Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili, 2021

LASIMU YA KANUNI

Picha
YALIYOMO Sura ya Kwanza: Taratibu Za Ibada Sura ya Pili UBATIZO Sura ya Tatu MEZA YA BWANA Sura ya Nne Mashemasi na Wazee wakanisa Sura ya Tano Sadaka na Taratibu Zake Sura ya Sita Mipaka na Wajibikaji wa Viongozi Sura ya Saba Ndoa na Uchumba Sura ya Nane Umoja na Ushirikiano Sura ya Tisa๐Ÿ‘‰๐ŸฟMASHARTI YA KUJIUNGA UCHUNGAJI NA SIFA ZA WACHUNGAJI SURA KUMI๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ MAONO YATATIMIZWAJE 1:SURA YA KWANZA ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ๐Ÿ‘‰๐ŸฟTARATIBU ZA IBADA ๐Ÿฆ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ Taratibu za ibada Ni miongozo mbalimbali za kanisa zinazohusiana na ibada Zetu ndani Ya Kanisa la Holy Spirit Ibada Zetu zitaongozwa na Roho Mtakatifu Kufundisha na kuongoza ibada zetu Ibada Zetu zitakuwa Kama ifatavyo A๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ๐Ÿ‘‰๐ŸฟIBADA KUU ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ Jumapili  ibada inaanza Saa 8:30-12;30(Saa mbili na nusu mpaka Saa Sita na Nusu Hii ni Ibaada Yote Jumapili itaanza Saa mbili na Nusu katika muda huo Vjpindi vitaanza Jioni ibada ya marudio itaanza Saa:4:00 mpaka Saa 6:00 Jioni(Saa kumi mpaka Saa kumi na mbili ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ1:SUNDAY SCHOOL ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ Sunday School...

SOMO: Utaratibu wa Kujinasua kutoka katika Vifungo vya kutokutembea na Roho Mtakatifu

SOMO ;UTARATIBU WA KUJINASUA KATIKA VIFUNGO VYA KUTOSIMAMA KATIKA ROHO MTAKATIFU MAMBO HAYA LAZIMA UJUE. 1:HOFU 2;TABIA 3;MAFUNDISHO 4;MIKATABA 5;UZINIFU 1;HOFU;- ni hali ya mtu kutokujiamini kama mtoto wa Mungu mwenye uweza. mtu asipojitambua uweza wake na Kujua MUNGU ALIYEHAI UWEZO WAKE atakuwa mtu asiyejiamini katika 1;MAOMBI YAKE 2;NJIA ZAKE 3;UAMUZI WAKE Hofu  ni kipi huwasababisha watu. -woga na mashaka katika dani ya mtu -kutokujiamini kuwa unaweza -mawazo ya kushindwa yaani ukiaza kufikiri huwezi au utashindwa ujue unaenda  kuaguka kiroho. UTAWEZAJE   KUISHIDA HOFU MTOTO WA MUNGU -1: JIAMINI katika hali ya kujiamini elewa we mtoto wa MUNGU TAMBUA KUJIAMINI NI SILAHA YA KUFANIKIWA. 2:MAWAZO YA NJEGE UWEZA. katika hali    ya kujenga wazo lenye nguvu ya mafanikio. 1;Mwelewe Mungu katika roho na shetani mtambue ktk roho. lakini ndio akupaye hofu  aweze kukuagusha kiimani na kukuvunja moyo. 2:MWAMINI MUNGU elewa na uwaze ya ...

