Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari, 2024

SOMO: MAOMBI YA MTU ATESEKAYE NA MAPEPO

SOMO;MAOMBI YA KUOMBA KWA MTU ANAYETESWA NA MAPEPO πŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏ Habari Mtoto Wa Mungu Naitwa Pastor Richard Ninataka Ujifunze Kumfungua mtu mwenye mapepo. Unapomfungua mwenye Pepo Zingatia haya. 1.Mazingira yawe wazi palipo na nanafasi maana mengine huwa na funjo. 2.Ondoa Woga na Hofu Jiamini na Utoe Sauti Kwa Kukanza yenye Amri. 3.Tumia mistari Mfano. 2Wakoritho.10;3-6 Simamia 4.Tazama ishara na Vitendo lile Pepo linavyokufanyia Unamkomboa mtu mwenye Mapepo. Mfano. WADALILI ZA MAPEPO UNAMFUNGUA MTU. 1.Kama linarebua na kutembea kwa kunata ujue jini mahaba  2.Akiwa anatembea Anajivuta na kujinyoganyoga mwili Unaambiwa ndani mwili yumo Jini Nyoka. 3.Unapoona Haongei wala kuzungumza Yumo Jini Kiburi endelea kuchochea Moto wa Yesu Moto wa Yesu. 4.Unapoona Mtu unamuombea Anavua nguo Jini Kichaa endelea kuomba tu. 5.Unapoomba Ananyosha vidole Anaomba msaada wa wezake waingie ndani mwili huo Apate msaada wewe omba haribu msaada. Nk Kuwa mfatiliaji na makini kuzifichua...

SOMO;MAOMBI YA KUOMBA MKE AU MME

SOMO;MAOMBI YA KUOMBA MKE AU MME KWA WASIOKUWA NA WACHUMBA AU RAFIKI.(Tutaomba mpaka Tulete Matokeo ) 🍈🍈🍈🍈🍈🍈🍈🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴 2024 Mwaka Wa Kusitawi (Mwanzo;26;13) πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ 2024 Hatutembei Kinyoge Sisi. Habari Mwana Wa Mungu Maombi ni watu wanaotaka kuolewa au Kuowa lakini hawana mahusiano wapo Singo Kabisa Haya ndiyo maombi yao kama unamchumba au rafiki lakini urafiki wenu sungu Unatakiwa Simama na maombi ya kucheleweshwa na yakujenga madhabahu ya uchumba yaombe mpaka uone mmetoleana mahali Jifunze Kuwa na Msimamo wa Kuomba mpaka uone Matokeo maombi yako yamekupa majibu. Naitwa Pastor Richard Ninayekuandikia Maombi haya nakukuongoza kwa msaada wa Roho Mtakatifu nimetoka Maombi ya Asubuhi nasikia Sauti niandikie maombi haya. MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUOMBA NA UFAFANUZI WA MAOMBI.  A.Usiombe ukiwa unaye mtu tayari au hujasoma ukaelewa maelekezo ya uombaji. B.Utaomba Siku Tatu Siku ya nne utatoa Sadaka yako kwa ajili ya hayo maommbi ya...

SOMO:MAOMBI YA KUSHUGHULIKIA NA ROHO ZA KUPOTEZA VITU.

MAOMBI YA KUSHUGHULIKIA NA ROHO YA KUPOTEZA VITU KUTUMIA PESA VIBAYA ROHO YA UFUKARA. Habari Kamanda Wa Bwana Yesu Mwanamaombi Mwezangu Nataka Nikufundishe Kitu Katika Ulimwengu wa Roho Huwa ipo roho inayomtumikisha Mtu mambo haya 1.Umasikini uliopitiliza 2.Kupotelewa na Vitu mara kwa mara 3.Kupata Pesa lakini inakuwa na matumizi yasiyo ya maendeleo inaisha tu bila kujua imetumikaje. Hii Roho huitwa Ratifa ni Jini Linalohakikisha inapomwingia mtu linamshika kumutumikisha bila kujielewa. Waefeso:6;12  MSTARI HUU TUNASIMAMIA SOMA. πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ 2 Wakorintho 10:3-4 [3]Maana ingawa tunaenenda katika mwili, hatufanyi vita kwa jinsi ya mwili;  [4](maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome;)  WANAOPASWA KUOMBA MAOMBI HAYA NI WATU HAWA. 1.Wanapotelewa Na Vitu ovyo ovyo au Kudhurumiwa,Wanaotumia Pesa ovyo wanafanya kazi lakini hakuna wanachofanya cha maana walio masikini kupitiliza au wanaona wanafatiliwa na roho hiyo. 2.Wataomba bi...

