Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi, 2024

SOMO; MAOMBI

Picha
SEMINAR :TOPIC: ✍️πŸ‘Š MAOMBI Mwalimu; Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Simu+255759861768 Tufunue Vitabu hivi;2Mambo ya nyakati:7:14-16 1Wafalme;8;38-49 Zaburi;61;1,86;6 1Petro;3;12 SOMO HILI AU WALAKA HUU UNASURA "5" A:MAANA YA MAOMBI B; MAKUNDI YA MAOMBI C;SEHEMU ZA MAOMBI D:TABIA YA MAOMBI E: HITIMISHO                      UTANGULIZI. πŸ‘Š✍️SIKU YA KWANZA; Tarehe 3/8/2020 Jumatatu muda saa;4;00-6;00 AπŸ‘ŠπŸ‘ŠMAANA YA MAOMBI NA UFAFANUZIq WAMAOMBI πŸ‘ŠπŸ‘Š 1:MAOMBI NI NINI??Ni Hali ya uwasilishaji wa Taarifa na maendeleo ya Mtu Kiroho na Kimwili mbele Za Mungu Yenye Kutaka Apewe Majibu na Anachokiomba Nakukiamini. BπŸ‘ŠπŸ‘Š✍️KUNA MAKUNDI MAWILI YA MAOMBI;(WANAPOOMBA) ✍️Kundi la Kwanza Ni la Watu Wanaomuomba Mungu Wasiyemjua ✍️Kundi la Pili Ni la Watu Wanaomuomba Mungu Wanaemjua C:KUNA SEHEHEMU TANO ZA MAOMBI MTU ANAPASWA AZIJUE. 1:AINA ZA MAOMBI ANAZOPASWA MKRISTO AOMBE 2;MIKAO YA MAOMBI ANAZOPASWA MKRISTO AKAE WAKATI ANAOMBA 3;STAYLE ZA ...

SOMO:MAOMBI YA KUVUNJA MADHABAHU YA KICHAWI

SOMO: MAOMBI YA KUVUNJA MADHABAHU ZA KICHAWI  Kuna Watu Wanateseka Na Madhabahu za Kichawi Kutoka Kwa Wazazi Wao Leo hii Zinawatesa Watoto Wao Kusoma hawaelewi Darasani Watoto Wengine Wamekuwa viziwi wengine Vipofu na Wapo wengine Hawaolewi au Kuowa Wamekuwa ni Watu Wanaotumikishwa na roho ya kuzini hatari Pasipo Kujua nyuma hicho kitendo wanachofanya Kuna Madhabahu Ya Kuzini. Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa  TUNASIMAMIA; Isaya 43 yote Waefeso:6:10-20  Katika Maombi Yetu Haya mstari mkuu wa kutamka unapoomba ni 2Wakoritho.10;3-6 ":MAMBO HAYA YAZINGATIE KABLA YA KUANZA KUOMBA": <===============================> 1.Hakikisha Umeokoka na Kusimama usikurupuke Kuvunja madhabahu za kichawi zilizo ndani ya Familia ukiwa hujasimama. 2 Utakuwa Na Sadaka Yako Kuanzia 50000 na utaitoa siku ya kumaliza maombi kupitia hii madhabahu utanipigia simu ukishatoa. 3.Tambua Madhabahu ya Kichawi ndani ya Familia husababisha. Watoto wachukie shule au wawe wanadodoka au Kuw...

MAOMBI YA UKOMBOZI WA URAFIKI (WACHUMBA)

MAOMBI YA UKOMBOZI WA URAFIKI ( MAHUSIANO YASIYOELEWEKA) ,,,,,,,,▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎ Naitwa Pastor Richard  Nipo Morogoro Kutoka Kanisa la Holy Spirit church Tanzania  Wapo watu Mahusiano yao hayaeleweki hakuna mawasiliano wala sms wala simu Yapo kama hayapo Adui Ameichukua nafasi zao za kuwasiliana kaweka kila mmoja amuone mwezake kawaida tu. Tunaingia maombi Tafadhali Soma uelewe mambo ya kuzingatia unapokomboa  ,,,,,,,,,,,,▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎         #ZINGATIO Walengwa ni wale Tu urafiki (Mahusiano) wao haueleweki Waombe kila siku kwa muda wao mpaka waone matokeo wayaone  Hakuna Kitu adui anachokichukia kama nyinyi wawili mkiwa na lengo la kufunga ndoa yaitaji uombe hasa. Mstari unaobemba Maombi πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Mithali 6:1 [1]Mwanangu, kama umekuwa mdhamini wa rafiki yako,  Ikiwa wewe na mgeni mmepana mikono,  °••••••••°°°°°••••••°°°°°°°•••••°°°°°°•°°•°••°°•°••°••°••°° MAMBO  MATATU  YAKUSHUGHULIKIA KWENYE URAFIKI UNAPOKOMBOA. 1:MAWASILIANO YA...

SOMO: MAOMBI YA UKOMBOZI WA MZALIWA WA KWANZA

SOMO: MAOMBI YA UKOMBOZI WA MZALIWA WA KWANZA KATIKA FAMILIA YOYOTE. 🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴 Thamani Ya Mzaliwa Wa Kwanza  Kimwili ni kubwa ikitokea huyu mtoto wa kwanza kushindwa kimaisha Anafungulia Wadogo zake Washindwe na Familia nzima Kutokana Yeye ndiye Taa ya Familia Ikitokea Amejiingiza kwenye tabia chafu mfano ukahaba,Wizi,Kuabudu miungu,Kutumia madawa ya waganga wa Kienyeji ni rahisi Adui kupitia mlango wake huo nakuingia ndani ya Wazazi wake wadogo Zake. Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Kanisa la Holy Spirit church Tanzania.  πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Rejea Hii Mistari Soma: Mwanzo:22:21, Mwanzo:25;31-34, Kutoka:13:12, Wakolosai;1:15-18 MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUOMBA HAYA MAOMBI.  πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡ 1.Soma rudia rudia uelewe Somo hili la kumkomboa mzaliwa wa Kwanza. 2.Utaandaa Sadaka Yako 35000 Nakuendelea Ukiwa huna usiyaombe subiri ukiwa nayo ingia umkomboe Mzaliwa wa Kwanza. 3.Wanaopaswa Kuomba Ni Wazazi ,Wazaliwa Wa Kwanza,...