MAOMBI HAYA YAOMBE USIKU UKIWA UMETULIA

MAOMBI HAYA YAOMBE USIKU UKIWA UMETULIA Maombi Ya Kufungua MILANGO iliyofungwa ๐Ÿฅฆ๐Ÿฅฆ๐Ÿฅฆ๐Ÿฅฆ๐Ÿˆ๐Ÿˆ๐Ÿ‡๐Ÿˆ๐Ÿˆ๐Ÿˆ๐Ÿˆ๐Ÿˆ Tamka kwa kukaza Sauti Omba kwa Sauti  OMBA HIVI 1;Baba umenipa funguo muhimu katika Mathayo 16:19 za kufunga na kufungua. Ninatumia funguo hizo kufunga na kufungua, kuvunja na kubamiza kila kitu ambacho kinazuia kutimizwa kwa mipango yako kamili katika maisha yangu. Ninaamuru na kutangaza kwamba kila mnyororo, kamba, gereza, pingu kwamba zimefunguliwa, zimekatwa, na kuondolewa kutoka kwenye maisha yangu katika jina la Yesu. 2:Baba, Bwana Nakushukuru, kwamba wewe pekee ndiye hakimu wa maisha yetu, kwa mujibu wa Yeremia 17:9-10 Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua? Mimi, Bwana, nauchunguza moyo, navijaribu viuno, hata kumpa kila mtu kiasi cha njia zake, kiasi cha matunda ya matendo yake. 3:Baba naomba katika jina la Yesu, kwa mujibu wa Zaburi 22:19 Nawe, Bwana, usiwe mbali, Ee Nguvu zangu, fanya haraka kunisaidia. Baba naomb...

SMS KALI ZA MAHUSIANO

SMS NZURI ZA KUMTUMIA MCHUMBA WAKO Mwalimu wa Wanandoa Pastor Richard Kuna wakati mahusiano Yanaitaji Faraja na Maneno mazuri Yenye Kumfanya hata umpendaye Akajua unampenda Epuka Sana kumtumia mchumba wako SmS za kukera Mauzi short Sms Sms arrow Mfano mzuri wa  sms hizi kwa mtu yeyote anaweza Kujifunza Kitu🚸 🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍈🍈🍈🍈🍈🍈🍈🍈🍈🍈🍈🍈 1:nimeulizwa nmependa nin kwake huyo ninaye mtumia ujumbe huu nami nikajb saf roho yake nzur tabia yake ,majvuno hayapo kwake, nkaulzwa je unampenda kwa dhati ?nami nikajibu ndiyo nacpo tayar kumsaliti na lbd aanze yeye •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• 2:Najua kuna vishawishi vingi sana uko ulipo, lakini nikiwa moyoni mwako, siku hii itakuwa nzuri zaidi kwetu, tupendane daima lahazizi… •·.·°...

Jinsi ya Kujikombo na mizimu

🏇🤰JINSI YA KUOMBA KUJIKOMBOA KWENYE ROHO ZA MIZIMU🏇🗣️🧗 Karibuni Katika Maombi Haya  na maelelezo yakuomba Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta dakawa Simu Piga Jioni Saa 12:00 Jioni Kwa Msaada Zaidi WhatsApp+255759861768👉🏿👉🏿 YouTube 👉🏿https://youtu.be/NCJuVrn7MJk MSTARI WA KUSIMAMIA AU NENO LA KUDAI HAKI YAKO Wagalatia : 6:5 Maana kila mtu atalichukua furushi lake mwenyewe UFAFANUZI WA MAOMBI HAYA HASA NENO👉🏿MIZIMU Mizimu Ni Nini,,?Ni Roho za Ukoo Inayoishi na mtu ndani Yake kwa uhalali ya kudai ukoo wake inaanza Kupata nguvu Kutoka kizazi Cha nne ukihesabu Kutoka ulipo Mfano:Richard Ni mimi👉🏿Julius Ni Baba👉🏿Linda Ni Baby👉🏿Kushoka Ni Ukoo wangu. Huyu Jinsi Alivyokuwa yeye huweza kumwigia kila mwanaukoo wake nakudai aishi nakuhagaika Kama hii roho ita...

KITABU IJUE NDOTO YAKO

JINA LA KITABU๐Ÿ‘‰ IJUE NDOTO YAKO YALIYOMO ______________ UTANGULIZI       SURA YA KWANZA: 1:MAANA YA NDOTO NA AINA ZAKE                 SURA YA PILI; 2:UMHIMU WA KUOTA NDOTO             SURA YA TATU 3:MADHARA YA KUTOKUOTA NDOTO.                SURA YA NNE; 4:JINSI YA KUTAFISIRI NDOTO ULIYOOTA.                      SURA YA TANO: 5:NDOTO MBALIMBALI  NA MAANA ZAKE                     SEHEMU. "A"  ☆SEHEMU. A" NDOTO ZA KUMUOTEA MTU MWINGINE                      SEHEMU "B" ☆SEHEMU. B" NDOTO ZA KUJIOTEA MWENYEWE.                       SEHEMU "C" ☆ SEHEMU  C"NDOTO ZA KUTISHA                ...