Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Oktoba, 2021

SOMO: MAJUKUMU YA WANANDOA

SOMO; MAJUKUMU YA WANANDOA Naitwa Pastor Richard Mwalimu wa Wanandoa Imekuwa kawaida watu kufunga ndoa saa sita mchana kufika saa 12 jioni ndoa imevunjika. Tena jamii yetu ya sasa iliyomomonyoka maadili na kuingiliwa na utamaduni wa kimagharibi ndio kunachangia zaidi migogoro na mivutano katika ndoa. Kumekuwa na mada nyingi humu zinazohusu ndoa, wengine kuumizwa katika ndoa, wengine kusalitiwa, kupigana mpaka kutoana manundu, wengine hata kuana na wengine kuachana kabisa. Ndio maana nimeona nilete mada hii mezani tuijadili kwa mapana pamoja. Kwa kuanza kwangu kuchangia katika mada hii nitajikita kuelezea majukumu ya mke kwa mume wake na majukum ya mume kwa mke wake. Kwa sababu kila mtu anayeingia katika mkataba wa ndoa, anaingia katika mkataba huo akiwa na matatizo yake binafsi na kiasi fulani cha ujinga wake. Ili ndoa iweze kustawi na kudumu lazima kila mwanandoa ajue wajibu na majukum yake. Wahenga wanasema ndoa ni chuo, hivyo wanandoa wanashauriwa kuwa tayari kujifunza, ndoa hai...

SOMO; MAAJABU YA TENDO LA NDOA

Picha
SOMO; MAAJABU MATANO YA TENDO LA NDOA 1;Mwanaume hutoa mbegu hadi milioni 300 kwa tendo moja tu la ndoa, lakini mbegu moja pekee hutumika kuzalisha mtoto inapokutana na yai la mwanamke lililotayari. 2;Kufika kileleni kwa mwanamke ni msaada mkubwa kiafya kwake. Huweza kumsaidia mwanamke kupunguza hatari zaidi ya kupata magonjwa ya moyo, kupooza, kansa ya matiti pamoja na msongo wa mawazo. 3. Mwanamke anapokuwa kileleni hukaa takribani sekunde 20 hadi 14, tofauti na wastani wa mwanamme ambaye hukaa kwa wastani wa sekunde 6 tu. Hata hivyo, tofauti na mwanamke, mwanaume anapokuwa kileleni hupitiwa na giza zito katika ubongo wake kwa sekunde takribani tatu (blackout). 4. Tendo la ndoa hupunguza maumivu ya kichwa. -Utafiti uliofanywa na wa wataalam wa saikolojia na uhusiano kutoka Chuo Kikuu cha Munster chini Ujerumani umebaini kuwa tendo la ndoa husaidia kupunguza maumivu ya kichwa. Utafiti huo uliochapishwa mwaka 2013, ulibaini kuwa mtu mmoja kati ya watano waliofanya mapenzi wa...

SOMO: NGUVU YA WOSIA

SOMO;👉🏿 NGUVU YA WOSIA USIOGOPE KUTOA WOSIA 👆👆👆👆👆👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼 KITABU CHA KUSIMAMA YOSHUA:23 Naitwa Pastor Richard ninayekuwasilishia NAKALA hii Katika NAKALA Unayoenda Kuisoma imekopiwa Kutoka Kwenye Ukurasa wa Ijue Sheria Ili Kukusaindia Kuelewa Nguvu ya Wosia Kwanini Watu Kwenye Biblia walikuwa wakifikia umri Fulani wanawaita watoto wao na watu waliopenda wanawapa wosia Kwa Sababu hawakutaka Kipindi watakapokufa Mali zao au mipangilio iharibike SOMO HILI KUNA MTU MMOJA HUMU NAMLEGA ILI KUMPONYA Nini basi maana ya wosia? Wosia ni tamko lenye nguvu kisheria ambapo mtoa wosia anakusudia ni namna gani mali yake au zake zitasimamiwa baada ya kifo chake. Katika wosia mtoa wosia anaweza kuelezea ni kwa namna gani mali yake au zake zitagawanywa kwa warithi wake, kiwango ambacho watagawiwa, orodha ya mali anazom...

SOMO:SIRI TATU ZA BARAKA ZA MUNGU

SOMO: SIRI TATU AMBAZO MUNGU ANAZITUMIA KUKUPA USHUHUDA USIZOZIJUA. Tunaweza Kusema Baraka Za Bwana au Shuhuda Hufananishwa na watu Walioitwa Kufanya intaview ili wapate Kibarua Kila mmoja hutengemea Apate Kazi Lakini Anayekuja Kupata Kazi Ni mtu mmoja au wachache Sana Kwa Kukosa Kukizi Vigezo Ndivyo ilivyo ili uwe Na Ushuhuda au UBARIKIWE KIAFYA ,ELIMU, UCHUMI Unapaswa haya ninayoenda Kukufundisha Uyaelewe nakuyaishi. 1👉🏿JENGA MADHABAHU YA BWANA. 1 Wafalme 18:32 [32]Naye akaijenga madhabahu kwa mawe hayo katika jina la BWANA; akafanya mfereji, kama wa vipimo viwili vya mbegu, ukiizunguka madhabahu. Hapa ninaongelea Madhabahu Nikimanisha mahusiano MAKUBWA na Mungu utakayoyajenga Kwa Kuwa mwaminifu Katika Madhabahu Ya Baba yako wa Kiroho Kutoa Fungu la Kumi kila mwezi Bila kuruka ruka hata Kama unapita kwenye pito toa Fungu la Kumi KWANZA Hata Kama huna Kazi Nenda kafanye usafi nakufua nguo za Mlezi wako wa Kiroho WEKA USIARIZI WA KUTEMBEA KATIKA MADHABAH...

