Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei, 2018

SOMO : MJAMZITO NA TENDO LA NDOA

*SOMO:MJAMZITO NA TENDO LA NDOA* Pastor Richard Darasa La Wanandoa Simu +255759861768 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽 Wakati wa ujauzito wanawake wengi hukosa hamu ya tendo la ndoa hivyo mwanaume unahitaji kuwa na mawasiliano mazuri ili mambo yaende vizuri. *Je, Mwanamke mwenye mimba anaweza kuendelea na tendo la ndoa* ? Hakuna ushahidi wa kisayansi unaothibitisha kwamba tendo la ndoa kwa mwanamke mwenye mimba ya hatua yoyote ya ujauzito inaweza kumuathiri mwanamke mwenyewe au mtoto tumboni ( fetus) Hata kama kunatokea  miscarriage bado sayansi inathibitisha kwamba chanzo huwa si sababu ya tendo la ndoa wakati mwanamke ana mimba, bali sababu zingine kabisa. Tafiti nyingi zimefanywa kwa kufuatilia wanawake ambao waliendelea na tendo la ndoa huku wakifika kileleni ( orgasm) na wale ambao hawakuwa wanafika kileleni wakati wa tendo la ndoa, na wale ambao hawakufanya kabisa tendo la ndoa muda wote wa ujauzito...

MAOMBI YA MWANAMKE BORA WA KWENYE NDOA

*MAOMBI YA MWANAMKE BORA MWANAMKE MWEMA KWENYE NDOA AOMBE HIVI. Pastor Richard Darasa La Wanandoa Simu +255759861768 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽 Mwenyezi MUNGU, Mfalme wangu uliye juu..binti yako ninashukuru kwa kunipigania mpaka muda huu. Nimepitia mengi na bado ninapitia kila aina ya majaribu lakini unazidi kuniimarisha. Wakati wanawake wengine wakilalamika, wakilia, wakikashifu na kudhihaki mimi nimechagua kukimbilia kwako. Ninapenda kukuabudu na kukutegemea wewe na sio kumtegemea binadamu! 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽 Wanawake wenzangu wengi wanahangaika na ndoa zao, wamepoteza tumaini la maisha na mahusiano, lakini mimi sitakata tamaa; nitakukimbilia wewe. 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽 Nashukuru sana kwa namna ulivyoniinua. Je ni nani kama wewe? Kila nikijitazama aina ya mwanamke ambae nimekua, sababu kubwa ni wewe. Umenifanya niwe mzuri, ninayevutia, smart na kila aina ya sifa anayotakiwa kuwa nayo noble woman! 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽 Nipe busara ya kuishi na mume, wanawake wengi tunashindwa kuangal...

MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO UNAPOANXISHA UCHUMBA

*MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA MAHUSIANO* UNAPOANZISHA DARASA LA WANANDOA Pastor Richard Simu +255759861768 👇🏽👇🏽👇🏽 1. Mwanaume kuna aina fulani ya wanawake kwa namna yoyote ile unatakiwa uwaepuke. Wanawake wanaodhani uzuri wao ni zaidi kuliko tabia zao. 👇🏽👇🏽👇🏽 2. Mwanamke Tafuta mwanaume atakaekuongoza na kumtumikia Mungu, sio yule atakaekimbilia kutaka ngono pekee. 👇🏽👇🏽👇🏽 3. Mwanaume Usimpe MIMBA mwanamke kabla hujamfanya kuwa mkeo wa halali. 👇🏽👇🏽👇🏽 4. Mwanamke usikubali MIMBA ikufanye kuwa SINGLE MOTHER, kabla ndoa haijakufanya kuwa MKE HALALI. 👇🏽👇🏽👇🏽 5. Mwanaume Unapokua na bidii ya kumtafuta Mungu kama utavyutavyo wana...

NJISI YA KUSTAWISHA UCHUMBA WAKO

*NJISI YA KUFUFUA MAHUSIANO YALIYO KUFA Au YASIYO SITAWI* Darasa La Wanandoa Pastor Richard Simu +255759861768 👇🏽👇🏽👇🏽 1.Maneno, Ya Kutiana Moyo, Kumthibitishia Unavyompenda Mtamkie, Msifie Mpenzi Wako Asikie Kutoka Kwenye Kinywa Chako, Mtanie(Angalizo:Kama Hapendi Tani Unalo Mtania, Usimtanie Ilo Tani, Maana Wengine Mnamatani Ya Ukweli). 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽 2.Vitendo, Vitendo Huzungumza Kwa Sauti Kubwa Kuliko Maneno, Mfano: Kama Mpenzi Wako Anavaa Tai Msaidie Kumvalisha, Msaidie Kumvalisha Mpenzi Wako Viatu, Akitoka Kazini Mpokee Kwa Bashasha. 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽 3.Zawadi, Zawadi Humfanya Yule Aliyepelekewa Kukumbuka/Kumkumbuka Yule Aliyempa, Hukaa Kwenye Fikra Zake, Haijalishi Ukubwa Wa Zawadi, Zawadi Zote Zina Mguso Sawa Kwa Wale Wapenda...