SOMO;MAADILI YA UVAAJI KWA MKRISTO
SOMO: MAADILI YA UVAAJI WA MKRISTO KATIKA MAANDIKO. UTANGULIZI Tuache Kujifariji na Kudaganyana Kwa kuwafundisha watu kuwa Mavazi Kwa mkrito ni moyo wake na siyo muonekano wa nje hali ambayo inapelekea wakristo wengi kuuguka kiroho na kupoteza ushuhuda mzuri ndani ya kanisa mimi Leo nataka nikufundishe mavazi ya kimwili na wewe kiroho yanaenda sababa nitafundisha kwa ushahidi wa maandiko Biblia inasemaje Nayekuandalia Somo hili na kuliwasilisha kwako Naitwa Bishop Richard Ninaishi Morogoro Veta Dakawa Kutoka Kanisa la Moto Wa Yesu. 1:(a)KWA MKRISTO MWANAMKE HAPASWI KUVAA MAVAZI YA MWANAUME Kama. Suruali,Pesi, nk Mwanamke anayevaa haya mbele za Mungu anakuwa mwenye dhambi kwa kuwa kashindwa kutii angizo au alivyoamriwa na NENO. (b)MWANAUME HATAKIWI AVAE NGUO ZA MWANAMKE Kama Gauni,nk Mwanaume Yeyote mwenye kuvaa mavazi yampasayo avae mwanamke Yeye akavaa Tayari utakuwa mwenye dhambi mbele za Mungu umeshindwa kutii Neno lake ✍✍✍✍TUSOME Kumbukumbu la Torati 22...