MWANAUME AMBAYE HANA HELA KWENYE NDOA  Naitwa Mwalimu Wa Wanandoa.  Pastor Richard Wa Morogoro WhatsApp group +255710889892 UTANGULIZI Ni Ukweli Usiopingika Wanawake Wengi Hutazama Pesa na Wengi Wanaolewa na Pesa cheo au Mali Kwa Kutazamia Wakiolewa na Wanaume Wa Maisha yenye uchumi mkubwa watabadilisha Maisha yao au watakizi mahitaji yao na NDOA Zao Zimekuwa za moto Kumbe Hawakuelewa Pesa haiwezi kununua Utu wao Endelea nami point Muhimu nimekupa Lengo ujifunze kitu kama unanyongeza utaniambia.  ​1. Thamani ya Utu na Hofu ya Mungu . ​mwanaume mwenye pesa asiye na utu anaweza kumgeuza mke kuwa "mtumishi wa ndani."au Kumtumikisha kwa Mali zake.  ​Zingatia: Pesa zinaweza kuja na kuondoka, lakini tabia, utu, na hofu ya Mungu ndivyo vinavyobaki wakati wa dhoruba na kudumu milele. ​2. Akili ya Utafutaji (Vision -Maono)  ​Mwanaume asiye na pesa leo si tatizo, tatizo ni mwanaume asiye na maono wala jitihada ya kuitafuta Pesa kwa ajili ya maisha ...

SOMO:SIRI YA FUNGU LA KUMI

SOMO:SIRI ZA USHINDI WA FUNGU LA KUMI UNAPOLITOA KWA UAMINIFU.  Ni Utaratibu Wa Madhabahu hii Kukufundisha uelewe kitu katika Uaminifu Wa Zaka. Hapa nimeandika Point Muhimu tu Uzijue .  ​1. MAANA NA KIWANGO CHA ZAKA ​UFAFANUZI  Zaka ni 10% ya mapato yako yote kabla ya makato yoyote ya kazi yako unayoifanya (kama kodi, bima, au madeni). ​KUSUNDI:Ni agizo la Mungu lililowekwa kwa ajili ya ulinzi wa kazi na mapato yako Unayoyafanya Malaki:3:8-12 ​ 2. KANUNI YA MADHABAHU  1:MOJA NI ​UAMINIFU WAKO KWA MUNGU:  Fungu la kumi linapaswa kutolewa kwenye madhabahu inayokulea kiroho na unayoshirikisha maombi yako. ​Utambuzi: Ili madhabahu ikutambue na kukujibu, lazima uwe mwaminifu katika utoaji wako mahali hapo. ​### 3. MASHUJAA WA IMANI KATIKA UTOAJI Shujaa ✍🏾Tendo la Uaminifu ✍🏾Matokeo ya Kiroho Konelio✍🏾 Alitoa zaka kwa ✍🏾  uaminifu na kufundisha familia yake. Mungu alisikia na kujibu maombi yake (Matendo 10:1-6). Tabita✍🏾 Alitoa za...

SOMO:TARATIBU 10 ZA KUENDESHA UCHUMBA

SOMO: TARATIBU 10 ZA KUENDESHA UCHUMBA WENU ​ Mwalimu:  Pastor Richard (Mwalimu wa Wanandoa) Mahali: Morogoro Veta Dakawa Mawasiliano: WhatsApp +255 710889892 ​        UTANGULIZI ​Karibu katika nakala hii inayoenda kukupa mwanga katika kuendesha uchumba, hasa kwa vijana wetu ambao wapo kwenye mahusiano. Mahusiano mengi yanavunjika na kutokufikia malengo kwa sababu ya ukosefu wa elimu. Nakuandalia mwongozo huu ili kukuwezesha kufikia ndoa yenye baraka na heshima. ​ Maana ya Utaratibu:   Ni makusudi au mpangilio mzuri wa kulifanya jambo liwe katika ubora wa kuonekana vyema. ​TARATIBU 10 ZA KIFUATWA KIBIBLIA ​1. Mruhusuni Mungu Ajenge Uchumba Wenu ​Mnapaswa kuendesha uchumba wenu kwa kutumia akili za Kimungu na siyo za kwenu tu. ​ Andiko: Zaburi 127:1 ​ Mfumo: Uchumba wenu uwe kama   Pembe Tatu (Triangle) . Juu muwekeni Mungu, kulia mchumba mmoja, na kushoto mwingine. Msikaribiane sana kimwili kabla ya wakati; mkikaa mbali na dhambi huku m...

