Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni, 2025

SOMO: NGUVU YA MTAZAMO INAVYOBADILISHa

SOMO; NGUVU YA MTAZAMO UNAVYOBADILISHA MAISHA YAKO.  Rejea Vitabu: Mithali:15:29-33.  1Wakoritho:9:7-10  2Wakoritho.5:16 UTANGULIZI:- Ni mhimu Kujifunza Hili Somo kwa Sababu Watu Wengi Wanaishi kwa mitazamo yao na huo mtazamo huwapa nguvu ya kuyapa majina majira mbalimbali na kuishi kulingana na hayo majira walivyoyapa Majina. Mfano; Bint Anapitia kipindi cha kupata wachumba na kuachwa Mtazamo akilini utakuja Amefungwa na nguvu za ngiza Ataanza kuishi ndani ya huo Mtazamo mpaka apate mtu amtoe katika huo mtazamo atapokea mtazamo wa kuolewa. Mtu Amekuwa Akiitwa kazini anaishia Itaview Haitwi Mtazamo utakuja Wanaoitwa kazini wana watu wakubwa hilo ni Jina la mtazamo wake mwenyewe.  Mtoto Wa Mungu Ninayekuletea Hili Naitwa Pastor Richard Wa Morogoro Lengo Ujifungue Kamba ya Mtazamo iliyokufunga. MTAZAMO NI NINI..?  Mtazamo ni Picha na Muonekano wa Majira unayo yapitia namna unavyoweza kuyaita majina..? Mfano; Mambo yanaenda vibaya kila kitu hakiendi Utakiita hicho ...

SOMO: MAKERUMBI

SOMO: MALAIKA  ( MAKERUBI) Karibu Mwana Wa Mungu Tujifunze Leo Makerubi Ujue kazi zao na muonekano wao Vitabu: Ezekiel 28:14-16 Mwanzo:3:24 Kutoka:25:17-22  Makerubi  ni Malaika Wakuu kuliko Malaika Wegine Hawa wameaminiwa na Bwana kuzunguka kiti cha enzi. MUONEKANO WAO MAKERUBI. 1:Wana mabawa Sita matatu kulia matatu kushoto. 2;Nyuso zao zinag'aa Kuliko Wegine 3;Wakubwa Sana Kuliko wegine. 4:Wanaonekana Kama Tai Simba Moto au Ng'ombe wa dhahabu nk. 5;Huonekana Mwanga mkubwa umefunika chumba au kukuzunguka Saa nyigine wanapokutokea. WAMEGAWANYIKA SEHEMU KUU MBILI. 1:MAKERUBI WANAOZUNGUKA KITI CHA ENZI NA KUMSIFU BWANA. Hawa husema kila wakati Hosana Hosana mbarikiwa Unasitahili wewe Bwana Unastahili wewe Bwana. Wanaozunguka kiti huanza na Safu ya kwanza Makerubi Wanne Wanazunguka utukifu wa Mungu. Wanafata MAKERUBI Sita Hawa kila siku mmoja wao huenda kuchukua maombi ya watakatifu na Wana Wa Mungu. Pale unapoomba malaika huyachukua maombi nakuyapeleka kwa Mungu ikifika ha...