SOMO:SIFA ZA MWANAMKE MUOLEWAJI

DARASA LA UCHUMBA  SIFA ZA MKE MUOLEWAJI πŸŒ΄πŸ‘‰πŸ‘‰πŸŒ΄πŸŒ΄πŸŒ΄πŸŒ΄πŸŒ΄ SOMO: HIZI NDIYO SIFA ZINAZOKUJULISHA HUYU NI MWANAMKE WA KUOWA.  Kila Palipo na Mwanaume muoaji ujue yupo mwanamke mwenye Sifa za kuolewa Ambazo huwa hazipishani Sana na Sifa za Mwanamme muoaji. Ukiona hizi sifa huyo mchumba wako hana ujue siyo mwanamke wa kuowa. Naitwa Pastor Richard Ninayekuletea Somo hili fatana nami. Karibu ujifunze kitu 1:Mwanamke Muolewaji Atakupa Nafasi Ya Kwanza Kwenye Maisha Yake. Mkiwa kwenye uchumba utaona haachi kukujulia hali  atakuwa tayari kufanya chochote Kwa Ajili yako kilicho ndani ya uwezo wake Kwenye Uchumba tu vitu vingi mtaanza kubadilisha nakutengenezana. Ukiona wewe mwanaume unatumia nguvu sana kumfanya awe mke wako ujue sawasawa unataka kubemba Junia la misumari kichwani mwako. Soma Mithali:18:16 2:Mwanamke Muolewaji Anaheshima na Adabu Kwa Watu Wote. . Mwanamke muolewaji utamjua katika uvaaji wake Utamjua Katika Tabia zake Na Mienendo Yake Unapoongea anakuwa makini kukusi...

SOMO:MAOMBI YA KUJIKOMBOA KUTOKA KWENYE LAANA YA WIZI WA ZAKA(FUNGU LA KUMI)

SOMO: MAOMBI YA KUJIKOMBOA KWENYE LAANA YA WIZI WA ZAKA (FUNGU LA KUMI) UFAFANUZI MFUPI KABLA YA KUOMBA SOMA πŸŒ΄πŸŒ΄πŸŒ΄πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Shalom Mtoto WA Mungu Kuna Sauti naisikia  Inasema Nifundishe Watu Ambao Wamefungwa na Wanateseka Kutokana na Laana ya Wizi Wa Fungu la Kumi Kwa Baba Zao wa Kiroho au madhabahu zao hawazitolei Fungu la Kumi na Kwakuwa haziwatambui zimenyamaza Hazileti matokeo Hali inayowafanya Hawa watu waanze Kutapa na kuhama hama Wazazi Wao wa Kiroho aliowapa Mungu Awaongoze Ndugu yangu Maisha ya Kiroho na Kanuni Ya Mungu lazima uchangue uwe na Baba Wa Kiroho haijarishi utapita kwenye wakati Mgumu kiasi ngani ile madhabahu ya Baba yako wa Kiroho itakubemba nakukutetea kwa kuwa umekuwa ukiitolea fungu la kumi.  Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa  LAANA YA FUNGU LA KUMI  NI NINI? Ni kitu kinachomzuia Mtu Asibarikiwe Kwa Sababu tu Hatoi zaka katika madhabahu yake alipo Baba wa Kiroho Anatoa Popote yeye anavyoona nafsi yake Analiona Fungu la K...