Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Novemba, 2021

SOMO: DALILI ZA WIZI WA FUNGU LA KUMI

HIZI NDIZO DALILI KUU ZA MTU ANAETESWA NA DHAMBI YA WIZI WA FUNGU LA KUMI. MALAKI:3:10 1:Huingia roho ya kudhulumiwa au Kutapeliwa utakumbwa na matukio ya hivi. 2:Biashara mtaji wako utakufa au utaona Biashara  huuzi Hata Mia ujue Fungu la kumi 3:Utakopa madeni utashindwa kuyalipa na madeni yatakuzidi Kwa Kuwa hujui unatakiwa uaze kutoa Fungu la kumi utaombewa madeni hayataisha Hata nafuu hutaona. 4:Utakumbwa na kuuguza watoto wazazi pesa zako zote zitaishia kuuguza. 5;Kila utakalo Sema ulifanye utalifanya katika Makosa yaani utapatwa na HASARA.. 6;Utafukuzwa Kazi Utashushwa cheo chako 7;Utakosa Kibali mbele za Mungu na Kwa Wanadamu. 8:Hautapata ulizi wa kazi yako utaona Mambo kwenye kazi Yako yanaharibika 9:Utachangia kuua kanisa au Huduma kwa sababu KUPITIA Fungu Lako huifanya kanisa lijijjenge KUPITIA kikumi 10;Uaminifu kwenye pesa na Mali zako utashindwa kumfanya Mungu Asimamie Mali zako . Haya ndio Mambo mhimu Yatakayojitokeza Kwako usiposimama Katika Uaminifu wa F...

SOMO;Kijana na Ujana

SOMO:KIjana na Ujana KIJANA NI Nani? Neno kijana limekuwa na maana pana na linakuwa likipata tafsiri mbalimbali kutoka katika kila Taifa, jamii au tamaduni fulani. Kwakuzingatia mifumo au maisha ya jamii tunapata baadhi ya tafsiri za neno kijana kama ifuatavyo: Kijana ni mtu wa miaka 15-24. Hii ni tafsiri ya umoja wa Mataifa. Mathalani nchini Tanzania kijana ni mtu wa miaka 18-35 yaani baada ya balehe na mabadiliko ya maumbile toka utoto kuelekea ukubwa, aidha kw mujibu wa sera ya Taifa ya maendeleo ya vijana ya mwaka 1996 na kufanyiwa marekebisho mwaka 2007, inasema kijana ni mtu mwenye umri kuanzia miaka 15-24. Hivyo basi kijana ni mtu yeyote wa kike au kiume mwenye umri wa miaka 18-35 ambaye kwa mujibu wa mifumo ya kijamii au kitamaduni, kisiasa na kisheria anauwezo wa kujitegemea na kufanya maamuzi yake binafsi. Tofauti kati ya mtoto na kijana, wengi wanashindwa kutofautisha kati ya mtoto na kijana hasa waliopo katika elimu ya msingi na sekondari kutokana na s...

SOMO:TUNZA UJANA WAKO

SOMO;TUNZA UJANA WAKO Kutunza ujana, ndoa, uzee au wokovu wako ni wajibu wa mtu mwenyewe.  Ni kweli Mungu anatutunza na anayosememu kubwa katika kila rika la maisha yetu; lakini amempa mwanadamu ufahamu na utashi na anao wajibu wa kufanya ili kujitunza.  Ili kuutunza ujana wako ni lazima ujue na uyazingatie mambo muhimu yafuatayo: 1 .     NIZIJUE CHANGAMOTO ZINAZO KABILI KIJANA. i)      Kwenda na Wakati–Biblia inaagiza kuukomboa wakati-Waefeso 5:15-16    Ni changamoto kwetu na ni fursa kutumia nguvu ya msalama kuishinda hii      kawaida ya Dunia hususani vijana kuvutwa katika kwenda na wakati.  Kijana huvutwa na kushawishika kwenda sawa na wakati katika maeneo mengi.  Kijana anavutwa na kuvaa, kusuka, kunyoa, kutembea, kusema, kutenda sawa na wakati, hata kumiliki vitu vinavyoendana na kuendana na wakati. Dunia inavyotuvuta katika kwenda na wa...

SOMO; MAJUKUMU YA MWANAMUME. KWA MKEO

SOMO; MAJUKUMU YA MWANAUME KWA MKEWE KIBIBLIA Karibuni Sana Wapenzi Wasomaji na Wafatiliaji wa Masomo Mbalimbali Ambayo Yamekuwa UPONYAJI Tosha Kwenye Ndoa Zetu Na Leo Nataka nizungumzie MAJUKUMU ya mwanaume ndani ya ndoa maana Wengi Wamekuwa Wakitamani Wajue Karibu Naekuletea Elimu hii Naitwa Pastor Richard Mwalimu wa Wanandoa Nipo Morogoro veta Dakawa Simu+255759861768 1:MWANAUME NI KICHWA CHA MKEWE.(1Wakoritho:11:3) "Na Kichwa Cha Mwanamke Ni mumewe."Biblia jnamtambua mwanaume aliyeoa Ni Kiongozi wa Familia Ni Kiongozi wa MKEWE Yeye ndiye Anapaswa Asimame Kumuogoza mkewe katika njia za Kumjua Mungu" Mwanaume hapaswi Ajirudishe nyuma au Kumtengemea mkewe Ndio Amuogoze Amlishe Amvishe. 2: MWANAUME MPENDE MKEO  KAMA MWILI WAKO Waefeso;5:25"Enyi Wanaume Wapendeni Wake Zenu" Jukumu la Kupenda Ni la Mwanaume Sio Mwanamke Jukumu la mwanamke nikumtii mumewe katika Mambo Yote yahusuyo Bwana. 3:KUMCHUKULIA MADHAIFU YAKE (1wathesalonike 3;1 "Basi tulipok...