Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba, 2023

SOMO; MAOMBI YA UKOMBOZI WA ARIDHI

SOMO: MAOMBI YA UKOMBOZI WA ARIDHI. Naitwa Pastor Richard  Nipo Morogoro Veta Dakawa  Jifunze kitu kupitia haya maombi. Aridhi Usipokuwa na nguvu ya kuitawala Adui na roho zitakutesa Sana. KILA Jambo liwe la Baraka au Laana Hushirikishwa Aridhi Adui anayetaka aharibu maisha yako hawezi kukudhuru endapo Aridhi na Anga ukiwa umevimiliki Ndiyo maana maandiko yanasema Ibarahimu Mungu alipotaka kumbariki alimwambia ondoka katika aridhi ya Baba  Yako na mama yako na Jamaa uende mpaka nitakapokupa. Kwanini Asigembariki pale kutokana aridhi ya hapo alipokuwa Ibrahimu haikuwa aridhi iliyoandaliwa kwa ajili ya Baraka zake ilikuwa imebemba laana tu.   SOMA👉Mwanzo:12 MUNGU Akasema  Mwanzo 1:28 [28]Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.  Nataka nikuambie ukitaka kumiliki Mfano. Kazi Biashara Pesa Kilimo Majumba. HUDUMA...

SOMO; MAVAZI NI UTAMBULISHO WAKO ULIYAVAA.

SOMO: MAVAZI NI UTAMBULISHO WAKO WEWE ULIYEYAVAA. Nakukaribisha katika Somo hili; Mavazi unaweza Kuvaa wewe mwenyewe unavyotaka Jamii ikutambue au Mbigu zikuelewe. Mavazi ni uhuru wa mtu kuvaa anavyoona nafsi yake yafaa. Lakini tambua Kila Vazi ukilivaa Tunajua huyu ni nani. Mfano ukivaa Joho na kofia tunajua huyu mhitimu amesoma Ukivaa Sale za kazini kwako tunatambua kupita mavazi uliyovaa. Nakukaribisha upate kuongeza maarifa KUNA AINA NNE NIMEPATA KATIKA UVAAJI 1:UVAAJI WENYE UTUKUFU Haya ni mavazi yanayompa utukufu Mungu yenye heshima yaliyoshonwa vyema na kwa kitabaa safi isiyoonesha maungo yako ya ndani Soma 👉Luka;7;25 Kutoka:31:10  Walawi:16;32 2:UVAAJI WA KITUMWA. Haya ni mavazi yanayomtambulisha mtu anatumikishwa na kitu au amefungwa mfano. Chizi, mtu aliyefungwa uvaaji wake utajua tu. Ukija kuvaa mavazi hayo wewe ambaye siyo tayari jamii na watu tutambua umetekwa na roho wewe unatumikia kifungo fulani. TUSOME ANDIKO. Kumb.Torati:21:13 3.UVAAJI WA KIKAHABA Kahaba ni mwana...

SOMO:FIKIRI KABLA YA KULALAMIKA

SOMO:FIKIRI KABLA YA KULALAMIKA MUNGU HAKUJIBU. Kuna maandiko Ambayo yanakupa picha na mwelekeo katika maisha yako ya wokovu ni vyema ukayajua nakuyashika Kabla hujaanza kutupia lawama Mungu hakujibu hakusikii. Wapo wegine wanawaza kufa wegine waache kanisani kisa Mungu hatendi Kumbe matatizo mengine shida ipo kwako unaona yaleyale hutaki kuona ushindi Muulize batrimayo kipofu alibadili mtazamo akaanza kuona ushindi mafanikio  kustawi Nawewe fikira zako ziponywe kwa jina la Yesu. Nakukaribisha katika Somo hili ninayekuandalia Pastor Richard kwa msaanda wa Roho Mtakatifu.  Nipo Morogoro Kanisa la H.S.C.T 1;JAMBO LA KWANZA MPENDE MUNGU KWA AKILI  ZAKO ZOTE NAFSI YAKO ZOTE. 👇👇👇👇👇 Mathayo 22:37 [37]Akamwambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote.    Vipimo vya Kumpenda Mungu Kweli. 1.Uvumilivu wako katika nyakati zote anapochelewa kujibu. 2.Kujitoa Kwako kwa Kazi ya Mungu katika Sadaka zako Viwanja magari na...

SOMO;MAOMBI YA KUOMBA MUNGU ATIMIZE NENO LAKE KWAKO

SOMI;MAOMBI YA KUOMBA MUNGU ATIMIZE AHADI ZAKO KWAKO ALIZOKUAHIDIA Karibu; Kuna wakati Mungu anaweza Sema nawewe atakufanyia kitu au nyumba yako au watoto wako au ndugu zako na ukasimama katika maangizo yake vizuri kabisa kama Ibrahimu cha ajabu muda ukazidi kwenda Hajibu Unachotakiwa Usiache kuendelea kuwa mwaminifu kwake na kufata alichokuagiza lakini utaingia kumkumbusha ahadi yake. Zipo ahadi zetu huibiwa na Adui  kwa kupitia dhambi au kumuasi Mungu au kuto tii maagizo yake. Mwadaaji wa Maombi haya Pastor Richard Kwa muongozo wa Roho Mtakatifu  Yupo Morogoro Veta Dakawa  Walengwa ni walioahidiwa Ahadi na Bwana hazijatimizwa mpaka Leo. Nakukakaribisha Soma kwa rudia rudia uelewe vyema. TUEPUKE HAYA ILI KUMFANYA ATIMIZE ALIYOTUAHIDIA. 1:TUSIACHE KUTII ANGIZO LAKE. 2:TUSIMUASI MUNGU TUKARUDIA DHAMBI TULIZOZIACHA. MAMBO AMBAYO YAFANYE KUFIKIA AHADI YA MUNGU. 1:UWE NA MOYO WA TOBA. 👇👇👇👇👇 Mungu anapeñda uwe mwepesi wa kutambua hili namkosea Mungu hili niko sahihi kisha...