MAOMBI YA USIKU WA MANANE 2026/3/4

Group: MAOMBI NA MAFUNDISHO Admin Pastor Richard Wa Morogoro WhatsApp group Jiunge+255710889892 HATUA ZA KUOMBA USIKU HUU WA MANANE Mwal:Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Kanisa la Holy Spirit  Maandalizi ya Kiroho 👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾 ​Kabla ya kuanza, hakikisha umetubu na kusafisha moyo wako. Waefeso 6:12 inatukumbusha kuwa vita vyetu si juu ya damu na nyama, bali ni juu ya falme na mamlaka. ​🔥 Maombi ya Vita vya Kiroho ​1. Kujifunika kwa Damu ya Yesu ​"Baba katika jina la Yesu Kristo, naja mbele zako usiku wa leo. Ninajifunika mimi, nyumba yangu, na familia yangu kwa Damu ya Yesu. Ninachora mstari wa moto kuzunguka mipaka yangu; adui asipate nafasi ya kupita. Damu ya Yesu iwe kinga na ukombozi wangu usiku huu wote." ​2. Kubomoa Mitego ya Adui ​"Ee Bwana, kila mtego uliotegwa na adui gizani kwa ajili ya usiku wangu, ninaung'oa kwa jina la Yesu! Kila kikao cha wachawi, waganga, au mamlaka za giza kinachopangwa dhidi yangu, kikasambaratike kwa Moto wa Roho Mtakat...

TAFISIRI YA NDOTO

SOMO:NDOTO MBALIMBALI NA TAFISIRI ZA NDOTO WALIZOOTA WATU AYUBU:33:14-15 NDOTO ni Taarifa Ambayo Mungu Anakujulisha jambo lilopo au linalokuja au lilishatokea.  Usipuuze NDOTO maana unaweza ukawa unapewa Taarifa Muhimu Sana.  Karibuni NDOTO hizi Zimetafisiriwa na Pastor Richard Wa Morogoro Mungu Amempa Neema kubwa Sana Ya kufasiri maono na ndoto 1;GROUP: MAOMBI NA MAFUNDISHO Admin:Pastor Richard Wa Morogoro WhatsApp Group Jiunge +255710889892        IJUE TAFISIRI YA NDOTO YAKO                   AYUBU:33:14-15 .Shalom mtumishi wa Mungu Pastor Richard Naitwa Magreth Nipo Pwani Nimeota nipo na wenzangu darasani mwalimu anafundisha Mimi nilikuwa siandiki Sina peni ila badae nikanunua peni najuanz kuandika uku nikifurahi sana                 TAFISIRI YA NDOTO ​Ndoto yako inaonyesha hamu yako kubwa ya kujifunza na kukua kiroho.     UCHAMBUZI WA NDOTO 1:​Darasa...

MISTARI ya KUSOMA USIKU WA MANANE Katika MAOMBI

      MISTARI YA KUSOMA USIKU HUU TUNAPOINGIA MAOMBI YA USIKU WA MANANE TUNAANZA SAA SITA USIKU MPAKA SAA KUMI ALFAJIRI KILA SIKU.  Group:MAOMBI NA MAFUNDISHO Admin;Pastor Richard.  WhatsApp Kujiunga+255710889892       Yeremia 33:3    Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua.          Kutoka 34:13     Bali utabomoa madhabahu zao, na kuvunja-vunja nguzo zao, na kuyakata-kata maashera yao.         Kutoka 14:14  Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.        2 Wakorintho 10:4   (maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome;)        Kumbukumbu la Torati 28:7    Bwana atawafanya adui zako wainukao juu yako kupigwa mbele yako; watakutokea kwa njia moja, lakini watakimbia mbele yako kwa njia Saba.       ...