Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai, 2022

SOMO;MAMBO 10 YASIYOHALALI KUFUNGISHA NDOA

SOMO; TAMBUA NDOA AMBAYO SIYO SAHIHI  LAKINI IMEFUNGWA KANISANI. Mwanzo:2:23-25 Mithali;31:10 MWAL:PASTOR RICHARD  Sio ndoa zote zinazofungwa kanisani ni halali zingine sio ndoa halali Mfano ukifungisha ndoa au kufunga ndoa upo hivi ni kisa 1;Mwanamke Ambaye mjamzito harusiwi afunge ndoa au anadalili anaisi 2:Mwanamke Ambaye Yupo Siku zake Yaani Blidini harusiwi asimame madhabahuni afunge ndoa. 3.Mwanaume Ambaye Anatatizo  la nguvu za kiume au dalili hatakiwi asimame madhabahuni afunge  ndoa. 4,Mwanaume Ambaye alishajihusisha na ushoga  au matendo yanayofanana na hayo harusiwi  kufunga ndoa madhabahuni. 5;Mwanamke  Ambaye hana sehemu za Siri Au Anamatatizo sehemu za siri yanayoasiri anaposhiriki Tendo la ndoa Hurusiwi Ufunge ndoa madhabahuni 6:Mwanamke Anayenyonyesha mtoto bado mchanga harusiwi kusimama madhabahuni afunge ndoa. 7;Mwanamke ambaye hajakabidhiwa na waliomzaa au walezi wake akanunua wazazi feki hutakiwi Usimame madhabahuni. 8:Mwan...

SOMO;ACHA KUSIKILIZA MAPEPO

SOMO; ACHA KUYASIKILIZA MAPEPO《 ACHA KUSIKILIZA MAGONJWA, ACHA KUSIKILIZA MATATIZO MSIKILIZE YESU TAYARI AMESHAKUFUNGUA.》》 ●●●●●●□□□□□●●● Vitabu Rejea:1samweli:28:7-10, 1wafalme:22;22-23 Ayubu;4;15, Mathayo;8;30-34 °°°•••••°°°°••••••••▪︎▪︎▪︎°°°°•••°°°°°°° Naitwa Pastor Richard  Ninayekuandalia Somo hili na kuliwasilisha Kwako Leo 30/04/2022 Karibuni Katika Somo hili linalosema[ "ACHA KUSIKILIZA MAPEPO"] Linalenga kukufungua wewe usiyesikia watumishi wanaposema Umefunguliwa Umeponywa ukirudi nyumbani yanaanza mawazo ya kukurudisha kwenye magonjwa tena hizo huwa sauti za MAPEPO zinakufanya Umepona Leo Kesho unaumwa tena Umetoa zaka Leo Kesho unaacha. Ujue unateswa na MAPEPO Soma kwa umakini rudiarudia uelewe vyema. MAANA YA PEPO PEPO Ni Nini? Ni roho chafu zenye umbo la mtu visivyoshikika vipo kama moshi au Upepo. Ni moja ya Jeshi la Shetani linalomshambulia mwanadamu kuzuia malengo afya na maono yake. DALILI ZINAZOKUJULISHA UNASIKILIZA MAPEPO. _________________________________...

SOMO;Hizi Sifa Za Mwanamke Mwema

SOMO:HIZI NDIYO SIFA ZA MWANAMKE MWENA NA MWENYE HOFU YA MUNGU  Mwanzo;2;23-25 Mithali;14;1-5 Mithali;30;10 Ninaitwa Pastor Richard NINAKUKARIBISHA KATIKA ELIMU HII NA MASOMO YA WANANDOA NA MAHUSIANO  NATAKA NIONGELEE SIFA ZA MWANAMKE ANAEFAA KUOLEWA NA WAKUISHI NAE KATIKA MAISHA ATAKAEFANYA MAISHA YAKO YA FANIKIWE HII NI KWA VIJANA AMBAO HAWAJAOA  KARIBUNI  FB; TAFUTA KANISA LA MOTO WA YESU UJIUGE Kusamehe Ni vigumu kuwa katika uhusiano halafu uwe hauna moyo wa kumsamehe mpenzi wako. Kawaida katika mahusiano, huwa kuna changamoto kadhaa ambazo hujitokeza hivyo lazima uwe na tabia ya kuweza kusamehe. Hii inaweza kuanzia kukosana kwa mambo ya kinyumbani, ama mambo mengine yanayofanana. Mwanamke mzuri ni yule ambaye ana uwezo wa kumsamehe mpenzi wake bila kuweka kinyongo. Iwapo mpenzi wako umemshika katika fumanizi nk na bado unampenda, basi jambo zuri la kufanya ni kumsamehe na kuendelea na maisha. Msikilizaji mzuri Mara nyingi migogoro ambayo inatokea majumbani kati ...