SOMO: MAMBO MATATU YA KUFANYA KWA MCHUMBA WAKO

SOMO: MAMBO MATATU MHIMU UNAYOPASWA UYAFANYE KWA MCHUMBA WAKO WEWE KAMA MWANAMKE. Mithali 12:1-5 [1]Kila apendaye mafundisho hupenda maarifa; Bali yeye achukiaye kulaumiwa ni kama mnyama. [2]Mtu mwema atapata upendeleo kwa BWANA; Bali mtu wa hila atahukumiwa naye. [3]Mtu hatathibitika kwa njia ya uovu; Shina la mwenye haki halitaondolewa kamwe. [4]Mwanamke mwema ni taji ya mumewe; Bali aaibishaye ni kama kuoza mifupani mwake. [5]Mawazo ya mwenye haki ni adili; Bali mashauri ya mtu mwovu ni hadaa. Naitwa Mwalimu wa Wanandoa (Pastor Richard 1:USIMTENGEMEE WALA KUOMBA OMBA KWAKE. Wewe Kama Mwanamke Unapokuwa na Mchumba wako Usiaze kumuomba hela Vocha Kumuomba Pesa Akuhudumie au Umbebeshe majukumu Yako Bado Akiwa Hajulikani Nyumbani Au Hafahamiki Ni rahisi Sana Kudharirisha Ubint wako kwa Kuwa unatengemea Mwanamme au mchumba wako. 2:MWAMINI MCHUMBA WAKO NA USIJENGE HOFU NAE. Futa Mtazamo wa Kutokumwamini mchumba wake Kutokuaminiana husababisha uhusiano uvunjike na Wanaume ...

SOMO: JINSI YA KUACHA KUGOMBANA

Picha
SOMO :Jinsi ya Kuacha Kugombana Karibuni Tujadili Nakujifunza Jinsi ya Kuishi ndani ya ndoa Bila Kugombana TATIZO Je, wewe na mwenzi wako mnashindwa kuzungumzia mambo kwa utulivu? Je, kila mara una wasiwasi kwa sababu hujui ikiwa jambo lolote utakalosema au kufanya litamkasirisha mwenzi wako na hivyo kusababisha ugomvi mkubwa? Kama hali iko hivyo, uwe na uhakika kwamba hali hiyo  inaweza kuboreshwa. Lakini kwanza unahitaji kujua sababu inayofanya wewe na mwenzi wako mgombane mara nyingi. KWA NINI HILI HUTUKIA Kutoelewana. Mwanamke mmoja anayeitwa Juliana  akiri hivi: “Nyakati nyingine mimi humwambia mume wangu jambo fulani lakini nashindwa kulisema kama nilivyokusudia. Au ninakuwa na uhakika kwamba nilimwambia jambo fulani, kumbe  niliota  eti nilimwambia. Hilo limewahi kutokea!” Kuwa na maoni tofauti. Hata iwe wewe na mwenzi wako mnapatana kadiri gani, maoni yenu kuhusu mambo fulani yatatofautiana. Kwa nini? Kwa sababu hakuna watu wawili wanaofanana kab...

SOMO: MAJUKUMU YA MWANAMKE KATIKA NDOA

SOMO; MAJUKUMU YA MWANAMKE KWENYE NDOA Bwana Yesu Asifiwe Nawakaribisha Wanandoa Tuelimishana Na Kuponya ndoa Zetu Ni Mimi Mwalimu wa Wanandoa Pastor Richard Nakusongezea Elimu hii itakayoponya ndoa yako Unaweza Kuogezea Point Happ chini Comment nitaiona. Kikweli Katika ndoa kila mtu huwa Anapaswa Ayajue majukumu Yake I'll Kufanya ndoa Zetu Zichanue majukumu ya mwanamke ayaelewe majukumu ya mwanamme aelewe Ndoa Happ itachanua Majukumu ya mke kwenye ndoa ni;  1.  Kutunza familia. 1 Timotheo 5:8 '' Lakini mtu ye yote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana Imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini.''  Kutunza familia sio jukumu la baba tu bali na mama pia anatakiwa ahakikishe anaitunza familia yake. Kama mna watoto hakika unatakiwa mama kuwatunza watoto wako na kuwasaidia kiroho ili wampendeze MUNGU katika Wokovu wa KRISTO YESU. Maana ya Neno kutunza familia ni kuiweka familia chini ya uangalizi wako ili isiharibike au isidhuli...

SOMO:FAIDA ZA UTOAJI

SOMO: FAIDA 8 ZA UTOAJI KWA BWANA Sadaka ni sehemu ya utoaji unaoacha pengo Katika Mali zako, yaani baada ya kutoa unaona mahali ulikotoa Mali hiyo pameachwa wazi.Hata hivyo Biblia inasema utoaji Wa kweli ni kujitoa nafsi yako kwanza kwa Mungu kama dhabihu mtakatifu ya kumpemdeza Mungu. “Basi, ndugu zangu, nawasihi, kwa huruma zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenu yenye maana.” (rom 12: 1) Mungu anatengemea tutoe nafsi, roho na miili yetu kama sehemu ya sadaka kwa Mungu. Itakusaidia nini kama utajitoa kwa ulimwengu na KUFANYA viungo vyako kuwa silaha za dhuluma kwa ulimwengu Bali tujitoe kwa Mungu kuwa sadaka kwa Mungu.(1Kor 6:13-16 ) ———— 13 Vyakula ni kwa tumbo, na tumbo ni kwa vyakula; lakini Mungu atavitowesha vyote viwili, tumbo na vyakula. Lakini mwili si kwa zinaa, bali ni kwa Bwana, naye Bwana ni kwa mwili. 14 Naye Mungu alimfufua Bwana, na tena atatufufua sisi kwa ...