SOMO; MAMBO AMBAYO HUPASWI KUYAONGEA NDANI YA NDOA.
👊DARASA LA WANANDOA 🤛 Karibuni Wanando ndani Ya Darasa Tusemezane Tujifunze Kitu mimi Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Nakuandalia nakala hii.. SOMO; SiRI AMBAZO HUTAKIWI KUZIONGEA NDANI YA NDOA Wanandoa Tunapoingia ndani ya ndoa wengi wetu tulishawahi kuwa na mahusiano kabla ya kupata ndoa au Tulishapitia hali fulani familia zetu na wengine Tumetoka familia ambazo hazikutunza vizuri ndoa Wazazi wetu hawakuwa vizuri kukaa nasi kutufundisha juu ya namna Tunavyopaswa kukaa na wake zetu au waume zetu Kwa hiyo Tunapokuja kuingia maisha ya ndoa Tunaona kama magumu sana na tunaweza kukopi maisha ya wazazi wetu karibu ujifunze kitu hapa naamini utapata kitu. 1:UKIOLEWA/KUOWA NDANI YA NDOA USITOE SIRI ZA HALI YA UZAIFU KWA WAZAZI WENU BAADALA YAKE MWAMBIENI BABA WA KIROHO AWAOMBEE. Mfano mkeo umemuowa lakini kwenye tendo la ndoa kuna shida hakuhudumii ndani au umekuta anamatatizo sehemu zake za siri au Zipo mara mbili za kiume na za kike ...