Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Desemba, 2022

SOMO:HATUWEZI KUTIMIZA WITO

SOMO; KIONGOZI BORA KATIKA KAZI YA MUNGU.          《☆UTANGULIZI ☆》 Naotwa: Bishop Richard  Nipo Morogoro Veta  WhatsApp +255759861768 Karibuni Katika Somo hili Linalenga Uongozi ndani ya Kanisa la Kristo Ili Kulijenga Kanisa Katika Misingi bora ya uongozi Mungu ameweka ujumbe huu ili ujifunze Fatana nami katika Somo hili mpaka mwisho......... Kiongozi Bora= Ni Mtu Aliyeitwa  na Mungu  ili kuwafanya  au Kushawishi watu wa Mungu Kulitimiza Kusudi la Mungu  Kimungu na Kwa  Wakati wa Mungu. Ubora wa kiongozi katika kazi ya Mungu upo kwenye yafatayo; a)Mwitaji =Kujua aliyekuita na kwanini akuite wewe kati ya watu wengi. b)Mtu aliyeitwa= Kujitambua kama wewe ndiye uliyeitwa  kati yao walio wengi.  c)Ushawishi wako=Unanguvu ngani ya kushawishi watu na unakubalika kwa watu wako au hawakukubali lazima ukubalike kwa unaowatumikia. d)Namna Ya Kulitimiza Kusudi uliloitiwa=Ni vyema uweke mikakati ya malengo kulitimiza kusudi lako ...

SOMO; BABA WA KIROHO

SOMO; MFAHAMU BABA WA KIROHO                        UTANGULIZI  Naitwa Bishop Richard  Nipo Morogoro Veta Dakawa  Nakukaribisha ufatane nami hapa. Baba wa Kiroho Siyo Anayekuongoza Sala Ya Toba Au Kukuombea Ukapona huyo ndiyo baba wa kiroho hapana. Baba wa kiroho ni Yule Uliyeikumbali injili yake au mafundisho yake ukaamua uaze kufatilia na kusoma mafundisho au injili yake na yale masomo yakakujenga kiimani nakukomboa Fikira na Ufahamu wako ukaamua utembee na Mungu huyo ndiye huitwa mzazi wa kiroho sababu anakulisha kiroho nakukuza kiroho. ___________________________           🍇Tufunue Vitabu🍇  Luka;10;30_37 1wakoritho;4;15 ,2wafalme.22;2-20 1Nyakati;24;2-31, Mithali;15;2-20,Mathayo;10:20-37             .."Baba Wa Kiroho Ni nani? Baba wa Kiroho ni Yule anayekuzaa Kiinjili ya Kristo Yesu Kiroho na Kimwili Anakufundisha na kukuongoza namna yakuishi maish...

SOMO:SADAKA YA KUTEKETEZWA

SOMO: NGUVU YA SADAKA YA KUTEKETEZWA  Tufunue Vitabu; Mwanzo;22;2_13 Kutoka;29;18-42, 1SAMWELI;13:5-15          UTANGULIZI  Hii ni Sadaka inayotolewa na mtu mmoja mmoja haitolewi kwa kikundi au kifamilia Inapotolewa mtu huyu anakuwa na tatizo lilomshikilia miaka mingi Ameombewa Sana Ametoa Fungu la Kumi hiyo hali haijamtoka hupaswa atoe Sadaka ya Kuteketezwa katika madhabahu yake nakupewa muongozo wa kuiombea hiyo Sadaka. MAANA YA SADAKA  YA KUTEKETEZWA= Ni Sadaka inayoenda kuteketeza maangano miungu na magonjwa na uharibifu ambao mwilini au katika maisha yako Ulifanyika. Mfano:1 Mungu alipoona watu wanazidi kutenda dhambi na kila mtu yupo na mawazo ya dhambi aliamua atoe Sadaka akamtoa mwanae Yohana:3:16 Hali iliyokuja kuleta upatanisho na Mwanadamu. Mfano:2 Elia alipoona Miungu ya Baahari imetawala kwenye taifa lake na eneo lake alitoa sadaka ya kuteketezwa akauwa miungu yote nataifa likamjua Mungu 1Wafalme:18;20-46 UMHIMU WA SADAKA YA KUTEKETEZ...