SOMO:UASI WA WAUMINI

SOMO: UASI WA WAUMINI NDANI YA KANISA LA LEO. Hesabu;16 yote soma Naitwa PASTOR RICHARD NINAKUKARIBISHA KATIKA SOMO HILI NIFATILIE KWA UMAKINI SOMO HILI UKATUBU ULIPOASI NA KWENDA KINYUME NA MAMLAKA ALIYOIWEKA KWAKO MUNGU KAPOKEE. MAANA YA UASI ? Ni kwenda Kinyume na Mtumishi aliyekupa Mungu Akuongoze au Akulee Kiroho. KUASI ni Kitendo cha Tofauti na mtu unapotenda dhambi au uovu Yenyewe Kuasi hulenga Kwenda Kinyume na Angizo lilotolewa na MAMLAKA au Mamlaka husika  Mfano; Ccm na chandema mbuge wa chandema alihamia Ccm akaanza Kumkashifu kiongozi wake. Huo ndio UASI. Muumini aliambiwa Na Baba Yake wa Kiroho awe anafanya usafi na Kupamba Kanisa Yeye akaenda Kuwaambia WAUMINI wezake mchungaji Amemtongoza Amemwambia anakuja kufua nguo na Yeye ndiye mke mtarajiwa Tayari unakuwa umeasi. Mchungaji alitangazia watu wote wafunge nakuomba lakini mimi sikufunga tayari umeasi. Kuasi nikitendo cha Kupigana na Mtumishi wa Mungu aliyebeba maono yako akufikishe kanani Hebu soma hesabu;16 Uone Kor...

SOMO:UPONYAJI WA MATESO

      SOMO: UPONYAJI WA MATESO. Zaburi;107; Yakobo;5;14-16, 2wafalme;20;5 Isaya;40;29 Naitwa Pastor Richard  Nipo Morogoro Veta Dakawa  MAANA YA NENO UPONYAJI  Ni Muujiza uletao Afya na mabadiliko  ndani yake kupitia Kuamini kitu. MUUJIZA MAANA YAKE Ni Uwezo wa Kutenda Jambo Lilopita Kiwango cha ubinadamu nakuuleta ulimwengu wa roho kumhusisha Mungu au mungu. MTU ATENDAYE MIUJIZA ANAWEZA AKAFANYA AKIWA CHINI YA MUNGU AKIMTUMIA au SHETANI AKAMTUMIA. Leo hii Nataka Nikufundishe Jinsi Ya Kuweza Kujiponya Mwenyewe Au Kuwaponya Wegine  Kwa Kupitia Imani. MAMBO HAYA NDIYO HUWA YANAPONYA. Si kila kitu unatakiwa uombewe au Uende kuombewa la hasha ! Kuna wakati unatakiwa ujue Fomula za Uponyaji wa Mungu Kwako kama hizi. 1;MANENO UNAYOONGEA YANANGUVU MBILI NDANI YAKE. a)maneno yako kama muda mwingi huongelea Tatizo lako Au Kusimulia habari zakulongwa Kutokuolewa Wizi wa zaka madeni. Utafanya Tatizo Kwako lisiishe Kwa sababu ya moyo wako unaushibisha Udhaifu...

SOMO;DALILI ZA MIZIMU

DALILI HIZI ZINAKUJULISHA UNATESEKA NA ROHO ZA UKOO YAANI MIZIMU YA KWENU. ___________________^^^^^^^^^^^^^____^^^______ 1;Kila Utakachofanya Kinakufa Uaze Biashara itakufa mahusiano Yanakufa nk. 2:Unakuwa natatizo ambalo ndugu yako analo au shangazi au mjomba mfano; Dada yako Amezalia nyumbani nawe utazalia nyumbani kaka yako Anamaisha  ya yasiyoeleweka nawewe unakuwa hivyo. 3;Unaishi maisha ya kufata historia Ya Ukoo wako au Familia  mfano Baba yako amekufa na kisukari nawewe kisukari kinakufata. 4;Utakuwa unaota watu waliokufa eiza inaongea nao au kula nao. 5:Unakuwa mtu wakuota upo kijijini kwenu au shule za msingi  6:Utakuwa unaota Ng,ombe, Unakuwa Unaota Wazungu, Wamasai unaota upo porini nk 7;Mnakuwa na mtiririko unaofanana kimaisha. Roho za mizimu huwa zinakaa zikidai uhalali wa ukoo na Kujiondoa Unatakiwa Ufate hatua kama nilivyoelekeza Soma kwa umakini usiruke hata step moja ni hatari kwa mtu Ambaye zinamtesa KAMA BADO UNATESWA NA MIZIMU AU UNAJIONA VIASHIRIA HI...

SOMO;UTOFAUTI KATI YA MWILI ROHO NA NAFSI

SOMO; UTOFAUTI KATI YA MWILI,NAFSI, NA ROHO  Karibu Katika Darasa hili la Mafundisho Ya Neno la Mungu Leo nataka niongelee Utofauti kati ya roho na nafsi pamoja na mwili. Naitwa Pastor  Richard  WhatsApp +255759861768 Tuanze Na  1;MWILI Ni ngozi hii ya nje iliyofunuka na Inapokea Taarifa kutoka kwenye Nafsi. Mwili hauwezi kufanya chochote endapo nafsi yako itakuwa inashambuliwa na adui. ●●●● Mwanzo 6:12 [12]Mungu akaiona dunia, na tazama, imeharibika; maana kila mwenye mwili amejiharibia njia yake duniani.  And God looked upon the earth, and, behold, it was corrupt; for all flesh had corrupted his way upon the earth. 2;NAFSI. Nafsi ni uhai wa mwili kuweza kujiendesha katika hisia mbalimbali  kila kiungo kuweza kufanya kazi yake vyema ni nafsi inapokuwa hai. Mfano; hisia za Kupenda na Kuumizwa Magonjwa au Afya Mtu ataujua mwili unauma endapo atapokea hisia za maumivu ndani yake nakupelekwa kwenye mlango husika wa kumpatia taarifa. Nafsi ni chembechembe hai Z...